DEBATE :-NDACHA AJICHIMBIA KABURI LAKE MWENYEWE MBELE Y PR.MAZINGE |JE MAJINI NI WAKRISTO AU WAISLAM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 1,5 тис.

  • @EdithaMtunzi
    @EdithaMtunzi 7 місяців тому +19

    Aisee pastor ndacha Mungu akubariki sana,endelea kumfunua yesu Kwa wasio mjua,huku ukiwaombea,,tupo nyakati za mwisho,wakubali wakatae Yesu ni Mungu

    • @Rooney1184
      @Rooney1184 4 місяці тому

      Karibu katika uislamu

    • @IssaBengine
      @IssaBengine 3 місяці тому

      Comment zako ziko kinyume angali point na Mada wanazungumzia. Ndacha yuko ananguka myavu

    • @EliasGaramathoya
      @EliasGaramathoya 12 днів тому +1

      Yesu sio mungu yesu. ni mutume wa mungu

    • @JamilaJumanne-u7q
      @JamilaJumanne-u7q 2 дні тому

      Au siyooo yesu ni MUNGU?????????

  • @ShakurAKBAR
    @ShakurAKBAR 6 днів тому +1

    MaashaAllah Masheikh zetu ALLAH awape umri mrefu muzidi kuelimisha jamii

  • @KiburiStephen-dm4wk
    @KiburiStephen-dm4wk Рік тому +10

    May God bless bro ndasha

  • @ShangweDicksontqbs
    @ShangweDicksontqbs 8 місяців тому +2

    NA UZIMA WA MILELE NDIO HUU ,WAKUJUE MUNGU WA PEKEE,WA KWELI NA YESU KRISTO ULIYEMTUMA...AMEN STAY BLESSED FOREVER AND EVER..PASTER NDACHA

  • @jefwakalama4336
    @jefwakalama4336 11 місяців тому +5

    MUNGU akubariki sana pastor Dacha

  • @peternangiro751
    @peternangiro751 Місяць тому +1

    Good work pastor Ndacha . God give you strength and wisdom.

  • @abdalamado7150
    @abdalamado7150 Рік тому +25

    Masha Allah mwenyezimungu hawalipe masheikh wanaefanya kazi zake ❤❤❤❤❤ niko nsumbiji

  • @jeremiemwangala4672
    @jeremiemwangala4672 6 місяців тому +3

    Muchugaji mungu akubarika zaidi na uwabaze wa islam, mimi Jeremiah toka Muji wa r d congo

  • @DaimaMponzi
    @DaimaMponzi Рік тому +14

    Mm nimekuelewa sana ndacha sitatikisika kwenye imani yangu

    • @EmmyRowland-ir5gh
      @EmmyRowland-ir5gh 8 місяців тому

      BIBLE haina mafundisho Ka hayo , , , jini yupi kwa BIBILIA NI yohana 😅 , achani kuchezea masikio kwa wasio jua vitabu za kikisto 😅😅😅

  • @FondoGona-r9f
    @FondoGona-r9f Рік тому +14

    Asante Kwa ujumbe wako mtumishi.mungu wa sabato akubariki

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 Рік тому +26

    Mashekhe wanafundsha kistarabu sanaa mungu awabark mnatupa raha❤❤❤❤

    • @KhadijaKajoli-wm5rc
      @KhadijaKajoli-wm5rc 11 місяців тому

      Kabisa ila awo wakristo sasa wewe hawa na ustarabu

    • @lazaromalanga
      @lazaromalanga 8 місяців тому +1

      Kinacho takiwa haja zitolewe za maana siyo kistarabu

  • @JulianaChota-s6i
    @JulianaChota-s6i Рік тому +19

    💯💯 wakristo woootee mikono juuuuuuu . Bwana Yesu wetu ana nguvu yeye ni mwanzo na mwisho hakuna wakufanana naye

    • @Hussayn21
      @Hussayn21 Рік тому

      Listen to learn don’t act like a fan this is not football where we have teams! My brother take your time and read your book and ask for guardians from Almighty God and remember everyone will stand towards your God Alone

    • @hassanadam3007
      @hassanadam3007 Рік тому

      😅😂😂😂

    • @KkKk-h5x
      @KkKk-h5x 8 місяців тому

      Niko hapa kama mm

    • @MelamilekokoLengisho
      @MelamilekokoLengisho Місяць тому

      🙏🙏

  • @LeonardmdabaKatoto
    @LeonardmdabaKatoto Рік тому +8

    ❤❤❤❤❤mashalla Mungu akubaliki sana mwacha alla akupe maisha memaishallla❤❤❤❤❤

  • @SnaiderGatwiri
    @SnaiderGatwiri Рік тому +14

    Ndacha Mungu ni Mungu.Mungu ataishii kuwa Mungu milele .Ndacha Mungu ukubariki Milele tena akujaze roho na nguvu zaidi kufunza wanawake ukweli God bless you

    • @JaziraMustafa-g9p
      @JaziraMustafa-g9p 9 місяців тому +1

      Mungu yupi,Yesu,Mungu muumba mbingu na nchi,Au Mungu mtatu Utakatifu maana nyinyi wakristo mnao wengi.

