ALIYEKUWA AKIMLINDA RAIS MAGUFULI AUNGANA NA WENZAKE KWENYE MAFUNZO HAYA MKOANI KAGERA, ASEMA HAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 106

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 День тому +5

    Mungu ni Mwema Hallelluja Hallelluja Hallelluja nafurai nilivyo kukuona tena Yani Tangiya Rais wetu Mpendwa J.P Magufuli atoweke Duniani ubarikiwe kwakweli ❤❤❤

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 День тому +9

    Mungu ibariki tz yangu najivunia kuwa mtz❤

  • @Shadia544
    @Shadia544 День тому +20

    Mungu ni mwema hatimaye tumemuona mlinzi wa MAGUFURI tukimuona huyu mlinzi tunamkumbuka MAGUFURI 😢

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 День тому +9

    UBARIKIWE na kutunzwa sana mzee wetu YOHANA 14:14🙏

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y День тому +6

    Nimekuona ni sawa nime muona JPM ❤❤❤❤❤❤❤❤❤mungu hakulinde kaka

  • @ikupamwaisoba2068
    @ikupamwaisoba2068 День тому +6

    Daah huyu kaka nimefurahi sana kumuona ubarikiwe na uzidi kulindwa na Mungu ulimlinda JPM kwa uzalendo mno❤

    • @IsakoKino
      @IsakoKino День тому

      😂😂😂 wengi na hawalindi kwa uzalendo

  • @yassinerasmus7400
    @yassinerasmus7400 День тому +17

    Mungu mkubwa sana jaman tumutangulize kama alivyokuwa akisema JPM.

  • @mbarouksattar5281
    @mbarouksattar5281 День тому +18

    Sio Mlinzi Wa Rais,Huyo Ni Mpambe Wa Rais "Aide de Camp"(ADC)

  • @ajuayekilindi4401
    @ajuayekilindi4401 16 годин тому +1

    Tunakupenda sana

  • @AlexSamson-g4f
    @AlexSamson-g4f День тому +10

    Mwamba alitufungia mafunzo 842kj 2021 afande ibuge

  • @HandekingMbughi
    @HandekingMbughi День тому +3

    Respect Kwame mheshimiwa

  • @DanielSanga-hf7dh
    @DanielSanga-hf7dh 20 годин тому

    Huyo mwamba anasiri kubwa sana katika kifo cha Raisi mpendwa wetu DR MAGUFULI

  • @OscarKasalile
    @OscarKasalile День тому +7

    Mpambe wa Magufuli hakika leo nimemuona

  • @SaidIssa-tq3yv
    @SaidIssa-tq3yv День тому +2

    Hongereni sana jengo safi safi , na nidhamu ya Hali ya juu.
    Greetings from Zanzibar.
    Mungu Akubariki M-G . Wibuge.

  • @DominicKani-ri9le
    @DominicKani-ri9le День тому +7

    Safi sana hii inaonyesha ni jinsi gani Jeshi inakuwa pamoja na jamii maana wanajeshi ni watanzania haina haja ya raia kuwaogopa ns kuwachukulia kma wahaini niombe amiri jeshi Mkuu na mkuu wa ulinzi na usalama kufatilia mienendo ya kambi zetu nchi nzima kuona ni jinsi gani wanaishi na jamii inayowazunguka.

  • @stevinmwanzaa1785
    @stevinmwanzaa1785 День тому +2

    Mlinzi wa magufuli tumefurai kukuona mungu ibariki tanzania

  • @HandekingMbughi
    @HandekingMbughi День тому +1

    Mungu amuongeze vyema kiongozi

  • @upendosanga9205
    @upendosanga9205 2 години тому

    Damu ya yesu ikufunike kila anyayuapo unyayo wako na akuzingile kwa moto mkali tunakupenda mzalendo

  • @SeverinLeodgar-q5q
    @SeverinLeodgar-q5q День тому +2

    MHESHIMIWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DR SAMIA tunaomba mpandishe cheo Conol Bernard huyu ,Alikuwa akipendeza sana akiwa nyuma ya JPM na alifanya kazi yake vyema Sana

    • @MirriamDevis
      @MirriamDevis День тому

      He is very presentable

    • @desolz3809
      @desolz3809 19 годин тому

      Hajapoa kabisa na anashule kubwa​@@MirriamDevis

  • @EmanuelPetermadembwe-g1u
    @EmanuelPetermadembwe-g1u 17 годин тому

    Safi sana

  • @lazarosoja6522
    @lazarosoja6522 День тому +1

    KAZI NZURI SANA KUJIFUNZA ZAIDI MAMBO YA NDANI NA KUINUA UCHUMI NA USALAMA WA TAIFA

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 День тому +6

    Namuona JPM nikimuona huyu askari

  • @AgustnoBoaz-m4m
    @AgustnoBoaz-m4m День тому +2

    Uccm tu kw hawa wakuu na hawajali mateso na magumu wanatendewa watanzania raia wanatekwa na kuuwawa lkn Cha kushangaza ni vile wanaongea utaamini kuwa nchi iPo shwari!!!!? ki usalama elimu, afya na uchumi! kumbe vyote ni hovyo tu zaidi wanachumia matumbo tu hivo vyeo vyao mabegani

