Kua Makini Hivi Ndivyo Mipaka Ya Bahari Inavyofanya Kazi, Ukijichanganya UMEKWISHA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 73

  • @user-et1uv8ek1p
    @user-et1uv8ek1p Місяць тому +19

    From 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 wakwanza twende kaziii wenye D mbili

  • @Dellylubunga
    @Dellylubunga Місяць тому +24

    Mimi ni mwana bongo fasta ku toka DRC 🇨🇩 Kinshasa

  • @thanksrjhood9508
    @thanksrjhood9508 Місяць тому +3

    kwa sheria hz naiona Tz tukipakana na Malaysia, Singapore

  • @tiktokTviral
    @tiktokTviral Місяць тому +5

    Always Am really Appreciate BONGOFASTA..! 4EVER BEST💕💖🔥🙏😊🕊

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 Місяць тому +13

    Tunaomba makala kuhusu mipaka ya ndege kutoka nairobi keny

  • @johnjohnkipokola5077
    @johnjohnkipokola5077 Місяць тому +5

    Swali: Kilichoelezwa hapa ni mipaka from east to west! What about north to south? Mfano mpaka wa maji kati ya Kenya na Tanzania kati ya Tanga Tanzania na upande wa Kenya tutautambuaje? Naomba jibu tafadhali

  • @Laizer3
    @Laizer3 Місяць тому +3

    Tanzania hamna rada😂😂 kama tu mv nyerere ilizama bila sisi kujua

  • @shomarynasibu3511
    @shomarynasibu3511 22 дні тому +1

    Makala nzuri, big up. Ila hatuna neno "Waters" maji hayana wingi.

  • @Malangalusaede
    @Malangalusaede Місяць тому +3

    Tanzania 🇹🇿 malawi 🇲🇼 kenya 🇰🇪

  • @rodgeronlinetv1083
    @rodgeronlinetv1083 Місяць тому +3

    Ahsante kaka Justin

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 Місяць тому +6

    Tunaomba makala kuhusu mipaka ya ndege

  • @niccolausmadinda7183
    @niccolausmadinda7183 Місяць тому +2

    Kazi kubwa, big up

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 Місяць тому +1

    Thank you for the educative content

  • @claymwaifwani6451
    @claymwaifwani6451 20 днів тому

    Very informative 👏🏽👏🏽

  • @N.T.KDigitalCreation
    @N.T.KDigitalCreation 27 днів тому

    I did' know that, thanks for the knowledge.

  • @catchall9364
    @catchall9364 Місяць тому +1

    Kwanini meli nyingi za kimataifa zinasajiliwa Liberia? Kwani Liberia ina sheria gani za kuvutia sana usajili?

  • @user-wd4xl5cl4y
    @user-wd4xl5cl4y Місяць тому +4

    Safi ❤

  • @DuuSaid
    @DuuSaid Місяць тому +2

    Mipaka yazanzibar yabahari wenyewe wanaitambua hamumuibiii mtu kule natamaa zenu izoo

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla Місяць тому

      Nani sasa anatamaa kwanza zanzibar sio nchi ni mkoa zanzibar ni km Hong kong tu

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Місяць тому +1

    Salute justine shedy 😇

  • @estatekisombola9251
    @estatekisombola9251 Місяць тому +3

    D mbili inamaanisha nini

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 Місяць тому +2

    Big up💪

  • @StanMrema
    @StanMrema Місяць тому +3

    Salute

  • @jamesathumani2519
    @jamesathumani2519 Місяць тому +2

    Thank you

  • @velxempire8995
    @velxempire8995 Місяць тому +4

    INTERNATIONAL MARITIME ORGANIZATION (IMO) NDIO SHIRIK LAKIMATAIF LINALOHUSIK NA KUTUNGA NA KUHIFADH NA KUSMAMIA SHUGHUR ZOTE ZA BAHARI
    NA IMO immegawanyik katik namn 4
    1.MARPOL(maritime pollution) hik ni kitengo kuzuia uchafuz wa mazingira
    2.SOLAS (safety of life at sea) kinaangalia usalam wa wat katk bahari
    3.STCW( standard of training and certification and watch keeping of sea fellas) hik kwaajili yakuwap wahudum wa mel wot kuanzia captain mpak mabaharia lessen stahik za kufany kaz kweny meli
    ya nne imentok kidogo
    ko hay uliyoyaelezea yot IMO NDIO MUUSIK MKUBWA AMBAE ANASMAMIA NA KUFANY SURVEY CHIN YA CLASSIFICATION SOCIET ZA MEL KAM BUREAU VERITAS YA UFARANSA AMBAY TZ TUNAITUMIA
    AMBAP IMO PIA IMEWEK UTARATIB WA
    PORT STATE OPERATION (shughur za ukaguz wa meli bila kujali imesajiliwa hap ilipopita au kwingine)
    FLAG STATE OPERATION
    (Shughul zote ambaz ni zaukaguz znafanywa na nchi ambap meli imesajiliwa

  • @NathanOkubasu
    @NathanOkubasu Місяць тому

    I love this 👏👏👏

  • @ManOfSteel-2ruku
    @ManOfSteel-2ruku 26 днів тому

    Kazi nzuri

  • @user-bh4up3dg5m
    @user-bh4up3dg5m Місяць тому +2

    Good

  • @JackieMuchemi
    @JackieMuchemi 27 днів тому

    I have learnt something

  • @piusrweyemamu3900
    @piusrweyemamu3900 Місяць тому

    Ulipotelea wapi Mkuu?....

