HOJA ZA PAULO, KIJANA WA MCH. NDACHA ALIYEACHA UISLAMU NA KUWA UKRISTO ZIMEJIBIWA NA UST SHAFII

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • USTADHI SHAFII HAPA AMEJIBU HOJA ZA PAULO ZILIZOMFANYA KUTOKA KATIKA DINI YA HAKI YA MTU SAW NA KUWA MKRISTO BAADA YA KUPEWA ELIMU YA UKRISTO KUTOKA KWA MCHUNGAJI NDACHA

КОМЕНТАРІ • 331

  • @HusseinAbdallahNgwema
    @HusseinAbdallahNgwema 8 днів тому +4

    Al akhy Shafy, jazakallàhul khayr, kutokana na juhudi zenu, Allah amekupeni fikra na fahamu za hali ya juu, In shaa Allah, Allah atubarik sote

  • @abdallahdoka9173
    @abdallahdoka9173 7 днів тому +9

    Simba wa da'awah ... Alhabib shaffi Allah akulinde. Shujah wetu❤❤

  • @LucaWanzuki
    @LucaWanzuki 8 днів тому +6

    Shekh shafi kweli ww nimwalimu unajuwa kufafanua mashaalha

  • @aasatt78
    @aasatt78 7 днів тому +3

    Asante simulizi zone kwa kutuletea Shafii

  • @abuuahmad3238
    @abuuahmad3238 8 днів тому

    This is Another level... subhanallah... Sheikh Shafii broke it down...kama huelewi haya...we basi ni sikio la Kufa...halisikii dawa kamwe...
    Allah akuzidishie elimu, hikma na maarifa sheikh wetu kipenzi Shafii ...
    Salaam from Texas

  • @KhamisMdzomba-w6h
    @KhamisMdzomba-w6h 6 днів тому

    Jazakallah kheir sheikh

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 7 днів тому +1

    Dah yani ustadh shafii ni moto wa kuotea mbali 🔥 🔥 🔥

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q 7 днів тому +4

    Simulìzi mimi naona mwisho utasilimu maana umejifunza mengi kuhusu uisilamu.

  • @ShakurAKBAR
    @ShakurAKBAR 8 днів тому

    MaashaAllah Naam kwa Ufafanuzi Mzuri sheikh wetu

  • @farinhobulangi3723
    @farinhobulangi3723 8 днів тому

    Asante kwa elimu Mwenyezi Mungu akuzidishiye elimu allahuma amin

  • @qwerqasd8597
    @qwerqasd8597 8 днів тому

    Mashallah tabarakallah sheikh shafi nakupenda kwa ajili ya Allah Allah akulipe kheiri fi dunia wal akhera

  • @BakariBakiri-kj7bw
    @BakariBakiri-kj7bw 8 днів тому +2

    Nakukubari shehe shaff

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 8 днів тому +1

    MASHA ALLAH 🇰🇪💚 💚💚

  • @AbubakarKi
    @AbubakarKi 7 днів тому +5

    Yesu atakuja kuhukumu kulingana na quran nyinyi wakristo muna ogojea nini?wakati yesu anavunja msalaba, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @OmaryBakariOmary-ts3mf
    @OmaryBakariOmary-ts3mf 6 днів тому

    Allah mpe shafii muhadhil afya

  • @mohamedymkopi5887
    @mohamedymkopi5887 8 днів тому +1

    Simulizi ulichobakza nikujifunza zaidi kuijua Quran na hadidthi zake m sure siku moja utakuwa shuhuda wakuwa muislm kbsa.
    Inshallah Allah akufanyie wepesi

  • @mudinhomeshack9041
    @mudinhomeshack9041 5 днів тому

    Shafii Allah akulinde

  • @LucaWanzuki
    @LucaWanzuki 8 днів тому +22

    Ukatae ukubali waisilamu ndio waalimu wa wakiristo jifunzeni kutokana na waisilamu acheni ubishi

    • @BobgIsmail
      @BobgIsmail 8 днів тому +1

      Upo sawa kabisa

    • @BOAZIMPITANYE
      @BOAZIMPITANYE 8 днів тому +1

      Acha kujidanganya

    • @joezeno8
      @joezeno8 8 днів тому +3

      “ Kama unayo shaka juu ya hayo tuliyokuteremshia, basi waulize wasomao vitabu kabla yako” Yunus 10:94

    • @ramadhanyusuf2401
      @ramadhanyusuf2401 8 днів тому +3

      @@LucaWanzuki ukweli waalimu wa kiislamu atleast wanaelewka

    • @rejim2231
      @rejim2231 8 днів тому +1

      Ukatae ukubali kama usemavyo Ukristo ndio Imani thabiti kupitia Yesu Kristo anaeaminiwa mpaka na waislamu wenye akili timamu. Na Biblia ndio kitabu cha kwanza kiliochongoza mpaka quran kwa kuiga mengi yaliyomo. Tangu lini mwanafunzi kuja kumfundisha mwalimu aliyemfundisha? Acha bange dogo janja. 😂😂😂

  • @ibraimodinodino828
    @ibraimodinodino828 8 днів тому +1

    Mashallah

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 День тому

    Yesu ni wa pekee na sisi tumefanyika kuwa wana wa Mungu kupitia Yesu Yohana 1:12-13

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 8 днів тому +4

    Shekh kazi unayo mkristo anakataa hadi biblia biblia inasema wao wanaikataa sijui nanataka nn?

