DEBATE MAZINGE VS NDACHA :- JE YESU ALIKUFA NA KUFUFUKA MSALABANI KWAAJILI YA KUWAKOMBOA NA DHAMBI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 65

  • @setcoonlinetv6655
    @setcoonlinetv6655 22 дні тому +1

    Sheikhe mazinge mtu asiyekuelewa basi atakuwa amekaza ubongo na nafsi yake mwenyewe. Unatoa fat-wa na mashiko sahihi. God bless you always

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius Рік тому +6

    Ndacha bhna Mungu akuweke 😂😂😂😂

  • @ZwingleKania-d6j
    @ZwingleKania-d6j Рік тому +3

    Yesu amedhihirika kwa ulimwengu mzima kama Mwana wa pekee wa Mungu. Ambaye ndiye njia ya kufika kwa Baba Mungu. Roho Mtakatifu na atusaidie kutufunulia Siri za Mbingu. Amen

    • @cultureman8563
      @cultureman8563 Рік тому

      Rafiki Kwa heshima Yesu ambaye ni Mungu wako,,,alikufa tarehe Gani,, just tell me verse tarehe aliyekufa yesu

    • @bekamwaba3571
      @bekamwaba3571 Рік тому +1

      Mbona kakangu nahisi unaongopea? Hivyo ndo mnavyodanganywa. Njoo huku kwetu uwaeleze basi juu wao hawajajua kuwa yesu ni mwana wa pekee wa mungu. Unafwata dhana tu. Eti ulimwengu mzima wanajua...uongo bhana

    • @adammbaruku2499
      @adammbaruku2499 Рік тому

      Kwa hiyo Mungu alizaa na Mariamu au?

    • @petermuhia9376
      @petermuhia9376 Рік тому +1

      Hawa waislam wako mbali na ufalume wa Mungu.

    • @jacksonmwafongo1917
      @jacksonmwafongo1917 Рік тому +1

      Ufalme upi wakusema mungu ana mutoto unamaana mariamu muke wa mungu acheni kumchezea mungu yaani mariamu anamuita mungu mumewe acheni kupotasha watu na walimu wenu mungu ni mungu yesu ni yesu basi

  • @mwajoamkuruto
    @mwajoamkuruto Рік тому

    Mwalimu Francis Ndacha Mungu akulinde pahali popote, katika jina la yesu

  • @mwesi527
    @mwesi527 Рік тому +3

    Walichojificha nikutokudai sad aka ka manabii wa uongo wa sasa ndacha mungukupitia kwa kristo akuzidishie

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 Рік тому +4

    Tusiegemee upande wowote na tuangalie hili kwa uwazi, bila Upendeleo na bila ubaguzi wa rangi. Bila dhana za awali. Haikubaliani kabisa na kikombe chetu cha kiakili upande wa kulia juu, kwa sababu ikiwa ilikuwa juu chini, hakuna chochote, hata cha kina kipi, kitakachoingia kwenye kikombe cha kiakili. Swali: Je, umewahi kujiuliza kwamba Injili za Marko, Luka, Mathayo, na Yohana hazina majina ya ukoo? Mahakamani au katika pasipoti yako au leseni ya kuendesha gari, huna jina lako la mwisho? Je, hati ni halali bila jina la mwisho ili kuipa uhalali? Pili: Yesu alizungumza Kiaramu. Jina la Mungu kwa Kiaramu ni Ela. Tafadhali itafute. Waislamu wanasema Allah. Tatu: Je, mama yake Yesu au Yesu mwenyewe alidai yeye ni mungu au mwana wa mungu? Nne: Waislamu wanampenda Yesu na Mama Maria kuliko Wakristo wa midomo. Kwa nini? Waislamu wanafuga ndevu na kusujudu wakimwomba Mungu Mmoja Mwenyezi kama Yesu alivyofanya. Wanawake wa Kiislamu huvaa hijabu kama vile Mama Maria. Hawali nyama ya nguruwe kama Mama Mariamu au Yesu. Tano: Ikiwa Wakristo wanadai kwamba utaokolewa tu ikiwa unamwamini Yesu, wao vipi kuhusu manabii wengine kama Musa na Ibrahimu na Yakobo na Ayubu, na watu wengine wema kabla ya Yesu kuzaliwa? Je, wataenda kuzimu? Hakika sivyo. Biblia katika umbo lake la asili lazima iwe ilikuwa ya kina. Lakini imeharibiwa, kwa bahati mbaya. Uwe serious, maana haya ni maisha yako huko akhera. Lazima usome Agano la Mwisho: Quran. Ukiona ni nzuri, ukubali. Vinginevyo ikatae. Unadaiwa maisha yako yote na maisha yako ya baadae kwako mwenyewe. Angalau kiasi hicho. Je, hilo ni jambo kubwa sana kushinda akili zetu zilizoathiriwa sana na umoja, mkondo mmoja, upendeleo, dhana za awali? Ninakuheshimu na imani yako. Lakini tafadhali fanya utafiti zaidi. Kama msomi, unadaiwa kiasi hicho. Heshima sana...Ray, kutoka Kanada

