SIRI YA MAUAJI YA BILIONEA ERASTO MSUYA | Hukumu ya kifo watu 4

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Katika video hii utafahamu. Kwanini Bilionea Erasto Msuya aliuwawa? Nani walimuua na wapo wapi hivi sasa?
    #ErastoMsuya #Simulizi #daressalaam

КОМЕНТАРІ • 412

  • @Muddy_Muzungu
    @Muddy_Muzungu 2 місяці тому +11

    Msimuliaji ni mtu wa maana kabisa ❤

  • @hilarymark7583
    @hilarymark7583 2 місяці тому +12

    Msimuliaji wa Chaneli hii unajitahidi sana professionally! Endeleza ubunifu utafika mbali❤

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому +1

      Jamani nashukuru sana kwa feedback nzuri. Nitaendelea kujitahidi zaidi. Asante sanaa!🙏

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 2 місяці тому

      ​@@Jamani255Barikiwa sana huyu msimuliaji

  • @franssmoses6791
    @franssmoses6791 2 місяці тому +7

    Dada upo vizuri unajua kusimulia maana unajua unajua unachokisimulia

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Asante sana!!!😊🙏

  • @etheltrecia9663
    @etheltrecia9663 2 місяці тому +5

    Asante sana dada. Yaani umesimulia vizuri sanaaa, hongera 👏🏾👏🏾👏🏾
    Sasa lini tunapata story nyingine 😁

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому +2

      Jamani! Asannte sana wewe hapo kwa kuangalia na kuniachia comment!😊 Kesho kutwa inakuja nyingine!

  • @mgayan1222
    @mgayan1222 2 місяці тому +4

    ASANTE SANA. Umeelezea vizuri mno. BINADAMU ni SHIDAH😢 Pumzika kwa Amani Erasto Msuya

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Jamani asante wewe hapo kwa kuangalia na kuniachia comment! Inanisaidia sana. Binadamu mtihani kwa kweli.

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 2 місяці тому +4

    Dada unasimulia vizuri kweli unasauti nzuri mnoo tafuta redio au tv upewe podcast

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Jamani asante sana dear! Nikipata itabidi nije kwenye hii comment yako nikupe good news!

  • @mtindothedone4958
    @mtindothedone4958 2 місяці тому +6

    Plun yao ilikuwa mbovu ni haki yao kukamatwa wala siwezi kuwasifu police kwa kazi nzuri ila wauaji walitumia Plun za kitoto sana

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Kweli plan ni kama ilikuwa ni ya kufeli tu.

    • @mtindothedone4958
      @mtindothedone4958 2 місяці тому

      @@Jamani255 kbsaa kwanza mchongo kama huo wa mauaji au ujambazi hauwez kuwa na watu wengi kiasi hicho. Alafu pia hao watu wenyewe inaonekana sio wazoefu na kazi yao pia katk upande wa line wamecheza vibaya sana yani hawakufikiria kbsaa. Ni haki yako kukamatwa

    • @GraceMarine-vo9hu
      @GraceMarine-vo9hu 2 місяці тому +3

      ​@@mtindothedone4958duuh unaelezea utadhani wewe nimzoefu kwenye kazi hii😢😢

  • @mariumseif6751
    @mariumseif6751 2 місяці тому +10

    Hongera mtangazaji unajua kutangaza wala huboi

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Asante sana dear!!❤

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 Місяць тому +3

    Hawa wote wanaotajwa hawana hofu ya Mungu inabidi tujitahidi sana vijana wamjue Yesu. Ukimjua Yesu huwezi kukodishwa ukauwe mtu .

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Umenena sahihi kabisa!

