MCH: NDACHA :ETI? MUHAMMED SI MTUME WA MUNGU!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 246

  • @SYLIVESTERKAWONGA
    @SYLIVESTERKAWONGA 6 місяців тому +13

    nakukubali sana ndacha , umenifanya nipate nguvu kumtumikia Mungu, Mungu akupe nguvu zaidi nipo Tz nakupa mwalimu

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd 6 місяців тому +1

      Bro soma ujue ukweli, yan wewe umemsikia huyu jamaa anaongea tu umeridhika
      White people wanatafuta ukweli na wanaifuata
      Jiulize why hizo christian country now makanisa yanakua misikiti? Hauna u tube bro uangalie? Soma

    • @TresorKagombe
      @TresorKagombe 6 місяців тому

      ​Pp p😊😊 pp ppp😊😊

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 місяців тому

      0:41 ​​​@@rajabumsuya-hg8jdMakanisa kugeuzwa kuwa misikiti haimaanishi Muhammad ni mtume wa kweli,hata mitume wa uongo wanawafuasi tena wengi, maisha ya Muhammad ndiyo yanayo dhihilisha kama alikuwa mtume wa Mungu au shetani.Huwezi kuwa mtume wa Mungu ukawa unaishi kiholela,unauwa watu,unazini na house girl 5:27

    • @Kimoni-j4w
      @Kimoni-j4w 3 місяці тому

      Ww unataka aje na anasoma kile kimeadikwa? ​@@rajabumsuya-hg8jd

  • @LuisFaustinoLuis
    @LuisFaustinoLuis 6 місяців тому +6

    Ndacha mungu akubaliki sana amina

  • @YunisnafulaTaabu
    @YunisnafulaTaabu 23 дні тому

    mtumishi dacha mungu aderee kukupa ujasili na mungu akutumie malaika mkuu wa vita vyote asabalatishe kila falme zote za kiza na watakapo nyanyua viywa vyao wakose la kusema yesu peke dio jia ya kweli yohana 14: 6 iyo inatosha

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 6 місяців тому +8

    Uyu ndie mwalimu Bora sasaivi Africa nadunia nzima ILO Alina ubishi kbs

    • @tbm7tv257
      @tbm7tv257 6 місяців тому

      Kitabu cha methali 8:22 anasingiza maneno ya Yesu, soma wewe sasa methali 1:1 halafu useme je Pastor ndacha yuko sahihi au kakosea.

    • @saitotisapiyo5997
      @saitotisapiyo5997 5 місяців тому

      😂😂😂 uko sawa kweli mithali 8:22 soma 8:1 uniambie hekima ni nani?​@@tbm7tv257

  • @EmmanuelMashara-j9d
    @EmmanuelMashara-j9d 19 днів тому

    Mbona mugu hasemi mhamadi nimtume wangu nambona kwayesu mungu anasibitisha kwamba alimtuma

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 6 місяців тому +4

    Kweli kabsaaa ndacha nakukubalia

  • @JustinbirhashwirwaKazuba
    @JustinbirhashwirwaKazuba 23 дні тому

    Que Dieu vous besse mon frère.

  • @EuniceShane
    @EuniceShane 7 днів тому

    Nikweli matusi siyo Mazuri kufundishana ndiyo sawa kwa mungu

  • @Bennymwangaza
    @Bennymwangaza 6 місяців тому +3

    Thanks Gospel Corner ☺️

  • @francismauya6110
    @francismauya6110 4 місяці тому

    Yesu alisulubiwa kwa faida ya kila amwaminie, Maandiko yanasema Neno msalaba kwa wanao potea ni upuuzi lakin kwa wanao okolewa ni nguvu za Mungu,

  • @danielbngosha5104
    @danielbngosha5104 Місяць тому

    Amen🎉😊

  • @IbrahimuKalota
    @IbrahimuKalota 6 місяців тому +4

    Soma qur'an sura ya 48 aya 29
    Inasema محمد رسول الله muhammad ni mtume wa mwenyezi Mungu
    Kwa mujibu wa qur'an muhammadi ni mtume wa mungu
    Tunafata qur'an na sio hisia za watu

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z 6 місяців тому

      Koran iliandikwa na nani??? Hapo ndo tatizo linapokuja
      Maana vitabu vya biblia vilishushwa kutoka mbinguni ikiwemo torati ya musa sasa koran ilitoka wapi😂😂😂😂

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 місяців тому

      @@DodomaTanzania-r5z Acha Uongo TORATI Amepewa Juu ya MLIMA SINAI 🙏🙏🙏

    • @JeymanDuchman
      @JeymanDuchman 6 місяців тому

      Mitume wote wanatoka kwa nyumba ya israel. Mungu alisema wala akisema habadiliki. Mohamed anatoka nyumba ya ishimilites. Mungu anaweza kwenda aje kinyume na maneno yake. Waisrael wote walikuwa watu weusi sio wazungu. Warabu siku hizi wote ni mbegu ya idomites ama wazungu