    • @SaidiMazaila
      @SaidiMazaila 6 днів тому

      @@pwezapwezafelix7222 hao ni vipofu na ni viziwa!! Hakika hawaoni kwa macho Wala kusikia kwa masikio yao. Wamejawa na mapenzi ya kutafuta ushindani na sio kutafuta ukweri kwa kutumia Akiri walizobarikiwa na mola wetu mlezi. Innalilah wa innairah raju'uun

  • @mudinhomeshack9041
    @mudinhomeshack9041 5 днів тому

    Alhamdullah alhamdullah alhamdullah

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 8 днів тому

    Swadakta Sheikh Shafi

  • @sirqiutaislaammahambe8784
    @sirqiutaislaammahambe8784 8 днів тому +1

    Mimi nasema Subhaana llah

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 8 днів тому

    mashallah ❤❤❤

  • @abdinyangassa4547
    @abdinyangassa4547 8 днів тому +1

    Hata mngefanyaje hamuwezi kuushinda uislamu, hii ndio dini ya haki no doubt. Ndacha wenu anawaingiza mkenge kwa maslahi yake

  • @masoudnzowa4608
    @masoudnzowa4608 8 днів тому

    moheedin nakukubali sana endelea kuendesha hii chaneli tuwe tunaelimika.. sheikh shafi nakupa 5 star

  • @richardkonzo5717
    @richardkonzo5717 8 днів тому +1

    Mwandishi hana uelewa wa kutosha
    Naona anashindwa kujibu hoja rahisi sana

  • @davidedward6053
    @davidedward6053 7 днів тому

    WAKRISTO WAPO KATIKA NJIA NA CHAGUO SAHIHI Kwa ajili ya maisha Yao ya hapa dunian na mbinguni.dini zengine zilizobaki ni za kikafiri Kwa kuwa zinaenda kinyume na mafundisho na maagizo ya kristo masih ambae ni muhuri wake mungu✝️💪🏾💪🏾

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 6 днів тому

      Acha ushabiki uwo soma usije ukafa kafiri Mungu akaenda kukuchoma

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 7 днів тому +3

    Wakristo jaman ustadh shafi wapi hamumuelewi???

    • @JordanRichard-s2d
      @JordanRichard-s2d 6 днів тому

      Kuna v2 ujui ktk ukristo! Usiwaze lakini.haya ni mapenzi ya Mungu. Siku ikifika utapata Io neema.

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 4 дні тому

      @@JordanRichard-s2d hilo andiko nabii ibrahim alisema uongo ili kujinusuru na mkewe halipo kwenye biblia? Sasa yule murtad anasema waislamu kuna sehem wanaruhusiwa kusema uongo ndio kama uongo wa ibrahim katika kuokoa nafsi sasa nyie hamfati maandiko mnafata wazungu

    • @JordanRichard-s2d
      @JordanRichard-s2d 3 дні тому

      @@MohamedMohamed-u3t1n Mungu wa kweli anapatikana katika maombi na matendo mema mambo haya mengine yanatucheleweshea mbingu. Biblia inatuhasa tusiwe watu wa mashindano, apa nitatoa majibu lakini bado unaweza kutaka kukataa na ata ukikubali pia baadae utatafuta kingine Cha kupinga wakati huo mda unaenda na moyo aujataka kumkiri yesu kua bwn na mokozi. Lakini katk ukristo unatakiwa kuamini kwanza ndio upate neno vyema umpokee Yesu . Ikiwa huwezi kufany hivo ni Bora uache, maana ata yesu aliwaponya wale waliotaka kupona sio wale waliokua wanataka kujua kuwa watapona au wasipone. Maana kama mlikua mnaziona kazi zake je hata kwa matendo mnashindwa kumwamini, Kuna watu wawili pia walikua pamoja na yesu msalabani , mmoja akamwambia kama kweli wew ni mwana wa Mungu jitoe msalabani alafu Kisha ututoe na sisi msalabani,,, yesu alikaa kimya,, lakini huyu mwingine akamueleza mwenziwe kwa upole kwamba auoni kwamba sote tupo kwenye shida Moja?? Kisha akamwambia bwn yesu tafadhal naomba usinisaau uko uendako mbinguni,,, . Yesu akajibu usijali Leo tutakuepo pamoja na baba ktk utukufu wake.

    • @claverirambona6068
      @claverirambona6068 3 дні тому

      Siwezi nikamuelewa ata kidogo maana yemwenye anajichanganya

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 3 дні тому

      @@claverirambona6068 tatizo hamfati maandiko mnaamini miujiza ya uongo sasa ibrahim aliongea uongo kujinusuru na mkewe ndio uongo kama huo waislam wameruhusiwa sasa mnalalamika nini?

  • @salimsaid6149
    @salimsaid6149 7 днів тому +1

    Wakristo wana vichwa vigumu kuelewa na hawasomi kitabu chao Mungu alivosema Yesu ni neno' maana yake alivyosema kuwa mimba kwa mariam ndio maana yake neno

  • @itsmelatz
    @itsmelatz 3 дні тому

    😅😅 mashallah al ilm nuur, uyu shekh anauwelewa mkubwa sana yani nimemuelewa vyema

  • @EdwinMeta-nh1vv
    @EdwinMeta-nh1vv 6 днів тому

    Wewe ndo unajichanganya, sisi tunakua kuwa Mungu huzaa si kwa mwili, soma yoh 3:16 Yesu ni mwana wa pekee, halafu biblia ni kitabu Cha unabii zaburi inasema "Bwana aliniambia ndiwe mwanangu Mimi Leo nimekuzaa" neno Hilo linamrejelea Yesu , andiko linguine likasema omba kwangu NAMI nitakupa mataifa kuwa urithi wako, utawachunga kwa fimbo ya chuma utawavunja kama chombo Cha mfinyanzi" hayo maswali mnaanzia mwisho anzieni katika vitabu vya manabii.

