Mwanzo Mwisho Historia na Utata wa Mauaji ya IMRAN KOMBE Mkurugenzi wa Zamani wa USALAMA wa TAIFA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 73

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 11 місяців тому +7

    One of the finest Legend soldier of JWTZ i ever hear.

  • @humphreychristopher8577
    @humphreychristopher8577 4 місяці тому +7

    Ajabu sana! Askari shupavu, mashujaa, wabobevu kwenye upekuzi na upelelezi, wasomi kwe vyuo vinavyoamika...tehe! Wote wsione plate number ya gari wathibitishe, wote wanamwinda mtu wasiyemfahamu kwa sura, rangi na umbo. Ajabu sana! Msimumulizi wa sakata hili pia hakutafiti vizuri kabla ya masimulizi

  • @nuhukilimanjaro
    @nuhukilimanjaro 2 місяці тому +1

    SMG (submachine gun) ni jina la jumla la bunduki za automatiki zinazoweza kutoa risasi nusu rashasha au rasharasha kamili. Zinaweza kutoa risasi au kwa kubebwa su kwa kushikwa.
    Kwenye SMG kuna bunduki za aina kama
    MP5, MP7, Uzi, HK 33A, HK53, Ingram
    Mac 10 na Ingram Mac 11, Colt 9 mm,
    FN P90, na AK-47 (na binadamu na kopi za AK-47) Hizi zote ni SMG. AK-47+++ hizi haswa ni «assault rifles»
    Bunduki iliyomuua Luteni Jenerali Imran Kombe ni AK-47

  • @IbrahimMohamed-c3c
    @IbrahimMohamed-c3c 8 місяців тому +1

    Nafikiri ni uoga tu wa Maafisa wetu lkn hakukuwa na njama yoyote ovu Allah ni mjuzi zaidi R.I.P KOMBE

  • @RwizaMideste
    @RwizaMideste 7 місяців тому +3

    Nikutokuwa makini kwa kazi yao. Hata namba za gari hawakuangalia. Lakini ni fundisho kwa wengine

  • @georgemwakalindile687
    @georgemwakalindile687 4 місяці тому +2

    R.I.P Baba zetu .IMRAN KOMBE,TUMAINIELI KIWERU AND MARTIN MWAKALINDILE...waliingia JWTZ pamoja,walienda kozi ya utawala pamoja nchini Uingereza...wote walifika wadhifa wa Chief of Staff wakati tofauti.....kifo cha Imran Kombe kilimuuma sana Baba yangu... Hali ile niliwahi kuiona alipo fariki Edward Moringe Sokoine...Mungu awalinde mlipo....

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 місяці тому

      R.I.P poleni sana

    • @josephtarimo6521
      @josephtarimo6521 3 місяці тому

      Mwenyezi Mungu awape pumziko la amani mashujaa wetu

    • @josephtarimo6521
      @josephtarimo6521 3 місяці тому

      Mwenyezi Mungu awape pumziko la amani mashujaa wetu

    • @samsonmwakikuti5318
      @samsonmwakikuti5318 3 місяці тому

      Wapumzike kwa amani watu walioitumikia nchi kwa ushujaa!

    • @ericknganzi398
      @ericknganzi398 2 місяці тому

      Mungu awarehemu hao ndugu zetu 😢

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 3 місяці тому +1

    The great kombe❤

  • @kevintruman9981
    @kevintruman9981 8 місяців тому +2

    RIP Lt colonel Imran kombe hakika hii sio fair police department daah

    • @thespaniardinme
      @thespaniardinme 8 місяців тому

      *Lt. Gen. na si Lt. Col. Lt Gen ni mkubwa sana jeshini, kama Chief of Staff, akiwa chini tu ya General (Chief of Defence Forces kwetu), kama Mnadhimu Mkuu wa Jeshi (Chief of Staff), ilhali Lt. Col. yuko chini hata ya Col (Kanali) jeshini

    • @phantyrhymes9536
      @phantyrhymes9536 4 місяці тому

      Safi sana kutuelimisha vyema.

    • @ibrahimomari2458
      @ibrahimomari2458 4 місяці тому

      Hakuwa luten canal..alikuwa luteni generali...

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 6 місяців тому +6

    Mkapa anajua alipo mpeleka .kwani uchaguzi wa 1995 mkapa hakushinda uchagu na huyo alitumika kumpitisha baade walitofautiana mkapa akamwondo na kumpeleka na yeye alipo enda .

