Pia yesu amesema njooni kwangu ninyi nyote mliolemewa na mizigo nami nitawapumzisha, pia aliwaambia wafuasi wake mm naenda mbinguni kwa baba yangu kuwaandalia makao, ili Mimi nitakapo kuwepo nanyi muwepo,
Mungu akubariki mnoo kwa kujua ukweli wasiopenda kusoma acha wezio waliokariri waendelee kukariri baada kufatilia unachokisima ukweli tupu...Mungu atakupigania daima brother upo mahali salama ulipochagua..
@@damarisnjeri7820 YESSU ISSA BN MARIAMU n muislamu ndiomaana msikit upo yerusalem Alaqasa uliza how religion in Israel ujue kwenye google Tatizo shule Tz hata warabu wapo wakrito makafir walipiga MTUME huna jipya huyo et unatumia kiarabu wayahudi c wakrisito, wazungu TU na biashara zao, Hospital,shule zao,,c wayahudi,wao n Judaism na theluthi wayahudi n waislaam,
@JeanMuzaliwa-bs6qh Tumia ubongo wako kutafakari huyo unayemuita false prophet ilikuwaje mpaka akawafunza watu maadili mema ya kumuabudu Mwenyezi Mungu mmoja pamoja na tabia nyingi nzuri ikiwemo kujistiri na kumsadikisha Yesu, Mussa na Mitume wengine waliokuwa kabla yake kwa uzuri kabisa. Nyie mmejawa na mila za watu wa magharibi na Warumi. In short ukristo ni dini ambayo hata Yesu haitambui
Mi ninamshukuru Mungu uwaga atetewi,ila neno la Mungu,ni kweli ijuwe,kweli na kweli ikuweke uhuru kweli,kweli,Hoses 4,.6 hakuna haja ya malumbano kila kitu kiko,wazi ,hakuna haja ya matusi,vitisho,Ukweli,siku zote utabakia,kuwa ukweli tuu,Barikiwa,sana.
Kijana umetisha, kweli kabisa kama manabii wauongo wasingetokea namimi ningejua kweli nimepigwa, Mungu akupe uvumilivu, nami nilikuwa kwenye imani zauongo nikaingia kwawasabato.
Hasan mungu amesha muonyesha njia iliyo nyoooka na ameifata yesu,nanyi waislamu mnao tazama huyu asan ombeni mungu awaonyesheni njia ya haki na muifate,ili upukane namoto wa jehanamu karibuni nyoote kwa yesu anaeapenda mwislamu usifanye moyo wako kuwa mugumu mpe yesu maisha yako
Thank you so much paulo mungu akuweke hai siku zote hata ukua pastor uberi injili ya yesu watu wapate kumjua mungu na yesu Christo aliamuweka kukua alama ya kiyapo kwa ulimwengu.
@@abeidpazia1720 yes ndomaana tuwatoa lkn nyee mnayabembeleza mara hoo unaitwa nani naitwa sharif mara naitwa makata namnawabembeleza maana niwanachama wenu sisi hatuwabembelezi tuwaamrisha watoke Kwa jina la Yesu maana majini ni mawakala wa shetani
twaokolewa kua na tabia sio kuringia njia na kumuita Bwana na pepo wanatii ila kufuata mwendendo wa kristo. alibeba msalaba wake aka dhambi zetu. msalaba wako ni kuone wengine huruma, kusaidia, mwepesi wa huruma na unyenyekevu na jasiri kutetea ya haki na kuoneza kweli na amani. blessed bro naona maneno ya Baba ndani yako. Pure Words
Kijana anajua kujieleza kias kanakwamba mungu yu pamoja NAE ,nae yupo ndan yake Tena anajieleza kwa ujasili nataman Ata Mimi ningekuwa kama yeye ila Kila mtu mungu umpa neema yake
Soma biblia kwanza Kafiri ni nani YUDA 1:4 makafiri niwatu wasiofuata mungu wanaomkanusha Mungu kuwa sio mmoja mfano wanaosema Mungu ni watatu ni kafiri huyo sababu Mungu ni mmoja biblia yasema usiwe na mungu mmoja ila mm.sio ila sisi.