  • @ayoubissa269
    @ayoubissa269 4 дні тому

    ❤❤

  • @MsevenSaudisaidi
    @MsevenSaudisaidi 4 дні тому +1

    Kumbe yesu mnamkubari hapo kmyakmya

  • @rejim2231
    @rejim2231 День тому

    Kuamini uislamu ni sawa na kuongozwa na mdogo wako aliezaliwa akakukuta. Ukamchambisha na kumfuta mikojo. Alafu ndo akuongoze njia. 😂😂😂😂

  • @jacksonnchimbi1966
    @jacksonnchimbi1966 2 дні тому

    Shekh hajui anachoongea anachukua maneno ya kwenye bibilia kama yalivyo neno Mwana wa Mungu sio mtoto maana yake ni mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu kasome kitabu cha Mathayo Yesu mwenyewe amasema pale alipoanza kufundisha makutano akanena Heri wenye moyo safi maana watamuona Mungu,Heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu,kwahiyo wakristo tunamuita Yesu mwana wa Mungu kwasababu alitoka kwa Mungu kuja kuweka upatanisho kati yetu,na kwa kukataa yeye sio mpatanishi wetu inamaana mnapingana nae na ndipo hapo mnajifunua wazi wazi kwamba nyie ndio wapinga kristo wenyewe

  • @rejim2231
    @rejim2231 8 днів тому +4

    Wee NDACHA ww, njoo uku Shafii anasumbua uku! Anatamba ulingo mzima wakati yuko mwenyewe 😂😂😂

    • @AntonyManeno
      @AntonyManeno 8 днів тому

      😂 Kiboko Yake😂😂😂 Kwa Mandiko❤❤❤

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 7 днів тому

      Alishapigwavna Ndacha kalialia kweli.

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 6 днів тому

      Ndacha kwenye mdahalo alisema yesu Mungu, mana mwana wa nyoka nae ni nyoka, ila alipokua peke ake chumbani kaja kusema yesu sio Mungu na utatu mtakatifu hamna or umesahau

    • @FaharAhmada
      @FaharAhmada 13 годин тому

      Nyie wenzetu mnasoma maandiko bila kuamini mnaamini vyiengine😮😮😮

  • @wakeshojana
    @wakeshojana 8 днів тому +6

    YAANI SHAFFI ANASOMA YOHANA 17:3 LAKINI JINI LIMEMZIBA AKILI HAELEWI KABISA ANACHOKISOMA!!
    "MUNGU PEKEE WA KWELI NA YESU KRISTO ULIYEMTUMA"!!
    SHAFII NA WALIMU WOTE WA KIISLAMU, HUONA TU NENO "ULIOMTUMA" PEKEE KWA HIYO 17:3,,,,,,,,,,KAMA NI UTUME....,,,,,MITUME NI WENGI ...........IBRAHIM, SULIMANI, MUSA ETC...........LAKINI AYA INASEMA MUNGU NA YESU KRISTO KWA UZIMA WA MILELE............HAISEMI MUNGU NA MTUME YEYOTE YULE.......,,,,,,MUNGU NA YESU KRISTO..........NJE YA MUNGU NA YESU KRISTO = JEHANAM DIRECT!!
    WAISLAMU FUNGUKENI AKILI!!

    • @salisali3738
      @salisali3738 8 днів тому +1

      Kama ilivo funguka yako eeee😂😂

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ 8 днів тому

      Tatizo ni mavi munayo lishwa kanisani yame wavuruga akili na ufahamu ndio mana hamuelewi na mm nimeona wakristo muna chapwa na hio hio bibilia yenu na hamuoni mulivyo changanyikiwa kwa kula mavi sakramenti 😂😂😂😂😂

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 8 днів тому +2

      @@salisali3738
      Kabisa....sioni utume tu....naona umoja wa Mungu NA Yesu Kristo!!
      Kama ni utume, mbona sio Mungu NA Ibrahim, au Mungu NA muhammad???
      Anaisoma lakini haielewi!!! 😂😂😂😂

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 8 днів тому +2

      @@سعدياقوت-ت2خ matusi madogo ya watoto wa ibilisi allah tumeyazoea....ni nini sasa hapo huelewi hata wewe??

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 7 днів тому

      @@wakeshojana hilo andiko liko katika injili ya yohana bilashaka injili ni kitabu alichopewa nabii yesu unaweza kutoa andiko kama hilo kwenye taurati au zaburi?

  • @mudinhomeshack9041
    @mudinhomeshack9041 5 днів тому

    Hakuna dini duniani iliyonyooka kama uislamu hakika uislamu ndo dini ya haki

  • @fettymcharuko7341
    @fettymcharuko7341 8 днів тому +2

    Kweli wagalatia vipofu wa vipofu😂😂😂

  • @LeilaMuhamed-n3v
    @LeilaMuhamed-n3v 3 дні тому

    Mm sijamuerewa

  • @nizigamajeanine6282
    @nizigamajeanine6282 7 днів тому

    Kabisa Shafi njoo katika ukristo maana wew utakuwa Mwalimu mzuri wa kutangaza ukristo

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 6 днів тому

      Shida yenu mna macho lakini hamuoni mna masikio na hamusikii

  • @AshamMussa
    @AshamMussa 6 днів тому

    Shafi ni kiboko ya wakristo asotaka kufahamu na ujinga wake afe nap tu

  • @moshantoj
    @moshantoj 6 днів тому

    Nimengoja msafi atoe haya biblia inaruhusu uwongo na hakuna

  • @michaeldoroleo4864
    @michaeldoroleo4864 4 дні тому

    Kama huna elimu unawezadhani shafih ana elimu sana😂😂😂

  • @Austinemarko
    @Austinemarko День тому

    Ndacha alisema shafii mweupe nikasema unamuonea.kumbe nikweli hana lolote

  • @itsmelatz
    @itsmelatz 3 дні тому

    Changamoto ya waikristo hawafaham historia ya ukristo awafaham yesu aliishi nchi zipi na alizaliwa bara gani ndio maana wanaamin maandiko yatokeo baran ulaya

