JOEL LWAGA AJIBU TUHUMA ZA KUWA NA MTOTO NJE,KUVUNJIKA NDOA YAKE NA MATATIZO YALIYOMPATA MKE WAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 178

  • @btsanime6138
    @btsanime6138 3 роки тому +33

    Usiimbe kama unawaimbia watu Mr Joel please imbia Mungu kwa Roho na ukweli kuliko uimbie watu. La sivyo utakiona cha mtema kuni tuna maisha mafupi ujue.

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 3 роки тому

      Wewe usinitumie mtu maneno km haya

    • @evagracelema1593
      @evagracelema1593 2 роки тому

      nikwel ni muhimu kumuimbia Mungu. maandiko yanasema Hao ndio Mungu anataka. kwa upande mwingine naona nyimbo za Joel Hua anaimba kwajili ya watu. Nyimbo zake ni kama maubiri mafupi. maubiri Hua ni kwaajili ya watu. Nyimbo zake zinakumbusha watu Uwezo wa Mungu kwenye Maisha yao, haswa wakiwa wanapitia magumu.

    • @LovenessMussa-xh5mg
      @LovenessMussa-xh5mg 7 місяців тому

      ​@@evagracelema1593❤

  • @vincej9275
    @vincej9275 Рік тому

    I like Joel Lwaga's positivity. Ana mwoyo mzuri ma ni mtu ana furaha sana.

  • @pericykiko6198
    @pericykiko6198 3 роки тому +19

    Joel jiangalie sana waimbaji wengi walishatekwa na jamaa anaeatamani sana Ili awatoe kwenye mstari wa Mungu, moja muache tamaa muache kujilinganisha na wasanii wa bongo freva

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 3 роки тому +1

      Usisahau na kujifanananisha nao mavazi style za kucheza, wanatakiwa wajue wao wanamwimbia Mungu

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 3 роки тому +1

      @@juliethhouseofdesigns147 yaani Mungu atusaidie unaiga hata hujui nani yupo nyuma ya huyo mtu

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 3 роки тому

      @@pericykiko6198 wimbo wowote au albam yoyote mnaadaa akikisha mnaikabidhi kwa Mungu, yaani iwe ni chombo cha kumpa sifa Mungu kwahiyo yeye akiona kitakutoa kwenye uwepo atazuia ili usijetoka kwenye mstari ata hizi colabo akikisha mnaomba kabla ujamwambia unayetaka kumshirikisha kwenye wimbo

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 3 роки тому +1

      @@juliethhouseofdesigns147 Hakika

    • @joyjilien5432
      @joyjilien5432 3 роки тому +1

      @@pericykiko6198 yaani umeongea vizuri sana ndugu

  • @husnamtuveta8056
    @husnamtuveta8056 3 роки тому +4

    Mmmmh anaonekana kabisa ana mtt kweli huyu🤣 kabisaaa macho ya namsutaaaa

  • @emmanuelgyy7232
    @emmanuelgyy7232 3 роки тому

    Broo Joel I really like your thinking..Uko poa broo..Huyu mchaga mdadisi Sana

  • @NiyubuntuAisha
    @NiyubuntuAisha 3 місяці тому

    Bro nakupenda tu ❤❤❤ kama una mtomto usimukane mana ni baraka

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 3 роки тому +5

    *Nakupenda ni wimbo maalum kwa wapenzi waliopo kwenye mahaba mazito sana, huu ni wimbo mpya toka kwangu bofya picha pembeni 👈🙏 kuutazama naamini utaupendaaa*

  • @alpeshamedia42
    @alpeshamedia42 3 роки тому +3

    Kwa watu wazima na tulioko kwenye ndoa tuna jua mengi kutokana na aibu alizo nazo lwaga ni dhahili kuwa hayuko sawa katika ndoa na pia mtoto anaye wajaribu kumuogopa Mungu la sivyo watapigwa mapigo saba kama ya farao.

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 3 роки тому +5

    Joel has bn my crush 😍😍 his smile is very contagious...ila ulioa kaka kabla cjatua daresalaam🙆‍♀️🙆‍♀️

    • @violettemitchel6772
      @violettemitchel6772 3 роки тому +1

      Hahhaaaaa this is byutiful. Poleee.....