  • @nuhhumwakanyamale4771
    @nuhhumwakanyamale4771 День тому +8

    Nimefurah kukuona mzee wetu, Maana watu walishasema yao.
    Ila leo nimekuona na kukusikia fresh, sasa bado yule mwingine tunataka kujua alipo na yu halign.

  • @Lufuta33.
    @Lufuta33. День тому

    mzee wetu wa buswelu mwanza🎉🎉

  • @tanzaniantraveller
    @tanzaniantraveller День тому +1

    Viva Tanzania 🇹🇿

  • @SaimonAdam-hr6zm
    @SaimonAdam-hr6zm День тому +4

    Huyu aliyekuwa mlinzi wa jpm apewe ukuu wa mkoa

  • @MartinstephenKawishe
    @MartinstephenKawishe 15 годин тому

    Apandishwe cheo awe brigedia general.

  • @dd-yc1mw
    @dd-yc1mw День тому

    Ikimpendeza Mungu na rais yoyote atakaekuja akuchague kuwa Afande CDF

  • @michaelboniphace3685
    @michaelboniphace3685 День тому +8

    Huyu ADC wa Magufuli si alipanda cheo na kuwa Brigedia mbona bado ni Kanali tena

  • @EdwardMaziku-td2li
    @EdwardMaziku-td2li 14 годин тому

    Kuna mambo mengine kama hayo hayana haja ya kuyatoa hadharani hasa mipango yenu ya kiulinzi ni vizuri ikawa siri yenu

  • @philipraphael3676
    @philipraphael3676 День тому

    Huyu sio mlinzi ni mpambe ADC [Aidè de Camp]

  • @kanikionlineTV
    @kanikionlineTV День тому +4

    Duuuh

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 День тому

    Dingi mkuu wa chuo unafanana na IDD AMIN

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 13 годин тому

    Mlishindwa kushauri kuhusu BANDARI

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 День тому +1

    Amenenepa,mwenyezi MUNGU ampe ulinzi

  • @mlawigalactico3855
    @mlawigalactico3855 23 години тому

    Mnachangany hyo sio mlinz wa raisi ni mpambe wa raisi

  • @SissoBtoz
    @SissoBtoz 21 годину тому

    Tuonyesheni na yule wa usalama wa taifa alokua anatembea nae

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 День тому

    Nimemuona mpambe wa JPM alikua Hana noma

  • @KimtipesaRadio-k9i
    @KimtipesaRadio-k9i 15 годин тому

    Hiyo ni mikoa ya tanganyika sio ya Tanzania mbona hata mmoja aw Zanzibar haupo hata mmoja...

  • @hudhaimaismail
    @hudhaimaismail День тому +6

    Salim kikeke mtafute huyu mwamba tutajifunza mengi kupitia huyu kuhusu jpm

  • @Ramadhanihussen-y7f
    @Ramadhanihussen-y7f День тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤JWTZ

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 22 години тому

    Mnichukulie form na mimi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @stephenjonas4866
    @stephenjonas4866 День тому +2

    Afande mulunga naona ana bawa kwenye sare yake

  • @fredymbilinyi6323
    @fredymbilinyi6323 День тому +1

    Kama sio yeye

  • @vijanamotomushambawashamba198
    @vijanamotomushambawashamba198 День тому

    Kalibuni kagera

  • @williammwanganya550
    @williammwanganya550 День тому

    Mlinzi wetu fahari yetu tukimuona tunamkumbuka raisi wetu..Mungu aibariki tanzania

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania День тому

    Ni memuona huyo mrinzi wa Magu nimefurahia sanaaa

  • @muhuwathabit47
    @muhuwathabit47 День тому +2

    Hapo ada peke yake Ni Ni million 68

    • @ImmaBahati
      @ImmaBahati День тому +1

      Uongo bwana

    • @muhuwathabit47
      @muhuwathabit47 День тому

      @ImmaBahati Kweli mwanngu amini hhhhhhhhhh🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MossRajab
    @MossRajab 3 години тому

    🎉

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 23 години тому

    Wakola waitu

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 День тому

    Naona hapa kama ni kagera nasikia sauti ya "ebinyahwawa" wakilia. Karibuni kagera usisahau kununua senene mzee

  • @GilbertKhitambala
    @GilbertKhitambala День тому

    Kamanda wa JPM, siku nyingi sijamuona

  • @rebeccamaingu6683
    @rebeccamaingu6683 День тому +4

    Nikimuona huyu baba namuona JPM wetu

  • @stn4873
    @stn4873 День тому

    SHULE MUHIMU.

