MIDAHALO YA KIDINI KATI YA UKRISTO NA UISLAMU || UST. KADOGOO AWATAJA MWL. NDACHA NA UST. SHAFII

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 3 дні тому +4

    Mashallah shekh kadagoo,umri wako wote umemtangaza Allah,Allah akufanyie wepesi

  • @hassanbilali1697
    @hassanbilali1697 2 дні тому

    Hongera shekh Ally kadogoo uko very wise may Allah bless you and grant jannatul firdaus Allahuma amin

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 3 дні тому

    Maashaa Allah..
    Kazi kubwa imefanywa àlhamdulillaah.. ❤
    MIDAHALO INASAIDIA KUCHANGAMSHA BONGO ZETU NA KUTUONGEZEA MAARIFA.

  • @AliMohamed-sb2sg
    @AliMohamed-sb2sg 3 дні тому

    Mashaa Allah ❤❤ mungu akubariki shk wetu

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 3 години тому

    MashaAllah

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 3 дні тому

    Masha'allah kumuona ally kadogoo

  • @HamissiSelemani-i3g
    @HamissiSelemani-i3g 3 дні тому +2

    Yesu awezi kuwa mungu bali ni m2me

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 3 дні тому

      kwa imani yako finyu lakini ukweli ni kwamba Yesu ni Mungu na ni mwana wa Mungu

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 3 дні тому

      ​@@ramadhanmahongole9293ww ht akili Huna chizi

  • @AbubakarKi
    @AbubakarKi 3 дні тому

    Mashaalah mandungu zetu

  • @mbokomboko5974
    @mbokomboko5974 2 дні тому

    Tatzo la yesu katairiwa mm ndo mana napata mashaka na hawa makafiri wanao sema yesu mungu kama mungu katairiwa ww unazani huyu alomtahiri mungu wao anaujasiri gani kumtahiri mungu haogopi kuingizwa maotoni 😢😢

  • @MaryamMaryam-n1v2e
    @MaryamMaryam-n1v2e 3 дні тому +7

    Hata kongoa yesu hatumjui tuna mjua nabii Issa tena ukitaja yesu au ukirsto ni tusi kubwa

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 3 дні тому +1

      Yesu kristo ni Mungu lkn issa na mhammad ni binadamu wa kawaida.

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 3 дні тому +1

      Wewe ni kafiri huwezi kujua yesu utawajua makafiri wenzio kina issa na kina mhammad

    • @Austinemarko
      @Austinemarko 3 дні тому +2

      Issa na yesu ni watu 2 tofauti,issa sio chochot.lakini yesu dio njia kweli na uzima.

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 3 дні тому +1

      Wewe majini yamekupofusha hili usijue kweli njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo hachana na majini mapepo wachafu mashetani

    • @triuneapologeticsevangelis5912
      @triuneapologeticsevangelis5912 3 дні тому +1

      😂😂ni watu hawana elimu pekee ndio hawamjui yesu kristo ni nabii issa

  • @SarahBettty
    @SarahBettty 3 дні тому

    Simulizi mtafute abel shiliwa

  • @Austinemarko
    @Austinemarko 3 дні тому +2

    Katika wahadhiri tz wenye busara huyu ni mmoja wao na ni mnyenyekevu,huyu ana chembe chemb za kristo.

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 3 дні тому +1

    Sheikh una hekma sana sijapata kuona sheikh mwenye hekma kubwa kama wewe unafaa kuwa mufti wa waislamu tanzania

  • @hassanbilali1697
    @hassanbilali1697 2 дні тому

    We mtangazaji uliza maswali yenye afya ili kuwasaidia wasikilizaji

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 3 дні тому

    Kwani wewe mtangazaji uhonikeni kwenye clip zako kama watangazaji wengine?

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 3 дні тому

    32:56 Waislam waliopo mbeya ni wahamiaji waliokuja kutafuta Maisha,kama ilivyo kwa wapemba kuwa wakristo ndivyo ilivyo ngumu kwa wenyeji wa mbeya kuwa waislam.Hivi kule Nigeria, somalia na kusini mwa Tanzania waislam wanajilinda dhiidi ya nani, Muhammad aliwauwa wayahudi bila kosa lolote

  • @praygodmawalla7884
    @praygodmawalla7884 3 дні тому

    Mihadhara haina afya kwa ustahamilivu wa kitaifa. Tusitikise utengamano wetu. Kila mtu amhutubia muumini wake.

    • @SaidiMazaila
      @SaidiMazaila 3 дні тому

      Kafiri lioga kufa 😅😅😅. Slimu uanze kumtaja mungu kwa faida Yako; shaulyako 😊😊