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 8 днів тому +1

    Hiyo siko ya kufariki huyo nkorofi paulo mungu atafanya miujiza yake kama hata muotesha mkia jeneza haliingii kaburini zambi izo

  • @itsmelatz
    @itsmelatz 3 дні тому

    Simulizi unaelewa kweli 😅😅

  • @CharlesMapunda-d5i
    @CharlesMapunda-d5i 5 днів тому

    Kajamaa kanajifanya kanajua maandiko na kutamba kwavile yuko peke yake. Kiboko yake Ndacha akitokea hapo utaona studio imejaa Mashekhee kibao wakimkabili mtu mmoja Ndacha

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 8 днів тому

    Simulizi hawa ndio walimu wa kuetegemewa hata sisi waislamu tunaelewa maandiko wale wengine ni kuvuruga tuu

  • @haidar438
    @haidar438 7 днів тому

    Simulizi ni mtaalam sana wa kuuliza maswali 😁

  • @phakundigervas1360
    @phakundigervas1360 7 днів тому

    Kama Mungu au Nani?

  • @JohnReonald-up8zr
    @JohnReonald-up8zr 6 днів тому

    Huyu mwandishi ndo anamatatizo ww mwandishi ndo unanukuu mtu vibaya

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 8 днів тому

    Roho iliyotoka kwake nani? Na nano la Mungu, kwa nini aitwe neno la Mungu

  • @Paulo-c9z
    @Paulo-c9z 4 дні тому

    Kwenye biblia ndani ya amri kumi mungu alizo mpa Musa Kuna amri unasema usiseme uongo lakini kwenye uislamu niluksa kusema uongo

  • @AlexanderomusuguOtwane
    @AlexanderomusuguOtwane 2 дні тому

    Hata Mohamed anasema katika kurhan kwamba yesu atarudi kuhukumu ulimwengu,kwa hivyo ni nani wa kuabudiwa?

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 День тому

    Duuuuuuuu shafi allah siku hizi ana watoto? Soma Quran 19 ;88-92 kwaiyo kwa Aya hizo hachana na huyo allah njoo Kwa Mungu WA biblia uwe na amani tele

  • @davidsamjee4896
    @davidsamjee4896 5 днів тому

    yohana 17;5 kabla ya ulimwengu yesu alikuweko .

  • @rejim2231
    @rejim2231 8 днів тому

    Na hakuna mkristo naetaka kujua siri za waislam. Tunayoyajua kuwahusu yanatosha kuwa mbali na imani yao ya uongo.

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 8 днів тому

      Km wenyewe mnasema hamtaki kujua Ndacha anashindwaje kuwadanganya anavotaka yeye,poleni sana wanakondoo😂

  • @ANTHONYkamau-x2l
    @ANTHONYkamau-x2l 8 днів тому

    Kuzaliwa Kwa neno,hapo ulifundiswa na ndacha.

  • @ayoubissa269
    @ayoubissa269 4 дні тому

    Wafundishe waachane na kuhendekeza njaa

  • @eunicenyandiko1389
    @eunicenyandiko1389 7 днів тому

    Ukisoma Isaya 9-6 maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa.Tumepewa mtoto mwanaume;Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa lake,mshauri wa ajabu,Mungu mwenye nguvu,Baba wa muller,Mfalme wa Amani.

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 6 днів тому

      Ndio nn sasa....??

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 6 днів тому

      Sasa atazaliwa mtoto alafu ataitwa Mungu mwenyewe nguvu, kazaliwa alafu awe Mungu mwenyewe nguvu hebu acheni upuuzi uwo watu na akili zenu mnadanganywa kizembe 2

    • @itsmelatz
      @itsmelatz 3 дні тому

      😆😆 changamoto ya wakristo hawatak kufaham yesu alizaliwa wapi wa alihubiri injil nchi zipi naizo nchi kwasasa ni zipi 😀😀 yesu alizaliwa izrael, kaishi misri, kaish Iraq, kiufupi nchi zote aloishi yesu kwasasa ni waislamu ila ukristo wameletewa na roman na roman sio kanisa ni taasisi

  • @favoritebrayo
    @favoritebrayo 8 днів тому +2

    waislam si wana wa MUNGU wacha kuingia vichochoro

    • @mohamedbaridhwan3017
      @mohamedbaridhwan3017 8 днів тому +1

      @@favoritebrayo toa andiko

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 8 днів тому +1

      @@mohamedbaridhwan3017
      John/Yohana 1:10 -13

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 8 днів тому +1

      @@mohamedbaridhwan3017
      John/Yohana 1:10-13

    • @elifasinimpagaritse7902
      @elifasinimpagaritse7902 8 днів тому +1

      @@mohamedbaridhwan3017toa andiko kutoka kwa Quran kuwa nyinyi ni wana wa Mungu

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 7 днів тому

      @@mohamedbaridhwan3017
      John/Yohana 1:10-13

  • @Milanova460
    @Milanova460 8 днів тому

    Simulizi naye hajui kumbana shafi....aeleze usemi wa Mohamandi anayeacha ndini ya kiislamu muuweni...

    • @bashirmahero7021
      @bashirmahero7021 8 днів тому

      Wapi inasema hivyo kama Kuna kitabu chenye kiliua bado kinaua ni bibilia

  • @bakarimchila1297
    @bakarimchila1297 8 днів тому

    Alhamdulilah kuna waislam na wakristo wamejifunza hapa. Shida tu ni kufuata au kutokufuata. Usiamini kusimuliwa bali shika kitabu usome mwenyewe ili upate ukweli. We unaambiwa waislam wanaabudu majini na wewe unaamini?

