BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 108

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 2 місяці тому +20

    Uyu ni nguli WA history ya uislam Tanzania Allah akuhifadhi

  • @user-ub8ig1rl7h
    @user-ub8ig1rl7h 2 місяці тому +11

    Hongera MOLA akulinde, akuzidishie umri

    • @SeifsaliminiSile
      @SeifsaliminiSile 2 місяці тому +1

      Tumshukuru Allah kwa kujalia kupata fursa ya kueleza yale ambayo umeyasema kwa ufasaha na kuelimisha umma wa Tanzania kuhusu historia hii nzuri, uwazi, ihakika na ukweli.

  • @abdullmubaarakabdalah
    @abdullmubaarakabdalah 2 місяці тому +3

    SHEIKH MUHAMMED ALLAH AKUPE umri mrefu uendelee kutufundisha na kutukumbusha, INSHA ALLAH,

  • @BuiKishkOnlineTv
    @BuiKishkOnlineTv 2 місяці тому +10

    😀😀😀😀WARSHA huyu Mwamba ni hazina ALLAH amuhifadhi

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 2 місяці тому +8

    Huyu sheikh anaitwaje majina kamili? MashaAllah, Kiswahili safi. Mimi ni wa Mombasa, nimefurahishwa sana na utaratibu anayoongea na ilmu yake.

    • @bongotricks-tz
      @bongotricks-tz 2 місяці тому

      mohammed said

    • @MackameHassani
      @MackameHassani 2 місяці тому

      Sheikh Mohamed said, anaishi dar maeneo ya magomeni.

    • @jumanesaidi7635
      @jumanesaidi7635 Місяць тому

      Huyu ni yule Mohamedi Saidi Abdallah mwandishi wa vitabu vya riwaya, bwana MSA?

  • @nadirmahfoudh1812
    @nadirmahfoudh1812 2 місяці тому +2

    Masha'Allah, habari nzito hizi. Shukran Shk Mohammed

  • @ElyrehemaMartin
    @ElyrehemaMartin 2 місяці тому +3

    Allah akuhifadhi ya Duktor

  • @ayoubmngarishaji6031
    @ayoubmngarishaji6031 2 місяці тому

    Mungu amtunze sana huyu mzee asee ,anaongea kiswahili safi sana,historia imenyooka, sio muoga, mungu akutunze babu yangu nakuombea dua sana mzee wangu

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 2 місяці тому +2

    Mola akujaaliye kila la kheir.kheir zije haraka ya Rabbi kwa kila BINADAMU

  • @isihakamgeta5433
    @isihakamgeta5433 2 місяці тому +10

    HUO NDIO UKWELI ,JAPO UTATUKANWA MZEE

  • @osmanmussa9979
    @osmanmussa9979 2 місяці тому

    Allah akuhifadhi mze wetu kwa faida zaidi
    Maana history ulio itoa kizazi hiki haki ijui kabisa

  • @seifalzakwan5663
    @seifalzakwan5663 2 місяці тому

    MashaAllah kama namuona marehem ibrahim ilunga hizi ni hazina za uislam east africa

  • @AdijaSelemani
    @AdijaSelemani Місяць тому

    Àllah sw akulinde

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 2 місяці тому +3

    Walimfanya nyerere ndio mwenzao ndio leo tumefika hapa

  • @jumafanga6457
    @jumafanga6457 2 місяці тому +3

    Inaumiza sana kwa dhuluma hii

  • @KhabariAbdallah
    @KhabariAbdallah 17 днів тому +1

    Ndugu nawaomba nahitaji namba ya shk muongeaji

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 місяці тому +6

    Tunajua historiya ya kweli ya tanganyika na africa mashariki mpaka msumbuji wanayo waisilamu hii ya shuleni imetungwa na hata ukiituzama ya kwao imeanza juzi miaka ya 60

    • @abdallahmmary8591
      @abdallahmmary8591 2 місяці тому +1

      Ulikuepo wewe unajua hilo hy uhuru wenyewe wa nchi ya tanganyika ni yupi mkristo alipigania?

    • @Stephano-g3g
      @Stephano-g3g 2 місяці тому

      Je walipigania uhuru wakati hawkuwa na elimu walikuwa mbumbumbu? Acheni ulongo

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp 2 місяці тому

      Bwege wewe utakufa kinywa wazi​@@Stephano-g3g

  • @BashirAbdallah-yk9me
    @BashirAbdallah-yk9me 2 місяці тому +4

    Safi sana

  • @amirmohamed7360
    @amirmohamed7360 2 місяці тому +1

    Nyerere amehusika kuanzishwa kwa Bakwata

    • @zahormohammed4476
      @zahormohammed4476 2 місяці тому +1

      Sio kuhusika yeye ndio muasisi mkuu wa bakwata

    • @alexpanga5334
      @alexpanga5334 2 місяці тому

      mlitegemea tanzania iwe nchi ya kiislam wajinga kweli nyie mtasubiri sana

    • @zahormohammed4476
      @zahormohammed4476 2 місяці тому

      @@alexpanga5334 wakati waislamu wanapigania Uhuru nyinyi wakristo mlijifanya kama haiwahisu mkasema hamtaki kuchanganya dini na siasa

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 місяці тому

      ​@@alexpanga5334Kama nchi itakua ya Injili waislamu watafurahi sana, yaani inafuata Injili waislamu wataridhia, ila si hii baa na danguro.