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 5 місяців тому

      ​@@JaziraMustafa-g9pkweli hawajielewi hii haifahamu mara yesu mungu mara mtoto wamungu hata stori ya majini hawaiilewi wao wamotu

    • @ELIAWINGAMWASHA-iw9xq
      @ELIAWINGAMWASHA-iw9xq 5 місяців тому

      Hujui kitu​@@JaziraMustafa-g9p

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 4 місяці тому

      @@JaziraMustafa-g9p pole

  • @muisraeli
    @muisraeli Рік тому +18

    YESU ndiye njia kweli na usima
    Waislamu wakatae wasikubali
    YESU
    Ndiye bwana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @boubabizo246
      @boubabizo246 Рік тому +1

      Wewe sijuwe kama mwanamke ao? Baba yako sio bwana?

    • @estamichoromichoro5634
      @estamichoromichoro5634 10 місяців тому +1

      Kabisa Yesu ndo njia daima na milele

    • @kamandadubu2563
      @kamandadubu2563 8 місяців тому

      Yaa yesu tunamuamini waislamu wote ila bibilia na ukiristo mmeanzisha nyie kutoka ugiriki

    • @estamichoromichoro5634
      @estamichoromichoro5634 8 місяців тому

      @@kamandadubu2563 na ninyi uwislamu umeanzia wapi

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 5 місяців тому

      Sisi waislamu hatujamkataa yesu ni nabii wa mungu sio mwana wangu wala mungu kama mungu niwenunyie wakristo sisi kwetu ni nabii

  • @WickliffeKatamwa
    @WickliffeKatamwa 10 місяців тому +5

    Asante sana mungu awabariki

  • @RoseSerengeti
    @RoseSerengeti 11 місяців тому +5

    Eti Tanzania ndacha ameenda kusoma... Kisomo gani tz😅😅😅ndacha Mungu akuzidishie Elimu

  • @ShyamsinghKumar-u9w
    @ShyamsinghKumar-u9w Рік тому +7

    ❤ ndacha ulitumia maandiko ila wao wanatumia kitabu cha mwandishi tu sio kurhani wala biblia christ is the way

  • @RahmashekwaviRahmashekwavi
    @RahmashekwaviRahmashekwavi Рік тому +9

    Mashallah shekh wetu nakuombea Allah akupe umri mrefu❤❤

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 4 місяці тому

      Ao mashehe wafe tu maana wanawapoteza watu ama la waje uku Kwa yesu

  • @IssayaNanga
    @IssayaNanga Рік тому +16

    Ndacha upo sahihi Kabisa maneno yako yamenyooka ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @melizakwamboka8004
    @melizakwamboka8004 5 місяців тому +4

    Huyu mwisilamu kachanganyikiwa kabisaa 😅😅😅😅 kwa kweli mungu akubariki sana ndacha

  • @AlfayoEliahu
    @AlfayoEliahu Рік тому +5

    waislam hakuna kitu sijawaelewa hata kidogo hamjui kiti ndacha mungu akubariki

    • @amirmohamedali7922
      @amirmohamedali7922 6 місяців тому

      Nyinyi na Ndacha amuelewi tafauti ya jini na shetani

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 5 місяців тому

      ​@@amirmohamedali7922hawajui maana ya jini wala shetani wehuwaoni wao wenyewe mashetani wao kazi kusema yesu ndiomungu hawajielewi

  • @Ruharamercikiranga
    @Ruharamercikiranga Рік тому +12

    Mungu akubariki kwazi unayofanya na akurinde❤❤

    • @amirmohamedali7922
      @amirmohamedali7922 6 місяців тому

      Ndacha anawapoteza kazi yke nikuunganisha viraka na vichekesho

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 4 місяці тому

      @@amirmohamedali7922 kanyoe vuz Kwanza ndo sharia yenu puuz nyie

  • @DIMPLECHIMAMI-hs5yx
    @DIMPLECHIMAMI-hs5yx Рік тому +23

    Mm nampenda yesu hata kwa dawa simuachi

    • @AbdillahBakar-qx9sr
      @AbdillahBakar-qx9sr 7 місяців тому +1

      Wajipendekeza sio man yesu hawajawah kupenda wakristo na ataend wakanuka mbele ya Allah

    • @amirmohamedali7922
      @amirmohamedali7922 6 місяців тому

      Wewe umpendi yesu maana yesu aliingia sinagog wewe waingia kanisani

    • @hassanarbow9227
      @hassanarbow9227 6 місяців тому +1

      Unapenda yesu na Dini yake ham fatigue!!