Nakupa hii faida najua hutakuja kunikumbuka ukiwa umefeli kabulini au umebadili dini hiyo ya shetani paulo.sio Mimi maneno ya yesu alimjua Petro uwa shetani.kabulini unaingia pekeyako kaka kumbuka hilo msahada ni wewe mwenyew
We will meet in heaven brother if we dont meet here on earth. You are so blessed and God loves you so much with the unconditional love. You are a very good teacher. Jesus was a good teacher too.
Wewe muongo umechagua Ukafiri Kwa njaa zako tu..Acha kudanganya watu... Kwa pointi zako unazo toa kwa mwenye akili ya kufikiri.. yaani huleti maana yeyote
Ukristo sio dini Bali ni uhusiano wa mwanadamu na Yesu Kristo.dini ni hali ya mwanadamu kumtafuta Mungu lakini , ukristo ni hali ya Mungu kumtafuta mwanadamu.❤
Mungu akubariki sanaa, umejaaliwa sana neema ya Mungu,wengi majini yamefunga ufahamu wao, hata wanamkana aliyewaumba, karibu sana ktk maisha mapya ktk kristo yesu .
Huyu ni njaa tu . Alikua muisilamu akawa mkiristo akawa muisilamu kaludi kwa wakristu. Hamna jipya wakristu niwatu walio kamatwa akili na wazungu wasiitambue haki
@@basilejuma kumfuata YESU ndio nn uwe nyuma yake ama ufuate mafundisho na matendo yake?Je kuna Mkristo hata mmoja hufuata mafundisho na vitendo vya YESU?
YESSU ISSA BN MARIAMU n muislamu ndiomaana msikit upo yerusalem Alaqasa uliza how religion in Israel ujue hilo huyo ana lipwa na wazungu, uliza how religion in Israel ujue kwenye google
Uwongo wako wenye masikiyo anasikiya Asante journalist kwa kuchimba na kujuwa uongo wa uyo Paulo. Kijana acha tamaa na uongo, nikikusikiliza hauko musomi, mutu aliye soma hajisifu ila anayo yasema yanakuonesha ni musomi mimi naona wewe nitakuita Mutaradifatu. Jitahidi usome kama vile unamaliziya sababu unahitajika kusoma ili uelewe
@@mohameddokota1671 yaani unamuona kabisa huyo anatafuta hela ni mpiga Dili ameshaona kuwa wa kristo ni rahisi kushawishika, angalia manabii wanavyokula pesa na kuwa matajiri..
Halleluyaa yesu zimba kila mlango ya ngiza pofisha kila anaebinuka kinyume na jina lako tufunike na damu yako takatifu bedera ya yesu ipepe kila mahali
Up saii waslam watu wapumbav sana ukiwa upande wao wanakufulaia ukitoka tu utasikia ajui kusoma uyo jamaa kasoma 0ran sudani miaka saba ay maneno anayoongea wapi kwenye 0ran
@@HalimaMrisho-qk1rp Sawa nitabaki nayo ila Allah ni Shetani Mwenyew,,Waislamu Mmedanganywa na Msipotubu na Kumpokea YESU KRISTO JEHANAMU YA MOTO inawasubiri Milele
Hongera Kwa kuachana na MUNGU asiyejiamini MUNGU anayeamrisha kuua watu wake pindi ukimuacha na karibu Kwa MUNGU Wa kweli asiyeruhusu kuua, MUNGU mwenye upendo wa kweli, MUNGU Wa waovu na wema.
