Habibty .rudi kwa Allha maisha y dunia ni mapito n nimafupi mnno .Allah akuongoee mdogo wangu.❤nakupenda kwa Ajili y Allh .rudi kuomba toba Allh yupo pamoja nawe
innaalilaah wainnailaihi raajiuun . maskiin nakuhurumia pamoja na kuwahurumia wazazi wako walio hangaisha na kukulea ww hadi ukafikia hapo .mm nakusihi ndugu yanu mche allah na ufuate mila na desturi ya dini yako .usitakabbr kwani hakika hujijui kama utatimiza ndoto zako hujafa.
Dada wewe ni mzuri sana lakn usifos ukawakera wazazi wako Kwan Baba na Mama ndiyo nyao za kwenda peponi tafuta kwa njia nyingine Mungu atakupa ona Sasa hivi unakaa nywere wazi na ukiangalia wewe ni Mtoto wa kiislamu pole sana ila unachelewa Rudi kwa Allah InnshaAllah utafanikuwa Dunia maisha mafup sana.
Hebu ewe bint zinduka nywele moja tu unaandikiwa dhambi 10jee hizo unazo wewe ni ngapi na unawaonesha watu wangapi halafu unasema sana si uhuni sikweli kwa ni apo ulipo umevaa kihuni
Habibaty inti ya hlwa mashaa Allah tenda mema yanayo mridhi Allah na wazazi wko Dunia mapito twakupenda kwa ajili ya Allah ndio twakwambia Allah atuongoze njia njema ww na cc jamii muslimin wa muslimat
SubhaAllah Haytham wallah nakuona ulivokua ktk utoto wako ulivokua mtoto hodari sn leo kukuona hvi ni machungu yasioelezeka. Allah akupe taufiq yake utubie toba ya kweli. Rudi kwa Allah ruda kwa wazazi wako
Ukiona mtoto mwari wa kizanzibar haishi na wazee wake ujue kapinda kashinda kwa wazee wake😢😢😢daagh Allah akuongoe haitham....rud kwa wazee wako utafte kitu ufnye kwa hapo hutofika hata kenya😢😢😢
😂😂😂😂😂 wazanzibar acheni basi fikra potofu mbona wapo wanaishi na wazazi wao lakini tunapishana nao mgetoni na huko magetoni kwenyewe wanaenda kwa vijana wa kizanzibar 😮 acheni basi hizo
Mashallah binti mzuri ila tabia Hana maadili yakiislam hata kujistiri matatizo Yuko uchi mtandio nusu uchi. Hujielewi kabsaa na unakaa uchi Mtoto wakiislam.
Haitham achana na sanaa rudi kwa Allah wewe ni binti wa kiislamu, unaonesha kifua chako na nywele zako mtandaoni haifai tunakupenda habibty ❤ ndio maana tunakwambia
Allaah awape wazazi wako subra na imani ni mtihani... haitham mama na baba ndio pepo yako ukiwaudhi wawili hao umemuudhi Allaah usijikoseshe pepo ya duniya na akhera kawaridhishe wazee wako Allaah akurudhishe na ww duniani na akhera..
Allah akuhifadhi akuongoze katika maadili mema ya kiislam. Mwanamke ni stara na ni pambo lazima ujiheshimu. Unaweza kufanikiwa kupitia kazi na biashara halali zitakazokulindia heshima yako. Hayo unayoyafanya ni kujidhalilisha kama mwanamke wa kiislam. Rudi katika mila wasikilize wazee wako utafanikiwa ndugu
Allah akuongoze, Dadangu Muislamu amewekewa utaratibu wa kuishi duniani haishi tu anavyotaka... Achana na ayo malengo ulionayo🚮 malengo yako yawe ni ya kumridhisha Mungu🙌
Inalillah wa inna ilahy rajioun Mtihani mkubwa sana Allah akuhidi Na akuongoze njia iloyonyooka Na poleni sana wazee Allah akupeni subra Na zidisheni dua kwa Sana dua za wazee makbul Inasikitisha kwa kweli Mtoto wa kislaam Dua zetu allah akuhidi Amiin.yarab
Watu watamani waonane na Mtume salallah alyh wasalam ....ww unatamani kukutana na shetani .... Pili wazazi ni muhimu sanaa kuliko unavovifanya ...tatu.. lau ungekuwa mwanabiashara ungevutia sanaa kuliko unachokifanya hivi sasa...hufanani
Sanaa SI uhuni Lkn wew Ndo unajifanya muhuni. Ungalikuwa walaw unajistiri Basi Kidogo wazazi wangetulia Lkn huo mwendo as Kwenda uchi ukichanganyika na io Sanaa Ndo uhuni
Muda unao, hebu uwe na wasaa usikilize darsa ya Sheikh Mselem, darsa mada: Watu kudanganywa kua kioo cha jamii, msanii. Wallahi utalia wewe, unapotea mbali sana, huko ni zinaa, pombe na kupotea, njia ya Shetani hiyo mdogo wetu. Rudi muda ndio huu.