    • @JoyceAndrea-yt1vg
      @JoyceAndrea-yt1vg 5 місяців тому

      Amina kua ivo ivo

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 4 місяці тому

      @@AbdillahBakar-qx9sr mud mfiraj wakaz gan

  • @DenisSigei-j4w
    @DenisSigei-j4w 11 місяців тому +17

    Good work pastor Ndacha

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 11 місяців тому

      Ndacha anapoteza muda kujenga hoja nzito na watu wajingajinga kama Dr sule na huyo anaiejita proff wa kusema uwongo Yani mazinge.majitu majinga hayo.eti anajenga hoja Kwa kutumia kitabu cha mchungaji mkorofi.mjinga huyo

    • @MwanaidiJuma-k2d
      @MwanaidiJuma-k2d 10 місяців тому

      Tokeni kwa Giza ndugu zetu, njooni kwenye nuru

  • @eliasbusienei9566
    @eliasbusienei9566 8 місяців тому +3

    Ndacha.. You are God send

  • @raycaventure8407
    @raycaventure8407 Рік тому +20

    Wallah Alhamdulillah kwakuzariwa muislam 🙏🙏🙏🙏

    • @MaryMmm233-yh3hf
      @MaryMmm233-yh3hf 10 місяців тому +1

      Ila simshajijua kuwa nivizazi vya nani basi

    • @MaryMmm233-yh3hf
      @MaryMmm233-yh3hf 10 місяців тому +1

      Hapa waislam mshawezwa 😂😂😂😂

  • @sergesnshimirimana6049
    @sergesnshimirimana6049 Рік тому +12

    Ndacha Mng Akuongoze safi sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tunakupenda

    • @AbdiShui-xo7qi
      @AbdiShui-xo7qi Рік тому

      mashaallah ashekhe zangu ALLAH awape maisha malefu mudizi kuitangaza dini ya kweli

  • @japhetmasai9954
    @japhetmasai9954 10 місяців тому +4

    Wakrsto bwana yesu asifiwe juu zaidi, ushindi niwa ndacha

  • @AsmaahJuma-ki5pn
    @AsmaahJuma-ki5pn 11 місяців тому +7

    Alihamdhulillah kwa kuzaliwa muislam na naipenda sana dini yangu najivunia kwa hilo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 11 місяців тому

      Lkn kumbuka hata shetani ni mwislamu maana alisilimishwa na muhamad Sasa huoni haya kua na shetani dini moja

    • @AsmaahJuma-ki5pn
      @AsmaahJuma-ki5pn 11 місяців тому

      😅😅😅😅😅 haya la nn nafurahia tu sana kwanza najivunia kuwa muislam🤣🤣🤣🤣🤣💞💞💞💞💞💞💋

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 11 місяців тому

      @@AsmaahJuma-ki5pn dini ya ibilisi

    • @IpyanaPaul
      @IpyanaPaul 11 місяців тому

      Uislamu motoni hakuna chakujitetea

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 11 місяців тому

      @@AsmaahJuma-ki5pn nakweli we furahia kuamwislamu maana lazima uende jehanam abadan

  • @apollorutamucero6971
    @apollorutamucero6971 10 місяців тому +4

    Nampa pongezi Ndacha kw ufafanuwo wake kati ya Biblia na Qoani Yani Anapiga Alakini hawa eliwi Atiye Bidii sana Mpaka wa Elewe

  • @Hajra-vu9gd
    @Hajra-vu9gd Рік тому +8

    mashaallah mashekh Allah awajalie subira na amani nakheri inshaallah

  • @fresiahchege8145
    @fresiahchege8145 Рік тому +7

    Wacha nikae kwa Yesu milele ata kuwe nini kwake sihami siwezi nikamkana bwana yesu kristo wa Nazareti