@@UswegeJohn-ov3ym Alhamdulilah Rabbil Aalamiin kwa neema ya Uislam Allah atu thabit yaarab katika njia ilio nyooka. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin jamian
*Kwajina la mwenyeezimungu mwingi wa reheema na mwenye kureheem* -Let us start with it Ningependa kutoa elimu kidogo katika hili Kwa kutumia mfano huu Ikiwa computer engineer ametengeneza computer akaipa language na ability ya kufanya mambo Kama , hacking, graphics and design, programming and other issues,it doesn't mean hii computer yenye uwezo wakufanya haya mambo ndy yule computer engineer -i hope tumeelewana juu ya Ile Aya aliyo soma Mr Paul pale mwanzo kabisa Asante
Subhana LLAH niujasiri gn unaosema muhammad sio mtume ss broo nakuomba usimchezee mtume wetu twampenda n tunamjali n tunamuamini mtume muhammad (s.a.w)
@@RashHassan-ib6nq kwahyo mtume akifichuliwa uongo wake na uovu wake mnasema anachafuliwa 🤣🤣🤣🤣🤣 hakuna mtu muhuni kama muhamadi unaowaje kitoto Cha miaka 6 kama sio shetani huyo
@davidfrank1644 mpumbavu ni ww na ukoo wako na shetani pia ni ww na waongo wenzako,,,,,,ewe kafiri mimi siabudu unachoabudu wala wewe hauabudu ninachoabudu,,,,wewe una dini yako na mimi nna dini yangu,,,,, bishana tu lakini sio kumtukana mtume wetu,,,,,,nyie ndio mnatukanaga mpaka wazee wenu
Fanya yoote kwa kuwafurahisha na kuwaghilibu watu kadri utakavyo lakini tambua kwamba ,Duniani tunapita ,Utavuna unachokipanda siku ya qiyama IshaaAllah
Sahihi. Huyu wanaemuita Paulo aliwahi kusema kwa mdomo wake kabisa kwamba alipelekwa kwenye ukristo kwa maslahi, msikubali kukubaliana na mtu anayetetea tumbo lake badala ya kutetea ukweli.
Wow ..very powerful ..Paulo Kijana wa Yesu barikiwa Sana ... Plus na Ndacha
Pia yesu amesema njooni kwangu ninyi nyote mliolemewa na mizigo nami nitawapumzisha, pia aliwaambia wafuasi wake mm naenda mbinguni kwa baba yangu kuwaandalia makao, ili Mimi nitakapo kuwepo nanyi muwepo,
Ubarikiwe sana Paul mtumishi wa Mungu. Usitishike na mwanadamú mwamini YESU Kristo uishi uzima WA milele
@@josephvenus3259 Amina katika jina la Kristo Yesu Alie hai Amina 🇰🇪
Walio barikiwa na Mungu anawafunulia kweli mioyoni mwao. Mshukuru Mungu
Amen 🙏. BWANA YESU KRISTO atukuzwe.
Mungu akubariki mnoo kwa kujua ukweli wasiopenda kusoma acha wezio waliokariri waendelee kukariri baada kufatilia unachokisima ukweli tupu...Mungu atakupigania daima brother upo mahali salama ulipochagua..
Yani huyu ndiye kinjana paulo🥱 kweli ndacha kafanya kazi , mungu akubariki tu sana
Owewe. Nipauro wabiburia. Mungu amekurudisha. Mungu akurinde. Tunakuombea sana. Ubarikiwe Sana.
Umechagua fungu jema Sana,pia nimeona uko na ufahamu wa Hali ya juu Sana.Mungu akubariki sana,udumu katika Imani.
Barikiwa sana yesu amekupa neema hiyo itumie vyema
A very powerful message 😢...Yesu ndio njia ya kweli na uzima
@@damarisnjeri7820 YESSU ISSA BN MARIAMU n muislamu ndiomaana msikit upo yerusalem Alaqasa uliza how religion in Israel ujue kwenye google Tatizo shule Tz hata warabu wapo wakrito makafir walipiga MTUME huna jipya huyo et unatumia kiarabu wayahudi c wakrisito, wazungu TU na biashara zao, Hospital,shule zao,,c wayahudi,wao n Judaism na theluthi wayahudi n waislaam,
Soma.12.14.mariko
@@damarisnjeri7820 Kabla ya Yesu kuja ulimwenguni, nani alikuwa njia ya kweli na uzima
@@AyubuIkakukabla ya false prophet Muhammad ulikuwa wapi?