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 2 місяці тому +6

    Andikeni kitabu cha historia wafundishwe watoto wetu mashuleni

    • @AlyAly-n8r
      @AlyAly-n8r 2 місяці тому

      Labda wajenge na shule zao mana kwa skuli zetu hawatoruhusu kufundishwa na kwani unadhani hawayajui storia hii hawataki TU

    • @faridsalehmohamed1230
      @faridsalehmohamed1230 2 місяці тому

      @@AlyAly-n8r tunazo shule za kiislamu nyingi tuu Sisi wenyewe hatupo makini na mambo yetu

    • @thespaniardinme
      @thespaniardinme 2 місяці тому +1

      Sheikh Mohammed Said ameandika kitabu cha historia, kinaitwa "The Life and Times of Abdulwahid Sykes: The untold story of Muslim struggle against British Colonialism in Tanganyika", na kimetafsiriwa pia kwa Kiswahili, kikiitwa "Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes". Kinapatikana maduka ya vitabu ya Ibn Hazim, mfano, karibu na msikiti wa Manyema na karibu na msikiti wa Mtoro. Ni shilingi elfu kumi tu. Haya yote na zaidi yameandikwa

  • @fadhilhemed8518
    @fadhilhemed8518 2 місяці тому +6

    Sio muda wa kulalamika lamika kama Walisikosea tunao muda wa kurekebisha tutaulizwa kwa wakati wetu.

    • @ommarysaid7391
      @ommarysaid7391 2 місяці тому +1

      Inatakiwa Mapambano ya kweli Maana Bakwata ndo Kizuizi Cha Maendeleo ya Waislamu Tanzania ndo Maana ilivunjwa East Africa Muslim Walfare Society na kuundwa Bakwata Chini ya Serikali ndo Maana Mufti Anachaguliwa na Serikali, Fatilia historia ya kweli ndo Utapata Ukweli na Hali Halisi ya Waislamu Tanzania tunavyodhuliwa Haki Yetu

    • @froma3732
      @froma3732 2 місяці тому +1

      Hawalalamiki anaeleza ukweli

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 2 місяці тому +6

    Bakwata nimali ya ccm pia nitawi la Catholic haiwezi kusaidia waislamu nimachawa wahizo taasisi nilizozotaja

  • @swalehkyonda1000
    @swalehkyonda1000 2 місяці тому +2

    Historia adhwiim
    Yenye machungu

  • @SwediMziray-l8n
    @SwediMziray-l8n 2 місяці тому +1

    Allah Akbar, Allah Akbar Thumma Allah Akbar.

  • @MrDocumentor
    @MrDocumentor 2 місяці тому

    Mashallah

  • @HemedHimbu
    @HemedHimbu 2 місяці тому +2

    It's good news!

  • @hajikassimu4646
    @hajikassimu4646 2 місяці тому +5

    WAMANYEMA HATUWI WAKRISTO NI MWIKO MWIKO JINA KIGOMA LINA MAANA YAKE 🙏

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 місяці тому

      Kabilaa Sio Dini Ni Imani Sahihi Namatendo Sahihi Huku Ukitaraji Matendo Yote Utalipwa

    • @MwaramiMadenge-w1f
      @MwaramiMadenge-w1f 2 місяці тому

      Kigoma maana yake nn

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 2 місяці тому +5

    Waislam tumejiumiza wenyewe nchii hii,,wacha Allah atuchape kiboko

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 2 місяці тому

      Ni kweli, ila Allah atuwie radhi, tumeuacha uislamu unasema nini, kwa kuifuata elimu ya shetani.

  • @h77-f8m
    @h77-f8m 2 місяці тому

    Mwenyeenzi mkubwa

  • @OmaryAlly-l7i
    @OmaryAlly-l7i 15 днів тому

    Wagaratia wacheni dharau nyinyi ni wanafiki na ndiyo Muna bebwa sana aiwa husu historian ya waislam

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa2973 2 місяці тому +10

    BAKWATA NI tawi la KANISA katoliki

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 2 місяці тому +2

      Unajiaibisha ndugu.

    • @mutabebwa-bm6pm
      @mutabebwa-bm6pm 2 місяці тому +2

      Hivi kweli mtu mwenye AKILI TIMAMU anaweza kuamini Bakwata ni tawi la KANISA katoliki?
      Labda mwendawazimu na asiyejua historian ya nchi hii.

