MY REPLY SHOW W/ JOEL LWAGA EP06 | JOEL LWAGA AJIBU MASWALI YOTE MAGUMU YA FANS WAKE | MY REPLY SHOW

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 49

  • @studiospacemedia
    @studiospacemedia  Місяць тому +2

    Thank You For Watching! Like, Comment, Share, And Subscribe For More Amazing Content.

  • @crgenius1795
    @crgenius1795 Місяць тому +24

    Kama unampenda joel lwaga gonga like hapa🥰

  • @gazukojunior7725
    @gazukojunior7725 Місяць тому +16

    Ukisikiliza namna ambayo Joel Lwaga alivyojibu maswali alafu ukarudi kusikiliza interview ya Jol Master namna alivyojibu maswali yake hapo ndipo utapata majibu ya kwanini kuna baadhi ya Wasanii wanapata nafasi ( Teuzi ) za kiserikali na kuaminika na kwanini wengine hawapati nafasi hizo

  • @BerthaModest
    @BerthaModest Місяць тому +15

    Aliyesoma kasoma tu😂😂uyu ukimsililiza tu majib yake yamekaa kisomi❤

    • @Mwana-k2g
      @Mwana-k2g Місяць тому +3

      Mbona yuko kawaida tu au points za kingereza ndo usomi...basi sawa piga buku na wew ili uwe vizuri kweny majibu yako

    • @Nody_official
      @Nody_official Місяць тому

      Oya hata mm nimeliina ilo 😢

    • @Nody_official
      @Nody_official Місяць тому

      ​@@Mwana-k2gmmmh ebu nenda uko na ww @Bertha mwaya upo correct au ww @mwaka-k2g weka hapo iyo chid benz na joel alaf ndo utajua kutofautisha kat ya walio soma na bangi😢

    • @Luckreadyog
      @Luckreadyog Місяць тому

      👍

  • @nyamarasapeter4302
    @nyamarasapeter4302 Місяць тому +3

    Nmeipenda interview. Kuna mengi ya kujifunza. Atukuzwe Mungu aliyekupa utashi na akili ulizonazo. Salute!

  • @benjaminvuli3373
    @benjaminvuli3373 Місяць тому +1

    Uko vizuri sana kaka barikiwa zaidi, nakukubali sana kaka Joel Lwaga

  • @mkamboimaganga5690
    @mkamboimaganga5690 Місяць тому +3

    Barikiwa mtumishi🎉

  • @ezrayavanijosias
    @ezrayavanijosias Місяць тому +3

    Very bright and Intelligent

  • @ShabanMaganga-ry6fc
    @ShabanMaganga-ry6fc Місяць тому +2

    uko really sana yaani maswali yote sio magumu kujibu japo kuwa ni magumu kujibu

  • @AgnesAgnes-fm8wp
    @AgnesAgnes-fm8wp Місяць тому

    A MAN OF GOD BE BLESSED 🎉🎉🎉

  • @goodlucksteven6377
    @goodlucksteven6377 Місяць тому +4

    Olodumare mai wani endi onli 😂😂😂😂😂

  • @bernadettemungadiane
    @bernadettemungadiane Місяць тому

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu
    Nimepend San majibu Yako ❤

  • @SamBihagaze
    @SamBihagaze Місяць тому +4

    Bro genius sana

  • @kabobamchizi5040
    @kabobamchizi5040 Місяць тому +4

    Humble guy

  • @rumanyikachange
    @rumanyikachange Місяць тому +2

    Nimeipenda hiyo ya kioo

  • @edwinkyombo95
    @edwinkyombo95 Місяць тому

    Nmebarikiwa sana na majib God bless u Joel

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 Місяць тому +5

    Handsome

    • @Mwana-k2g
      @Mwana-k2g Місяць тому

      Ushaanza kutaka ndizi ya watu uile wewe😮

  • @EsterAntony-b5k
    @EsterAntony-b5k Місяць тому

    He is gifted and talented ❤oludumare inanibariki sana broo

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Місяць тому

    Hakika Mungu nimwema love you're music 🎶

  • @JilahJoseph
    @JilahJoseph Місяць тому +1

    Ushuhuda wako I like

  • @mwarabukabandama3797
    @mwarabukabandama3797 Місяць тому

    Humble guy💯

  • @djmasaicowboy1534
    @djmasaicowboy1534 Місяць тому

    Mungu awe nawe🔥🙏🙏🙏

  • @ObediFungo
    @ObediFungo Місяць тому

    All the best

  • @bensonmwinuka8459
    @bensonmwinuka8459 Місяць тому +1

    Since manow seminary💥

  • @bonifacematoke1501
    @bonifacematoke1501 Місяць тому +1

    Hapo kwenye malezi n tatizo kubwa sana kwenye ndoa

  • @TheophileGrace
    @TheophileGrace Місяць тому

    Joel lwaga ni baba wa hekima jaman😊

  • @aaronjustin7235
    @aaronjustin7235 Місяць тому

    fb sio ya kwanza bwana,sema ilipata markert sana kuliko rivals wenzie.

  • @saraphinasahani5104
    @saraphinasahani5104 Місяць тому

    I just like it❤

  • @KhairathLwoga
    @KhairathLwoga Місяць тому

    Joel mtu smart sn salute 🫡
    Umejibu maswali vizuri

  • @Vennieh-i8p
    @Vennieh-i8p Місяць тому +1

    Nimetaman ku like mara 10 ❤

  • @reginajoel3785
    @reginajoel3785 Місяць тому

    barikiwa wajina wa Baba yangu

  • @denniskasela4
    @denniskasela4 Місяць тому +3

    First hapa 🎉

  • @bensonmwinuka8459
    @bensonmwinuka8459 Місяць тому +1

    🙌🙌🙌🙌

  • @TOUCHTOCHANGEALIFE
    @TOUCHTOCHANGEALIFE Місяць тому

    Ukweli wasanii tuna matatizo watu huhisi kuwa tuna hela nyingi sana ila wangejua kiukweli huwa tunapita vipindi vigumu

  • @lusekelo97
    @lusekelo97 Місяць тому +2

    Hey babab.....

  • @hijahkyomo106
    @hijahkyomo106 Місяць тому +2

    😂😂facebook alifanikiwa sana ku connect watu to a point kila mtu anahisi kama anakujua sana 😂ndomana wanakua wepesi kujaji 😂😂

  • @wabikeog_373
    @wabikeog_373 Місяць тому

    🙌🏻

  • @malilobale2718
    @malilobale2718 Місяць тому

  • @editorfrank7471
    @editorfrank7471 Місяць тому

    TUNAMUOMBA FAIZA ALLY

  • @Amby_Michael
    @Amby_Michael Місяць тому +3

    Social bullying...

  • @miriamedward5451
    @miriamedward5451 Місяць тому

    😳

  • @apolnaryjohn92
    @apolnaryjohn92 8 днів тому

    Olodumare

  • @Luckreadyog
    @Luckreadyog Місяць тому

    Nimekutanga music wa cheta ,only you wa Ada Ehi ukipingwa bar