  • @mercimatengameda1534
    @mercimatengameda1534 Рік тому +19

    Mweshimiwa ndacha wewe ni 🔥 may God bless you okowa nafsi

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 Рік тому

      Hamna ktu apo

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy Рік тому

      Muong mukubwa

    • @HansiKatumbi
      @HansiKatumbi 7 місяців тому

      Naicho kitabu chenu kipya Cha kiyahudi veep ni kitabu Cha MUNGU au ndio kama kablasha lenu la biblia

    • @NiaMswaki
      @NiaMswaki 2 місяці тому

      Mashaallah wakristo hoi hawaishiwi maneno uislam oyeeeeeeeeeeeee

  • @HavyariObedy
    @HavyariObedy 9 місяців тому +2

    Asante sana muhubili muri.mwenye kipaji Cha hekima Mungu awabariki

  • @johnmuthui5643
    @johnmuthui5643 10 місяців тому +8

    May God be with u Ndacha ,,, Surely God has berthowed wisdom ad knowledge tew

  • @RamadhanMwinyimvua-ry8yp
    @RamadhanMwinyimvua-ry8yp Рік тому +28

    Ahsante Yesu Kwa kunipa neema ya kuwa mkristo.

  • @martnedidace3110
    @martnedidace3110 Рік тому +3

    Hpa waislamu yaan mashee, yaan hawana hoja wamekamatika na wanachokifanya ni kucheza na lugha tuh ili watwist ukweli..

  • @PatrickWinner-m1h
    @PatrickWinner-m1h 8 місяців тому +2

    Hujambo kweli muchungaji umetenda kazi ao wa eslam wabatizwe tuh ,mimi Patrick kutoka RDC congo

  • @JamesMwanzia-ns9fc
    @JamesMwanzia-ns9fc 10 місяців тому +3

    Ndach hapo Sawa watu wajuea ukweli ❤❤

  • @PeterMundi-g4b
    @PeterMundi-g4b 6 місяців тому +2

    Waislam mmepigwa bao bn. Nyie mnasema shetani ni jini, jini ni jini shetani ni mtu mwenye matendo mabaya yasiyo mpendeza Mungu. Majini ni waislamu

  • @SamuelngugiNjeri
    @SamuelngugiNjeri Рік тому +4

    Huyu Mazinge hana points for sure....😂😂😂😂 Dacha si tuh umubatize tuh

  • @Marlown-q3v
    @Marlown-q3v Рік тому +9

    God bless you Ndasha

  • @Hassan-tc3ms
    @Hassan-tc3ms Рік тому +13

    Huyo hana maneno ulikua moto wakifuu tu xaxa mungu akipenda ataxilimu bidii allha

  • @EmmyRowland-ir5gh
    @EmmyRowland-ir5gh 8 місяців тому +2

    Hilo andiko hakuna kwa BIBILIA vitabu hivyo wameandika wenyewe soma mathayo 24:24-
    Mazinge anarukaruka hana options huyo professor ni mwigizaji tuu🤣🤣🤣
    Ndacha wacha kutoboa sirii jamaniiiii

  • @nigaikimaro9864
    @nigaikimaro9864 11 місяців тому +3

    Ndacha hatari sana. Yani apo ata mkiungana amuwezi toboa. Ukweri utakuwa kweri TU.

  • @LeviticusEsinyen-hv5mg
    @LeviticusEsinyen-hv5mg Рік тому +56

    Ndugu zangu waislamu siwaelewi vizuri kama ninavyoelewa ndacha vizuri kwa utaratibu.ndacha God of our Lord Jesus Christ to bless you.

    • @YannyBoe
      @YannyBoe Рік тому +2

      We si walewale asa

    • @Abdallahbigirimana
      @Abdallahbigirimana Рік тому +2

      TAKBIIIIIR.

    • @kharisbendera1406
      @kharisbendera1406 Рік тому +3

      Sisi sio ndugu zako huwez kumuelewa ndacha alafu unatuita ñdugu zako acha unafki wewe!

    • @badarhassan1127
      @badarhassan1127 11 місяців тому +2

      Ndacha hajue kitu yoyote brother anapoteza wa kiristo nikuambie brother

    • @athmanidi7388
      @athmanidi7388 11 місяців тому

      Please is Jesus God to you or he has God

  • @zainabzanzibar1518
    @zainabzanzibar1518 Рік тому +9

    Huyu kwanza hajui ata istoriya ya nabii suleimani shekhe wetu mazinge huyu muelimishe hasa