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 місяців тому

      @@DodomaTanzania-r5z QURANI 80 : 11 - 16 Sivyo! Hakika ( QURANI ) Hii ni Nasaha ( MAWAIDHA ) 12 Basi Kila Apendaye Atawadhika ( Asiyetaka basi - Muachilie Mbali ) 13 ( MAWAIDHA HAYA YANATOKA )?Katika KURASA Zikizohishimiwa ) 14 ZILIZO TUKUZWA , ZILIZO TAKASWA 15 Zilizomo MIKONONI Mwa ( MALAIKA ) Waandishi wa ( Mwenyezi MUNGU ) 16 WATUKUFU, WACHA MUNGU , 🙏🙏🙏 --- 😜😜😜😄😄😄😄

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 5 місяців тому

      @@JeymanDuchman Huna unalo Lijuwa hata MAANDIKO Huyajui .😂😂😂 Ni YAKOBO Tena Ni Jina Bandia ndio Maana na Kizazi Chake kinatwa Wana Wa ISRAELI na YAKOBO Na IBRAHIMU Ni Mtu na BABU Yake , na Mzee INRAHIMI Alaihi Salaam Alikuwa MUARABU Kutoka IRAQ na ISMAILI na ISAKA Ni Ndugu ni Watoto wa Nabii IBRAHIMU Ambaye ni MU IRAQ Mwarabu ,😂😂😂

  • @Bennymwangaza
    @Bennymwangaza 6 місяців тому +5

    Ndachaaaaa🎉🎉

  • @EuniceShane
    @EuniceShane 7 днів тому

    Lakn ukichunguza sana waslam wanakuaga na matusi sana..ata kama ujaongea vibaya Lakn matusi ndyo yao...Lakn mkristo akiacha ukrosto haingie wislam utapata akuna anae mtusi..lakn mwislam akiacha wislam aende ukristo utapata anatusiwa sana...

  • @CLIVEMNYASA
    @CLIVEMNYASA 6 місяців тому +2

    Amen Amen

  • @canamass
    @canamass 6 місяців тому +1

    Kweli kabisa💯

  • @ShedrackNyota
    @ShedrackNyota 6 місяців тому

    Be blessed pastor

  • @gabrielkyando2632
    @gabrielkyando2632 4 місяці тому

    Shekheh Shafiii popote ulipo,, uje umejipangaaa kwa ndachaaa ooooh

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 9 днів тому

    Waislamu kujeni kwa yesu

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 6 місяців тому +4

    Ww usiamini mpk siku ya kiama. Iko siku utamini Ishallah.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 місяців тому

      Muhammad hakuwa mtume,na matendo yake yanadhihilisha

    • @Kimoni-j4w
      @Kimoni-j4w 3 місяці тому

      Sio tu yeye.hatuezi amini Muhammad

    • @Emanuellupoja44
      @Emanuellupoja44 14 днів тому

      Mtume mpagani ni ngumu kuwa

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 3 місяці тому

    Sio mtume wa Mungu ni wa shetani mia kwa mia.

  • @basilejuma
    @basilejuma 6 місяців тому +2

    Ndacha hoyeeee

  • @111dudi
    @111dudi 6 місяців тому +1

    Asome John 14:06, John 10:30-31, John 16:12-14, John 14:16, John 15:26,Corinthians 6:19-20,Acts 2:38 ,

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 6 місяців тому +2

    Ivi kwa hoja izi ivi mimi mtu anishawishi niende uisilam hapana mmm uislam ni janga

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk 6 місяців тому +2

    Huawezi Jua mutu na hauya musoma. Ata ukatale mtume wetu, Sisi tuna mupenda sana. Sasa mbona una mfata na haujuwe?

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 місяців тому

      Hata shetani anapendwa na watu wake pamoja na mabaya yake

  • @AbubakarRidhwan
    @AbubakarRidhwan 6 місяців тому +1

    Yesu hakufundisha Kwa Kiswahili Ndacha ni Mkikuyu atafuta Pesa tu

    • @moshantoj
      @moshantoj 6 місяців тому +1

      Unafikiria Yesu ni kama Allah wako ambaye hana uwezo wa kuelewa lugha nyinginezo? 😂😂😂

    • @JeymanDuchman
      @JeymanDuchman 6 місяців тому +1

      Sasa wewe waelewa kiarabu???Kama unaelewa pigia CHRISTIAN PRINCE kwa youtube mfanye debate kwa kiarabu

    • @mwanaikaomar8628
      @mwanaikaomar8628 6 місяців тому

      ​@@moshantoj.mjinga mkubwa wewe.subiri UFE tu.utajua kama Allah anajua lugha nyengine au hajui.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 місяців тому

      ​@@mwanaikaomar8628allah ni Mungu wa waarabu msijipendekeze kwa waarabu, mtume gani ambaye alikuwa hajui kusoma,