    • @shiksshiks8494
      @shiksshiks8494 3 роки тому +1

      @@violettemitchel6772 aki unanicheka 😹😹😹😹 i was so much into him
      Acha nikae tu 254 sasa🤣🤣🤣🤣🤣

    • @violettemitchel6772
      @violettemitchel6772 3 роки тому

      @@shiksshiks8494 This is a beautiful comment. Most netizens are full of negativity. At least I found a funny comment. Karibu +250

    • @shiksshiks8494
      @shiksshiks8494 3 роки тому

      @@violettemitchel6772 wanaitwa waja....wamejaa wivu na kuchukia bure na kubandika watu maneno....thanks pretty vio❤❤ much love +250 ni wapi?

    • @violettemitchel6772
      @violettemitchel6772 3 роки тому +1

      @@shiksshiks8494 sorry I meant 255 Tanzania

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 роки тому +1

    Kumbe mkewe ana matatiz duuuh pole Sana Kaka Mungu akusaidie

  • @Catty-e7o
    @Catty-e7o 3 роки тому +18

    Are you singing for ppl or God learn to Go back to God and ask for direction some of us we love the way we praise God more than the God we praise.

  • @brayonflexible4407
    @brayonflexible4407 3 роки тому +4

    Aisee

  • @rehemavickie6521
    @rehemavickie6521 3 роки тому +18

    Anavyoonekana reaction ya mtoto ni kama kweli

  • @neemajulius1256
    @neemajulius1256 3 роки тому

    Jamani mbona mnapenda Sana kuwafatilia watumishi wa Mungu

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 3 роки тому +5

    Kwa maelezo unayotoa yanaonyesha waz uongo😅😅ila songa mbele mtazame mungu

  • @Tariq_Tryagain
    @Tariq_Tryagain 3 роки тому +2

    Shout out kwa mchaga OG na thisisaaliyaah na refresh kwa ujumla na wasafi media kwa kazi nzuri🤝👏👏

  • @sadanahimana7193
    @sadanahimana7193 3 роки тому +10

    Mungu anisamehe ila huyo joel anaonekana kama ni mjanja mjanja sasa mtu mishi wa Mungu siyo malaika ni binaadamu kapitiwa bwana .

  • @betzchep
    @betzchep 3 роки тому +7

    It's true people look for problems in other people's marriages. Leave them alone. Also medical information of his wife are private and confidential stop asking too much.

  • @fanerajofabra1728
    @fanerajofabra1728 3 роки тому +2

    Hutulii bro hata sisi tukiwaga tunadanganya huwa tuko hivyo🤣🤣

  • @janetlamb9018
    @janetlamb9018 17 днів тому

    Huyu nae hamtunzi baba yake kama Martha Mwaipaja 😢

  • @majorazacharia21
    @majorazacharia21 2 роки тому +2

    Hakuna ushikaji kwa Mungu kuwa makini na maneno yako

  • @RachelLeonard
    @RachelLeonard 3 роки тому +18

    Kwa majibu nakucheka cheka ni kweli kabisa anaonekana anamtoto.

  • @editherkigabo9541
    @editherkigabo9541 3 роки тому +5

    Tatizo mnataka kujifananisha na wasanii wa bongo fleva wakat ninyi mnamuimbia mungu na wao wamtumikia shetan

  • @ladyhappinessenock6902
    @ladyhappinessenock6902 3 роки тому +5

    Mmmh,mbinguni pagumu sana,...Ee Mungu naomba utusamehe sisi wanadamu,pete mbona hajavaa

    • @malemaflicks180
      @malemaflicks180 3 роки тому +1

      jaman happy inamaana pete ni ishara ya kumpeleka mtu mbinguni..haya vipi kama akivaa pete na bila kuivua akawa mzinzi...anangonoka bila kuivua hiyo pete

    • @ladyhappinessenock6902
      @ladyhappinessenock6902 3 роки тому +1

      @@malemaflicks180 😂😂😂😂😂😂Yaani ulivyoniita hivyo,bwana eee...mie angevaa pete na maelezo yake kuhusu kuwa na mtoto nje ya ndoa yange nyooka hapo kidogo ndo ningemuelewa kidogo.