    • @MeenaHassan-fd9vv
      @MeenaHassan-fd9vv 3 місяці тому +1

      Bongo ukiwa hutaki upumbavu na ukiwa very streight basi lazima uuliwe tanzania bwana mimi nipo Durban KwaZulu-Natal huku kuna umafia sana lakini Tanzania umafia upo serikalini r.l.p jpm wetu na viongozi wengine wote ambao wanapenda maslahi ya watanzania

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 4 місяці тому +3

    Polisi walijua wanamuua nan na nan aliewatuma pia alijulikana... Siku alipouawa alikuwa ametoka kuonana na mrema pale kizi hotel...

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 3 місяці тому +1

    Ni aibu askari polisi wa cheo cha chini kabisa kumuua luteni jenerali kombe mkurugenzi mstaafu wa usalama wa taifa. Ni aibu kubwa na uzembe mkubwa. Kombe alikuwa mtu mkubwa sana nchini

  • @FilbertRobert
    @FilbertRobert 4 місяці тому

    Daaah! Hatari sana 😢

  • @remmyyasinti1939
    @remmyyasinti1939 6 місяців тому

    Kazi nzuri kaka

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 6 місяців тому +2

    😢yani mnauwa mkijua na nyinyi hamtakufa.Mimi kwa imani yangu mkapa aliusila kuumuuwa kombe asilimia mia .kama kweli mimi ni mwongo Mungu anisamehe

  • @Semwali
    @Semwali 2 місяці тому

    Mmmhh aya bhana

  • @andersonshimbi1378
    @andersonshimbi1378 4 місяці тому +1

    Nimeisikiliza kwa makini sana simulizi hii lakini imeacha maswali mengi badala ya majibu. Mfano, ukweli halisi wa kifo chake bado ni tata, kuondolewa serikali kuhusika sababu hazitoshelezi

  • @arnoldkimaro407
    @arnoldkimaro407 4 місяці тому +2

    No comments.

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 4 місяці тому +1

    Asante sana kwa ufafanuzi huu mzuri ila pia nawaza kumbe Daniel Arap Moi na Rais my a Rwanda na Mabutu Seseseko walikuwa wamepangiwa kuuwawa? Nilizani ni Rasi Habriyamana tu wa Rwanda ndio aliyeuwa kumbe hivi video havikua vya kawaida? Je nani aliyehusika kununua Daniel Arap Moi?

  • @EMMANUELKAITABA
    @EMMANUELKAITABA 2 місяці тому

    Nahitaji kujua huyo coplo jumma na huyo konstebo bado wapo hai gerezani au vipi?

  • @dismaskombe5092
    @dismaskombe5092 11 місяців тому

    Naaaaammm

  • @peterchristopher5216
    @peterchristopher5216 3 місяці тому +1

    Sasa hata kama angekuwa ni mwizi wa magari ndo sheria inasema mumuue?

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 7 місяців тому +2

    Swali la kujiuliza ni jee kiongozi kama huyu anayeongoza kitengo nyeti kama hicho haekewi ulinzi??? Na kama ulinzi upo kwanini siku ya tukio hakuwa na ulinzi??? Na kama kiongozi kama huyo hana ulinzi wowote jee serikali haioni umuhimu wa kiongozi huyu wa taasisi nyeti kama hiyo??? Kiongozi wa kitengo chenye mambo muhimu ya nchi anakosaje ulinzi???

    • @EMMANUELKAITABA
      @EMMANUELKAITABA 2 місяці тому

      Na ninavyojua mimi viongozi wakubwa kama yeye ukistaafu unapewa dereva wa serkali wa kukuendesha na watumishi wakukuhudumia na kukulinda je vipi kwa kombe haikufanyika hivyo? Au utaratibu huo ulikuwa haujaanza bado.?

  • @ShukulaniBaharia
    @ShukulaniBaharia 7 місяців тому

    Kwa tanzania huongozi wako kama sio mzuri unafutwa kwenye ramani ya dunia tz

  • @edwardkishiwa3296
    @edwardkishiwa3296 3 місяці тому

    Police waliomuua kombe walikuwa ni Police waliomkamata kombe siku chache kabla ya kifo chake mjini Dar es salaam, hii ilikuwa kwa maelezo ya mke wa marehemu kombe pale mahakamani,

  • @Bittertruth-u4n
    @Bittertruth-u4n 4 місяці тому

    Charles kombe unahusian vipi na imran kombe

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 7 місяців тому +1

    👊✌👍.