  • @peterlujuo1640
    @peterlujuo1640 Місяць тому +3

    Hongera sio rahisi kusimulia kwa ufanisi mkubwa hivi 👏🏻👏🏻

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Ooh asante saana!😊🎉

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 2 місяці тому +7

    MADAM UNATOA STORY VIZURI SANA UNAELEWEKA NA TUNAKUELEWA VIZURI SANA MUNGU AKUBARIKINI KWA KAZI YAKO YA SIMULIZI LA KWELI ❤TUNASUBILI MUENDELEZO

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Jamani ninashukuru sana! Mungu akubariki wewe kwa kuniachia ujumbe mzuri wa kutia moyo. Muendelezo unakuja na simulizi nyingine nyingi pia! Asante sana!!!🙏

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 Місяць тому +1

    Duuuhhh
    Innalillahi wainna ilaihi rajiun Poleni sana saaana familia
    Pole sana dia

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 2 місяці тому +8

    Mkewe amehusika sana...ila mungu atatenda jambo litaloacha funzo kwenye familia ya mkewe

    • @manenoprosper3843
      @manenoprosper3843 Місяць тому

      Mkewe ni mgogoro wa mali alizoacha marehemu. Hausiki na huku

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 місяці тому +6

    Tuseme shida yote hii ya mauaji na kesi imeletwa na kampuni ya wazungu na mashine zao, wangetuacha Wananchi wapanbane na hali zao ona sasa wamesababisha watu wauane, wengine wafungwe familia zimeathirika mzungu Hana habari anaendelea kutajirika

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому +2

      Yaani kweli wao kwa machine zile na idadi ile ya wafanyakazi wanapata kiasi kikubwa sana! Wananchi wanapata asilimia ndogo sana ndio maana kuna wanaogombaniana sasa😔

  • @daimonsanga6707
    @daimonsanga6707 19 днів тому

    Hongeran policie kwa very good job for exploration yaani nimeikubali upelezi uwo ni makin mmno ila jaribu pia kufanya ata kwa maskin

  • @fashiont789
    @fashiont789 Місяць тому +1

    Habari hizi zinasikitisha sana. Nimependa unavoadithia hii habari, unafaa kuwa mwandishi wa habari Gigi😊

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Oooh asante sana dear😊❤️

  • @expert5898
    @expert5898 2 місяці тому +4

    Umesimulia vizuri sana... chukua maua yako.

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Awwww! asante sana jamani!!

  • @user-pp5mx1nx7n
    @user-pp5mx1nx7n 2 місяці тому +4

    Uko vizur sautiiii imetulia wooooooooosh🎉❤😅

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Asante sana jamani dear!!!❤️😊😁

  • @nancyenock5601
    @nancyenock5601 Місяць тому +4

    Nitafatilia simuluzi zote zingine kwa maana ufanisi hapa nimeuwona uko vizur

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Oooh! Asante sana Nancy!!😊❤️

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch 2 місяці тому +5

    Jesus tunakuhitaji uwiiiiiiiii❤

  • @user-er3cb9mb9m
    @user-er3cb9mb9m Місяць тому +6

    Much love from Kenya guys like back kama mnamkubali mwandisi tujuane kwa kugonga like Apo chini 👇❤😂

  • @bitutuatemba2164
    @bitutuatemba2164 2 місяці тому +3

    Perfect investigation # kudos to Tanzania cid officers in Arusha

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Indeed I am so proud of them as well!!

  • @FlorenceHudley
    @FlorenceHudley 2 місяці тому +4

    You are the best story teller

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      My goodness THANK YOU!😊🙏 This means a whole lot to me.

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 2 місяці тому +6

    Ukiwa huna hela ni tabu,ukiwa nazo pia tabu iko pale pale.😢😢😢

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Umeona eeh?😮‍💨

  • @alimohamedalhinduwaan7685
    @alimohamedalhinduwaan7685 2 місяці тому +8

    Jeshi letu kwenye uchunguz kma lina userious flan hv😂😂😂, shida iko pale wanapopokea rushwa sasa, unakuta unapewa kes haina kichwa wala miguu😅😅

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Unajua Nimecheka kwa nguvu 😂😂😂

  • @BibieMakame
    @BibieMakame 2 місяці тому +4

    Polisi wamefanya kazi nzuri sana

  • @SaimonKazimoto-xt1zo
    @SaimonKazimoto-xt1zo Місяць тому +4

    Sawa lakini wote hao vimbelembele lakini mataita wenyewe hawaja kamatwa wanakula upepo tu ipo ivo

  • @HarunaMwaholi
    @HarunaMwaholi Місяць тому +1

    Hii kesi nimeifatiliaga toka inaanza had leo cjawai pata story kamili ya huu mkasa asante sana mtangazaji kureta story hii ❤

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Ooh asante sanaaa!!! Ninatumaini umeona na muendelezo wake yaani part 2 na part 3 Leo saa tatu itakuwa tayari!