@JeanMuzaliwa-bs6qh Tumia ubongo wako kutafakari huyo unayemuita false prophet ilikuwaje mpaka akawafunza watu maadili mema ya kumuabudu Mwenyezi Mungu mmoja pamoja na tabia nyingi nzuri ikiwemo kujistiri na kumsadikisha Yesu, Mussa na Mitume wengine waliokuwa kabla yake kwa uzuri kabisa. Nyie mmejawa na mila za watu wa magharibi na Warumi. In short ukristo ni dini ambayo hata Yesu haitambui
Yesu ni ndie njia ya kufika mbinguni hakuma msaada kwa awae yoyote isipokua Yesu Kristo
Mi ninamshukuru Mungu uwaga atetewi,ila neno la Mungu,ni kweli ijuwe,kweli na kweli ikuweke uhuru kweli,kweli,Hoses 4,.6 hakuna haja ya malumbano kila kitu kiko,wazi ,hakuna haja ya matusi,vitisho,Ukweli,siku zote utabakia,kuwa ukweli tuu,Barikiwa,sana.
Kijana umetisha, kweli kabisa kama manabii wauongo wasingetokea namimi ningejua kweli nimepigwa, Mungu akupe uvumilivu, nami nilikuwa kwenye imani zauongo nikaingia kwawasabato.
Oooh Mungu asamehe baazi ya wislamu wa Mujuwe Mungu wakweli kama wewe Mungu akubariki kkngu 🙏🙏
Kijana Yesu Amekuokoa unahekima Sana na unaakiri sana, Mungu Akubariki Sana na nakuombea YESU AkUSAIDIE ASIKUCHE
Yesu kristo akulinde, Roho wa bwana akuongoze, Mungu akubaliki umecaguwa njia ya ukweli, na wangine wa lslam Yesu kristo azidi kuwa jionesha wa mujuwe
Very good, Mungu akubaliki
Waoooh mungu akutie nguvu kijana
Hallelujah! YESU NI JUU SANA DAIMA!!!
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah!! Yesu ndie mwokozi wa Ulimwengu mzima!
Well said brother!!
Mungu akuinue zaidi na zaidi
Hasan mungu amesha muonyesha njia iliyo nyoooka na ameifata yesu,nanyi waislamu mnao tazama huyu asan ombeni mungu awaonyesheni njia ya haki na muifate,ili upukane namoto wa jehanamu karibuni nyoote kwa yesu anaeapenda mwislamu usifanye moyo wako kuwa mugumu mpe yesu maisha yako
Huyu kasilimu juzi na mkewe.matamanio tu ya dunya.hana lolote huyu.
@@JohnOuya-w7j 😂😂😂😂😂😂
@@AbdirazaqMuhammad ya kweli au unapiga tagya
@@AbdirazaqMuhammad 🤣🤣🤣🤣🤣 mtu yeyote kwenu akiokoka ndio maneno yenu .wew unamzid Elim huyo
Thank you so much paulo mungu akuweke hai siku zote hata ukua pastor uberi injili ya yesu watu wapate kumjua mungu na yesu Christo aliamuweka kukua alama ya kiyapo kwa ulimwengu.
Biblia ndio neno la uzma mungu akubarik
More grace to you sir, the Lord is your strength say the truth and the truth shall set them free
Hongera sana kwakuachana na uislamu dini ya majini
@@robertphilip385 kama uislam dini ya majini..mbona nyie Kila siku mwasema Toka pepoo..mbona msikitin hawatkemei hayo mapepo.
@@abeidpazia1720 yes ndomaana tuwatoa lkn nyee mnayabembeleza mara hoo unaitwa nani naitwa sharif mara naitwa makata namnawabembeleza maana niwanachama wenu sisi hatuwabembelezi tuwaamrisha watoke Kwa jina la Yesu maana majini ni mawakala wa shetani
Hamuwezi kukemea majini kwa sababu ni ndugu zenu,sasa unaweza kumfukuza ndugu yako?