  • @mtitojr8563
    @mtitojr8563 Місяць тому

    Asante kwa elimu

  • @diplomat12
    @diplomat12 Місяць тому +1

    Sio Mauritanian law ni law of the see

  • @matukimerchant5170
    @matukimerchant5170 Місяць тому +1

    Nilivyokuwa nasikiliza nikajiuliza kuhusu hii sehemu ya 2 na ya 3 kwenye exclusive economic zone (international waters) nchi yangu Tanzania inalitumiaje.

    • @giftchristianmeela1409
      @giftchristianmeela1409 Місяць тому

      mfano mzuri ni gesi ya Mtwara baadhi ya visima viko baharini kwenye eneo hilo

  • @CJ-vd9wn
    @CJ-vd9wn Місяць тому +2

    Wazee wa D mbili mkuje hapa tna jambo letu😂😂😂

  • @diplomat12
    @diplomat12 Місяць тому +1

    Sio Mauritanian law inaitwa law of the sea

  • @BartolomeutitosErneto
    @BartolomeutitosErneto 26 днів тому

    Olá td bem mimi naitua belinhi kutoka sonbichi

  • @salomeraymond2051
    @salomeraymond2051 Місяць тому +3

    Je wanajuaje apa tumefik maji fulan yaan mpaka gan?

    • @eliuskamwelwe1018
      @eliuskamwelwe1018 Місяць тому

      😢wa TZ tuna vchwa kigumu sana😅😅 Sasa hapa hujaelewa nn

    • @user-xl8xr2mo4e
      @user-xl8xr2mo4e Місяць тому

      Ukiwemo na wewe,una kichwa kigumu.kwann wa-tz?,inahusiana nn hapo sasa?.swali na utaifa limekaaje.>.​@@eliuskamwelwe1018

    • @user-xl8xr2mo4e
      @user-xl8xr2mo4e Місяць тому

      Ametaja vipimo kutokea nchi kavu kuingia baharini. Utajua umeingia kwa kutumia vipimo husika....

    • @GodfreyNyanda-sz1gf
      @GodfreyNyanda-sz1gf Місяць тому +1

      ​umetumia lugha mbovu sana!! Hata darasani kuna slow learner na fast leaner! Unapaswa kumsaidia kadria iwezekanavyo na sio kudharau asilia yako ati watanzania wagumu kuelewa! JIELEWE

  • @hamoudthabeet8000
    @hamoudthabeet8000 Місяць тому

    Kazi imechapika 🎉

  • @kamauPaul
    @kamauPaul Місяць тому +1

    Na je ni vibaya kufanya mazoezi ya kejishe au ya nuclear keenye international waters

  • @AngetileJohn
    @AngetileJohn Місяць тому

    Amna wenye d mbili ndo wanaolinda iyo mipaka

  • @HudayjumaTaalib
    @HudayjumaTaalib Місяць тому

    Wenye bahar nizanzbar2 tanganyka inamazwa2 nawachna walvua bahr yazanzbar

  • @jamilahali-jg8er
    @jamilahali-jg8er Місяць тому

    Mm Sina D Mbili that way sjaelwa

  • @ConfusedFrog-lc9db
    @ConfusedFrog-lc9db Місяць тому

    POST KITU INASAIDIA MTU,WACHANA HIZI NEGATIVE THINGS😊

  • @JumaNassoro-tq2yf
    @JumaNassoro-tq2yf Місяць тому

    kwamba ile inayoshushaga mafuta hayiluhusiwi kufka ufukwenu?

  • @user-ou7jp8ug7z
    @user-ou7jp8ug7z 26 днів тому

    😢😢

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu Місяць тому

    Woow! Mtoto achague Uraia

  • @user-pi8ds9jj1y
    @user-pi8ds9jj1y Місяць тому

    Maelezo yako ni mazuri,, je Visiwa VINGINE ni vidogo sana mgao huo inatosha kumiliki km zilizotajwa?

  • @fredrickjohnson2692
    @fredrickjohnson2692 Місяць тому

    no mass

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Місяць тому

    👍👊✌️.

  • @HudayjumaTaalib
    @HudayjumaTaalib Місяць тому

    Tanganyka hauina bahar

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka Місяць тому

    Imekaa pw sn

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 Місяць тому

    🇹🇿 Watch this

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx Місяць тому

    Mim wala sijaelewa

  • @saidmwasemu-do5tp
    @saidmwasemu-do5tp Місяць тому +1

    Nimejifunza

  • @SwalehMgumia-zz4pe
    @SwalehMgumia-zz4pe Місяць тому

    Mh

  • @KevinOmwando-fy9se
    @KevinOmwando-fy9se Місяць тому

    You

  • @MustaphaManole
    @MustaphaManole Місяць тому +1

    Good

  • @Jay.k.v
    @Jay.k.v Місяць тому +1

    Good