  • @HappynessGphray
    @HappynessGphray 19 днів тому +1

    Yani tajiri unasimamishwa na unasimama Tu bila kuwajuwa waliokueimamisha..aliyemuuwa anamjuwa vzuri..matajiri wekeni camera kwenye magari ma majumba yenu..Wabaya n wengi

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj 2 місяці тому +3

    Hio ndo maaana harisi ya mkoni mrefu wa serikali usifanye ukJuwa uko salama Damu nzito bhana 🎉

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Umesema ukweli Kabisa! 👏 👏 👏

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg Місяць тому +1

    Ewe mungu tukinaishe mtu anajituma mungu kambariki unakuja kumuuwaa aseee

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Amen 🙏 Na sisi atuepushe na balaa kama hizi.

  • @kenjoseph3337
    @kenjoseph3337 2 місяці тому +2

    Good job,tuletee story ya mauji ya dadake msuya

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      😊Thank you!!!! Ndio namalizia kuedit now. Kesho 13/07 saa nne asubuhi itakuwa tayyari posted!

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 Місяць тому +5

    I know him, hotel yake niliijenga kwa mkono wangu

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому +3

      Ooh jamani! Kazi nzuri sana! Hongera kwa kweli.

  • @kudrasslaybeautybar8779
    @kudrasslaybeautybar8779 Місяць тому +5

    Yani wee mdada una hadithia tukio hadi mtuu unaelewa kesi kama uko kwenye tukio asante

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Jamaniii! Asante sana kwa kusikiliza!!😊

  • @DanielMwananzila
    @DanielMwananzila 2 місяці тому +4

    Dada umetisha sana ❤

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Jamani asante Sanaa!❤️

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 2 місяці тому +6

    Ukiwa tajiri shida ukiwa maskini shida sjui tuishi vip yani Ndio maana mimi stk kujenga nyumba wala nn ntapanga mwanzo mwisho

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Umeona eeh! Maisha kitendawili kwa kweli!

    • @paschalsafari9747
      @paschalsafari9747 2 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @user-yz5zn4tr6i
      @user-yz5zn4tr6i 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @sulekhan7119
      @sulekhan7119 2 місяці тому

      Jenga nyumba wote tutakufa

    • @MwanjiNzala-mo5ni
      @MwanjiNzala-mo5ni 2 місяці тому

      Yaani.madereva wa.matajiri.au wenye.nyadhifa.za juu.wanapitiaga mengi sana😢😢

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 2 місяці тому +3

    Story yakusisimua Sana na yakusikitisha ingekua Nchi za wenzetu ingetungiwa kitabu

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Hakika wenzetu wangeshafanya hivyo

    • @Burner_Acc
      @Burner_Acc 2 місяці тому

      Wewe umetazwa kutunga kitabu chake au unadhani nje serikali ndo inaandika hivyo vitabu?

  • @StellaRingo
    @StellaRingo Місяць тому +1

    Wanaotoa roo za watu bila kosa mungu anawaona na atawaukumu siku ya mwisho

  • @ErickKilusu
    @ErickKilusu Місяць тому +2

    Simu ndiyo chanzo cha kukamatwa. Tutunze laini zetu za simu zisiangukie mikononi mwa wahalifu aisee.

  • @malezitv
    @malezitv 2 місяці тому +3

    good innovation keep it up

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Thank you very much!🙏 You have truly motivated me!

  • @user-ou2rx7ln4w
    @user-ou2rx7ln4w 2 місяці тому +4

    😢pesa ni mbaya kweli roho mbaya yote itakuwa alikuwa anawashinda uwezo puzika kwa manii brother lazima walipe zambi walotenda😂

  • @tausiluguru7491
    @tausiluguru7491 2 місяці тому +5

    Hongera sana

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому +1

      Asante sana!