  • @juliusmwakaleja2811
    @juliusmwakaleja2811 3 місяці тому +2

    Kwa maoni yangu tu. Ukiwashiwa taa na police simama.

    • @ShabaniSudi-d1x
      @ShabaniSudi-d1x 3 місяці тому

      @@juliusmwakaleja2811 wale polisi walikuwa na gari la kiraia na wao inaelekea hawakuvaa unifomu na dereva wao alikuwa raia. Kiitejilinsia ilitakiwa waifuate hiyo gari Hadi itakapoingia then waiweke nyumba chini ya ulinzi then watu wa hapo then kukagua gari Hilo Kama Ndiyo lenyewe lakini sio kufietua risasi ovyo. Walichofanya hao mapolisi ni Kama hawakupitia mafunzo. Ilitakiwa wote wanyongwe. Huwezi kuua kwa kukusudia Tena kwa risasi nyingi hivyo halafu uachwe huru. Kuanzia dereva na hao wengine wote wako hatiani. Ni kashfa kwa nchi Polisi wa vyeo vya chini kumuua luteni jenerali mkuu wa kitengo usalama wa taifa. Ni mtu mkubwa Sana kwenye nchi.

  • @Zaituninkya
    @Zaituninkya 4 місяці тому

    Innalilah Wainnailaih rajiun. Allah ndiye mjuzi.

  • @kinanaomar
    @kinanaomar 11 місяців тому

    Itakuwaje uwatume makachero watafute gari lililo ibiwa bila ya kumjuwa mwizi wala gari lililo ibiwa na kuanza kufetuwa risasi kwa mtuhumiwa mpaka kumuwa hiyo ni report ya kimazinga umbwe tu na jeshi la polisi wa serikali ya Tanzania hawaja bobeya kuwa makachero wazuri na hilo lime sababisha mwisho umri wa marehemu na umri wao wenyewe

  • @MorganMwaipyana-tz9vc
    @MorganMwaipyana-tz9vc 4 місяці тому +4

    Picha ya Habyarimana,Rais wa Rwanda vinahusiana nini na maelezo haya?

    • @nuhukilimanjaro
      @nuhukilimanjaro 2 місяці тому

      Ni kweli. Pamoja na picha zingine, hazina uhusiano wowote na tukio, mahali pa tukio wala simulizi kijumla

  • @MzeeMkoloni
    @MzeeMkoloni 5 місяців тому +2

    Duniani haki haipo haki ipo kwa MUNGU

  • @highskills5883
    @highskills5883 11 місяців тому +2

    Nataka kujua hao waliohukumiwa kunyongwa je walinyongwa sabab kama ni njama ya serkali basi hao asikari wasingehukumiwa kesi ingeisha kimagumashi

    • @charleskombe
      @charleskombe  11 місяців тому +3

      Polisi hao wawili yaani Koplo Juma Mswa na Konstebo Mataba Matiku walikuwa wamehukumiwa kunyongwa walikaa gerezani kwa miaka 16 na hatimaye Mwakatumbula 2011 aliyekuwa Rais wa Tanzania wakati huo Jakaya Kikwete aliachia huru. Rais Kikwete aliipunguza adhabu ya kifo na kuwa kifungo cha miaka miwili ambapo kwa msamaha wake waliachiwa huru.

    • @highskills5883
      @highskills5883 11 місяців тому +1

      @@charleskombe Asante kwa majibu Mr kombe....ila nahisi Basi pengine haikuwa njama

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 11 місяців тому

      @@highskills5883 Hiyo ilikuwa sio njama ya serikali. Ni Uzembe uliotukuka wa special task wa jeshi la polisi kushambulia gari kwa rangi na muonekano tu kama haitoshi walimfyatulia risasi mtu wasie mfahamu. ni kichekesho kwa kweli kusikia kuwa polisi walikuwa wanamtafuta jambazi sugu wasie kuwa hata wanamjua wala kuwa na picha yao, ila hii nchi hii haitaisha vichekesho aisee.