  • @ObbyAlpha
    @ObbyAlpha 3 роки тому +2

    My brother @joellwaga 🎶🎶🎶💥💥💥💥

  • @wakembetajaphary3648
    @wakembetajaphary3648 3 роки тому

    Kuna kaujanja ujanja nakaona hapa trust me 😂😂😂 na Wasanii wa nyimbo za injili wasijfananshe na Wasanii wa bongo fleva inakera

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 3 роки тому +9

    Ni kweli ana mtoto sema anashindwaa kuliweka wazi hilo

    • @revinajohn9457
      @revinajohn9457 3 роки тому +1

      Kwahyo kuwa na mtoto ndio ndoa ivunjike hayo ni yakwao mke na mume watayamaliza kwani kuna shida gani jaman mengine tusiwe tunarusu shetani tunapigwa

    • @grolyqueen5833
      @grolyqueen5833 3 роки тому +1

      @@revinajohn9457 ndoa aijavunjika wangu wako sawaa tu

    • @revinajohn9457
      @revinajohn9457 3 роки тому

      @@grolyqueen5833 hayo ndio maneno syo kisa anamtoto akimbie siku akilala njaa

    • @kazensegonja
      @kazensegonja 3 роки тому

      Tuthibitishie watu wakamhoji huyo mzazi mwenzake dadaaa

  • @lovenessassenga2878
    @lovenessassenga2878 3 роки тому +5

    Mchaga unanifurahishaga kambea we we😂😂😂😂😂

  • @boyochu1308
    @boyochu1308 3 роки тому +19

    Wadada wa wasafi mnatufanya sisi washabiki tunashindwa kutazama vipindi vyenu pamoja na Familia sababu ya mavazi yenu yani

    • @valerianawinfrid7497
      @valerianawinfrid7497 3 роки тому

      Wadada wa wasafi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ruthkasumba7739
      @ruthkasumba7739 3 роки тому +1

      Wanavaa uchi uchi cjui kwann jmn looooh

    • @boyochu1308
      @boyochu1308 3 роки тому +1

      @@ruthkasumba7739 wanakera sana cjui bosi wao halioni hili tatizo

    • @arafaomari1832
      @arafaomari1832 3 роки тому

      Kwakweli huyu dada ajui kuvaa hamuoni watangazaji wa Azam tv

    • @MariamMohamed-oz6it
      @MariamMohamed-oz6it 3 роки тому +1

      @@boyochu1308 boss yuup tena hyo?? Wwakat boss mwenyewe mpenda vya uchi much

  • @anithasulle9107
    @anithasulle9107 3 роки тому

    Mhhh kumbe anamtot aiseeee 🤣🤣🤨🤨🤨🤔

  • @hildaernest1090
    @hildaernest1090 2 роки тому

    Mchaga mnafiki😂😂😂😂😂

  • @revinajohn9457
    @revinajohn9457 3 роки тому

    Angalia sana kaka yangu shetani naye anapitia palipo na maneno imba ukimaanisha ili shetani umuaibishe kabisa hayo maneno hayakosi

  • @doriszephania3503
    @doriszephania3503 3 роки тому +1

    Ustaa ni Shuhuli kwa kweli,Duuuu!!
    Unafuatiliwa mpaka uvunguniiii!
    *" Ila Joe nimekupenda sana una Hekima sanaaaaa!!!
    Maswali mengine, Duuuuu!!!

  • @ivonvena9409
    @ivonvena9409 3 роки тому +2

    Nakupenda joel

  • @aishasilaji5759
    @aishasilaji5759 3 роки тому +2

    Mimi joeli na goodrack

  • @194summer
    @194summer 2 місяці тому

    Umbea

  • @fofolove5667
    @fofolove5667 3 роки тому +6

    Na Pete iko wapi mkuuu🤔😥

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 3 роки тому +7

    Mchaga mtafuteni huyoo Deborah na
    Crown haswaa

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому +3

    Kinyozi anatikisa kichwa tu 🤣🤣🤣🤣

  • @christinakalonga6032
    @christinakalonga6032 3 роки тому

    Mungu tusaidie

  • @prophetdenissamweltanzania4865
    @prophetdenissamweltanzania4865 3 роки тому +2

    They are Good

  • @neemamollel3581
    @neemamollel3581 3 роки тому +1

    Sasa unakataa nini wakati una mtoto??
    Isifike mahali mkalitukanisha jina la Mungu badala ya kufanya watu wakamtukuza Mungu,,waimbaji wa sasa sijui kwa kweli

  • @maigajohn702
    @maigajohn702 3 роки тому +1

    Joel nakumbuka ulikuja kanisani kwetu KMT nyakato mza ulitufurahisha Sana ndugu yangu

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 3 роки тому +4

    Jaman mbona waimba kaswida siwaon kufanyiwa REFRESH?!!?