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 2 місяці тому

      ​@@Jamani255huyu dada msimuliaji anajitambua sana kwa anachokifanya, hakika atiwe moyo kwani ni Mtu na nusu.

  • @Spice255
    @Spice255 Місяць тому

    Nilitamani Sana kujua tukio zima la msuya..hongera msimuliaji nimefatilia vizuri namuonea huruma erasto kilichomkuta ila nimefurahi Sana jeshi la polisi walivyofanya kazi yao kwa umakini😢

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Asante sana kwa kuangalia😊 Ni kweli inasikitisha na Jeshi la polisi walijitahidi sana!!!

  • @kasaisatv9765
    @kasaisatv9765 Місяць тому

    Kazi nzuri sana dada. Hongera kwa usimuliaji professional.

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Ooh asante sanaa😊 kama wewe umefurahi basi na mimi Nimefurahi.

  • @Malaika2311
    @Malaika2311 2 місяці тому +3

    Uje na story ya mauaji ya dada yake bilionea Msuya nae ilikuwaje? Otherwisè kazi yako ni njema na umepata shabiki mpya❤

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      😊Asante sana dear!!! Kesho hiyo video utaikuta hapa saa tano asubuhi!!

  • @Asheri-k5k
    @Asheri-k5k 2 місяці тому

    Upo vizuri sana hongera dada

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 2 місяці тому +2

    Jaman Mungu atuhurumie, damu ya mtu haiwez kunyamaza kimya,watu wakumbuke ya kaini na Habili.

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Kabisa upo sahihi!

  • @MariamMkusa
    @MariamMkusa Місяць тому +1

    Ila binadamu jaman Sasa bwana Ali Majeshi na Sharif wanawezaje kulala na kupata usingizi huku akijua wamekatisha maisha ya Erasto Msuya

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Yaani! Mimi jikiwa hata na siri ndogo tu usingizi sipati. Sasa kama ya aina hii si ndio hulali kila siku?😭

  • @Trey2k365days
    @Trey2k365days 2 місяці тому +5

    Ukiwa na hela miliki bunduki..usicheke na wasenge

    • @Anton-yt6eo
      @Anton-yt6eo 23 дні тому

      Hapo si unqaikia polisi walikuta bastol na risasi 29 kwenye gar ya marahemu,wakikuwahi tuu inakuwa haina ujanja ndugu.

  • @sancriffinvestment
    @sancriffinvestment 18 днів тому +1

    Inaonekana chanzo cha kifo ni namna ya matajiri wanavyojaribu kukwepa Kodi kwa kununua (mawe) (ridhiki) madini nje ya mfumo.

    • @sancriffinvestment
      @sancriffinvestment 18 днів тому

      Pia ni muhimu sana kwa serikali kuweka mazingira ya lazima kuwawekea walinzi wa lazima matajiri

  • @sesiliasalleko2013
    @sesiliasalleko2013 2 місяці тому +1

    Watu wabaya sana😢pesa zako ukute hawamdai Mungu yupo

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Yaani Mungu halal. Kila mmoja huvuna anachopanda tu.

  • @Jamani255
    @Jamani255  2 місяці тому +5

    Habari! LINK HII HAPA NI YA PDF YA KESI YA RUFAA YA WASHTAKIWA. UKIISOMA HII DOCUMENT UTAPATA TAARIFA ZAIDI JUU YA YALIYOTOKEA KWENYE MAUAJI HAYA.
    (tanzlii.org/akn/tz/judgment/tzca/2023/183/eng@2023-04-12 ) KICHWA CHA HABARI ( Sharifu Mohamed @ Athumani and Others vs Republic (Criminal Appeal 251 of 2018) [2023] TZCA 183 (12 April 2023))

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 Місяць тому +1

    Asante kwa taarifa

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Asante pia kwa kuangalia🙏

  • @BibieMakame
    @BibieMakame 2 місяці тому +6

    Damu ya mtu aipotei bure poleni wanafamilia

  • @Ibramoref
    @Ibramoref Місяць тому +2

    Misheni kama izi ukiwa na kundi la watu lazima ufeli...