  • @yassinm69
    @yassinm69 6 днів тому

    Wakristo wote vichwa maji ,dini ya Haki ni uislam

    • @regnaldymambaly9880
      @regnaldymambaly9880 6 днів тому

      @@yassinm69 hivi wewe unayesema uislamu ni dini ya haki je kile walicho mfanyia mama yake adam haji ndio haki au? ngoja ni kufundishe kitu embu jifanye tuu kuwa umeokoka alafu ukamwambie baba yako au uende msikitini ukaseme hivyo alafu uone hiyo haki watakayo kupa mpaka utashindwa kuibeba,hakuna haja ya kutumia njia ndefu bwana wewe fanya hivyo tuu,naamini wewe huwa unawaona hawa jamaa wakiwa wamevaa kanzu nyeupe lakini hujui mioyo yao ni meusi kama oili chafu

    • @regnaldymambaly9880
      @regnaldymambaly9880 6 днів тому

      @@yassinm69 wewe si unaamini kuwa dini ya haki ni uislamu mimi pia naa mini kuwa wewe una haki ya kuishi na kuamini upendacho bila mtu yeyote kukupangia,sasa fanya hivi jifanye kuwa umeokoka alafu uende msikitini useme umeamua kumfuata Yesu alafu uone jinsi haki ilivyo jaa msikitini kwenu tusitumie njia ndefu,ata sukari na chumvi vikiwekwa pamoja wakati mwingine inakuwa ni vigumu kuvitofautisha kwa macho lakini unaweza kutumia ulimi wako kuvitofautisha sio lazima utumie sayansi ,sio lazima utumie biblia au kuruani

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 8 днів тому

    Shafi unapo sema ukweli hawa wanazibwa masikioni na kukomazwa vichwa vyao na chetani ambae ni baba yao

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 7 днів тому

    Soma waebrania 7:24-25 pia 9:24-25. Yesu pekee ndiye njia pia injili ya yohana 3:16-17...shafi asome hayo...

    • @TheAlman
      @TheAlman 7 днів тому

      😂😂😂😂 Yaani nje ya mada kabisaaaaaa

  • @rejim2231
    @rejim2231 8 днів тому +1

    Wapinga Kristo uyu apa Sheikh wenu anakubali kuwa huwezi iona pepo pasipo kupitia kwa Yesu. Muhamad amewauza mchana kweupeee. Imani ya Kikristo ni Imara sijawahi ona. Hakuna kiumbe anaweza teteresha.

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 8 днів тому

      @@rejim2231 vichwa vyenu vina tope?hamtaki kuelewa mupo kiushabiki tu

    • @rukiakadzo8053
      @rukiakadzo8053 8 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @RamadanSemlingwa
      @RamadanSemlingwa 8 днів тому +1

      Haujui chochote ndugu yangu elewa kwanza yule n mtume kama mitume wengine hata ukimkataa Iberaheem huna chochot kwa sababu Aya alioisoma tumeambwa tusivague miongoni mwao yeyote nae n mmoja wao

    • @TheAlman
      @TheAlman 7 днів тому

      😂😂😂😂😂 Vilaza wa kikristo

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 8 днів тому +2

    Huyu Mzee ni tahira , kwahiyo Mussa alivyotumwa na Mungu nayeye ni MTUme? Malaika wanavyotumwa nao nimitume? Unaposoma biblia lazima ujue context , Yesu anaposema hivyo alikua anazungumza kama mwana WA Mungu , kwani maembe yanapozaa yanaingiliana

    • @ahmedimakope
      @ahmedimakope 8 днів тому

      Wew Kuma

    • @SaidIsmail-f1j
      @SaidIsmail-f1j 8 днів тому

      Ni udhaifu mkubwa Wa elimu yako maana ya neno kutumwa ni nini ukishasema musa alitumwa na mungu ni jawabu moja kwa moja ni katumwa huyo shida nini wakristo??? Someni na mutafsir kwa maana halis sio kwa mapokeo ya mapadri wenu wanatumia akili zao

    • @MohammediSemndili
      @MohammediSemndili 8 днів тому

      Acha matusi bas ndugu shidanin

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 8 днів тому

      😂kwaio Yesu unamlinganisha na maembe

    • @IMRANITV1
      @IMRANITV1 8 днів тому

      ACHA ujinga kama Musa sio Mtume jee ni nani??

  • @joachimluhamo3042
    @joachimluhamo3042 8 днів тому

    Hawa jamaa na quluani yao wanajichanganya sana kuna aya kwenye quruani inasema Mungu hana mtoto leo sheeheee anakubali Mungu anawatoto

    • @RamadanSemlingwa
      @RamadanSemlingwa 7 днів тому

      Wa kumzaa kama ulivyozaliwa elewa wew na uwe na adabu

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 6 днів тому

      Kwanza nenda kajifundishe kuandika Qur'an alaf urudi hapa

    • @RajabuBakari-l2p
      @RajabuBakari-l2p 5 днів тому

      Vichwa vigum hivi mung hazai yan han mtot wa kumzaa ila anafany kwa nenŵ kuwa na likawa elew kwani mumelishw nin wagum kuelew

  • @banyankirubusamarc1727
    @banyankirubusamarc1727 8 днів тому

    Swali Nataka kuuliza, kama roho Yako ni kama ile ya Yesu, wewe anaweza ukasema wewe na Mungu ni kitu kimoja? Kama Yesu alie sema? Muace kupotosha watu.

    • @TheAlman
      @TheAlman 7 днів тому

      @@banyankirubusamarc1727 kitu kimoja unatafsiri kwamba yesu na mungu ni mwili mmoja sindio? 😂 😂 😂 😂 Hapo sio maana hiyo. Maanayake nikwamba yeye na mungu wanaajenda moja kwamaama yeye kaja kama mjumbe muwakilishi wa kweli itokayo kwa mungu na sio hivyo ulivyo tafsiliwa na mapadri waongo

  • @bibleknowledge-b1y
    @bibleknowledge-b1y 8 днів тому

    Mnamuamini yesu feki/....Huyo ni wenu ... wauongo...