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 місяців тому

      ​@@mwanaikaomar8628Nani alikudanganya kwamba Mungu ni mwislam, Muhammad aliwadanganya watu ili waenda jehanamu

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 2 місяці тому

    Ndacha ni kiboko❤❤

  • @BashirMahero
    @BashirMahero 6 місяців тому +2

    Kweli alirogwa sawa ila kumbuka mungu wako akafa we huoni hilo ety mungu akafa msalabani hiii tatizo hujielwi😂😂😂

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 місяців тому

      Yesu yupo hai hata sasa,mwili ndiyo ulikufa roho haifi

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 2 місяці тому

      Yesu nu muweza huo mwili aliuacha atwaa mwili wa mbinguni

  • @MTUMEADAM1
    @MTUMEADAM1 6 місяців тому

    Majibu vote ya mungu NDACHA yapo kwa picha na maandiko njoo uchukuwe

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 6 місяців тому

    We ndacha ndo mtume wa mungu kama Mtume Muhammad SAW sie

  • @EmmanuelMashara-j9d
    @EmmanuelMashara-j9d 19 днів тому

    Yesu hajakubali kufa ndomana alifufuka wewe ndo hujielewi

  • @MzeeHassan-t7y
    @MzeeHassan-t7y 4 місяці тому

    Wewe hujui na huna hoja.

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 6 місяців тому +1

    NDACHA UKO SAHIHI WAISILAMU Wanaabudu shetani sio MUNGU ALIEUMBA MBINGU NA NCHI ndiomaana wanapenda fujo kuuwa

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 5 місяців тому

      Wewe ni mbwa kafiri mmoja thibitsha hayo kwa kitabu we unamwabudu binadam alozaliwa Kama wewe unasema ni mungu ndomana mukaitwa makafiri na huyo mbwa wenu ndacha anazidi kuwaletea hoja zaakili zake huo ukafiri hebu nambie wewe ndacha hyo biblia kafunuliwa Nani Mtume gn nabii gn kafunuliwa hyo kitabu inaitwa biblia

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 5 місяців тому

      We ni chizi Ndacha et Mtume karogwa ndo syo Mtume kwahyo changamoto anazopata mtu Kama Mtume anakuwa si mtume hayo ni majaribu wanayopewa ili watu wanifunze kushinda kupitia mungu mbn yesu alikamatwa nashetani amaonyeshwa miliki zote za dunia sialijaribiwa kwahyo nae si mtume huyu Hana hoja anapotosha wapumbavu Kama nyie

  • @SaidPonela
    @SaidPonela 21 день тому

    Nikweli alilogwa kwa tunaojua aujatukana kusema hvyo

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu 6 місяців тому +1

    Huyu jamaa apewe ulinzi

  • @MbanoMrage
    @MbanoMrage 6 місяців тому

    Iyo khadidh ipo kweli lakin anatakiwa Aisome hiyo khadith mpaka mwisho. Mwenye zimungu alimshushia wahay ya sura 2 nauchaw ukatoweka hapo hapo nahaukumuathir chochote. Aache viraka vyake huyo asome hiyo hadidh😊

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 6 місяців тому +3

    Ndiyo kama mtume Muhammad alirogwa hilo linakushangaza vipi kuhusu Mungu wenu aliekamatwa na kudhalilishwa, Kisha akauwawa lipi kubwa

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 6 місяців тому +2

      Kafufuka ila Muhammad karogwa kafa mpaka Leo hii Yuko kaburini

    • @BrendaEkuwam-hj9dw
      @BrendaEkuwam-hj9dw 3 місяці тому

      Tunasherekea ushindi wa yesu alishinda kivo na sis tunayo mwamini tutashinda kivo kadhalika na mwahamadi kafa kahosea jahanamu na uwongo yeke ya kutowa unabii ya uongo

  • @111dudi
    @111dudi 6 місяців тому +1

    Wewe Ndacha acha ujanja kupotosha watu, mtume kurogwa kuna ajabu gani? mitume wangapi walipata mitihani? Umesahau kama mungu alimwambia mtume kuwa " sema mimi ni mtu kama nyinyi, tofauti ni kwamba mimi napata wahyi (ufunuo) ".Ndacha kasome kwanza kabla kujasema

    • @JeymanDuchman
      @JeymanDuchman 6 місяців тому

      😂😂😂😂sasa ukifanya mtiani alafu uanguke ni wapi katika hii dunia unaweza kukubalika? Kazi ya mtiani ni ya nini katika maisha?? Dakitari wa upasuaji anaweza anguka mtiani alafu bado aruhusiwe akuwe daktari na kama hawezi mtume anaweza anguka aje mtiani na bado akuwe mtume?