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 6 місяців тому

      Huwa wanaigiza hivyo kuwafunga na ikibidi hawawanawauwa kuficha siri

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 4 місяці тому +2

    Na ili ujue kuwa ulikuwa ni mpango wafungwa wote wawil waliohukumiwa kifo walikuja kuachiwa kwa msamaha wa raisi kikwete...
    Mungu anajua ya siri na ya dhahir na anahukumu juu ya hayo yote...

  • @njoostudio_
    @njoostudio_ 11 місяців тому +1

    Imran Kombe

  • @EphraimGreen-t5c
    @EphraimGreen-t5c 4 місяці тому

    Rest in peacs regend

  • @fredricksakagabo5198
    @fredricksakagabo5198 7 місяців тому

    Sasa mbona unaweka pc tofauti hiyo pc nni alikuwa president wa Rwanda Juvenile Havyarimana

  • @ShukulaniBaharia
    @ShukulaniBaharia 7 місяців тому

    Mungu mkubwa

  • @juliusmwakaleja2811
    @juliusmwakaleja2811 3 місяці тому

    Pia polisi wanahitaji elimu. Polisi waliotajwa hapo ni wa vyeo vya chini sana. Elimu elimu, na tena elimu. Na sisi wananchi tunahitaji elimu ya Sheria ili tuweze kuelewana na vyombo vya dola.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 місяці тому

      Kuwa na cheo chini haimaanishi kwamba hawana elimu

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa 2 місяці тому

    Mhhhh

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 4 місяці тому +1

    WALIMUUA MAKUSUDI TU,
    NA NI KWA KUWA ALIONYESHA WAZI NIA YA KUJIUNGA NA CHAMA FULANI CHA SIASA JAMBO AMBALO NI HATARI KWA SERIKALI KWA MTU AINA YAKE KUTOKA KWENYE CHAMA TAWALA NA KUINGIA CHAMA PINZANI,KWA KUWA ANAJUA SIRI NYINGI ZA SERIKALI NA CHAMA TAWALA.
    NAWAZA TU MSINITOLEE MIJICHO.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 місяці тому

      Ila angejiunga chama tawala ndiyo sawa?

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 3 місяці тому

      @@FridayMwassa
      HUMO NDIMO ALIMWOKUWEMO

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 2 місяці тому

    Mnaficha ukweli

  • @PetersonMaina-lu7ou
    @PetersonMaina-lu7ou 7 місяців тому

    W

  • @WemaRashidmsengule
    @WemaRashidmsengule 4 місяці тому

    Bado wapo hai mpaka leo au nawao wamekufa

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 4 місяці тому +1

    Hiyo fidia veepe? Story nusu nusu zina boa

  • @MohamediOmari-nz4vv
    @MohamediOmari-nz4vv 4 місяці тому

    Serikali zote duniani ni katili 😢

  • @MustafaChiledi
    @MustafaChiledi 4 місяці тому

    Askari walioua bila kukusudia

  • @matiredms917
    @matiredms917 4 місяці тому

    Siyo picha ya Imran Kombe. Picha uliyoweka ni Rais Michombero wa Burundi.

    • @peterchristopher5216
      @peterchristopher5216 3 місяці тому

      Huyo ni major general juvenile habyarimana, Rais na pili wa Rwanda 1973-1994

  • @DavidMgimba-z8o
    @DavidMgimba-z8o 4 місяці тому

    Walioua wako wapi sasa hawa polis hutumwa

  • @charlesassey5642
    @charlesassey5642 3 місяці тому

    Serikali inahusika moja kwa moja kwasababu, kama.gari ilikamatwa na kuachiliwa kwann waje waitafute tena moshi ??? Pili hao polisi kwann walifyatua risasi kwa kumlenga sehemu za kifuani badala ya kumjeruhi ???
    Huo ni uongo wa serikali inavyoonekana serikali ilishakuwa na nia ya kumuua na wakaamua kununua gari iliyofanana na gari ya marehemu ili waweze kuwa na sababu ya kujitetea !!! We know it was political assassination

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 4 місяці тому

    Wewe unafahamu . Sisi siyo wapererezi usije utuweke ndani mwanzishe kesi upya.ya ngoso mwachiye ngoso.

  • @saeedpazzi1767
    @saeedpazzi1767 3 місяці тому

    Tuna jeshi la polisi lenye askari wa hovyo kabisa