  • @DavidpWarwo
    @DavidpWarwo 8 днів тому +1

    Sasa kama yesu ni wa wana wa Israel je Muhammad ni wa warabu sasa imekuwaje muafrika kumfuata ili ni gugu

    • @rukiakadzo8053
      @rukiakadzo8053 8 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @affelayabdulrahim4199
      @affelayabdulrahim4199 8 днів тому

      @@DavidpWarwo Yesu kua kwa wana wa Israeli yeye katoa andiko na ww ukiambiwa utoe andiko kuonesha Muhammad kaletwa kwa waarabu tu unalo?

    • @DavidpWarwo
      @DavidpWarwo 8 днів тому

      Yesu aliwambia wanafunzi wake wakayaubilie mathayo 28,:19 kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi na kuwabatiza kwa jina la baba na mwana na roho mtakatifu je sisi so taifa? Vivi hivo na Muhammad ni kwa watu wote waliyo amin

    • @affelayabdulrahim4199
      @affelayabdulrahim4199 7 днів тому

      @@DavidpWarwo kama umemckiliza vzur ustadh kafafanua mataifa yanayoongelewa hapo ni ya waisraili na amesema yalikuwepo mataifa mengi na amaeambatanisha na andiko linalosema kua yeye ametumwa kwa wana wa israel umemckiliza au umekimbilia kujibu tu?

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 6 днів тому +1

      Someni kwanza ili mfute ujinga

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 7 днів тому

    Paulo Yuko sawa ....Ameiona NJIA ya UZIMA.WAISLAMU WANADAI KUWA WANAMWAMINI ILA HAWAMTII... Kwanza UNABII unatabiri kuzaliwa kwake isaya 7:14 na isaya 9:6-7 pia aliteswa isaya 53: 1-14 na haya yaliyotimia katika MATHAYO 1:21-23 pia MATHAYO 26, 27, 28. Pia Yesu alifufuka lakini waislamu wanakataa ufufuo wa Yesu Kristo. Hivyo...ni wapinga kristo..

  • @danielkamau2987
    @danielkamau2987 8 днів тому +1

    Shafii ni wapi kwa Quran Yesu mwenyewe anasema yeye ni Masihii..

    • @itsmelatz
      @itsmelatz 3 дні тому

      Masihi ni neno la kiarabu lenye maana "aliechaguliwa" masihi issa(yesu) amechaguliwa na Mungu yeye peke kuwa hai mpaka siku ya mwisho yaumul Qiyam kiufu yesu yu njian atarud tena dunian. Usichoelewa ni kipi au ndo wewe unaendelea kukazia yesu ni mwana wa mungu kwa uzao ( by birth)

  • @rejim2231
    @rejim2231 8 днів тому +1

    Uislam tunaujua dogo Shafii! Acha kujitamba. Tunajua ukiuhama uislamu mtume ameamrisha kuuwawa

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 8 днів тому

      @@rejim2231 ungeujuwa uislamu usingelienda kanisani kuimba wiki mara moja ukaacha kuabudu msikitini kwa unyenyekevu siku 1 mara 5

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 7 днів тому

      Hivi ni kweli ukiacha uslimu wanakuua...eeh!!! Nipeni Aya Jamani...

    • @TheAlman
      @TheAlman 7 днів тому

      Kilaza mwenzio kakuuliza mpe aya inayosema ukiama uislamu unauwawa😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @BobgIsmail
    @BobgIsmail 8 днів тому

    Shaff wewe ni mwalimu wa wakiristo wote tanzania na kenya

  • @rejim2231
    @rejim2231 8 днів тому +1

    BAADA YA YESU HAKUNA NABII MWINGINE YOYOTE WA KWELI ALIETUMWA NA MUNGU. MUHAMMAD NI WA MCHONGO. 😂😂😂😂😂

    • @rukiakadzo8053
      @rukiakadzo8053 8 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Paulo-c9z
      @Paulo-c9z 4 дні тому

      Kweli wanamuabudu mtu kama sisi 😂😂😂😂😂

  • @Milanova460
    @Milanova460 8 днів тому +2

    ...
    Shetani ndiye mwanzilishi wa uizilamu..

    • @mbarushimanasalimking6961
      @mbarushimanasalimking6961 8 днів тому +1

      Wewe nikafiri marihuniii achana na matusi na kuongeleleya maneno huyajui

    • @Milanova460
      @Milanova460 8 днів тому

      @@mbarushimanasalimking6961 ...shetani ndiye alifinyafinya Mohamandi kwenye pango..

    • @Milanova460
      @Milanova460 8 днів тому

      @@mbarushimanasalimking6961
      .. kafiri ni wazazi wako waliokuzaa kwa kukufuru...nawe ni mtu asiyejielewa hadi unaabudu njiwe nyeusi lililoko mekkah.

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 8 днів тому +3

      Kweli kabisa...sheatni alivlia sura ya "jibril" akamuamuru muhammad kuanzisha dini ya Kupinga Kristo!!
      Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.-2 Wakorintho 11:14

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 8 днів тому

      @@mbarushimanasalimking6961
      Kafiri ni muislamu - Yuda 1:4

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 8 днів тому +1

    Hakuna mwislam anaeijua biblia kamwe , ni kama unapoteza muda kwasababu mwislam anaposema biblia hasomi Kwa kujifunza Bali anasoma kwaajili ya kutafuta makosa na akikosa hayo anayotafuta huleta tafsiri zake , bible sio Qur'an waliokariri bible mpaka uende shule

    • @abuuahmad3238
      @abuuahmad3238 8 днів тому

      Sikio la kufa ...wenzio Ulaya na Marekani wanakimbilia kwenye haki makundi makundi maelfu...