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni Рік тому +20

    Nashkuru Allah kunijaalia muislam,alhamdulillah

    • @MaaDii-iz3ur
      @MaaDii-iz3ur Рік тому +2

      Huko mbali na jehanam inakusubir

    • @stephenmasawe1602
      @stephenmasawe1602 Рік тому

      Yan wewe subir moto wa milele

    • @halimahbwelele694
      @halimahbwelele694 Рік тому

      ​@@MaaDii-iz3urwapi mkristo yuenda pepon ama aya za kuunga unga,usiposilimu moton unaenda

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy Рік тому

      Alhamdulillah ❤❤❤

    • @PemaDldm
      @PemaDldm Рік тому

      Unajidanganya

  • @stanleymulama7811
    @stanleymulama7811 Рік тому +30

    😂😂😂 hatari sana...ndacha Mwenyezi Mungu akutie nguvu na akujalie usalama na uzima nanafya njema

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 Рік тому

      Ndacha ni muongo sjawah ona anabadlisha aya izo aya znawahusu nyny msio waislam😂😂😂😂😂bas nyie ndo majin

    • @ZamdaNsengiyumva
      @ZamdaNsengiyumva Рік тому +2

      Ndaca siyo muongo,wewe ndiwe umetekwa namajini😂😂😂

    • @mamyomar1241
      @mamyomar1241 Рік тому

      ​@@ZamdaNsengiyumvawewe bilisi kakuvaa, Allah akuongozee.

    • @orotancnelly3047
      @orotancnelly3047 Рік тому

      AMEN 🙏

    • @BostonNyatu-jh6sc
      @BostonNyatu-jh6sc 10 місяців тому

      Point

  • @KudraRashid
    @KudraRashid 8 місяців тому +2

    Jamani ndacha kaburuzwa hii dini ya wakristo wamethibitisha wamepotea kwa kuamini nembo ya kristo inatumika vibaya subhanallah walimu waislam wabarikiwe ndugu zetu hawajui

  • @franciscokipepo7757
    @franciscokipepo7757 Рік тому +12

    Mungu na azidi kukubariki papa Ndasha , na kukuongezea hekima ya ujuzi wa kiroho katika jina la Bwana wetu yesu kristo, kwa kufundisha kweli takatifu inayo ongoza kwenye uzima wa milele, na kuokowa nafsi ya watu kwa kuteteya jina Bwana wetu yesu kristo 🙏🙏🙏, nime penda sana

  • @MwajumaHatibu-v8k
    @MwajumaHatibu-v8k Рік тому +11

    23:19 mashaaraa mwenyezi mungu awajarie mashed wetu wote mungu awazindishie Pepo ya firidausi mashed wote pamoja na waisiramu wowote urimwengu mzima❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wisiramu napenda sana uisiramu

    • @h.alshidhani8971
      @h.alshidhani8971 Рік тому +1

      Wewe huna Llll. Mbona kiswahili unakivuruga sawa sawa.
      MashaAllah, Waislamu, Awajaalie, mashekhe, ulimwengu.
      Lazima uwende kusoma tena kiswahili

    • @kisosekatere6282
      @kisosekatere6282 Рік тому

      Hapa hakuna cha USHABIKI Anwani iko wazi na jibu liko wazi wazi Kutoka na Vitabu vyenu ikiwemo Quran majini ndugu zao ni WAISLAM Mbona liko wazi hilo.

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 5 місяців тому

      Na wakristo ikowazi kuzimu nindio makazi yenu nguvu zagiza ndio kazimnayoijua na mapepo ninani kwenu

  • @ErickLenana
    @ErickLenana Рік тому +11

    Yesu ni mungu proud to be a christian❤❤

    • @h.alshidhani8971
      @h.alshidhani8971 Рік тому

      Yesu ni Mungu? Kafiri mkubwa wewe

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 Рік тому

      Mmh😢

    • @ahmadamohamed1907
      @ahmadamohamed1907 Рік тому +1

      Daah mtihani kweli Mungu. wako anakula,analala anakunywa na kutoa kinyesi Kama mm

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 Рік тому

      @@ahmadamohamed1907 Allah swt awaongoze waosema yesu ni mungu Allah awape nuru

    • @mamoridan4675
      @mamoridan4675 Рік тому

      Ameeeen.

  • @juliusntandu4302
    @juliusntandu4302 Рік тому +3

    Shekhe umepotosha maneno ya Ndacha Ndacha alisema majini hawapendi kusikia maandiko ya biblia ndiyo maana Yesu alipomwambia imeandikwa ibilisi aliondoka na majini wanatetemeka kwa kuwa maneno ya biblia ni moto.