@@issataslima9846wewe unaumia nini mtu akitoa maoni yake? Huku tupo kuyaona maajabu ya firauni ili tuowaeleze yapo na ya Musa pia!sio kila mtu akiwa humu ni mja wa laana!tukiona baya hatukai kimya tutasema usituzuie, hutuwekei bando kaa kwa kutulia
Duh!!! Mtihani SANAAAAAAAAAA...!!! Allah akuepushe huko na Malengo yako hayo yapotee na Wazee Wako wawe Juu Yako. Wazee ni Muhimu Sana Kwako Bado Mdogo Sanaa. Mola Akuongoze Urudi Kwa Wazazi wako.
Huyu hajatengwa kajitenga Bado muda unao dada yangu Rudi Kwa mola wako, unaposema unajielewa anayejielewa hawi hivyo ndugi yangu ALLAAHU akuongoze na akupe tawfiq
Namna hiyo mwananguu nywele wazii kifua waziiii Subhan Allah Innaalillaahi wainnaailayhi rajiuun hivi kukaa utupu ndio kupendezaaa innaalillaahi wainnaailayhi raajiuun msiba mkubwa huu Allah atutoe ktk giza walikojiingiza aturudishe ktk nuru tulikotoka na vizazi vyetu na waislam woote kwa ujumla yaarrabb
Hakuna mzazi anaemtakia mtoto wake mabaya,haitham rud kwa mungu wako kawaomb radh wazaz wako,ao ndo walokuzaa na wew ni mtoto wa kiislam hutakiwi kuwa Ivo🙏
Huyu anaiga watoto wa kihuni. Siyo fahari kujitowa kwenye interview. 😂😂😂 anasema Alhamdulilah sasa hivi anajulikana. 😂😂😂😂 Omba Mungu akupe umri tuu wee mtoto…
Hutofika sehemu haitham ukikosa radhi za wazee na hayo unayoyafanya 😀😃ata mungu hapendi kwaio ww apo unaenda kukosa radhi za mungu sanaa gani ya kihuni ambayo mungu hapendezewi nayo unataka wazee waridhike rudi kwa familia usipoteee mdogo wangu tanzania hakuna sanaaa
Allah atufanyie wepesi dunia nimapito. Tukumbuke kifo . Sanaa inaelimisha lkn ndugu yangu ungeangalia tena vizuri unachokifanya Allah anaridhia unavyofanya
ACHA UPUZI WEWE MTOTO WAKIKE, UNAIONDOA THAMANI YAKO KWA MAMBO YA KIPUUZI,WAZAZI WAKIKUTENGA NA HIYO DUNIA UNAYOIKIMBILIA ITAKUTENGA PIA..Muogope ALLAH NA Jenga Akhera Yako.Sanaa Ni Upuuzi Wakidunia Tu
Wewe bit rudi kwa mola wako wewe ni bint mdogo sana na mashallaah Allaah amekupa uzuri utumie uzuri wako kwa kumuelekea mola, wala hayo unayo yasema hayana mashiko yoyote mitandao na hizo sanaa ni uhuni haiwezekani wewe mtoto wa kiisilamu kutembe uchi kama hivo. Allaah atusitiri. Na vizazi vyetu
Kweli kabisaaaaa sikiliza hayo maneno urudi kwa wazazi wako bado wako hai wakija kuondoka kama bado hawako radhi Amini utakuja kujuta saana... Majuto hayatokusaidia lolote.. Itakuwa ni hasara tu... Kujakukosa radhi za wazazi😮😢
Sio km anakatishwa tamaa bali anaonyeshwa njia sahihi, ila kasema anaelewa nini anafanya kwhy bora tumuache tu,ila mm niloposkia anatak kuonan na card b bas nimeinuwa miknono juu,
Suali la kukataa au kukubali ni juu yako, Sisi cio kazi yetu kuongoa. Maisha ni mafupi sana, jukumu letu ni kukuelekeza, wazazi wako wanajielewa ata kuliko wewe wasikilize, na kumbuka hakuna mafanikio ya dunia wala akhera bila ya wazazi. wasalam.