    • @jakuabdull34
      @jakuabdull34 7 днів тому

      Chukua madini hayo ww mkiristo

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 7 днів тому

      @@jakuabdull34 madini au upumbafu ,Hilo zee na Sura lake bovu , halijui chchte sasa MTU hata lasaba hajafika nae unaemzungumzia?

  • @MusinHamad
    @MusinHamad 7 днів тому

    Hajatajwa kwauspesho hapo rudia andiko amesimuliwa kuwa nineno naroho itokayo kwa mungu tu uspesho upowapi apo

  • @orianamichael5295
    @orianamichael5295 8 днів тому +1

    Sheikh majibu yako hayaeleweki na unajibu kipurure saana huna hoja za maana atakaekueewa wewe ni mtu ambae hana uwezo wa kutafakari

    • @TheAlman
      @TheAlman 7 днів тому

      😂😂😂😂😂😂 Yaani kama hata maandiko huelewi no wonder ujui bibria unafuwata maneno ya kiboko ya wachawi

    • @RajabuBakari-l2p
      @RajabuBakari-l2p 5 днів тому

      Sas wew sheh akisom kwa kitabu na kufafanua hay wwe unaona wapi kadanganya mmmmm hatare

  • @IsaacNzai-e7s
    @IsaacNzai-e7s 6 днів тому

    Ongea yote zunguka huku na kule lakini yesu ni mwana wa mungu alitumwa na babake 😂😂😂😂

  • @wakeshojana
    @wakeshojana 8 днів тому +2

    Biblia 24:5 ni kitabu kipi hicho?????? WITHOUT LIES, ISLAM DIES!!,,

    • @shafiishomari2328
      @shafiishomari2328 8 днів тому +2

      Matendo

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 8 днів тому +1

      @@shafiishomari2328
      Ndio kila siku unaambiwa unasoma Biblia lakini huelewi unachokisoma...ama unaipa tafsiri ya kwako kuwahadaa wafuasi wako maamuma...
      SIO BIBLIA INASEMA...NI (wenye imani sawa na waislamu) WANAOMSHTAKI PAULO NDIO WANASEMA NI MKOROFI.....NA WANAMSHTAKI PAULO KWA SABABU YA KURITADI. WANAMWEKELEA MASHTAKA MENGI TU SANA...LAKINI MWISHO UAMUZI UKAWA HIVI >>> Matendo 26:30 Ndipo Mfalme akasimama na Gavana na Bernike na wengine wote waliokuwa wameketi nao wakasimama. 31 Na walipokuwa faraghani pamoja wakasema, “Mtu huyu hafanyi jambo lo lote linalostahili kifo au kifungo.”

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 8 днів тому

      @@shafiishomari2328
      SIO BIBLIA INASEMA PAULO NI MKOROFI WACHA KUDANGANYA WAFUASI WAKO MAAMUMA!!
      WANAOMWITA MKOROFI NI WATU WENYE IMANI SAWA NA WAISLAMU...WALIKWENDA KUMSHTAKI PAULO KWA GAVANA KWA SABABU ALIRITADI..WAKATAKA AFUNGWE JELA AU AUWAWE...
      WALIMUEKELEA MSHATAKI MENGI TU SANA LAKINI MUNGU ALIKUWA UPANDE WAKE NA UPANDE WA SHETANI UKASHINDWA!!
      Matendo 26:30 Ndipo Mfalme akasimama na Gavana na Bernike na wengine wote waliokuwa wameketi nao wakasimama. 31 Na walipokuwa faraghani pamoja wakasema, “Mtu huyu hafanyi jambo lo lote linalostahili kifo au kifungo.”
      NAKUSIHI UMTAFUTE MUNGU WA KWELI SHAFFI UHUBIRI INJIL SAHIHI!!

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 8 днів тому

      @@shafiishomari2328
      SIO BIBLIA INASEMA PAULO NI MKOROFI WACHA KUDANGANYA WAFUASI WAKO MAAMUMA!!
      WANAOMWITA MKOROFI NI WATU WENYE IMANI SAWA NA WAISLAMU...WALIKWENDA KUMSHTAKI PAULO KWA GAVANA KWA SABABU ALIRITADI..WAKATAKA AFUNGWE JELA AU AUWAWE...
      WALIMUEKELEA MSHATAKI MENGI TU SANA LAKINI MUNGU ALIKUWA UPANDE WAKE NA UPANDE WA SHETANI UKASHINDWA!!
      Matendo 26:30 Ndipo Mfalme akasimama na Gavana na Bernike na wengine wote waliokuwa wameketi nao wakasimama. 31 Na walipokuwa faraghani pamoja wakasema, “Mtu huyu hafanyi jambo lo lote linalostahili kifo au kifungo.”
      NAKUSIHI UMTAFUTE MUNGU WA KWELI SHAFFI UHUBIRI INJIL SAHIHI!!....

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 8 днів тому

      @@shafiishomari2328
      SIO BIBLIA INASEMA PAULO NI MKOROFI WACHA KUDANGANYA WAFUASI WAKO MAAMUMA!!
      WANAOMWITA MKOROFI NI WATU WENYE IMANI SAWA NA WAISLAMU...WALIKWENDA KUMSHTAKI PAULO KWA GAVANA KWA SABABU ALIRITADI..WAKATAKA AFUNGWE JELA AU AUWAWE...
      WALIMUEKELEA MSHATAKI MENGI TU SANA LAKINI MUNGU ALIKUWA UPANDE WAKE NA UPANDE WA SHETANI UKASHINDWA!!
      Matendo 26:30 Ndipo Mfalme akasimama na Gavana na Bernike na wengine wote waliokuwa wameketi nao wakasimama. 31 Na walipokuwa faraghani pamoja wakasema, “Mtu huyu hafanyi jambo lo lote linalostahili kifo au kifungo.”
      NAKUSIHI UMTAFUTE MUNGU WA KWELI SHAFFI UHUBIRI INJIL SAHIHI!!

