ACHILIWA KWA JINA LA YESU // MAOMBI MAALUM YA KUVUSHWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Ujumbe: Maombi ya kuvuka
    Andiko: Ezekieli 34:16
    Pastor: Innocent Mashauri
    Ezekieli 34:16
    Nami nitawatafuta waliopotea, nitawarudisha waliofukuzwa, nitawafunga waliovunjika, nitawatia nguvu wagonjwa; nao wanono na wenye nguvu nitawaharibu; nitawalisha hukumu.
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/siri...
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 71

  • @AnusiataNziku
    @AnusiataNziku Місяць тому +1

    Mungu achilia ukombozi kwenye maisha yangu vifungo vya ibilisi shetani viachie familia yangu nikumbuke baba Amen.

  • @HellenBaby-jn8ft
    @HellenBaby-jn8ft Місяць тому +1

    Amen 🙏

  • @joankalegi
    @joankalegi Місяць тому

    AMEN AMEN, 🙏🙏 ASANTE YESU KWA KUNITENDEA, ASANTE KWA KUNIKOMBOA KWENYE VIFUNGO VYA GIZA 🙏🙏

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 Місяць тому

    Asante bwana unaweza yote,baba naomba ukanivushe nakunitoa Kwa kila kifungo,pia kuharibu kila mipango YA shetani Kwangu hata kwatoto wangu Kwa Jina la yesu🙌🙌🙏❤️

  • @user-xo7ns7bc8c
    @user-xo7ns7bc8c Місяць тому

    Amen amen eeeeh Bwana Yesu nivushe katika madhabahu za kutoolewa,uganga na uchawi na hata nisizozijua ila ww unajua maisha yangu maana ulinijua kabisa hujaniweka tumboni mwa mama yangu umeyachunguza malango yangu na unajua kila kiandamacho maisha yangu Jehovah

  • @janecharo1196
    @janecharo1196 Місяць тому

    MUNGU MWENYEZI NASONGA MBELE ZAKO NIKIOMBA TOBA NA MSAMAHA. BABA DAMU YA MWAÑAO YESU KRISTOR IKAKATE KILA MINYORORO KWA MAISHA YANGU 🙏 WATOTO WANGU UKAWE MWANGA WA NJIA ZAÑGU AMEN

  • @EstherBitengo
    @EstherBitengo Місяць тому

    YESU 😢 usinipite unapo Sulu wengine unikumbuke mm na wanangu,uyafute machosi haya, unisamehe dhambi zangu,uniokoe Baba 🤲 Kwa uwezo wako Amina.

  • @MercyWanjala-ki5nn
    @MercyWanjala-ki5nn Місяць тому

    Nivushe ee Bwana katika Hali zote ninazopitia

  • @FrankRafael-u1f
    @FrankRafael-u1f Місяць тому

    Mungu akubark mtumish kwa mafundisho hii kwel ni sir za biblia

  • @fatumakyese290
    @fatumakyese290 Місяць тому

    Wewe ni Bwana niponye nikujue zaidi Yesu

  • @user-qe6ie8jv5b
    @user-qe6ie8jv5b Місяць тому

    Hallelujah Amen, naomba siku ya leo iwe baraka kwangu na watoto wangu na family yangu

  • @ScholarBwire
    @ScholarBwire Місяць тому

    Asante mtumishi wa mungu kwa majira haya kwamaombi🙏

  • @Princesscareen
    @Princesscareen Місяць тому

    Yesu yesu tawala kwenye maisha yangu

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa Місяць тому

    Ee mungu wangu nahomba nihachiliwe kwa Jina la Yesu

  • @DianaMwakibibi
    @DianaMwakibibi Місяць тому +2

    Mungu msaidie mama angu aweze kulipa madeni yote katika jina la yesu

  • @HeritierMwengeGisele
    @HeritierMwengeGisele 23 дні тому

    ❤amen

  • @amisakiza1538
    @amisakiza1538 Місяць тому

    Kombowa ndugu zangu Yesu navifungo vyahulevi piya naroho zatamaha yamwili. Ponya hukoo, jamihi na familiya yangu yote kwahujumla usinipite Yesu naomba

  • @witnesselkana
    @witnesselkana Місяць тому

    Nivushe Bwana Yesu kwenye uzao😢

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 Місяць тому

    Emeeeen

  • @RoseMageni-hz2ni
    @RoseMageni-hz2ni Місяць тому +1

    Ee Mungu nifungue na vifungo vyote mimi na familia yangu natamka ufaulu mzuri kwa binti yangu na Ajira kwa kijana wangu naachilia uponyaji kwa mwanangu mdogo na hamu ya kula chakula nivushe katika magumu yaliyojuu ya uwezo wangu niepushe na majaribu yanayozidi uwezo wa Imani yangu Mungu naomba Uinue Uchumi wangu inua mauzo ya juu kwenye biashra yangu gusa wale woote wanaogusa maisha yangu kwa namna moja au nyingine wazingire kila Eneo la maisha yao katika jina la Yesu ilinde familia yangu yote AMEN🙏