  • @myself4128
    @myself4128 5 місяців тому +1

    Alitumwa na Nani?nani Alikuwepo??Shahidi Mke wake😂😂😂 hana Muujiza hata wa Kuponya mtu mafua,Mungu alituma watu na Ishara na maajabu

  • @McharoMshana-x6p
    @McharoMshana-x6p 6 місяців тому +1

    Asant ndacha

  • @khambhai360
    @khambhai360 6 місяців тому +2

    Unashamgaa kurogwa mbona yesu alijaribiwa sana.Hata kurogwa ni kujaribiwa.

    • @JeymanDuchman
      @JeymanDuchman 6 місяців тому +1

      Toa andiko moja shetani alimjaribu na akashinda

    • @khambhai360
      @khambhai360 6 місяців тому

      @@JeymanDuchman Hata Muhammad alirogwa lakini hakudhurika.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 місяців тому

      ​@@khambhai360Mbona alikufa vibaya

    • @khambhai360
      @khambhai360 5 місяців тому

      @@FridayMwassa Kati ya Muhammad na yesu aliye gongelewa msalabani Nani aliyekufa vibaya?

  • @clewis520
    @clewis520 6 місяців тому +3


    Kwa nini waislamu wanahabudu mawe meusi huko makkah?

    • @abubakarimussa9131
      @abubakarimussa9131 6 місяців тому

      Wewe umeyaona naje umesoma wapi tupe ushahidi wahayo mawe

    • @clewis520
      @clewis520 6 місяців тому

      @@abubakarimussa9131 …
      Pilgrimage to Meccah is to Kiss black stones.

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 6 місяців тому

      Acha story za Google njoo tukusomeshe

    • @MwijakaSwalehe-dg4hw
      @MwijakaSwalehe-dg4hw 6 місяців тому

      Acha porojo leteushahidi si kuropokwa​@@clewis520

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 6 місяців тому +2

    Ndacha wewe si wa mwanzo kuwakataa mitume hivyo sisi waislamu haitushughulishi hiyo

    • @JeymanDuchman
      @JeymanDuchman 6 місяців тому +1

      Mitume wote halisi wametokea kwa nyumba ya jacob ama israel ambao walikuwa watu weusi. Sasa wewe unakubali kuwa mtume wako alikuwa ni mtu mweusi?

  • @farijala1
    @farijala1 6 місяців тому

    Yaani Ndacha Bana. Suala la Kurogwa ilikuwa ni sehemu ya Mafunzo. Ni kama Vile wakristo walivyoamini Yesu alisulubiwa na watu, Iliwezekana vipi Kusulubiwa na Watu ikiwa yeye Mliamini ni Mungu? Mungu anasulubiwa vipi na watu?

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 6 місяців тому

    Mwanadamu aliye na roho chafu na matusi kinywani unaweza elewa baba yao ni nani,jijazieni.😢

  • @wcb4life875
    @wcb4life875 5 місяців тому +1

    Quran 4 ayat 171 yesu kaitwa Kalimat Allah yani Neno la mungu na Rul yani rohoo kutoka kwa allah ambae allah alimtupa tumboni mwa mariamu? Swali langu kwa Muslims ni kwa nn Yesu kaitwa Neno na Rohoo kutoka kwa Allah na allah anaweza vipi kutupa vip Neno na Rohoo kama huo Neno na Rohoo aukuwa nae mbinguni? Kwa sababu huwezi kutupa kitu ambacho auna nacho

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 місяців тому

      Kumtupa tumboni kutoka wapi,

  • @EmmanuelMashara-j9d
    @EmmanuelMashara-j9d 22 дні тому

    Kweli plofes a

  • @AbubakarRidhwan
    @AbubakarRidhwan 6 місяців тому +1

    Yesu alikua hajui Kiswahili sasa km wewe ni Mkweli tuletee Kitabu cha Yesu Kwa lugha yake

  • @CHARLESMARETE-q3w
    @CHARLESMARETE-q3w 6 місяців тому +1

    Quran hilitoka wapi

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 4 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤🌷🤲🤝🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 6 місяців тому +1

    Hicho kitabu kitaje nausome Aya mwanzo sio uokota maneno ya kutengeneza

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 місяців тому

      Yaani wewe na uislam wako kumbe hujui kwamba Muhammad alilogwa

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 6 місяців тому +10

    Mohamed hafai kabisa alikufa yesu ako hai hata waleo

    • @ibrahimmussa7478
      @ibrahimmussa7478 6 місяців тому

      Sio nyie mnaesema Yesu amekufa kwa dhambi zenu.

    • @jonasdaniel1025
      @jonasdaniel1025 6 місяців тому

      Hadi na zakwako pia,, Kama utamkubari hata sass​@@ibrahimmussa7478

    • @abdulrazack9577
      @abdulrazack9577 6 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @tbm7tv257
      @tbm7tv257 6 місяців тому

      Umepagawa na mapepo, ndo mana unasema hivyo. Maishani mwako unafata mafundisho ya mtume Muhammad ila hujijui maskini.

