OBBY ALPHA afunguka KUHUSU MAHUSIANO YAKE "MAHUSIANO YANAUMA SANA, NAMUOMBA MUNGU ANISAIDIE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 13

  • @RobertsonNandime-eo9fp
    @RobertsonNandime-eo9fp 9 місяців тому +4

    Jamaa ansjielewa kiukweli nimempenda jinsi Anavyomtanguliza Mungu mbele❤

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 9 місяців тому +2

    Unajua Sana kujibu interview Mungu akupeleke viwango vingine. Barikiwa Sana

  • @OnsateNyakundi
    @OnsateNyakundi 3 місяці тому +1

    Kabisa mkuu pigana na mungu the song of the year

  • @happynesspunguja380
    @happynesspunguja380 2 місяці тому

    Hongera sana mtumishi wa mungu wengi tunaguswa na huduma iliyomo ndani yako

  • @PatricalBeti
    @PatricalBeti 24 дні тому

    Mungu akuinue kwa kiwango cha juu

  • @mustaphakhamis3740
    @mustaphakhamis3740 9 місяців тому +1

    Nice sana Bro Obby Alpha umeweza kujibu vizuri sana

  • @miriamrajab4326
    @miriamrajab4326 4 місяці тому

    Hongera...Mwenyenz Mungu azidi kukutumia sawasawa na mapenz yake

  • @AngelaShikee
    @AngelaShikee 5 місяців тому

    Obby nakubali sana na Yesu azidi kuinuliwa kwa ajili ako brother

  • @happykileo2024-p7d
    @happykileo2024-p7d 12 днів тому

    Hongra obby alpher

  • @happynesspunguja380
    @happynesspunguja380 2 місяці тому

    2:31

  • @yustina4621
    @yustina4621 9 місяців тому +3

    Abby Mimi apa nataman nipate mwanaume Kama we mwenye Hof yamungu🙏

    • @happynesspunguja380
      @happynesspunguja380 2 місяці тому

      Mungu azidi kukutumia sana mtumishi wa mungu tunabarikiwa sana na sauti yako

  • @Yunice-b5y
    @Yunice-b5y 3 місяці тому +1

    Obby simama vizuri na Mungu usiwake tamaa na mahusiano maana ukindekeza mahusiano Mungu naye unakuwa umemtenga kabisa na kuainisha ko Mungu atakupa t alie sahihi ili kazi ya Mungu endeebele