Haitham " "Allah kareem mrudie allah muombe msamaha mwingi wa rehma atakusamehe, radhi ya wazazi ni muhimu, kuliko chochote unachokipenda katika dunia hii, mlaani sheitan, sema astaghfirullah x100 , usimfurahishe sheitani, ukaacha kumfurahisha Allah SW na mtume wake MHD SAW, na umepitiliza mpaka kukosana na wazazi wako, upo ktk mtihani mkubwa.
Hv ww bint kbsa unajua kitendo cha mama yako kulea mimba miez 9 had kuzaliwa hadi unaita mama una kipi cha kuwalipa wazee wako mrudie mola wazaz ndo mungu wa pili unapata ghadhabu ya Allah iko na ww kila pahala tubia achana na mitandao itakuharibia hata hzo ndoto zako.😢😢😢😢
Nakuomba mwanangu mbele ya wazee hujajielewa my love utakuja juta katika maisha yako huto tobowa rudi kwa wazazi wako upate ridhaa Yao dunia hii na wewe mtoto wakislamu haya maisha ya kupita tu tumuogope Allaah
ANASEMA KWANZA ANAFANYA MABAYA AKISHA KISHAONGEA NA MUNGU KUWA ATAACHA KABLA AHADI YAKE KWASABABU YEYE HAFI SAIVI. huyu mtoto hana ADABU, yaliwashinda kina snura wakaona machungu yake, huyu bado mwehu asije kuzinduka wakati Israeli kafika
Allah tufanyie wepes na watoto wetu
Habibty .rudi kwa Allha maisha y dunia ni mapito n nimafupi mnno .Allah akuongoee mdogo wangu.❤nakupenda kwa Ajili y Allh .rudi kuomba toba Allh yupo pamoja nawe
Kwani Nani kakuambia kahama kwa Allaha? Mbona muna mawazo ya kijinga? Jamani hii 20th century Amukeni. Hata waarabu waliwaetea hii dini wamebadilika
Acha ufinyu wa kufikiri Dini gani imeruhusu sanaaa kwa mwanamke@@Mima-cl2im
Dini ni ya Mungu sio ya mwarabu au mswahili. Mungu hajatuleta tukae uchi na kucheza sanaa. Ukifa utajua kuamka
@@Mima-cl2im wewe akili zako hazina akili,
innaalilaah wainnailaihi raajiuun . maskiin nakuhurumia pamoja na kuwahurumia wazazi wako walio hangaisha na kukulea ww hadi ukafikia hapo .mm nakusihi ndugu yanu mche allah na ufuate mila na desturi ya dini yako .usitakabbr kwani hakika hujijui kama utatimiza ndoto zako hujafa.
Dada wewe ni mzuri sana lakn usifos ukawakera wazazi wako Kwan Baba na Mama ndiyo nyao za kwenda peponi tafuta kwa njia nyingine Mungu atakupa ona Sasa hivi unakaa nywere wazi na ukiangalia wewe ni Mtoto wa kiislamu pole sana ila unachelewa Rudi kwa Allah InnshaAllah utafanikuwa Dunia maisha mafup sana.