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 14 днів тому

    Mungu tunusuru

  • @bongo24news13
    @bongo24news13 2 місяці тому +2

    Gud job

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Thank you!😊🙏

  • @officialmrkazkaz1465
    @officialmrkazkaz1465 20 днів тому

    Dah nimelia Sana

  • @luckysichone6705
    @luckysichone6705 2 місяці тому +1

    Dada Asante kwatalifa hiyo

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Aante sana Lucky!😊🙏

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin Місяць тому

    Kazi nzuri askari wa chuga

  • @sudyslaa8278
    @sudyslaa8278 2 місяці тому +4

    Story imenyooka. Ila hao inaonekana wamekana tu ushahidi na connection yote ni kwao.

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 2 місяці тому +3

    😢😢😢😢😢unatafuta kwa jasho hlf unauawa

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Tena mdogo tu alikuwa na miaka 43

  • @saidmrisho3929
    @saidmrisho3929 26 днів тому +1

    Oi daah leo nimetingwa ni teteee tu dah

  • @simplyzacky
    @simplyzacky Місяць тому +2

    Nilikuwa Arusha lakini sikuwahi kuifatilia hii story leo nimeijua kwa undani

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Yaani wewe ilibidi uwe mmoja wa kunipa information kabisa!

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 2 місяці тому +5

    RIP Erasto.

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 29 днів тому +1

    😅😅haya mauwaji yalipangwa kifala sana yaan ata wanafunzi wa field wangewakamata tu😂😂Damu ya mtu bana hua haipotei bure lazima itakufuata

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 2 місяці тому +4

    Kifo cha huyu kaka aliniuma sana jamani ila MUNGU atabaki kuwa MUNGU binadamu kuukatisha uhai wa mtu bila kuwaza wangapi wanamtegemea

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Ooh ndio jamani! Na kilisikika sana. Watoto ndio huwa wanahangaika sana

    • @abednego3876
      @abednego3876 2 місяці тому +1

      ww unajua kama aliwai kuuwa ?

    • @paskaziasholla7471
      @paskaziasholla7471 2 місяці тому

      @@abednego3876 hapana sijui naomba unijuze

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 2 місяці тому

      @@abednego3876em tujuze nasie tujue

  • @user-ol2rz8jq7u
    @user-ol2rz8jq7u Місяць тому

    Very detailed story. 👍

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Thanks a lot for watching!😊

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 2 місяці тому +4

    Part 2 please, sasa alie uwa ninani?

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому +2

      Hao kwenye picha ndio wamemuua dear. Wamehukumiwa kifo wapo gerezani hadi sasa hivi.

    • @RoseJohn-js7kb
      @RoseJohn-js7kb 2 місяці тому

      ​@@Jamani255 mbona walosema ni mke wake?

    • @user-oy9wr2zc6x
      @user-oy9wr2zc6x 2 місяці тому

      ​@@Jamani255kumbe walikamtwa na kuhukumiwa? Kwa nini mke wake alisota muda wote huo gerezani? Uko vizuri katika kutusimulia.

  • @user-ky9hj4co6r
    @user-ky9hj4co6r 2 місяці тому +3

    Hamna part 2

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Ipo tayari! Karibu!

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 місяці тому +5

    Sasa mke wake alihusikaje mbona na yeye amefungwa?

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому +5

      Mke wake alishutumiwa kwenye kesi ya mauaji ya mdogo wa huyu marehemu. Mdogo wake aliuawa na yeye kwa kukatwa shingo miaka Baada ya huyu kaka yake kuuawa. Video inakuja hii hii wiki utaupata mkasa mzima.

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 2 місяці тому

      @@Jamani255 nasubiri Asante Kwa Kwa uchambuzi mzuri

  • @EliasMASPELA-tx2jy
    @EliasMASPELA-tx2jy 2 місяці тому +3

    Nzuri sana hii dada tafuta na zingine nyingi najua unajua

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому +1

      Asante sana jamani! Yaani usijali zinakuja!!