@@abeidpazia1720kwa sababu mapepo na majini ndugu zenu.. utatoaje mtu akiwa kwake
@@chriscao9828 kanisa catholic linabariki hadharani ndoa za mashoga (wafiraji) hayo manona kawaida tu 😂😂😂
twaokolewa kua na tabia sio kuringia njia na kumuita Bwana na pepo wanatii ila kufuata mwendendo wa kristo. alibeba msalaba wake aka dhambi zetu. msalaba wako ni kuone wengine huruma, kusaidia, mwepesi wa huruma na unyenyekevu na jasiri kutetea ya haki na kuoneza kweli na amani. blessed bro naona maneno ya Baba ndani yako. Pure Words
Yesu ni njia na hakuna mtu ataenda mbingu bila kumkubali Yesu
Amen
Amen
Waooo,that is........,God bless you,more and more Even Protection.
Mungu akubariki na kukulinda paulo kwa ukweli huo Mungu azidi kukuongoza kwa kujua njia hio ya ukweli
Waoooooo Hongeraaaa sanaaaa kumpata Yesu Kristo mwokozi 2 kolinto 5:20
Ongela kaka PAUL namimi nirizariwa huko ila nashukuru MUNGU sana kwafuata njia irio bora na kumjuwa YESU ,nanajivunia kuwa musabato tena
Amen, Mungu ni yule habadiliki kamwe... Sifa za moyoni mwangu nitakusujudu endelea kuokoa watu wako katika utumwa na silisili za adui shetani
Kijana anajua kujieleza kias kanakwamba mungu yu pamoja NAE ,nae yupo ndan yake Tena anajieleza kwa ujasili nataman Ata Mimi ningekuwa kama yeye ila Kila mtu mungu umpa neema yake
Upo vizuri mungu akubarki, imani yako imekuponya, ukristu hauwenezwi kwa upanga, mwamini yesu,
Paul hongera sana umetoka mbali sana mtumishi
BWANA Yesu alisema…
MTAIJUA KWELI NAYO ITAWAWEKA HURU❤
Thanks mtu wangu kabisa 🙏🏿🇺🇬
Mungu akubariki sana kijana Paulo naomba wengine wafunguke macho wajuwe yesu ndiyo njia ya kweli
Waislamu makafiri Paulo anajieleza ukiwa na akili msikilize.
Hongera Paulo
Soma biblia kwanza Kafiri ni nani YUDA 1:4 makafiri niwatu wasiofuata mungu wanaomkanusha Mungu kuwa sio mmoja mfano wanaosema Mungu ni watatu ni kafiri huyo sababu Mungu ni mmoja biblia yasema usiwe na mungu mmoja ila mm.sio ila sisi.
Yesu sio mungu na hakuna dini iliyo ya haki ila ni Islam WE hangaika tu
@@ustadhfarouq7729ubarikiwe sana kwa jibu zuri kabisa
Yoh17:3-4
Nakupa hii faida najua hutakuja kunikumbuka ukiwa umefeli kabulini au umebadili dini hiyo ya shetani paulo.sio Mimi maneno ya yesu alimjua Petro uwa shetani.kabulini unaingia pekeyako kaka kumbuka hilo msahada ni wewe mwenyew
We will meet in heaven brother if we dont meet here on earth. You are so blessed and God loves you so much with the unconditional love. You are a very good teacher. Jesus was a good teacher too.
Ubarikiwe sana na Bwana
Ameni kaka mungu akubsriki sana oooubalikwe na mungu wetu alie hai
Hapo mwisho umeuliza vizuri sana, na hakujibu vizuri, sasa chukua maswali hayo hayo nenda kamuulize Sheikh Shafi upate majibu na uwiano,
Nmependa maswali ya muandishi
Ubarikiwe mno Mungu akuangazie nuru yake mahali popote ulipo kwa jina la Yesu kristo amen
Mtu wa maana kabisaa huyu💯💯💯👍👍👍
Barikiwa sana sana Yesu akulinde zaidi
Mungu amekuchagua kuwa miridhi wa inchi yake ongera sana kwa maamuzi mazur ubarikiwe na bwana wetu Yesu kiristo amnaaa
Wewe muongo umechagua Ukafiri Kwa njaa zako tu..Acha kudanganya watu...