Bro parents ni mafanikio tangu ya dunia na huyu mtoto anautukutu WA age Fulani hivi na kikweli hatendi sawa kulingana na Mila na desturi zetu
Kujielew kwenyew ni kuach nywel waz haitham daah bad hujajielw
Haitham anasema anapenda, LKN kufa hapendi ila atakufa
Kifuwa wazi@@kheiramour2973
Hebu ewe bint zinduka nywele moja tu unaandikiwa dhambi 10jee hizo unazo wewe ni ngapi na unawaonesha watu wangapi halafu unasema sana si uhuni sikweli kwa ni apo ulipo umevaa kihuni
Habibaty inti ya hlwa mashaa Allah tenda mema yanayo mridhi Allah na wazazi wko Dunia mapito twakupenda kwa ajili ya Allah ndio twakwambia Allah atuongoze njia njema ww na cc jamii muslimin wa muslimat
Dadangu ,mzazi kukutenga si jambo la kucheka,si mzaaa,rudi kwa Allah habibi,hayat,umri nakupenda sana,inshallah Mola atakujaalia mdogo angu
SubhaAllah Haytham wallah nakuona ulivokua ktk utoto wako ulivokua mtoto hodari sn leo kukuona hvi ni machungu yasioelezeka. Allah akupe taufiq yake utubie toba ya kweli. Rudi kwa Allah ruda kwa wazazi wako
Sote tuwachunga tutaulizwa kwa tulivyochunga
Allah akuongoze urudi kua mtoto.msikivu kwa wazazi wako
Ukiona mtoto mwari wa kizanzibar haishi na wazee wake ujue kapinda kashinda kwa wazee wake😢😢😢daagh Allah akuongoe haitham....rud kwa wazee wako utafte kitu ufnye kwa hapo hutofika hata kenya😢😢😢
Sana ata ukiolew ukaachika utarudi kwenu tu
@@JokhaJokhaabla kwl kbs
😂😂😂😂😂 wazanzibar acheni basi fikra potofu mbona wapo wanaishi na wazazi wao lakini tunapishana nao mgetoni na huko magetoni kwenyewe wanaenda kwa vijana wa kizanzibar 😮 acheni basi hizo
@@hanifahkhamiss8485 tena kapimda SI mwari tu hata mjane zenj kawaida anakaa kwao akiwa mjane
@@PrincessHellen-pg1oy hakuna hzo kufanya makosa huyo anakuja mageton haijalish kiwatetea wengne
Allah atuongoze sis na watoto wetu
Amin
Allah akuhidi inshallah urudi katika maadili mama.
Aamin
Umesema wazee hawataki maana yake wewe huna adabu
Mtoto wa kike kama hukai kwenu unatakiwa uwe kwa mume wako na hilo jichwa liweke wazi kila nywele ya mwanamke kuiyonesha nimoto kadi b ngumu labda pdd
Amiin yaarab
😂😂😂kakata kamba huyu et anajielewa apa hamna muelewaj et akipata pesa atajibadilisha kila kitu mungu tulindie watoto wetu
Mtihani wallah! Mungu amrejeshe ktk maadili.
ALLAH akusamehe na akuogoze uwatii wazazi wako amin 🤲 amin 🤲 Thuma amin 🤲
Kuwapenda wazazi ni kuwaskiliza
Muogope Allah kunasiku tutaondoka wasani wangapi walikuwepo acha mama plz mtoto wa kiislam anaheshma yake
Mashallah binti mzuri ila tabia Hana maadili yakiislam hata kujistiri matatizo Yuko uchi mtandio nusu uchi. Hujielewi kabsaa na unakaa uchi Mtoto wakiislam.
Haitham achana na sanaa rudi kwa Allah wewe ni binti wa kiislamu, unaonesha kifua chako na nywele zako mtandaoni haifai tunakupenda habibty ❤ ndio maana tunakwambia
Kabisaaa
Kwa tabia hio hata muuza nyanya badilika rudie kwa mola wako kabla hujarudishwa
Allah atusitiri
Hakuna support ya kummudhi Allah
Subhanallah wewe bint hebu tubu mwanangu omba msamaha kwa allah na urudi kuomba radhi
Allaah awape wazazi wako subra na imani ni mtihani... haitham mama na baba ndio pepo yako ukiwaudhi wawili hao umemuudhi Allaah usijikoseshe pepo ya duniya na akhera kawaridhishe wazee wako Allaah akurudhishe na ww duniani na akhera..
Sawa kabisa maneno yako ❤
hem toka apaa huna ndoto moja umekubuh uhuni tu,, tena na inxhallah juu muhun ww,, una Sanaa gan ww ya kuelimisha labda kupotoxha,, hem tuache bhanaa
Allah akuhifadhi akuongoze katika maadili mema ya kiislam. Mwanamke ni stara na ni pambo lazima ujiheshimu. Unaweza kufanikiwa kupitia kazi na biashara halali zitakazokulindia heshima yako. Hayo unayoyafanya ni kujidhalilisha kama mwanamke wa kiislam.