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 місяців тому

      QURANI 52:31. SEMA : " Ngojeni , Na Mimi Pia ni Pamoja Nanyi katika Wangojeao . ( Sifi mimi tu Peke yangu, Na Nyinyi Mtakufa Vile vile ,🙏🙏🙏 --- 🤣🤣🤣

  • @Dearm-ome2in1huba
    @Dearm-ome2in1huba 6 місяців тому +1

    People like this, don't debate with them because they don't know how to read the Quran, they didn't recite it, this one knows the truth, but if he accepts Islam, he will lack money, there are people who pay him

  • @AbdallahBabu-jl8ld
    @AbdallahBabu-jl8ld 6 місяців тому

    Ndacha usichanganye watu sema umelipwa kufanya hiyo KAZI maana huna hoja zaidi ya ushindani😊

    • @jonasdaniel1025
      @jonasdaniel1025 6 місяців тому

      Nenda nawewe ukalipwe iliuifanye kazi unayo ijua wewe

  • @Janvier-u4u
    @Janvier-u4u 6 місяців тому +1

    Ndugu zangu waesilamu kwanini nyinyi comment zenu nimatusi nakejeli

    • @Esthermordecai
      @Esthermordecai 6 місяців тому +1

      Kila mtu huonekana Kwa matunda yake,tuwaombee tu.

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 6 місяців тому

    Ukitaka kujua zaidi kuhusu dini takatifu ya uislamu angalia christian prince videos on UA-cam, Nabi Asli animations on UA-cam.

  • @kellysmith4095
    @kellysmith4095 6 місяців тому

    Hata ukimuliza muislamu akueleze uhalisia wa Allan,utapata ni mwongo, kristo anasema ndimi njia ukweli na uzima

  • @MickyDady-n4g
    @MickyDady-n4g 2 місяці тому

    Mbona yesu alifia msalabani hilo hushangai? Kurogwa karogwa mtume na kagundua nini cha kumponya kiongoz kwa mfano

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 5 місяців тому +2

    Unashangaa mtume kulogwa wakati mungu wako wahuni walimuua na mungu wako alikua anakunya ushangai pia?😂😂😂

    • @mwesi527
      @mwesi527 3 місяці тому

      Mwana was mungu alifanyika mwili akakaa kwetu nasi tukauona utukufu kama wa mwana pekee wa Mungu. Soma hy.

    • @Kimoni-j4w
      @Kimoni-j4w 3 місяці тому

      Ulidhani yesu alikufa kwa ajali?

  • @MohamedAmede-p5w
    @MohamedAmede-p5w 6 місяців тому +1

    Ww kma ni mchungaj na msom niambie mtume yupi ambaye hajapewa mitihani au majaribu pia nitajie mtume hata mmoja alietoka bara la ulaya

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 місяців тому

      Muhammad hakupewa mtihani wowote zaidi ya tamaa zake za kitaka utume wa kulazimisha.Mitume na manabii walitoka kwa wayahudi siyo waarabu na maisha machafu ya Muhammad na uuaji wake ndiyo maana tunamkataa kwamba hana sifa za utume

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 6 місяців тому

      ​@@FridayMwassamwamposa vipi unamkubalu maana na yeye ni mtume halafu Muhammad alikufa,jee mwamposa na wewe mtaruka kifo ruka basi nitakuona Kama nawewe ni jabali

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 місяців тому

      @@hassanjuma2772 Maisha yake yanaweza kumthibitisha kwamba ni mtume au magumashi

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 6 місяців тому

      ​@@FridayMwassaHebu tuambie mtume gani ambae una muamini wewe

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 6 місяців тому

    Wakristo kweli Hawana akili hakiyamungu huyu mpumbavu eti mnamuamini nakumsifu 😂😂😂 pumbavu kweli kabisa

  • @YunisnafulaTaabu
    @YunisnafulaTaabu 23 дні тому

    Matusi kwao nkama sunna nkisema sunna wenyewe wataerewa matusi hasaidii chochote hamtaki kuabiwa ukweli unapata mashehe wamelefusha mafevu kama wachawi vile waslam mjue kuongea na watu ama mujue kuhubiri ijili ya dini yenyu sio tu kupulupuka

  • @ashrafnuru6402
    @ashrafnuru6402 6 місяців тому +2

    Yaan jamaa anashangaa mtume mohammed kurogwa alafu na anashindwa kushangaa mungu wake aliyesurubiwa na kutundikwa msarabani

    • @JamesMoses-jd1yq
      @JamesMoses-jd1yq 6 місяців тому +1

      Muhammad ni fake prophet wa waarabu.yesu sio mungu ni mWana wa mungu.soma bibilia

    • @ashrafnuru6402
      @ashrafnuru6402 6 місяців тому

      @JamesMoses-jd1yq sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli inamaanisha nini? Alaf na mimi Nitolee andiko kwenye Quran Mohammed aseme nimetumwa kwa waarabu tu, kazi kujipendekeza kwa yesu wakati yeye hawatambui nyinyi wala nguruwe, nyamafu,walevi , mnaozini miaka nenda rudi alaf baadae utasikia tunabariki ndoa, kanisani vimini tu, alaf ety hiyo dini ya mungu duh