  • @Sarahsaid2648
    @Sarahsaid2648 8 місяців тому +3

    Yesu ni njia ya haki mpinge msipinge nilikuwa muislam lkn YESU alinitokea na kuniambia yeye ndio njia ya kweliiiiii na ndio maan karibia watu wote waliotokea ktk kazi ya shetani uchawi na kazi zozote kinyume na mapenzi ya Bwana huokolewa na YESU MWENYEWE na wanaokoka kabisaa

  • @GanstanSimidi
    @GanstanSimidi 9 місяців тому +1

    Asante sana Bwana Ndacha unavofafanua kinagaubaga ukweli mtupu. Alie na masikio na asikie.

  • @Tatumamirry
    @Tatumamirry 11 місяців тому +3

    MAZING E❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @manustarboy_zp8tv
    @manustarboy_zp8tv Місяць тому

    Ak asante Sana pastor dacha Mungu akulinde😊

  • @DanielMusyoki-di7pd
    @DanielMusyoki-di7pd 6 місяців тому +4

    Dacha mungu akuongezee hekima waislamu wajue ukweli na wabatizwe kwa jina la yesu

  • @IsmaSwalehe
    @IsmaSwalehe 11 місяців тому +2

    Nakupenda kwa ajiri ya mungu mazinge

  • @albertbissaga1425
    @albertbissaga1425 Рік тому +11

    Uko vizuri mtumishi wa mungu, ndacha,waokoe hao, kiarabu hawakijui ili kuelewa kilichomo ndani yake, badala yake wanafata mkumbo tu, hawajielewi.

    • @amirmohamedali7922
      @amirmohamedali7922 6 місяців тому

      Ndacha mwanafunzi wawazungu muangalie anavaa vipi na yeso anavaa vipi

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 4 місяці тому

      @@amirmohamedali7922 Toka zako we we muache mud

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 2 місяці тому

      Mkristo kasome biblia 2:11 ufunuo tatizo biblia yenyew hamsomi mnahubiriwa makanisani

  • @RahmaHoussein-p4s
    @RahmaHoussein-p4s Рік тому +9

    Allah ampe maisha marefu professional mazinge nampenda bure huu baba. Allah amzawadie peponi iwe ma kazi yake

  • @AbdoulKharim-c7o
    @AbdoulKharim-c7o Рік тому +8

    Allah Akbar Innallah Maaswabilinnah Islaam Dini yangu❤❤

    • @danielkamau8560
      @danielkamau8560 10 місяців тому +1

      wala usisahau dini haiokoi

    • @DulaMudi
      @DulaMudi 4 місяці тому

      safi III waisiramu mungu atupe uwazifu m kubwa

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 4 місяці тому

      @@DulaMudi wazifu wanyoko au wa mazinge kichwani Hana kitu kuloga ndo kumejaaa

  • @HanaDaudi
    @HanaDaudi 8 місяців тому +1

    Mimi nampenda YESU hata muniue simwachi kamwe I love you Jesus

  • @ramazecha2877
    @ramazecha2877 Рік тому +8

    Mashallah mazinge kwa kzi nzuri

  • @QuickBaby-o3i
    @QuickBaby-o3i 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana mtumishi Ndacha na Mungu akutie nguvu kila simu ili kweli ipate kujulikana

  • @MkBoneface-dl4hn
    @MkBoneface-dl4hn Рік тому +7

    Allah akujalie maishabora duniani Na ahera mwalimu wangu kwakazi kubwa unaifanya ya Allah

  • @ThomasKiwiok
    @ThomasKiwiok 5 місяців тому +1

    Asanteni sana vyiopo vya Mungu kupitia china la kristo yesu.nimefujika moyo sana kwa kung'ang'ana na wanadamu na

    • @ThomasKiwiok
      @ThomasKiwiok 5 місяців тому

      Watu wanao kaana sana bwana wetu kristo yesu mkombozi.

  • @Janetmoraa-t8f
    @Janetmoraa-t8f Рік тому +4

    ata ukuangalia sana kuseme ukweli majini waganga ni wengi kwa waisilamu❤❤❤❤

  • @ShagomeJe
    @ShagomeJe 2 місяці тому +1

    Jini ni jini. Na shetani ni shetani ndacha umewabiga tisa sifuri 🙏🙏🙏🙏 Mungu ainuliwe

  • @Bonifacemutua-j9h
    @Bonifacemutua-j9h 11 місяців тому +5

    Francis Ndacha mungu akutie nguvu uendelee kuwaelezea ukweli ndugu zangu waislamu

    • @AllyAthumani-c8b
      @AllyAthumani-c8b Місяць тому

      Ndacha ni mchumia tumbo2 ngojen muone kitakacho mkuta ndacha wenu maznge fanyen kaz ya Allah hkika pepo ni makaz yenu aamiiin

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 4 місяці тому +2

    Iv niulize kwanini Kwa kuruan muweke somo la Majin ya Kaz Gani MUNGU aliwatupa Majin baada ya kuuasi lakin ninyi mnawakumbatia why Hawa viumbe jmn

  • @kevinmusa4086
    @kevinmusa4086 Рік тому +4

    Nice job mtumishi wa Mungu.