Rudi katika mila wasikilize wazee wako utafanikiwa ndugu
Wallah mtiani wallah toogopeni allah
SUBHANALLAH mujue kila anayemuunga mkono mwachangia Moto pamoja
Kweli kabisaaaaa 😮😢
subhanallah dunia imeharibika mtu hasemeshani na wazazi wake 😢kisa sanaaaa Allah tuongoze hapa duniani na hapa akhera
Dah!Ndugu yangu achana na hilo halina dalili za kheri. Allah akuhidi
Pole sana haitham. Ila ningekushauri. Urudi kwa wazazi wako. Acha na hayo mambo ya mitandao ya kijamii. Rudi kwenye misingi. Ya kiislam
Ni kweli wajihi wako haufanani na tabia yako na hakuna mwenye akili akasapoti maovu
❤ zingatia dini na mungu ktk utendaji w majambo yko tu
Nimekuona kwa mda mfupi sana ila nimegundua wewe unaroho mbaya sana hasa kwa mamaako subhanallah
Allah akuongoze, Dadangu Muislamu amewekewa utaratibu wa kuishi duniani haishi tu anavyotaka... Achana na ayo malengo ulionayo🚮 malengo yako yawe ni ya kumridhisha Mungu🙌
Inalillah wa inna ilahy rajioun
Mtihani mkubwa sana
Allah akuhidi
Na akuongoze njia iloyonyooka
Na poleni sana wazee
Allah akupeni subra
Na zidisheni dua kwa
Sana dua za wazee makbul
Inasikitisha kwa kweli
Mtoto wa kislaam
Dua zetu allah akuhidi
Amiin.yarab
Watu watamani waonane na Mtume salallah alyh wasalam ....ww unatamani kukutana na shetani .... Pili wazazi ni muhimu sanaa kuliko unavovifanya ...tatu.. lau ungekuwa mwanabiashara ungevutia sanaa kuliko unachokifanya hivi sasa...hufanani
Unataka wazazi wakusapott uwaungie moton unapenda ww penda tu jua huko sahihi kiislsmu...Allah ayakujalia kukupa muongozo😊
Khaitham unapotea ndugu yetu.kwanza hebu jistiri upouchi kidini...na SIO Mila na desturi zetu Zanzibar
Sanaa SI uhuni Lkn wew Ndo unajifanya muhuni. Ungalikuwa walaw unajistiri Basi Kidogo wazazi wangetulia Lkn huo mwendo as Kwenda uchi ukichanganyika na io Sanaa Ndo uhuni
Hata mimi nawaunga mkono hao wazazi
Muda unao, hebu uwe na wasaa usikilize darsa ya Sheikh Mselem, darsa mada: Watu kudanganywa kua kioo cha jamii, msanii.
Wallahi utalia wewe, unapotea mbali sana, huko ni zinaa, pombe na kupotea, njia ya Shetani hiyo mdogo wetu. Rudi muda ndio huu.
ALLAH akuongoze na akuongoze sote jamia
Sanaa haina heshima ,mana kama niheshima unfaluanza kujiheshimu wewe,naangalia unakoenda kwa Allah habibty nakupenda kwaajili ya allah
Rudi ktk Mila na destur ww ni bint mzuri huko mitandaoni sio kuzur mdogowangu
@@FatmaHamad-g6s wewe je unafuata nini kwanza toka wewe halafu yeye atafuata
@@issataslima9846 ushawahi kuiona sura yangu mtandaoni au unahamu ya kufirwa
@@issataslima9846 na km umekosa basha jitie kifimbo cha chapati msenge we
@@issataslima9846wewe unaumia nini mtu akitoa maoni yake? Huku tupo kuyaona maajabu ya firauni ili tuowaeleze yapo na ya Musa pia!sio kila mtu akiwa humu ni mja wa laana!tukiona baya hatukai kimya tutasema usituzuie, hutuwekei bando kaa kwa kutulia
Kweli lazima watu wakoment vibaya kwasababu huyo muislam anaharibu dini yake
Mungu akufanyie wepesi uone njia ilionyooka, wazazi ndio kila kitu mrudie Mungu
@@comarcabdall1564 kwani wazazi hawakosei
Dunia inatopoteza sana
Walikuapo wasanii kina halikuniki mzee mashaka.chimben lkn walikuwa na maadilinkwa sikunhizi sanaaa mbovu na uchafu
@@zeyanaalgheithy6561 mungu amuohoze nae huyu maana maneno yake yako meupo kuogopa haogopi
Duh!!! Mtihani SANAAAAAAAAAA...!!! Allah akuepushe huko na Malengo yako hayo yapotee na Wazee Wako wawe Juu Yako.