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 місяців тому

      ​@@ashrafnuru6402Hujui lolote zaidi ya kubumba bumba maandiko,kama Yesu hakutumwa kwa walimwengu wote kwanini mnasema alikuwa mwislam wakati wayahudi siyo waislam,kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtuma mwenawe wa pekee ili kila mtu asipotee Yohana 3:16.Yesu na Isa ni watu wawili tofauti

    • @JohnOuya-w7j
      @JohnOuya-w7j 6 місяців тому

      Kurogwa ndo mbaya kabsaa,mungu awonyeshe njia ya haki

    • @desirengenerwasobanuka9015
      @desirengenerwasobanuka9015 6 місяців тому

      Yaani sijawahi ona mutume feki tena mwongo kama Muhammad.

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk 6 місяців тому

    Jikaze ukuwe muislamu, haezi juwa sema kuhisu uislamu na hauyakuwa naelimu.

  • @aliyyuhibu3561
    @aliyyuhibu3561 6 місяців тому +3

    hakuna muislamu anae kasirika kusikia Muhammad karogwa, mtu mbaya niyule anae fanya ubaya sio anae fanyiwa

  • @maprosokelly2986
    @maprosokelly2986 5 місяців тому

    Ndacha apewe ulinzi na wakristo jamani siyo kwa ukweli huu??? Wanadamu hawapendi ukweli

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 6 місяців тому

    Waacheni wakristo wajifarij kwa kumfuata mlumi poul et ni nabii musishangae kumlaani Mohammad wakristo wanamlaani hata nabii Ibrahim baba wa imani wanamwita mzinifu kisa alioa wake watatu musiwa sumbue wakristo jamani wapo na munguwao tofaut kabisaa

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 6 місяців тому

      Uwe na Hoja Ili useonekane Unalalamika

  • @KhalfanAbdallah-n1f
    @KhalfanAbdallah-n1f 6 місяців тому

    Huyu jamaa kweli shetani alitaga na kutotoa ndani ya damu yake.hana anachofanya ila ni kwa idhini ya shetani.

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 6 місяців тому +3

    Sio lazima uamini,tukiamin sisi waisalaam inatosha.

    • @BashirMahero
      @BashirMahero 6 місяців тому

      Kabisa yaani anataka kumfanya Alhha mwongo jehanamu iko na pepo iko sasa ukiamini nani ataingia jehanamu?????😂😂😂😂

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 місяців тому

      Hata kibwetele alikuwa na wafuasi, lakini ule mwisho ndiyo utaamua

  • @AbubakarRidhwan
    @AbubakarRidhwan 6 місяців тому

    Km Yesu Yuko hai mbona hakulinda Kitabu chake

    • @simionkimani7669
      @simionkimani7669 6 місяців тому

      yeye mwenyewe ni neno la hicho kitabu, hata kikitoweka neno lake litaishi milele amina.

  • @YunisnafulaTaabu
    @YunisnafulaTaabu 23 дні тому

    Na waslam mkuje apa mtwabie hawa waslam wanao jiita tabrik ni waslam wa aina gani na nyinyi waslam wakawaida ni wagani tunaitaji ufafanuzi na sio matusi ju nyinyi mkiulizwa swali badala ya kujib mnaaza matusi waslam watabriki dio waslam wagani hao mslamu yeyote ajitokeze anijib swali langu tunataka kujuwa jooni mtufafanilie nadhani swali langu limeereweka

  • @YassinSauka
    @YassinSauka 6 місяців тому

    Mbona kuhojiana nao unashindwa vibaya sana waislam washinda kilamara

  • @MwijakaSwalehe-dg4hw
    @MwijakaSwalehe-dg4hw 6 місяців тому

    Huna elimu yoyote juu ya waislamu,we mpumbavu tu

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 місяців тому

      Ila kwa matusi shetani amewabariki sana,pamoja na maovu ya Muhammad lakini anawafuasi

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 5 місяців тому

    Kafiri mukubwa surayako yenyewe iyinanuru

  • @rizikiyahya5254
    @rizikiyahya5254 6 місяців тому +1

    Hivi huyu jamaa ni kweli anaamini anachokisema toka moyoni au kuna vitu anaficha?
    Nikimuangalia nashindwa kuamini kuwa kweli ufahamu wake unaishia hapo

    • @zuhraall02
      @zuhraall02 6 місяців тому

      ITAKUA VIXUR ZAIDI UMFATILIE KWA UKARIBU NAUHAKIKISHE KILA ANACHOKIZUNGUMZA KIMEANDIKWA WAPI NA DHAMIRI ZA MWANDISHI NI ZIPO..HAPO UTAPATA UHAKIKA.WA KUA NI MKWELI AU ANAONGOPA.