  • @stn4873
    @stn4873 2 місяці тому +1

    Polisi wakikuamulia 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 kokote utakapoenda utadakwa tu....ila mchongo wakiwa wanaujua wanauzima zwiiiii

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Hahahaha🤣 kweli wakikuamulia hauponi kabisa!

  • @carolinep.maziku2922
    @carolinep.maziku2922 Місяць тому +1

    Safi sana msimuliaji umejitahidi sana mummy

    • @Jamani255
      @Jamani255  Місяць тому

      Ooh! Asante sana sweetie❤️😊🙏

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 місяці тому +6

    Tulipata kusikia Marehemu naye alikua na tabia ya kuua na kupora wachimbaji, usiponuuzia yeye jiwe haufiki nalo mbali atafanya mbinu utaporwa, na ukimuuzia anakupa hela nazo haufiki nazo mbali unaibiwa Kwa njia tofauti, na yeye hakua msafi

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому +3

      Heee kumbee kuna mambo mengi hatuyajui eeh! Mbona hatari sana. Asante sana kwa maoni yako. Na mimi nimejua kitu kipya! Kuna baadhi ya maswali jilikuwa nayo kichwani sasa nimepata majibu!

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 2 місяці тому +1

      @@Jamani255 penye tukio mengi yanasemwa tuendelee kusikiliza habari pengine mengi yataibuka

    • @user-oy9wr2zc6x
      @user-oy9wr2zc6x 2 місяці тому +1

      Inawezekana kabisa, marehemu ameenda na Siri zake na kutuachia sintofahamu hizi.

    • @suleimanjokoro
      @suleimanjokoro 2 місяці тому +3

      Hatutakiwi kurekebisha dhambi kwa kufanya dhambi^^^

    • @user-yw3qh6qj8g
      @user-yw3qh6qj8g 2 місяці тому

      Unaushahidi? Uwe makini

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 2 місяці тому +4

    tatizo aliowa mchaga na mchaga ukimuowa ucpompa kipau mbele na yeye amiliki pesa lazima akuqngamize2 mwanamke wa kichaga anapenda na yeye amiliki pesa apendi kushikiwa chini

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 2 місяці тому

      Wewe paka,mke wa msuya ni mpare

    • @WahidaHilaly
      @WahidaHilaly Місяць тому

      Ndo zao😢😢😢wanapenda pesa Kama Mavi Na chooo😢😢

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 Місяць тому

      ​@@WahidaHilalyAcheni kutukana hawa wachagga ni nani anaeiona pesa akaitupa? Wewe mwenyewe ukipewa pesa utaikataa na ni kwa nini munafanya kazi kama si kwa ajiili ya pesa?

  • @ChristineSiriwa
    @ChristineSiriwa 2 місяці тому +4

    Kwa mganga walienda kufanya wasionekane au

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому +3

      Ndio. Mganga aliitwa mahakamani kutoa ushahidi na allisema kuwa walitaka dual ya kinda maaskari wasi2akamate sabaabu wameua mfanyabiashara huko Arusha.

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 2 місяці тому +5

    Ila km unaua mtu kisa mali za duniani je utakuwa na amani kweli

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому +2

      Hata mimi huwa najiuliza usiku wanalalaje? 😢 Ndoto mbaya hawapati kweli?

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 2 місяці тому +1

      Anasahau kama nae atakufa

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 місяці тому +1

      unashangaa hili mbona kila siku tunauwana mioyoni mwetu

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 2 місяці тому

      @@kwisa4899duh we umekaa kiroho zaidi

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 2 місяці тому +1

    Mungu nu hakimu wa khaki

  • @H3s4d
    @H3s4d 2 місяці тому +5

    Usimuamini. Mtu kilahisi hata kama ni. Ndugu yako

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi Місяць тому

    Saut nzuli saana hongeza stoli zingne

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 Місяць тому +1

    Dada ulishaolewa,wafaa kuwa mkwe wangu,ila naogopa maali za wachaga na watu wa Arusha.