Wazee ni Muhimu Sana Kwako Bado Mdogo Sanaa.
Mola Akuongoze Urudi Kwa Wazazi wako.
ALLAH ATUONGOZEE DADA ZETU, ila ni mambo ambayo yanaumiza sana kwny Familia
Inna lillahi wa inna ilayhi raajiuun Allah atuongozee watoto wetu
Huyu hajatengwa kajitenga
Bado muda unao dada yangu Rudi Kwa mola wako, unaposema unajielewa anayejielewa hawi hivyo ndugi yangu ALLAAHU akuongoze na akupe tawfiq
Hai tham mimi nakusapotisana, lazima ujue wazazi, kwa muislamu ndionguzo yamaisha, yahaduniani nakesho akhera utakapo jitenganao, nakukatowakubalia, nawewunaamini, kama yako maishaya milele Baada yamaisha haya, tahadharinahiyosiku, yaalaitani, kuntun turaba. ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Vhuyu mtoto Ana tamaa Sana
Mpk anakera
Inshaallah Allah akuongoze. Haifai kwa mwanamke wa kiislam kuacha nywele wazi na kifua wazi wakati wajua kila mtu anatazama hii channel
Namna hiyo mwananguu nywele wazii kifua waziiii Subhan Allah Innaalillaahi wainnaailayhi rajiuun hivi kukaa utupu ndio kupendezaaa innaalillaahi wainnaailayhi raajiuun msiba mkubwa huu Allah atutoe ktk giza walikojiingiza aturudishe ktk nuru tulikotoka na vizazi vyetu na waislam woote kwa ujumla yaarrabb
Amiin ya rabby
Amiin
Hakuna mzazi anaemtakia mtoto wake mabaya,haitham rud kwa mungu wako kawaomb radh wazaz wako,ao ndo walokuzaa na wew ni mtoto wa kiislam hutakiwi kuwa Ivo🙏
Allah akuongoze ktk njia za haki. Ujuwe Tu njia hio si nzuri hawatokuacha hao ma boss wengi wameharibiwa kwenye KAZI hizo
Huyu anaiga watoto wa kihuni. Siyo fahari kujitowa kwenye interview. 😂😂😂 anasema Alhamdulilah sasa hivi anajulikana. 😂😂😂😂 Omba Mungu akupe umri tuu wee mtoto…
Haytham nakushauri uwakubali wazazi wako wanavotaka wao wanakupendrlea sana kuliko mtu yoyote
Nakunasihi ndugu yangu ww ni muislam hayo sio maisha ambayo umeyachagua huo si umaarufu huo ni mtihan ww
Hajapigwa makwaju huyu, ALLAH akuzindue urudi kwenye njia na mfumo sahihi
Dah hhh uyu Dem chizi sana aloo Dah ndoto zke eti aonane na card b kalogwa huyu sio bure😂😂
😂😂😂😂
Mm simpi moyo kwa hv anavyojieka acha kabisa usheitwani hv hujui kuonesha nywele wazi ni dhambi
Mm napenda Sanaaa na naigiza ila siwezi kukaaa kichwa wazi na mzazi ikiwa htki usifoc kipez tafuta njia nyengine kipez fun zpo tele
Hutofika sehemu haitham ukikosa radhi za wazee na hayo unayoyafanya 😀😃ata mungu hapendi kwaio ww apo unaenda kukosa radhi za mungu sanaa gani ya kihuni ambayo mungu hapendezewi nayo unataka wazee waridhike rudi kwa familia usipoteee mdogo wangu tanzania hakuna sanaaa
Allah atufanyie wepesi dunia nimapito. Tukumbuke kifo . Sanaa inaelimisha lkn ndugu yangu ungeangalia tena vizuri unachokifanya Allah anaridhia unavyofanya
ACHA UPUZI WEWE MTOTO WAKIKE, UNAIONDOA THAMANI YAKO KWA MAMBO YA KIPUUZI,WAZAZI WAKIKUTENGA NA HIYO DUNIA UNAYOIKIMBILIA ITAKUTENGA PIA..Muogope ALLAH NA Jenga Akhera Yako.Sanaa Ni Upuuzi Wakidunia Tu
Shetani yupo kazini