  • @eliagangogo7147
    @eliagangogo7147 3 роки тому +1

    Mimi ni mdau wako ila muombe Mungu sana akusimamie majaribu ni mengi haswa madras kama wewe.

  • @vickymatonda3881
    @vickymatonda3881 3 роки тому +1

    Big up man of God 💪🏾

  • @ruthyoram4884
    @ruthyoram4884 3 роки тому

    Kaka chapa kazi walimwengu hawakosagi ya kusemaaaa

  • @jedidalima225
    @jedidalima225 3 роки тому

    Wasafi acheni kuvunja ndoa za watu 🤤😂😂

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 3 роки тому +2

    Yaani mchana OG unaeza fanya mtu acheke hata kukiwa na matatizo🤣🤣🤣🤣

  • @leilamcenna
    @leilamcenna 3 роки тому +2

    His dental formula is on point👌

  • @lilybarongo8119
    @lilybarongo8119 3 роки тому +1

    Kuoa au kuolewa na muhaya nikazi Sana,lazma wote mvimbiane

  • @amedeuskessy2203
    @amedeuskessy2203 3 роки тому +4

    Du hawana ndo wanachafua wokovu,ila wajue siku yaja .

  • @joelsamwel2580
    @joelsamwel2580 3 роки тому +4

    Kwanni hana pete sasa kama wameowana

  • @Fatheribrahimu
    @Fatheribrahimu 3 роки тому +1

    Ameoa halafu havai Pete ya ndoa why, Mimi Shabiki wako zaido

  • @drvidah7030
    @drvidah7030 3 роки тому +3

    joel unaonekana kuna ukweli ndani yake,,,,acheni uhuni

  • @niceladeus1697
    @niceladeus1697 3 роки тому

    Aminaaa kwa kila jamboooo

  • @drvidah7030
    @drvidah7030 3 роки тому +4

    joel unaonekana sio wa kuamin kabisa

  • @evelynsalila9700
    @evelynsalila9700 3 роки тому +4

    Usiikanee damu yako maana makosa hayarekebishwi kwa kuukana ukweli

  • @jfineisaac6219
    @jfineisaac6219 3 роки тому

    Mtu kwenye kiti hawezi kutulia kwenye ndoa je ni mtazamo tu jaman🤣

  • @olgacaleb6822
    @olgacaleb6822 3 роки тому +2

    Peace kua kichaa imekaaje bro ukitaka Ku divorce ndoa

  • @Ann-vr7ti
    @Ann-vr7ti 3 роки тому +4

    Goodluck Sisi ni Yangaaaaa

  • @priscilarkahindi9126
    @priscilarkahindi9126 3 роки тому +10

    Hahaha mtoto unae kaka😂

    • @kazensegonja
      @kazensegonja 3 роки тому +1

      Unamfaham mtoto wake mwenzetu? Au tunasuport stories tu?

  • @dathsoka569
    @dathsoka569 3 роки тому

    Ila kama unamtoto mbya ni nin ss c ukiri tu kwan c neema pia

  • @jamesandulile1894
    @jamesandulile1894 3 роки тому +4

    I will sick yesterday tenaa

    • @dicksonmwita9263
      @dicksonmwita9263 3 роки тому +1

      English Shikamoo

    • @Rosemary_Obadiah
      @Rosemary_Obadiah 3 роки тому

      😂😂😂😂daaahhh kwa kweli shkamoo

    • @belak999
      @belak999 3 роки тому +1

      Amesema I WAS SICK wewe ni mpotoshaji

    • @robertabel6984
      @robertabel6984 3 роки тому +1

      We ni ndezi sana tatizo hiyo ni slang sio i will sick ni i was sick yesterday or the day before yesterday sa hapo kuna ubaya gani fara wewe"" nenda kwanza shule ndonl uje ukomenti tena..mamaaaeeeee

    • @robertabel6984
      @robertabel6984 3 роки тому +1

      Kumbe Mtu mwwnyewe unaitwa mwita sasa nyie mna akili za wapi kazi kufira ng'ombe tu vichakani english na panga wapi na wapi faraa

  • @mary.matullu8279
    @mary.matullu8279 2 роки тому

    wanakera waandishi wa mtaani

  • @christinakalonga6032
    @christinakalonga6032 3 роки тому

    Be blessed

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 2 роки тому

    Syraaaaaa

  • @MercyPeledawsonTV
    @MercyPeledawsonTV 3 роки тому

    Nimejikuta naconcetrate na kinyozi kuliko Joel 🤣🤣🤣

  • @Ann-vr7ti
    @Ann-vr7ti 3 роки тому +13

    Kulingana na vile anaongea kuna Ukweli na mtoto wa inje ya ndoa,ndio Bongo na wasanii wake.