  • @ANTHONYkamau-x2l
    @ANTHONYkamau-x2l 8 днів тому +1

    Ndacha kakuelimisha wewe.

  • @revodeo6259
    @revodeo6259 7 днів тому

    @simulizi,,hebu muulize ustadhi amesoma hiyo YOHANA 17;3 , mwambie aanzie 17;1 afu umuulize anayakubali na hayo maneno?. Ila yote kwa yote ustadhi amekiri uzima wa milele uko kwa Yesu ,,huko mliko sio salama tokeni .

  • @CHARLESMUGENDI-vn3gh
    @CHARLESMUGENDI-vn3gh 7 днів тому

    Mbona humalizi andiko la mathayo 17

  • @omarchuo2178
    @omarchuo2178 7 днів тому

    Tatizo wakristo hawataki kusikiliza kwa makini wao wanakurupuka kujibu vitu ambavyo hata havipo

  • @Alexsheezo
    @Alexsheezo 8 днів тому

    Vimedia vya bongo ni mchwara badala ya kupeleka ujumbe uliotolewa na ney mnakatakata maneno nyinyi nyinyi ni wajinga sana

  • @CHARLESMUGENDI-vn3gh
    @CHARLESMUGENDI-vn3gh 7 днів тому

    Kiswahili kingi bali maelezo ni kwa ambaye haelewi na kufahamu kiswahili,sehemu yesu mwana wa MUNGU mbona Huwa Huwa hamsomi

  • @chapchap-oz1ou
    @chapchap-oz1ou 7 днів тому +1

    MTANGAZAJI LAZIMA UWE MAKINI NA HAWA WAISLAMU....KAMA HUJUI MAANDIKO YA BIBLIA WATAYATUMIA KUKUDANGANYA..
    ANGALIA SASA ANADANGANYA ETI BIBLIA INAMWITA PAULO MKOROFI.....NI UONGO.....NI WATU WENYE IMANI SAWA NA WAISLAMU WALIOMWITA PAULO MKOROFI KWA SABABU YA KURITADI!!
    ISOME MWENYEWE HIYO STORY MATENDO KUANZIA 24 HADI 26 UPATE PICHA KAMILI!!

    • @lilhydon452
      @lilhydon452 7 днів тому +2

      Huyu Shekhe juzi kalia sanaa😂😂😂eti Ndacha kasoma Maandiko nusu...lakini leo yeye anafanya hivo😊😊

    • @TheAlman
      @TheAlman 7 днів тому +1

      Acha unafiki soma matendo 24:5
      Mtu huyu ni mkorofi. Anasababisha vurugu kwa Wayahudi kila mahali ulimwenguni. Ni kiongozi wa kundi la Wanazorayo. 6-8 Pia, alikuwa anajaribu kulinajisi Hekalu, lakini tulimsimamisha.[a] Unaweza kuamua ikiwa haya yote ni kweli. Mwulize maswali wewe mwenyewe.” 9 Wayahudi wengine wakakubali na kusema ndivyo ilivyo.
      Paulo Ajitetea Mbele ya Feliki
      10 Gavana alifanya ishara ili Paulo aanze kuzungumza. Hivyo Paulo alijibu, “Gavana Feliki, ninafahamu kuwa umekuwa jaji wa nchi hii kwa muda mrefu. Hivyo ninafurahi kujitetea mimi mwenyewe mbele yako. 11 Nilikwenda kuabudu Yerusalemu siku kumi na mbili tu zilizopita. Unaweza kutambua wewe mwenyewe kuwa hii ni kweli. 12 Wayahudi hawa wanaonishitaki, hawakuniona nikibishana na mtu yeyote wala kukusanya kundi la watu Hekaluni. Na sikuwa nabishana au kufanya vurugu kwenye masinagogi au mahali popote katika mji. 13 Watu hawa hawawezi kuthibitisha mambo wanayoyasema dhidi yangu sasa.

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 7 днів тому +1

      @@TheAlman
      Boss, wewe ndo uwache unafiki na ushabiki.....wewe na shafii hakuna tofauti mnasoma Biblia lakini hamuielewi....ni mashtaka ya uongo kwa sababu Paulo aliritadi!!
      Sio Biblia inamwita Paulo mkorofi....ni watu wenye imani sawa na waislamu walimwita mkorofi...sio Biblia kama shafii anavyo jaribu kudanganya....
      Walipeleka mashtaka dhidi ya Paulo kwa sababu ya kuritadi akawa mfuasi wa Yesu. walitaka afungwe jela au auwawe..
      Njama zao hazikufua dafu manake Paulo alikuwa upande wa Mungu na wao upande wa shetani....
      Mwishoe >> Matendo 26:30 Ndipo Mfalme akasimama na Gavana na Bernike na wengine wote waliokuwa wameketi nao wakasimama. 31 Na walipokuwa faraghani pamoja wakasema, “Mtu huyu hafanyi jambo lo lote linalostahili kifo au kifungo.”

    • @TheAlman
      @TheAlman 7 днів тому +1

      ​@@chapchap-oz1ouwatu gani hao au wale ambao wakristo munawaita watoto wa mungu?

    • @TheAlman
      @TheAlman 7 днів тому +1

      ​@@chapchap-oz1ouwaliomstiki na kinanani au wale ambao munawaita watoto wa mungu? 😂😂😂😂😂😂😂😂