Means kulitafuta means kulipata
Mtoto site huyo
Pole kwa mzazi wake
Haitham mwangu yote wazee omba dua asiwachukue au kukuchukua kabla hujawaomba radhi ALLAH akuwekee wazazi wako na uzinduke
Yaa Allah wewe ndio tegemeo letu ,kwakila hali ,basi tuongozee vizaz vyetu ktk njia ilionyooka ,Amiin
Sawaaa,weyeee fany kaz2,Haya maisha yetu ndo changamoto
KAzi gani zaidi ya wazazi wako wacha ujinga maisha mafupi haya rudi kwa wazazi wako
World is lke a shadow turn to Allah. Will forgive you All this is lfe turn to Allah my sister wish you all the best
Wasikilize wazazi wako
Wakutakia mazuri
Wazazi wako sio maadui zako
Maadui wakubwa ni marafiki
Utajuta sana maishani😊
Wala Hutofika Popote wwe Na Ukiemdelea Na mambo hayo Utapatwa na Mattzo Makubwa rudi kwa mola wako na Kuomba msamaha kwa mzazi wako tamaa hzo
Maashaallah,,,,ila muogope mola wako na watwii wazee wako,achana na Tamara ya dunia isikuhadae,,,,achana nayo
Ee!ndugu yng rudi kwa wazazi wako uombe msamaha upate rizki uolewe ustirike dunia hadaa ulimwengu shujaa
Allah atuongoze sisi na vizazi vyetu inshaallah
Nawapenda Sana hao wazazi wake huyo bint Allah awape janah
Dadangu ww unajuwa dini ishaa Allah mungu akuongozia njia yahakee
Allah akuhifadh kipenz ❤
Wewe bit rudi kwa mola wako wewe ni bint mdogo sana na mashallaah Allaah amekupa uzuri utumie uzuri wako kwa kumuelekea mola, wala hayo unayo yasema hayana mashiko yoyote mitandao na hizo sanaa ni uhuni haiwezekani wewe mtoto wa kiisilamu kutembe uchi kama hivo. Allaah atusitiri. Na vizazi vyetu
mimi nimelipokuskia unataka kuonana na kard b tu bas nikainuwa mikono juu 😅😅😅
Anahitaji Elimu ya sai colog
Pole sana Allah akuongowe Amin
HUJIELEWI WWE RUDI KWA Allah Ushapotea Mdgo wangu Nywele Nje hzo Laanaa kwa mungu Unajidanganya Wazazi Ndio Njia Ya Kivuko chako kwenda Peponi
@@5amediaonline335 wewe fuata ndugu zako huyo nimtu mzima anayo haki ya kuwa anavo taka
Rudi kwa Allah ,hatuna muda
www.youtube.com/@BizeddOfficial
true
Kwenda huko Malaya mkubwa shangingi Malaya jibwa nyenga mzoefu kalbu taabani tokaaa unajizalilisha tu kavae nguo kwanza togwa la mtama. Mpori pori
Allah akuongoze urudi kwenye maadili mema na uishi kwa wema na wazazi wawili
Habibty naomba no zako,kaka yangu anatafuta mchumba,aohe،yupo morogoro niafungasti baba mwarabu mama muafrik,Mimi Niko Imani nidada yake
Ndoto zako azijuae ni allaah rudi kwanza kwa wazazi wako na watakuelewa na kila kitu kitakua poa inshallah
Bd unaakili za kitto haithma.hujawa bdo ukiwa utajielw ww mwnyw maleng n mwnyw kujielew kwnz ana appearance y kuongy ww at kuongy hjui hjui kujielzea daah unajion unaongy lkn hmn kt apo 😂😂😂
Haytham mpenz 😊 wng skiliza wazaz wako please, asiefunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu. Je? upo tayar ulimwengu ukufunze! 😢
Kweli kabisaaaaa sikiliza hayo maneno urudi kwa wazazi wako bado wako hai wakija kuondoka kama bado hawako radhi Amini utakuja kujuta saana...