  • @aishasilaji5759
    @aishasilaji5759 3 роки тому +5

    Nitaumia Sana Kaka Kama ndoa yenu haipo sawa

  • @Miriam84Akizimana
    @Miriam84Akizimana 3 роки тому

    🙏🏼

  • @chapter2719
    @chapter2719 3 роки тому +4

    Twende na Specialist baada ya Mifupani pls Joel

  • @Liceykidoa
    @Liceykidoa 3 роки тому

    Whaat i will sick yesterday( past, present and future tense )

  • @mariellerashidi4649
    @mariellerashidi4649 3 роки тому

    Sasa kuwa mtumishi wa Mungu ndokuwa msipa hahutumiki akiwa namtoto nisawa tu

  • @ignasiissaya1718
    @ignasiissaya1718 3 роки тому +3

    Huyu jamaa akiendelea kuwa hv atapotea kama alivyopoteaga Gozbet ..mwenzie nae alianzaga hv hv mara gospel anaimba kama bongo fleva mwisho wa siku chalii...huyu nae anampotea sasa hv

  • @frosiekibasila2926
    @frosiekibasila2926 2 роки тому

    mimi huwa naamini anachokiogea mtu

  • @joelnicas3133
    @joelnicas3133 3 роки тому +2

    Mnaleta mambo yakipumbavu mtandaoni

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 3 роки тому +1

    Kwani Deborah anasemaje.....hahahaaaaaa,pale kati patamu bhuanaaa hakuna mchungaji wala mfugaji

  • @simonrome1894
    @simonrome1894 3 роки тому +1

    Mbona hamjatuonyesha Pete nyie waandishi mnajua kuzunguka Sana inshu ndogo iyo loh.......Pete tu inatosha Basi....

  • @ratifapeter6913
    @ratifapeter6913 3 роки тому +2

    Kheee

  • @praiseandworship6293
    @praiseandworship6293 3 роки тому +1

    👏👏

  • @baysuraoman7910
    @baysuraoman7910 3 роки тому +1

    Maisha tu haya kaka

  • @rebekamtewele136
    @rebekamtewele136 3 роки тому +6

    Halafu mbona unanyoa kiduku wakati biblia imekataza ??? Unaifundisha nn jamii kwa Hilo???

  • @andreaotaigo40
    @andreaotaigo40 3 роки тому

    Mbona joel anajubu kwa wasiwasi kama vile anaongea uongo?

  • @devothalupenza4269
    @devothalupenza4269 3 роки тому +1

    Kwakweli

  • @mamajaphety1624
    @mamajaphety1624 3 роки тому

    shikamoo mchaga

  • @cristophajacob1365
    @cristophajacob1365 3 роки тому +2

    Hiii

    • @rosemarymlaki2454
      @rosemarymlaki2454 3 роки тому

      Anavyokataa sasa

    • @japhetelias8633
      @japhetelias8633 3 роки тому

      mungu atawasimamia

    • @annastinachristian9000
      @annastinachristian9000 3 роки тому

      Wapendwa hakuna mwanadamu asiye na dhambi Kaka Mungu Ni wa huruma Kama Ni kweli tubu tu na kibari damu yako Ila pià wadau msihukumu

  • @janepherkhisa1801
    @janepherkhisa1801 3 роки тому

    Na wewe mimba ilienda wapi' tena umekonda kikafula

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @nicholausadam6058
    @nicholausadam6058 3 роки тому

    Gospel heat isikilizeeee mpaka mwishooooooo ni tamuuu ua-cam.com/video/0CxvJHZuJnM/v-deo.html

  • @janemapoz6360
    @janemapoz6360 3 роки тому

    ua-cam.com/video/wxfTfu0_S6U/v-deo.html nyimbo kalii