  • @SaidSaigor
    @SaidSaigor 6 місяців тому

    We ni maavi

  • @hassanmkangwa2062
    @hassanmkangwa2062 6 днів тому

    Mtafute Dr. Zakir Naik akufundishe

  • @JILBERTDaniford
    @JILBERTDaniford 6 місяців тому

    NDACHA MUNGU AKUZIDISHE KUCHAPA KAZI WEWE NI MCHUNGAJI WA MAELFU KUPITIA HIYO HUDUMA AKO

  • @DesderiusHaule
    @DesderiusHaule Місяць тому

    Sheikh Shafi hana elimu ya dini wala ya shule bali yeye ni mbishi tu hivyo huwezi kumlinganisha na pastor Ndacha hata kwa asilimi 10%.

  • @shabbymakapane
    @shabbymakapane 6 місяців тому

    Hivi NDACHA Nikuulize Swali , MUHAMMAD Kurugwa na MUNGU wenu YESU Amesilibiwa na kuuwawa na Aliyewaumba ,Lipi Kubwa ZAIDI ? AU Lipi BAYA ZAIDI ???

  • @ChemmbayaAbdul
    @ChemmbayaAbdul 6 місяців тому

    Hakuna Muislamu aliesoma kuraani na asijuwe kisa Mtume muhammadi kurogwa. Kwa sababu Muhammadi ni Binadamu kama Mimi na wewe. hivyo kurogwa siyo jambo geni kwa umati huu.

    • @simionkimani7669
      @simionkimani7669 6 місяців тому

      Sasa mfuate Yesu akupeleke kwa Mungu achana na Binadamu atakupoza

  • @AHMEDMNEMO
    @AHMEDMNEMO 6 місяців тому

    Unaonekana Bado mchanga wa elimu , pata muda u some zaidi,usipendelee kamera kabla hoja zako zikiwa hazina mashiko

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 6 місяців тому

    Mimi napenda ukristo shida ushoga wakristo mnautetea ushoga na mpaka Sasa mmeurusu na mmeuararisha toka enzi za serekali ya kirumi iliruusu ushoga

    • @peterrulagora7403
      @peterrulagora7403 6 місяців тому +1

      Ukristo hausapoti ushoga sabb ni dhambi bali nchi za wazungu ndio wanasapoti,hata ukristo umewashinda

    • @Esthermordecai
      @Esthermordecai 6 місяців тому

      Biblia inapinga ushoga imeandikwa ndani ya biblia ushoga ni chukizo mbele ya Mungu wetu.

    • @MujuniKamugisha
      @MujuniKamugisha 4 місяці тому

      Toa kifungu kwenye biblia

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 4 місяці тому

    acha uongo hakuna muislamu atakataa kuwa Muhammad kalongwa ni kweli.alilogwa hilo lilikuwa ni somo kwetu ili na ss tukilogwa tujue nanma ya kujitibu yy alisoma sura za Qur'an kisha akapona kwahiyo Mungu alifanya hivyo kuwa ni somo kwetu

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk 6 місяців тому

    Hauna elimu . Hâta ndani ya biblia hâta ndani ya Quran . Jikaze usome aca kuwa na danganya watu.

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 6 місяців тому

    Kukubali na kukataa ni ktk njia mbili imma shakra waimaa kafura ukidshukuru utayakuta na ukikufuru utayakuta si kama bilia ilivyowadsnganya wanawake nendeni garilaya mtamkuta yesu mpaka Leo hawajamuona wakiristo wanabaki ukimwamini utamuona uongo mtadanganyana mpaka mtaingia jahanam musikubali kufa halikuwa nyinyi wakiristo si waislam

  • @AbdallahBabu-jl8ld
    @AbdallahBabu-jl8ld 6 місяців тому

    Unaushindani huna hoja

  • @athumaniathanac4714
    @athumaniathanac4714 6 місяців тому

    Apo kwa ndacha amna elim .. kashazoea maandamano hana akili ata kdog uyo

    • @daudmtoba191
      @daudmtoba191 6 місяців тому

      Wewe ndo huna hakili unamfuata mtu ambae yupo kabrini

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 6 місяців тому

      ​@@daudmtoba191kwani mathayo yuko hai eeh

    • @daudmtoba191
      @daudmtoba191 6 місяців тому

      @@MohamedAhmada-ie7ke Ana ubili kwa mifano

    • @daudmtoba191
      @daudmtoba191 6 місяців тому

      @@MohamedAhmada-ie7ke Mathayo 13:9-11 (KJV) Mwenye masikio na asikie.
      Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano?
      Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa.

  • @Zuwenamachela
    @Zuwenamachela 5 місяців тому

    Naomba munitumie namba ya ndacha mpotoshaji

  • @shabbymakapane
    @shabbymakapane 6 місяців тому

    Yesu Anasema MATHAYO 11:29 Jitieni Nira yangu, Na Mjifunze Kwangu kwa kuwa Mimi ni Mpole na Mnyenyekevu wa MOYO , Sasa NDACHA wewe Humfuati YESU wewe Unamfuata PAULO , MARKO 7:6-9 🤣🤣🤣😹😹😹

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 місяців тому

      Kumbe kuna wakati unaikubali biblia

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 5 місяців тому

      @@FridayMwassa Naisoma tena Sana , ili Nijue kweli Nisisubiri Kudanganywa na NDACHA

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 6 місяців тому

    Ndacha bado tope halijakutoa kichwani.