Kwa pointi zako unazo toa kwa mwenye akili ya kufikiri.. yaani huleti maana yeyote
@@Lungu-lx7yd WEKA HOJA, MATUSI HAYANA NJIA YA WOKOVU....
Mungu akubariki sanaa kwa maamuzi mazuri yakinifu sanaaa
Wengine wadje tunawa karibisha kwa jinala Yesu 🇨🇩🇨🇩
Ukristo sio dini Bali ni uhusiano wa mwanadamu na Yesu Kristo.dini ni hali ya mwanadamu kumtafuta Mungu lakini , ukristo ni hali ya Mungu kumtafuta mwanadamu.❤
😍😍
Amen and Ameeen
mungu hakuleta dini bali ukombozi baada ya adam kuasi edeni
Christo ndiye Mungu mwenyewe
Ubarikiwe mtushi nabarikiwa kwa mahubiri hakika yesu Ni njia ya kweli
Hongera sana umeiona Nuru
umesema kweli kijana mwenzangu. Ubarikiwe sana
YESU ni mzuri sana kaka karibu katika amani ya kweli
Yesu ni njia kweli na uzima.
Paulo nakumbuka sana tukiwa lodwar Mungu akubariki
Hongera. Sana
Haleluya kwabwana, HALELUYA KUBWA, KWAYESU WANGU
Umechagua fungu jema sana Kaka Yesu akutunze.
Asante yesu kwa kumkomboa Paulo amen
Mungu akubariki sanaa, umejaaliwa sana neema ya Mungu,wengi majini yamefunga ufahamu wao, hata wanamkana aliyewaumba, karibu sana ktk maisha mapya ktk kristo yesu .
Huyu ni njaa tu . Alikua muisilamu akawa mkiristo akawa muisilamu kaludi kwa wakristu. Hamna jipya wakristu niwatu walio kamatwa akili na wazungu wasiitambue haki
Ninyi mmekamatwa akili na waarabu hamjutambui
So ww umeumbwa na yesu?😂
@@NoorynModyndio,,YESU Ndio Mungu Aliyeniumba
Mmmh so kwel@@AziziRajabu-mv8jz
Ameeleza vizuri sana,Mohamad alikua anawaambia watu kuwa huko peponi kuna wanawake wazuri ili wawe na morali ya kupigana vita
Mungu akutunze sana ...Umejua mahali sahihi...!
Barikiwa sana huyo kaka amepata ufunuo wa Roho Mtakatifu mwenyewe amechaguliwa na Kristo ni Neeema hiii
Dini ya kweli na ya uzima..ni kumfuata Yesu kristo mwokozi wa ulimwengu
@@basilejuma kumfuata YESU ndio nn uwe nyuma yake ama ufuate mafundisho na matendo yake?Je kuna Mkristo hata mmoja hufuata mafundisho na vitendo vya YESU?
@@basilejuma AMINA
We@@ustadhfarouq7729we fuata mtume wa majini moha aliye kwama kaburuni akashindwa kufufuka
YESSU ISSA BN MARIAMU n muislamu ndiomaana msikit upo yerusalem Alaqasa uliza how religion in Israel ujue hilo huyo ana lipwa na wazungu, uliza how religion in Israel ujue kwenye google
Huyu njaa tu inamsumbuwa hn llt tokea mwanzo ww kafiri sisi tujuwa mazingaombwe yenu
Uwongo wako wenye masikiyo anasikiya Asante journalist kwa kuchimba na kujuwa uongo wa uyo Paulo. Kijana acha tamaa na uongo, nikikusikiliza hauko musomi, mutu aliye soma hajisifu ila anayo yasema yanakuonesha ni musomi mimi naona wewe nitakuita Mutaradifatu. Jitahidi usome kama vile unamaliziya sababu unahitajika kusoma ili uelewe
Wewe ni mungu alikuokoa, utoke kwa mashaitani wa ala na Mohammad wake.