  • @giyariji5101
    @giyariji5101 2 місяці тому

    Hongera kwa makala nzuri

  • @shukranisibale1739
    @shukranisibale1739 2 місяці тому +1

    Unasimulia vizur bi dada

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому +1

      Asante sana jamani!😊

  • @Gorgeousij
    @Gorgeousij 2 місяці тому +4

    Kwanini anasimamishwa na watu wenye hajui na anasimama?swali tu

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 2 місяці тому

      Huenda Alikuwa.anamjua. au.k umfananisha

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Alikuwa anawajua alishaongea nao kwenye simu wakakubaliana wakutane hapo.

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 2 місяці тому +1

    Huboi,huchoshi kusikilizwa.🎉

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Ooh Asante sana dearest!!❤️

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 2 місяці тому +2

    Msimuliaji mzuri..komaaa na simulizi tuuu utagrow kirahisi na pia itakua brand pekee ya simulizi

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому +1

      Ooh asante sana jamani!!!❤️ Umenipa moyo sana ninashukuru kwa kuja kuangalia 🙏

    • @HappinessAhia-ey1lq
      @HappinessAhia-ey1lq 2 місяці тому +1

      Una sauti nzuri alafu unajua kufwatisha vituo .
      Hongera sana

  • @manenoprosper3843
    @manenoprosper3843 Місяць тому +1

    Dereva Mussa miaka 13 yote gerezani kisa kusafirisha tu watuhumia ambao hakuwajua haikuwa haki kabisa

    • @kunpeter4071
      @kunpeter4071 18 днів тому

      Aliisumbua mahakama mkuu😂, aliji contradict kukubal then kuja kutaa na ku present false evidence

  • @OmanOman-ji1iy
    @OmanOman-ji1iy 2 місяці тому +2

    Pumzika kwa amani binadam wabaya

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 2 місяці тому +4

    Watavuna walichopanda mlango huohuo nawao watapitia nawao

  • @user-jx9xc6vo9x
    @user-jx9xc6vo9x 2 місяці тому +3

    Pole

  • @msouthqualitymabati4657
    @msouthqualitymabati4657 2 місяці тому +1

    Weka part 2 mambo ni mengi

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 29 днів тому +1

    Kwnn alienda bila tahazar,alf pekeyake,alijiamn kvp ye mwnyw amejitakia nyuma y camera,,kuna lilojificha,kwnn aende pekeyake,

  • @ElastoMashine-nw2dz
    @ElastoMashine-nw2dz 2 місяці тому +3

    Unajua usajili umesaidia

  • @rehemambilinyi9452
    @rehemambilinyi9452 2 місяці тому +3

    Kweli muovu hana uhuru

  • @ramadhanicinder7524
    @ramadhanicinder7524 Місяць тому

    Nilikua najiuliza kwann aliuliwa Billionaire,
    Umetoa majibu mazuri

  • @jamesvalentine4084
    @jamesvalentine4084 2 місяці тому +3

    Nimesikiliza mkasa mzima. Sijasikia ukisema kuwa alipouawa walimuacha akiwa na pesa kiasi cha Milioni 100. Hii inasemekana kwenye vyanzo vingine

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому +1

      Asante sana kkwa kusikiliza mpaka mwisho james! Niliacha kwasababu kwenye court document haijatajwa. Pia nilishangaa kuwa inawezekana labda mahakama iliamua hiyo exhibit isiongelewe. Kwenye comment yangu ya kwanza nimeweka hiyo link ya hiyo document ya kesi.

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 2 місяці тому +5

    Dunia hii!!!😢😢😢😢

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 2 місяці тому +1

    Ukiwa nahela lazima watoe ushaid unaoeleweka lkn km huna hela watapindisha ushahid

  • @jeviounipers
    @jeviounipers 2 місяці тому

    nime subscribe. Una contents nzuri sana

    • @Jamani255
      @Jamani255  2 місяці тому

      Oooh jamani asante sana!!! 🙏😊🎉