    • @moshantoj
      @moshantoj 6 місяців тому

      Tope gani... mbona una ujinga kama ya mtume wako?

    • @simionkimani7669
      @simionkimani7669 6 місяців тому

      @@moshantoj kumuombea ni bara kuliko kumtusi

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 6 місяців тому

    Waislam yani hakuna hata mmoja anaweza debate na Ndacha kuhusu anayoongea?

    • @abubakarimussa9131
      @abubakarimussa9131 6 місяців тому

      Fatilia midahalo yake yote kachemka

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 6 місяців тому

      Tatizo lenu mnakua mshachagua upande kama wewe anasema kuhusu mtume karogwa kuna ajabu gani wakati yeye ni mwana adamu na kila linalo mtokea yeye ni fundisho kwetu sisi, ni jambo linalo ingia akilini; sasa wewe jee inaingia akilini Mungu wako kukamatwa na wana adamu kupigwa misumari mbaka akafa. Sasa itakua uyo Mungu jamn hebu kueni serious jamani

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 6 місяців тому

      @@MohamedAhmada-ie7ke Mbona unajishuku na kusema vitu ambavyo sijasema.Ni kweli kawaida ya mtu muoga hukimbia hata kabla hajakimbizwa.Nimeuliza kama Kuna muislamu anaweza debate na Ndacha,wewe Unaleta mambo ambayo hayana uhusiano wowote na swali langu😂

  • @Shaha-d1i
    @Shaha-d1i 6 місяців тому

    Nikweli mtume Muhammad alilogwa ndo ijulikane yule ni binaadamu wa kawaidatu ila yesu mnaemfanya mungu anapigwa na alie waumba nyie mnasoma kweli?

  • @shabbymakapane
    @shabbymakapane 6 місяців тому

    Nikuulize tena WEWE Unavikataa VITABU Vilivyoandikwa na WAKRISTO Lakini Unanishangaza sana MBONA Wewe Hutumii QURANI Katika kupinga Hoja za UISLAMU Badala yake Muda Mwingi Unasoma VITABU Vya vilivyo Mawazo ya WANADAMU ???

  • @mussamohammedy8014
    @mussamohammedy8014 6 місяців тому

    ndacha hakuna shehe au mwalimu yeyote wa kiislam ambae hakubaliani na suala la kurogwa kwa mtume muhamad na tiba yake ipo ktk qur an hiyo hiyo lakini wewe moyo wako tayari ulishapigwa muhuri hata iweje na wala usijidanganye kabisa labda ubadili aliekua hakuwahi kusoma kabisa na kama ni msomi labda wa kutengeneza hivyo ibaki tu nyie na dini yenu nasi na dini yetu mungu atahukumu mwisho

    • @JeymanDuchman
      @JeymanDuchman 6 місяців тому

      Ni nani mwingine alirogwa katika mitume wote

  • @DaboChani
    @DaboChani 6 місяців тому +1

    Hakuna mwesilamu anaekata km mtume Harongwa sawa usiseme unafik ww kafir

  • @mwinyijuma2686
    @mwinyijuma2686 6 місяців тому

    Kwangu sishangai kusikia hivyo kutoka kwa ndacha sababu hana elimu ya kuelewa bibilia au Quran.Huyu ni mshindani tuu kwa mfano je hivi huyo yesu alikubaliwa na mayahudi kuwa ni mtume? Kama ndio mbona walitaka kumuua haswa sababu nini? Mungu pekee ndie anaechaguwa mitume Wala sio Paulo aliyejichaguwa mwenyewe.

  • @Mohd-wl1tc
    @Mohd-wl1tc Місяць тому

    Mbona yesu alitahiriwa wewe huogop

  • @Khalidmghosi
    @Khalidmghosi 6 місяців тому

    Ama kamutu ata nikama hana elimu sababu huezi fananisha bibilia na Quran

    • @JamesMoses-jd1yq
      @JamesMoses-jd1yq 6 місяців тому +2

      ni kweli bro maanake quran ni ya waarabu

  • @hubahonlinetz2071
    @hubahonlinetz2071 6 місяців тому

    Ndacha unashangaaa kurogwa? Mbona yesu alichezewa na shetani ?

    • @simionkimani7669
      @simionkimani7669 6 місяців тому

      Yesu Alijaribiwa Lakini alimshinda kwa kutumia neno la mungu "Biblia" sio Quran

    • @hubahonlinetz2071
      @hubahonlinetz2071 6 місяців тому

      @@simionkimani7669 na mtume wetu alitumia qurani