Pole sana Mwenyezi Mungu Akuongoze.
Hana hakili
@@vanbraiysee2858 ukiwanazo ww yatosha
@@mohameddokota1671 yaani unamuona kabisa huyo anatafuta hela ni mpiga Dili ameshaona kuwa wa kristo ni rahisi kushawishika, angalia manabii wanavyokula pesa na kuwa matajiri..
Nabarikiwa sana
❤❤❤❤❤❤❤ karibu kwenye ufalme wa mungu
Halleluyaa yesu zimba kila mlango ya ngiza pofisha kila anaebinuka kinyume na jina lako tufunike na damu yako takatifu bedera ya yesu ipepe kila mahali
Mungu mbaliki Sana huyu
@@DenisMpihigwa
Good luck to listen to this guy remember he left Christianity and talk bad about Christianity and now is pay back to Muslim now
Wakirstu bwana yesu asifiwe waislam jifunze kwa uyo kijana muokolewe na yesu
Yesu walete walete woteeee ,❤❤❤
Mungu akubariki xana kaka kwa kutambua ukweli
Waislam msitukane tafadhali bona maneno ya madharau mkristo akisilimu hatuna neno lakini nyinyi mnawashwa ina maana anasema ukweli na inawauma
Up saii waslam watu wapumbav sana ukiwa upande wao wanakufulaia ukitoka tu utasikia ajui kusoma uyo jamaa kasoma 0ran sudani miaka saba ay maneno anayoongea wapi kwenye 0ran
Muungwana na mpumbavu hujidhihirisha kwa maneno yao
Nimekuelewa vizuri
Msomaji wa Dunia🤗
Hongera kwa kuijua kweli ya MUNGU...
ALLAH asema siku ya qiyama atamaliza mzozo wa hayo mnayo ikhtilafiana kwayo ( yaani mitafaruku ya hizi dini kwa ikhtilafiana kwazo )
Allah sio Mungu
Allah ni shetani mwenyewe sio Mungu
@@ushindimwakipesile1969 utakuja kuona siku ya kufa kwko km sie au ndie
@@mayemba_james Baki na imani yko hiyo hadi siku ya siku
@@HalimaMrisho-qk1rp Sawa nitabaki nayo ila Allah ni Shetani Mwenyew,,Waislamu Mmedanganywa na Msipotubu na Kumpokea YESU KRISTO JEHANAMU YA MOTO inawasubiri Milele
Yesu ni njia kweli na uzima mtu haendi kwa baba bila kupita kwa yesu🙏
Asante YESU KRISTO
Hongera Kwa kuachana na MUNGU asiyejiamini MUNGU anayeamrisha kuua watu wake pindi ukimuacha na karibu Kwa MUNGU Wa kweli asiyeruhusu kuua, MUNGU mwenye upendo wa kweli, MUNGU Wa waovu na wema.
Karibu kwa yesu kristo kunaraha ❤❤❤❤
Hongera sana!
Ni wachache sana wanapata neema ya kueelewa siri hii.
Mungu anafanya operation kwa roho zetu . Tunazaliwa upya kila uchao
Uislam ni janga la mwaka!
Hongera sana kwa Kutoka gizani na kuingia katika Nuru ya YESU KRISTO!!!
Ako gizani huyu paulo
@@UswegeJohn-ov3ym wakongoman wanawaweza kwelikweli 🤣
Janga wakati Ulaya na Amerika vichwa vinawauma, takwimu za wanaosilimu inazidi kukuwà kila mwaka.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@UswegeJohn-ov3ym Alhamdulilah Rabbil Aalamiin kwa neema ya Uislam Allah atu thabit yaarab katika njia ilio nyooka. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin jamian
Kweli umuweka mtu huru Amen
We give you time the time will tell the truth
Time will tell nn. Huyu ni Majinun wa kitambo akili ya imeshake.