  • @Mygirl_1032
    @Mygirl_1032 Місяць тому

    Mungu akuinue viwango vya juu pastar ndacha endelea kumtangaza kristo kwa kila asiye mjua wamjue na wao kupitia wewe ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jamesombaso9493
    @jamesombaso9493 Рік тому +23

    God bless you ndacha

    • @JosephRuto-yw9ob
      @JosephRuto-yw9ob 9 місяців тому

      I love the way you answer them may God bless you and to give you more grace and wisdom

  • @emanuelsulle2984
    @emanuelsulle2984 6 місяців тому +1

    Ndacha maandiko yamelala hatumii cha note book wala kuanglia anglia marejeleo Mungu akubariki

  • @KooKoo-q8p
    @KooKoo-q8p Рік тому +4

    Mazingemashallah

  • @tifagazadafera3976
    @tifagazadafera3976 10 місяців тому +1

    Ndacha babalao...mungu na akujalie mema.....hao mashekh wanatapatapa tu hawana msingi yoyote...wakristo tupo imara

  • @Hajra-vu9gd
    @Hajra-vu9gd Рік тому +4

    Usitath mazige muguakujiliye imani namwisho mwema inshaallah

  • @EddytabenMwambegu
    @EddytabenMwambegu 11 місяців тому +1

    Kwa hakika wakristo wako Na raha.wanaongea bila kiburi..wanyenyekevu.mtumishi ndacha Mungu akubariki..

  • @michaelsilvester8420
    @michaelsilvester8420 11 місяців тому +7

    Mungu akubariki sana ndasha mtimishi wa mungu

  • @JohnNyasi-xb7sy
    @JohnNyasi-xb7sy 10 місяців тому +2

    Awajaa wana soma kamstari kamoja tu alafu wanadhani wamehelewa kukumbuka wanarusiwa kuongea huongo kutetea huisilam chapa kaz NDACHA

  • @عليالشهري-ع8ن
    @عليالشهري-ع8ن 11 місяців тому +11

    Shukrani ya Allah kuwa Muslim,mazinge Mungu akupe maisha matamu

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 11 місяців тому

      Unajivunia ujinga kua na shetani wewe jinga kweli

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 5 місяців тому

      Wallahi tujivunie kuumbwa waislam al hamdulilah sio makafiri

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 5 місяців тому

      Sasa wewe umekuja kufundisha au umekuja kukashif dini za wenzio lakini subiri kitachokupata ishallah karibu wa simbali ndio utaijua dini ya kweli ipi cheka tu huomdomo utajishangaa yatayo kupata ovyoo

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 4 місяці тому

      @@saleemadhiyabalkhatri7800 nakupa pole ngojeen kifo tu

  • @ShagomeJe
    @ShagomeJe 2 місяці тому +1

    Mungu azidi kuinua ndacha kwa kazi hii unayo ifanya

  • @RusangaJustin
    @RusangaJustin Рік тому +3

    Ndacha barikiwa baba utaokowa watakao itika kuokolewa

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 7 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂nimecheka sana akuna jini wa Italy 😅wala tanzania 😂😂😂wala London 😅😅

  • @Lauresonline
    @Lauresonline Рік тому +5

    Ndacha ubalikiwe sana

  • @ThomasKiwiok
    @ThomasKiwiok 5 місяців тому +1

    Lakini pst ndacha usi jeke katika huduma hiyo dungu hiyo ndio nafasi kwako kutoka kwa Mungu kuokoa watu wake.mwana wetu kristo yesu.hasante sana mola hakupariki mtumishi amen!