  • @Janejj-k3c
    @Janejj-k3c 9 місяців тому +1

    Yani ndacha mashaalah nataka ututembelee kwetu uwanyoroshe hawa waislamu

  • @SaudatAhmady
    @SaudatAhmady 4 місяці тому +2

    Ndacha nimuongo

  • @Kisigino
    @Kisigino 8 місяців тому +2

    Yaani mazinge ni mwehu huna uwezo wa kujibu Maswali umebaki kitukana,,,hujielewi utakiona cha moto usipoukubali Ukristo

    • @AnziziAbudo
      @AnziziAbudo 3 місяці тому

      akuna dini ya ukristo hapa ukristo ni dini ya wazugo atukubali

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 місяці тому +1

    Andiko ishatolewa yesu asema mfano wake ni kama wa yona na yona hakufa 😂😂😂😂 ndacha mjinga sana

  • @paulojohn5504
    @paulojohn5504 Рік тому +1

    YESU NDIE NJIA YAKWELI

  • @kiumbekiumbe4711
    @kiumbekiumbe4711 7 місяців тому +1

    Ndacha kiboko yao 😭😁 mungu akulinde ndacha huna baya ukifa huozi 💯🥶

  • @ZawadMlewa-nn7hc
    @ZawadMlewa-nn7hc Рік тому +3

    Iv kunawatu bado hawaamin kua yesu alikufa na kufufuka nawapa pole sana

    • @jacksonmwafongo1917
      @jacksonmwafongo1917 Рік тому

      Wewe ndio upewe pole bibilia inasema mutu akitundikwa amelaaniwa Sasa wewe unakubali kuwa yesu amelaaniwa Kwa sababu alitundikwa

  • @BahoAsuman
    @BahoAsuman 6 місяців тому +1

    Mazinge amesha canganyikiwa anauriza nini hivo

  • @luambamaganga8713
    @luambamaganga8713 Рік тому +2

    Kiboko ya waeslam ndacha

  • @davidlintari8504
    @davidlintari8504 9 місяців тому +1

    Hakika waislamu ni maajenti wa Muhammad mtume wa shaitani

  • @lazaroekela
    @lazaroekela Рік тому +1

    Ujuwi kufundisha mazinge kwasababu unapinagana koroani yako mwenyewe

  • @innocenttryptophone642
    @innocenttryptophone642 Рік тому +1

    Sasa Wanapiga vitabu vyao vya kislam 😂😂😂😂😂

  • @mankamankamanka4784
    @mankamankamanka4784 Рік тому +1

    Mbinguni ni sehemu Takatifu mtu hawezi kuingia bila kutakaswa na kuvuliwa mwili huu wa nyama.

  • @ZawadMlewa-nn7hc
    @ZawadMlewa-nn7hc Рік тому +1

    Mwalim ndacha unamtihan kwel kuwaelekeza kweli ya mungu alafu wao wanatetea din yao yaan hawaji kwenye maada kabsa point hamna ila ubalikiwe wenye masikio na wasikie na kuelewa

    • @abuuhassani497
      @abuuhassani497 Рік тому

      Wehunaaakili hamsamehewi mpaka mungu Afe

    • @kisosekatere6282
      @kisosekatere6282 Рік тому

      Kiukweli bila ushabiki Ma Sheiks hamna kitu ubishi tu mbona Mwalim Ndasha amulets ushahidi toka Vitabu vyenu mbona hata Sheik Mazinge ni kuchekesha tu hawaingiyi kwenye Point inamaana Sheik Mazinge Leo amelataa vitabu vyite vya Dini ga Uislam muendako huyu Sheik Mazinge anaangusha Uislam maana anako fikia haeleweki

  • @samwelmanasse5724
    @samwelmanasse5724 Рік тому

    Huyo Yesu(Messiah) atarudi tena. Je, wakati huo, kama ulifundisha uongo, mbele zake, utasimamaje. Na wale uliowadanganya, utawaambiaje? Mambo ya Mungu ni ya ukweli mptupu.

  • @mwesi527
    @mwesi527 Рік тому +1

    kwako mwalimu ndacha,swali langu kwako, hivi kwanini usiwaambie wahislam uongo ni seheemu ya maisha yao ukaachana nao ? Maana hawakubali nahawatakubali kuwa yesu ni mwana wa mung u. Hivyo

    • @yuzotv458
      @yuzotv458 11 місяців тому

      kwaio mariam ni mke wa Mungu???!,maana yesu amezaliwa na mariam.
      nifahamishe apo mdau.