@@YasiriShafii-c7b hata wewe tunakupa muda na muda utasema ukweli wa unacho amini .😅😅
Who are you by the way
*Kwajina la mwenyeezimungu mwingi wa reheema na mwenye kureheem*
-Let us start with it
Ningependa kutoa elimu kidogo katika hili Kwa kutumia mfano huu
Ikiwa computer engineer ametengeneza computer akaipa language na ability ya kufanya mambo Kama , hacking, graphics and design, programming and other issues,it doesn't mean hii computer yenye uwezo wakufanya haya mambo ndy yule computer engineer
-i hope tumeelewana juu ya Ile Aya aliyo soma Mr Paul pale mwanzo kabisa
Asante
It means( ISSA ) Jesus is just like a programmable machine created by God for good things
Nazikusanya comment zooote zinazomdhalilisha Paul na ninazifunga ndani ya damu ya YEsu ashughulike na waliozituma ili wafunguliwe macho waokoke.
Ameen na iwe hivyo ktk Nina la YESU
@@doriceseleman4050 Hiyo "katika jina la Yesu " ni sura ipi na aya ya ngapi kwenye biblia
😂Aaaaaamen
@@AyubuIkakumatendo 3:6 ukitaka nkuongezee sema mwarabu mweusi
Hakuna chochote unajua kuhusiana na uislamu, kama hauna Elimu kaa mbali.
Subhana LLAH niujasiri gn unaosema muhammad sio mtume ss broo nakuomba usimchezee mtume wetu twampenda n tunamjali n tunamuamini mtume muhammad (s.a.w)
@@RashHassan-ib6nq kwahyo mtume akifichuliwa uongo wake na uovu wake mnasema anachafuliwa 🤣🤣🤣🤣🤣 hakuna mtu muhuni kama muhamadi unaowaje kitoto Cha miaka 6 kama sio shetani huyo
@@RashHassan-ib6nq mtume Mohamed ni mpumbavu tu kama wew apo mashetan nyie
Na Wala sio mtume huyo ni mtume kwenu
@davidfrank1644 mpumbavu ni ww na ukoo wako na shetani pia ni ww na waongo wenzako,,,,,,ewe kafiri mimi siabudu unachoabudu wala wewe hauabudu ninachoabudu,,,,wewe una dini yako na mimi nna dini yangu,,,,, bishana tu lakini sio kumtukana mtume wetu,,,,,,nyie ndio mnatukanaga mpaka wazee wenu
@@RashHassan-ib6nq ndungu yake Mohammed ame kasirika 😂😂😂😂
Maamuzi sahihi
Ushuhuda wa nguvu sana.nabarikiwa
..
Ahsante kwa kutusaindia kuelewa Koran...kitabu kibaya hicho.
May God bless thee!
Fanya yoote kwa kuwafurahisha na kuwaghilibu watu kadri utakavyo lakini tambua kwamba ,Duniani tunapita ,Utavuna unachokipanda siku ya qiyama IshaaAllah
Sahihi. Huyu wanaemuita Paulo aliwahi kusema kwa mdomo wake kabisa kwamba alipelekwa kwenye ukristo kwa maslahi, msikubali kukubaliana na mtu anayetetea tumbo lake badala ya kutetea ukweli.
Acha kudanganya watu. Amini unapotaka lkn usijifanye kutisha wengine.
@@AyubuIkakuukweli kwa nani?? Sisi wakristo tunaamini ukristo ni Ukweli. Kama na wewe unaamini uislamu ni kweli kaa hapo. Usilazimishe watu.
Fanya uje Kwa Yesu ingali bado unaweza, muda unakwenda sana chunga usichelewe..
@@nicodemuswidambe5132 Andiko gani ndani ya biblia linasema ukristo ni dini ya kweli ?
Mungu akubariki Sana Paulo
Be blessed my brother
Hongera sana