  • @mrangi4454
    @mrangi4454 Рік тому +9

    MashaAllah ma sheikh
    Wakristo kubalini ukweli muwache upagani ili muindie peponi

  • @Sarahsaid2648
    @Sarahsaid2648 8 місяців тому +1

    Hakika ndacha ni mwl wa kweli na Mungu anakutumia vyema sana

  • @RamsoJaio
    @RamsoJaio 10 місяців тому +3

    I'm proud to be a Muslim, alhamdullilah ALLAH 🙏

    • @MetOrina
      @MetOrina 10 місяців тому +1

      We ni jini

    • @NYAHURURU_ICON
      @NYAHURURU_ICON 9 місяців тому

      Wewe ni kaka ama dada wa majini 😂

    • @JaziraMustafa-g9p
      @JaziraMustafa-g9p 9 місяців тому

      ​@@NYAHURURU_ICON YeYe ni shetani Petro Na mtumikia shetani Paulo SAULI

    • @JaziraMustafa-g9p
      @JaziraMustafa-g9p 9 місяців тому

      ​@@NYAHURURU_ICON Yeye ni baba wa shetani Petro na Mkuu wa mashetani SAULI PAULO

    • @NYAHURURU_ICON
      @NYAHURURU_ICON 9 місяців тому

      Kuna utofauti wa shetani kwa mfano mtu aneza kuwa shetani lakini jini hawezi kuwa mtu sasa jua unazungumzia shetani aina gani lakini majini ni majini tu 🤣🤣

  • @MasoudNyoni-g8o
    @MasoudNyoni-g8o Рік тому +1

    Ahsante Kwa ujumbe mzuri.

  • @asendeibucwa
    @asendeibucwa Рік тому +63

    Mimi niko marekani sinanga ndini yoyote hile ,si mweslamu Wala msabato .ila ninavyofuatilia mada hiii ,namwelewa p.pr.mazinge sana

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni Рік тому

      Shida ni wakristo hawajui tofauti ya majjin na mashetani na kibaya ni ata wakielekezwa hawataki kuelewa,wamekalia ushabik tu

    • @IsmailMchimani-hm8fy
      @IsmailMchimani-hm8fy Рік тому +2

      Hapa kutoelewa maJin ni viumbe vya aina ndio shida ya hawa makafiri hongera mazinge Allah akuhifadh

    • @adriandanford208
      @adriandanford208 Рік тому

      Kama wew huna dini wew ni wa Dunia Dunia inaendeshwa na shetani so wew ni washetani

    • @adriandanford208
      @adriandanford208 Рік тому +1

      ​@@ZayyanaBamuniGiza ni ziga na mwanga ni mwanga

    • @adriandanford208
      @adriandanford208 Рік тому

      ​@@IsmailMchimani-hm8fyhakuna Giza lenye mwanga ndani

  • @SaniaAbdillah-q8p
    @SaniaAbdillah-q8p 8 місяців тому +1

    Mazingi NAWEZAKE ALLAH akupeni Maisha marefu yenye afya mzidi kumtumikia ALLAH

  • @nyabendasayumwe8514
    @nyabendasayumwe8514 Рік тому +3

    Mazinge kubali Ndacha ni zaidi yako tena ni mkweli

    • @husseinkazungu1464
      @husseinkazungu1464 Рік тому +1

      Nyinyi mnajifulaisha tu nafsi zenu nakukufulu kwenu nahayo matamanio yenu mungu tuepushe nadini yetu yahakii ibaki salama

    • @adamsaid-ze1jw
      @adamsaid-ze1jw Рік тому

      Ww ujitambue kwel yaan

    • @OMARYKAHUNGO-mn4mf
      @OMARYKAHUNGO-mn4mf 7 місяців тому

      Mshamba wa video..😢

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 4 місяці тому +1

    Dunia ya Leo kumjua YESU ndo habar ya mjini wasiomjua wote washambaaaaaa!!

  • @calebluseka7454
    @calebluseka7454 Рік тому +6

    Waislam waaje kutubeba ufala n kweli ndugu ndacha Mimi mwenyewe nimeshuudia hawa waislamu wanajua kila kitu hawataki ukwel

    • @Hussayn21
      @Hussayn21 Рік тому

      Listen to learn don’t act like a fan this is not football where we have teams! My brother take your time and read your book and ask for guardians from Almighty God

    • @adamsaid-ze1jw
      @adamsaid-ze1jw Рік тому

      Ww ujielew soma iliujue ukwer mungu anaweza kuzaliwa maipopo alikuwa mkristo mbwa na akasilimu akawa anaongea ukweli huyo mkristo wako anajua ipi njia sahihi yaan jitambue sana yaan usije ukafa ukawa mkristo

  • @RahmaRahma-us5qk
    @RahmaRahma-us5qk Рік тому +1

    Ukristo hauna elimu juu ya viumbe wa mungu. Wanakata kabisa kuwa majini ni viumbe pia. Wapo waovu na wema.elimu hiyo hawana.

  • @combesimnba8720
    @combesimnba8720 Рік тому +4

    Kasi ngema ndacha. Amém