Majuto hayatokusaidia lolote.. Itakuwa ni hasara tu... Kujakukosa radhi za wazazi😮😢
Innalillah wainailehy rajiun Allah atuongoze sote na watoto wetu. Maskini huyu bado ana utoto mwingi
Ni kweli kabisa
Tena anautoto mwingiiii😢
KAMA UNAAMIMI HUYU DEMU KUONGEA KWENY MEDIA HAJUI GONGA LIKE
uhakika
SUPPORTED BROTHER
Sio km anakatishwa tamaa bali anaonyeshwa njia sahihi, ila kasema anaelewa nini anafanya kwhy bora tumuache tu,ila mm niloposkia anatak kuonan na card b bas nimeinuwa miknono juu,
Mwenyezi Mungu ametuambia tumuabudu yeye na wazazi wetu tuwafanyie ihsani wewe unampinga Allah
Jistiri vizuri upo uchi kwa Sheria ya dini ya kiislam
Allah akuongoze binti yetu
SubhanaAllah tuwaombee vizazi vyetu lnshallah unakaa kabisa azarani na kusema unataka kubadili umbile ukipata pesa ww mtt wa kiislam Allah akuongoze
Mtihani wa wazazi
Allwah atupe nguvu ktk malezi
Na mashoga pia huona wapo sawa wasapotiwe Mambo yao
Maskin dada yangu Allah akuongeze
Haytham rudi kwenye njia sahihi mama dunia ni starehe chache t hii
😢Maskin hajielewi huyuuu nyieee
Suali la kukataa au kukubali ni juu yako, Sisi cio kazi yetu kuongoa. Maisha ni mafupi sana, jukumu letu ni kukuelekeza, wazazi wako wanajielewa ata kuliko wewe wasikilize, na kumbuka hakuna mafanikio ya dunia wala akhera bila ya wazazi. wasalam.
Mhh hyu mwanamke hamna k2 anasahau hadi kufa eti ndoto zake akutane na kafiri kisa amefanananae
Subhanallah.
Atajibarilisha kasema awe maumbile mawili.
Haitham " "Allah kareem mrudie allah muombe msamaha mwingi wa rehma atakusamehe, radhi ya wazazi ni muhimu, kuliko chochote unachokipenda katika dunia hii, mlaani sheitan, sema astaghfirullah x100 , usimfurahishe sheitani, ukaacha kumfurahisha Allah SW na mtume wake MHD SAW, na umepitiliza mpaka kukosana na wazazi wako, upo ktk mtihani mkubwa.
Allahuma Aameen 🤲
Tujitahid tunapo a
ndikajina la "Allah" andika kwa herufi kubwa Shukran
@sheikhanasser4714 in sha ALLAH
Hv ww bint kbsa unajua kitendo cha mama yako kulea mimba miez 9 had kuzaliwa hadi unaita mama una kipi cha kuwalipa wazee wako mrudie mola wazaz ndo mungu wa pili unapata ghadhabu ya Allah iko na ww kila pahala tubia achana na mitandao itakuharibia hata hzo ndoto zako.😢😢😢😢
Ni kweli kabisa
Au una NJAA haitham. Usifanye Mambo Hayo sio silka za kiungwana. Tulia mama unajitukana walah. Alla akusaidie
Nakuomba mwanangu mbele ya wazee hujajielewa my love utakuja juta katika maisha yako huto tobowa rudi kwa wazazi wako upate ridhaa Yao dunia hii na wewe mtoto wakislamu haya maisha ya kupita tu tumuogope Allaah
ANASEMA KWANZA ANAFANYA MABAYA AKISHA KISHAONGEA NA MUNGU KUWA ATAACHA KABLA AHADI YAKE KWASABABU YEYE HAFI SAIVI. huyu mtoto hana ADABU, yaliwashinda kina snura wakaona machungu yake, huyu bado mwehu asije kuzinduka wakati Israeli kafika
Sanaa ya tanzania haikufikishi pahala zaidi utaliwa lakini uyuh dem anavuta bangi kwaio 🤣uyuh kapinda kurudi ngumu ivyi anavyoongea tuh hajielewi
MTOTO. WA KIISLAM jifunze KUWA MWEMA.
KAA NA WA ZAZI WAKO.
KWANZA VAA VIZURI😊
WANAWAKE WA ZANZIBAR WANAJIHESHIMUU
Sio wazazi hawataki hata mungu wako pia hataki na ipo siku utakutana nae
Subhanallah, tena msanii mwamerika man tashabaha bi qawmin fahuwa minhuum
Haydhim kweli ww , angalia nyuma faham wewe kukosana na wazazi niballah mdogo wangu hiyo syo , Haytham
Mungu akujalie uwache uwo ujinga unao fanya Ili upate mwisho mwema watu wana malengo yaku onana na mtume wew unatk ukaonan na cardi b