    • @Janejj-k3c
      @Janejj-k3c 9 місяців тому

      ​@@yuzotv458anakuaje mke wa Mungu na ushaambiwa hana baba kwan unaelewa na wap wewe😅

  • @shaphiasabani5760
    @shaphiasabani5760 Рік тому

    Hawa jama tusipo wangalia ni wapiga dili tu maana hakuna ata mmoja hanaekubali ukweli

  • @cultureman8563
    @cultureman8563 Рік тому

    Naona mchungaji wa Kanisa la SDA ,,mfuasi wa mwanamke Nabi kutoka England,,, nasema anataka kusilimu lakini hakuna kulazimisha mtu mwenye Dini ya Allah,,,,Baki katika ukafiri Yako please 🙏

    • @EmmanuelMeshack-o9m
      @EmmanuelMeshack-o9m 11 місяців тому

      Toa adiko mwazilishi ni mwanamke

    • @salangtvone
      @salangtvone 8 місяців тому

      Endelea kumfuata muhammad amabaye hata hakutabiliwa popote kua atakuja. Na hatuna uhakika quran aliitoa wapi kuelezea mnacho kiamini ninyi Leo

  • @Hussein-d6e
    @Hussein-d6e 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @faridsaid9180
    @faridsaid9180 Рік тому +1

    Asilimu leo

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  Рік тому +1

      Sannah

    • @innocenttryptophone642
      @innocenttryptophone642 Рік тому +1

      Ndasha anafundisha vizr lakin Kuna watu anaziba masikio wakat akifundisha au kwa runga nyingine awapo makin na mafundisho ila waslama ni majini na Majin ni wasilam yaan ilo amkatai

  • @mozartshukuru8604
    @mozartshukuru8604 Рік тому

    Ndacha kiboko kabisaaaa.

    • @bekamwaba3571
      @bekamwaba3571 Рік тому

      Kiboko cha makafiri wenzake. Ukitaka nikufundishe vizuri uelewe kwa utaratibu niambie nikutumie contacts zangu tujadili one on one

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius Рік тому

    Kheee Aya zilizosomwa ni zauongo tena wakat zimetoka kwa Quran😂😂😂😂😂😂

    • @shabaniabubakar7262
      @shabaniabubakar7262 Рік тому

      Wakristo mnapotezwa na ndacha hamna akili

    • @anselmoonolius
      @anselmoonolius Рік тому

      @@shabaniabubakar7262 njoo na facts Basi kasoma vtabu vyenu xaxa ni vyauongo?

    • @salimnjowoka4357
      @salimnjowoka4357 Рік тому

      Zipo Quran nyingine zimetengenezwa na amerka.
      Ndio hiyo inayo Ongea uongo. Na zinajulikana.

    • @anselmoonolius
      @anselmoonolius Рік тому

      @@salimnjowoka4357 Nan kakudanganya wew, jarb kujiulza Bible imeandika maisha ya Yesu halisi maana walikua wakiona na kuandika kile kinachoonekana na hakuna kitabu kilichopinga habal zile kua sio za kwel kwa kipind Cha karne 6 et Muhammad ambae hata Hajatumwa na Mungu ndo anakuja kusema et hayakufanyika na ww unakubaliana nae wakat HAKUNA alichokiona na walioona wamesema wazi na nabii nying zote zimetabir matukio yote et mudi ndo anakuja anakataa kweli☺️☺️☺️

    • @richardmfinanga6222
      @richardmfinanga6222 Рік тому

      @@salimnjowoka4357 dini yenyewe imeletwa na Muhamadi Karne ya sita

  • @mariammillimba3219
    @mariammillimba3219 Рік тому +1

    Hata mtoto ataelewe 😅

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 11 місяців тому

    Ndacha skuizi anajifunza kwa Waislam yale maswali ya kipuuzi aliwacha kuuliza,anajifunza pole pole,kuna wakati alisema ati Yesu hajawai kumuita Mariam "mama"...sjui kama atawahi kuuluza tena😂😂😂

    • @keirefelix9282
      @keirefelix9282 10 місяців тому

      Ona huyu, Mariam ni njia tu yesu alizaliwa kitambo kabla hata haijaimbwa dunia

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Рік тому

    🤣🤣

  • @hancedatch974
    @hancedatch974 Рік тому +1

    Kumbe ndacha anatambua uwepo wa ALLAH alafu mada nyingine anasema yesu ndo mungu huyu jamaaaa hamnazo

    • @samuelmiryango3524
      @samuelmiryango3524 Рік тому

      Ukitaka kumfunza mtoto lazma ushuke kwenye level yake

    • @adammbaruku2499
      @adammbaruku2499 Рік тому

      @@samuelmiryango3524 Mfunzaji mwenyewe ni Ndacha au!!!

    • @salangtvone
      @salangtvone 8 місяців тому

      We ndie hamnazo yeye anamkataa allah(mungu kwa kiswahili kiarabu ni allah) wa Quran

  • @mwajoamkuruto
    @mwajoamkuruto Рік тому

    Mwalimu Francis Ndacha Mungu akulinde pahali popote, katika jina la yesu

  • @mwajoamkuruto
    @mwajoamkuruto Рік тому +2

    Mwalimu Francis Ndacha Mungu akulinde pahali popote, katika jina la yesu