  • @user-op5dd1js5l
    @user-op5dd1js5l Місяць тому

    Amina kwa uwezo wako ee Bwana

  • @alinependo-bk4jj
    @alinependo-bk4jj Місяць тому

    Mungu nivuguwe vifugo vyote vyakira aina na family yangu 🙏🏽

  • @JONISIAMWILONGO
    @JONISIAMWILONGO Місяць тому

    Usinipite Mungu wangu nivushe nakutegemea

  • @ScholarBwire
    @ScholarBwire Місяць тому

    Asante yesu🙏🙏🙏

  • @margaretmumby2411
    @margaretmumby2411 Місяць тому

    Nivukishe yesu

  • @jnrnero6441
    @jnrnero6441 Місяць тому

    Amen ubarikiwe mtumishi

  • @user-nw5of4xh4q
    @user-nw5of4xh4q Місяць тому

    ameeeeen

  • @WinfridaMakina
    @WinfridaMakina Місяць тому

    Asante YESU 😊

  • @user-lv7wt6tj4j
    @user-lv7wt6tj4j Місяць тому

    Amina

  • @denniswambua1430
    @denniswambua1430 Місяць тому

    Ehe mungu nifungulie milango yangu ya maisha..

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 Місяць тому

    Asante kwa neema hii Bwana

  • @WinfridaMakina
    @WinfridaMakina Місяць тому

    AminA

  • @nonveroniquejohn
    @nonveroniquejohn Місяць тому

    Ee bwana nivushe kwe kwegne vita vya shetani kwa jina la yesu cristo maisha yangu ya achiliwe kwa jina la yesu cristo

  • @NdayishimiyeAgnes-of2tn
    @NdayishimiyeAgnes-of2tn Місяць тому

    Usinipite Bwana

  • @GetrudeMasale
    @GetrudeMasale Місяць тому +1

    Nivushe kwa hili jaribu kwa jina la Yesu

  • @DanielChaula-q6h
    @DanielChaula-q6h Місяць тому

    Asante bwana haujatuacha

  • @susumakomanya9762
    @susumakomanya9762 Місяць тому

    Nayaweza mambo yoye katika yeye anitiaye nguvu

  • @mabogoJames
    @mabogoJames Місяць тому +1

    Nimeombewa hadi nimefikia hatua naona kama nawachosha watumishi.afya takribani mwaka wa 3.kupungukiwa damu hadi 2g.napenda niombe lakini nashindwa kabisa, kufunga ndo siwezi kabisa.mwanangu mdogo miaka 5 ndiye anakaa akiniombea na kunifariji pakubwa.naomba msaada, siwezi kabisa kuomba wala kufunga.naumwa siwezi kueleza Sana.Imefikia mahali naona ni hali ya kawaida kwangu, hili suala linanisumbua Sana.Naomba neema ya MUNGU izidi sana kwenye maisha yangu na mwanangu.

    • @reyswai1622
      @reyswai1622 Місяць тому

      Mcheck tu lakini pia usiache kuomba na shiriki binafsi meza ya Bwana nyumbani Kwa Imani, Mcheck huyu @reen_herbal kwaajili ya kubadilisha ulaji wako.

    • @user-em4ux9cs9h
      @user-em4ux9cs9h Місяць тому

      Pole sana mungu atakuinua

  • @user-cz1lo7im4p
    @user-cz1lo7im4p Місяць тому

    Eeeh yesu usinipite baba yangu sinamwingine wakuniponya nie pushe namambo ya washawi wananitesa nipiganie baba

  • @rukianyakawaga6465
    @rukianyakawaga6465 Місяць тому

    Mungu mponye mwanangu apone migu yake awe mzima

  • @SmilingArcade-xj7zg
    @SmilingArcade-xj7zg Місяць тому

    Mungu wangu naomba unifungulie vifungo vyote nilivyo fungwa pamoja na family yangu kwa ujumla asante mungu kwa yotee 🙏🙏

  • @KinamaDecomo
    @KinamaDecomo Місяць тому

    Eeeh mungu nifungue vifungo

  • @Elinalungu-wv9zu
    @Elinalungu-wv9zu Місяць тому

    Eeee Mungu usinipite ww ndo tegemelo langu

  • @jnrnero6441
    @jnrnero6441 Місяць тому

    ❤❤❤

  • @lian-ty1jw
    @lian-ty1jw Місяць тому

    Usinipite baba nivushe kwenye haya nayo yapitia achilia uponyaji kwa mdogo wangu na baba yangu ukawavushe kwenye mapito yao AMEN

