HATA MTUME ALIKUWA NA LISHANGAZI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024
  • WACHOKONOZI

КОМЕНТАРІ • 32

  • @IsufuRajabu-v9c
    @IsufuRajabu-v9c 5 годин тому +3

    Leo Mrindoko asuti haitoki vizuri yane pole bana

  • @USDisdoomed
    @USDisdoomed 2 години тому

    Ubaya wenu mnashambulia Sana Mambo ya dini Nakumkataa Mungu....jitahadharini sana ...Hamjui mulitendalo

  • @henrytony137
    @henrytony137 3 години тому

    I like your fact talk broo

  • @IsufuRajabu-v9c
    @IsufuRajabu-v9c 5 годин тому +3

    👌

  • @JosephBalebanga
    @JosephBalebanga 4 години тому

    Nilicho kigundua hapa hawa wajamaa wanampenda tena mapenzi makubwa mtume Muhammad rehema za mwenyezi Mungu na amani ziwe juu yake

  • @NassirShayo
    @NassirShayo 5 годин тому +2

    Shida ni uchache wa ELIMU vijana someni acheni ujanja ujanja, nani amekwambia alikuwa mshangazi? Hii ni propaganda kama ikiwa hauwezi kujua ni propaganda basi ni SHIDA sana😂😂😂😂

  • @OmariChanja
    @OmariChanja 5 годин тому +3

    Nipeni mauwa yangu nimekuwa wa kwanza

  • @OmariChanja
    @OmariChanja 5 годин тому +3

    Mimi nawaita Wazee wa Facts sio wachokonozi

    • @NassirShayo
      @NassirShayo 5 годин тому

      Facts zipi? Hapo asilimia kubwa wanajadili kitu ambacho ni propaganda

    • @OmariChanja
      @OmariChanja 5 годин тому

      @@NassirShayo hauna unachokijua tofauti na uchawa usinipangie Cha ku comment kenge wewe

  • @NassirShayo
    @NassirShayo 5 годин тому +3

    Mambo ya Kihistoria kama haya ndio yanafanya nijue upeo mdogo wa uelewa wenu kuhusu DINI n.k✍️

    • @OmariChanja
      @OmariChanja 5 годин тому +1

      @@NassirShayo wewe mwenye upeo mkubwa mbona upo mafichoni huko umekatazwa

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 4 години тому +2

      tunaomba na ww mwenye upeo mkubwa anza kupost

  • @romanticbwoy1775
    @romanticbwoy1775 2 години тому

    Wafactknows

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 4 години тому

    Wachokonoz ❤❤❤

  • @BillySmart-n3y
    @BillySmart-n3y 5 годин тому +1

    Wanawake lonely wanaishije loneliness... Kwaiyo Mashangazi inaweza KUWA topic mpaka bungeni 🫢🤔WACHOKONOZI NDOO SISI 🌍🌍🌍🌍🌍

  • @adyss0273
    @adyss0273 2 години тому

    kwa yeyote anaeweza kunisaidia namba za Professor Joseph Mrindoko anisaidie please🙏

  • @mkongo_24
    @mkongo_24 5 годин тому +1

    Ila mishangazi😂😂😂

  • @EliaKaspaly
    @EliaKaspaly 5 годин тому +1

    Umenena mchokonozi

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 4 години тому

    sema nn wanangu... nataka mchongo wa mbao

  • @innocentesmah9088
    @innocentesmah9088 5 годин тому +2

    Mashangazi ndo yanatuweka mjini

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 3 години тому

      Kijana km.ww unamchango mdg. Sana katika nchi hii 😂😂😂😂

  • @NassirShayo
    @NassirShayo 5 годин тому +2

    Wewe ndio haujui historia unazungumzia kitu ambacho ni propaganda! Hakuna dalili sahihi ambayo inaonyesha Mama Khadijah (a.s) alikuwa na miaka 40 kwahiyo soma kijana acha ujanja ujanja ambao hauna maana 😅

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  5 годин тому +1

      Historia yako uliosoma tuambie alikuwa na umri gani?

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 5 годин тому

      🎉

    • @OmariChanja
      @OmariChanja 5 годин тому

      @@wachokonozi_ akikujibu niite nipo pale chini ya mwembe watu kama hao wamekaririshwa tu maneno na masheikh wao hakuna wanachokijua kuhusu dini ndio maana wanabisha bila hoja za msingi

    • @noelsoko106
      @noelsoko106 4 години тому

      ​@@OmariChanjamasheikh ubwabwa😂

    • @richardmshiu5118
      @richardmshiu5118 4 години тому

      Na wew Hebu acha ubishi Kwa kipumbavu,, wenzako waislam wanasema ukweli,mtume Kwa bibi Khadija ni kama kijana na mama.unachobisha ni nn hapo.tena mtume alioa kitoto Tena Cha miaka 9, soma history ujue,acha ubishii