  • @IsmailNsengiyumvaa
    @IsmailNsengiyumvaa День тому +3

    Vp

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 День тому

    😢😢

  • @Sahlomon-jp4jr
    @Sahlomon-jp4jr День тому

    Naendelea na uchunguzi wangu kuhusu watanzania. Na ninachokifanya mara nyingi, kwenye videos kama hii, ni kupitia comments za watu......nasema watanzania wengi ni wapumbavu sana. Mpaka sasa hakuna anayecomment kuhusu content ya haya mafunzo, wapo busy kucomment ujingaujinga tu wa mahaba yao kwa watu wao. Ukiwauliza kulikuwa na nini, nina hakika ni 1% tu ya waliokoment watakuwa na jibu. Mungu ibariki Tanzania.

  • @Luhumbika
    @Luhumbika День тому

    Tuambie kuhusu mwamba

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 День тому

    Sasa mnasikiliza tu hao hao viongozi wa ccm mtajuaje wananchi wana maoni gani kuhusu namna serekali inaendesha nchi yao

    • @Ramadhanihussen-y7f
      @Ramadhanihussen-y7f День тому

      Ww achana na siasa apa jesh wapo ktk jambo lao ww kula ulale

    • @merumount5988
      @merumount5988 День тому

      ​@Ramadhanihussen-y7f jeshi wanamtumikia nani? Acha vitisho vya kijinga, hayo wanayofanya na uwepo wa hicho chuo una faida gani kwa nchi? sababu pesa wanazotumia ni kodi za wananchi! Kwa haraka huwezi kuona faida ya uwepo wa chuo na program km hizi kwa nchi..sabb changamoto zinazogusa maisha ya watu wengi bado hazina majibu..umasikini, ujinga, rushwa na ufisadi ndio vinazidi kuongezeka..si lazima adui wa nchi atoke nje ya mipaka ya nchi au awe ni mwananchi wa kawaida, adui wa nchi wanaweza kuwa ni hao viongozi wetu..sasa jeshi wanashiriki vipi kukabiliana na maadui hawa..km wanaingizwa kuwa sehem ya utawala unaoum8za wananchi? Hizi program zinaweza kuwa na lengo la kuwabrain wash na kuwafanya wasifikirie mambo mabaya wanayofanyiwa wananchi na viongozi..!

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x День тому +2

    Mbona kazeeka

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e День тому

    MUNGU ni mwema😂😂😂

  • @yusuphrashidi-dr1kb
    @yusuphrashidi-dr1kb День тому +1

    Hivi kwnn kila nafasi ya kijeshi ni Mtanganyika then wakristo tu hapa kuna shida mfumo kristo ni mimi kutoka zanzibar free

    • @Ambagaye
      @Ambagaye День тому

      Mawazo mgando!

    • @adoniemanuel908
      @adoniemanuel908 День тому +1

      sasa unashangaa hivoo zanzibair umeshaona mkristo amekua rais au zanzibair niyawaisilamu tuu tulia mzee

    • @LORDRICKNKYA
      @LORDRICKNKYA День тому

      Ww kweli fala Zanzibar mkristo anashika nafasi serikalini????

    • @شيخنيف
      @شيخنيف День тому

      Mfumo Kristo hatari sana upo kwa ajili ya kuukandamiza Uislam na Waislam

    • @yusuphrashidi-dr1kb
      @yusuphrashidi-dr1kb 18 годин тому

      @@شيخنيف hawa watu wabaya sana

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 День тому +5

    Mmh! Kumlinda ?
    Kumbe mwenda zake alikua halindwi na Mungu e!

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx День тому +3

      Acha unafiki Kuma la Mama yako wewe

    • @jacobmaganga3354
      @jacobmaganga3354 День тому +1

      Tuliza ndonga ww, nyumbani kwenu mamako na babako walisomesha ng'ombe

    • @Ambwene
      @Ambwene День тому

      KAFIRWE HUKO MKUNDU WEWE

    • @IsiahMosl
      @IsiahMosl День тому +2

      😂😂😂😂😂 acha nicheke mie walisomesha ng"ombe kweli

    • @benjaminzakaria3356
      @benjaminzakaria3356 День тому

      ​@Peterc😂😂😂hila-un2lx