  • @BeatriceMathew-qy5lw
    @BeatriceMathew-qy5lw Місяць тому

    Amina naomba iwe siku njema kwangu ikawe ya baraka kwa jina la yesu

  • @eveabasi2469
    @eveabasi2469 Місяць тому

    Asante sana Yesu Kwa kunivusha katika kipiind hiki kigumu

  • @SelinaRaphael-dr5lg
    @SelinaRaphael-dr5lg Місяць тому

    Ee Mungu usiniache tawala maisha yangu, watoto wangu, familia yangu, afya yangu na ndoa yangu

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 Місяць тому

    Asante Yesu kwa kutukomboa kutokana na vifungo vywa shetani

  • @Mommy4147
    @Mommy4147 Місяць тому

    Mungu wangu naomba wataki huu unimpe matamanio ya moyo wangu baba😢😢😢😢

  • @jnrnero6441
    @jnrnero6441 Місяць тому

    Naomba tumbo langu lifunguke Kam ulivofungua Kwa Hana ee MUNGU pia mume wangu aokoke naomba baba ingilia kati maisha yetu

  • @JeromeBaraka
    @JeromeBaraka Місяць тому

    Muchungaji bwanayesu asifiwe naomba nambayawasapu

  • @leonardphilip565
    @leonardphilip565 Місяць тому

    Bwana nipo hapa naomba univushe kwenye changamoto ya afya ninayopitia nyakati hizi ngumu kwangu naomba uibariki siku yangu ya leo

  • @kanyamunezaclaudineclaudin9627
    @kanyamunezaclaudineclaudin9627 Місяць тому

    Usinipite mokozi nisikie unapogusa wengine na Mimi niguse nimechoka naomba kusikika mbeleza Bwana

  • @ZittaBasoo
    @ZittaBasoo Місяць тому

    Kwako bwana nimekua salama

  • @husenikinofu1030
    @husenikinofu1030 Місяць тому

    Usinipite bwana nipo mikonon mwako shusha ulizikwangu ukawe falaja kwangu naombafungua balaka kwangu namajibu

  • @reyswai1622
    @reyswai1622 Місяць тому

    Amen 🙏

  • @husenikinofu1030
    @husenikinofu1030 Місяць тому

    Amina

  • @mabogoJames
    @mabogoJames Місяць тому

    Nimeombewa hadi nimefikia hatua naona kama nawachosha watumishi.afya takribani mwaka wa 3.kupungukiwa damu hadi 2g.napenda niombe lakini nashindwa kabisa, kufunga ndo siwezi kabisa.mwanangu mdogo miaka 5 ndiye anakaa akiniombea na kunifariji pakubwa.naomba msaada, siwezi kabisa kuomba wala kufunga.naumwa siwezi kueleza Sana.Imefikia mahali naona ni hali ya kawaida kwangu, hili suala linanisumbua Sana.Naomba neema ya MUNGU izidi sana kwenye maisha yangu na mwanangu.

    • @danielsamuel7557
      @danielsamuel7557 Місяць тому

      Mwambie MUNGU ana sikia hata kwa sauti yako unamkumbuka hezekia aliambiwa atakufa asipo tengeneza mambo ya nyumbani kwake aka tubu aka mlilia ADONAI akiwa kitandani naye akajibu maombi yake nae akapona usimuche mungu usichoke kwani ata kujibu saa yoyote kataa roho za mauti na majin utapona Amen

    • @danielsamuel7557
      @danielsamuel7557 Місяць тому

      Mwambie MUNGU ana sikia hata kwa sauti yako unamkumbuka hezekia aliambiwa atakufa asipo tengeneza mambo ya nyumbani kwake aka tubu aka mlilia ADONAI akiwa kitandani naye akajibu maombi yake nae akapona usimuche mungu usichoke kwani ata kujibu saa yoyote kataa roho za mauti na majin utapona Amen

    • @mabogoJames
      @mabogoJames Місяць тому

      @@danielsamuel7557 nashukuru sana kaka

  • @user-jz9jb8hy6f
    @user-jz9jb8hy6f Місяць тому +1

    Amen

  • @dollahmichael9504
    @dollahmichael9504 Місяць тому

    Amen 🙏

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 Місяць тому

    Amen

  • @happymacha6625
    @happymacha6625 Місяць тому

    Amen

  • @user-lb9sl5nd9r
    @user-lb9sl5nd9r Місяць тому

    Amen

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Місяць тому

    Amen