    • @mahatakitengewamuninga1260
      @mahatakitengewamuninga1260 2 місяці тому +3

      BAKWATA SI TAWI LA KANISA KATOLIKI. ILA NI MIONGONI MWA VITENGO VYA SERIKALI NA HAIPO KWA MASLAHI YA UISLAMU. JAPO INA MAUMIVU ILA NDIO UKWELI. FUATILIENI UUNDWAJI WAKE 1968

    • @amirmohamed7360
      @amirmohamed7360 2 місяці тому +2

      Bakwata ni CCM B

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp 2 місяці тому +1

      Bakwata hamna kitu unafiki na kuchumia matumbo tu

  • @mbaroukkhalfani9244
    @mbaroukkhalfani9244 2 місяці тому +1

    Hao wanao hadithiwa hadithi nzuri ya historia ya uislamu wamelala au hawan habari.kazi bure😢

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 2 місяці тому +1

    Taarifa ya kila Mmanyema ni Muisilamu ni uongo mtupu. Mimi ni Mkristo na ni Mmanyema wa Kigoma.. wapo wamanyema wa DRC na wapo wakristo wengi tu

    • @mswakisaid2320
      @mswakisaid2320 2 місяці тому

      Mkiwa wachache hampimwi kwenye mizani

    • @Desireyakubu
      @Desireyakubu 2 місяці тому

      Inawezekana unachokisema lakini mimi piya ni mu Congo natokeya Goma ila watu wa manyema wote nimeisha wai kuwaona sijawai kumuona mmanyema mu kristu

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 місяці тому

      We unajipendekeza uwe kabila ilo tu.

    • @Desireyakubu
      @Desireyakubu 2 місяці тому

      @@Sheba4651 sijakuwambia mimi mmanyema lakini

  • @h77-f8m
    @h77-f8m 2 місяці тому

    Bakwata mtihani

  • @RashidAhamed-kq6pt
    @RashidAhamed-kq6pt 2 місяці тому

    Namuonea huruma kushikilia maiki sikunyengine weka maiki mezani wazee waongee kwa urahisi

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 2 місяці тому +2

    Huo ni utafiti wa uongo. Haiwezekani Waislam kuwa 80% ya watahiniwa wote Tanzania ilihali Seminari za Roman Catholic zilikuwa nyingi kuliko shule za Waislam. Na ukija kwenye shule mchanganyiko Waislam ni wengi mjini tu lakini mikoani, mawilayani na vijijini Wakristo ni wengi sana. Na kwa ujumla watu wanaoishia mijini ni chini sana ya nusu ya watu waliopo vijijini. Hizo takwimu zilipikwa kuwafurahisha watu wao. Mengine yote anayoongea Mzee huyu Siwezi kuyapinga kwasababu sina ushaidi. Inawezekana ni kweli.

    • @kazungukakiyo
      @kazungukakiyo 2 місяці тому

      Ubishi wako niwa kitoto,,maana huna ushahidi.without any grounds .

    • @osmanmussa9979
      @osmanmussa9979 2 місяці тому

      Hoja useless kabisa
      Na hujui unacho kiongea
      Sijui hata uli zaliwa lini wewe acha kua na maneno bila usha hidi anayo zungumza utayakuta mengi ktk maktaba za ulaya na sio Tanzania huijui hata Nchi yako japo una jifafakharisha nayo soma kwanza
      Rejea kitabu kidogo tu
      DOLA KANISA NA TATIZO LA UDINI TANZANIA
      Uone reff alizo toa Mwandishi na sio pumba unazo ongea
      Ujue tu ndugu ya kua iwe itakavyo kua lkn ukweli utabakia kua ukweli
      Kuna mengi yali tendeka

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 2 місяці тому

      Shule nyingi za kiislamu zilitaifishwa za cathoric zikaachwa

    • @jmrobert4503
      @jmrobert4503 16 днів тому

      shule ipi ya kiislamu ilitaifishwa? maana tunavyojua shule karibia zote zilikuwa za mission kuanzia Kibasila, forodhani, pugu, mirambo, tosa na kwiro

  • @MartinKitina
    @MartinKitina 2 місяці тому

    Huyu babu jinga Kipindi cha Magu alijificha kabisa kimyaaa, mana aliyempa kichwa huyu na mwenzake Ilunga ni JK, sasa Samia anamtuma upya

  • @Stephano-g3g
    @Stephano-g3g 2 місяці тому

    Unadanganya umma waislam walikuwa wanakimbia shule wao ilikuwa ni madrasatu tu. Ambao hawakukimbia shule ndo hao akina kikwete n.k

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 2 місяці тому

    Ujitambui ww lizee mbn muingereza na mjeruman wameach vtu ving atusrmi mbw ww

  • @YusufSasamalo-uz4ii
    @YusufSasamalo-uz4ii 2 місяці тому

    Kumbe agha khan ni waislam

    • @Hongkongman2
      @Hongkongman2 2 місяці тому

      Shia hawezi kua muislam
      Ila watu wa uislam na siasa ndio wanachanganya tu

    • @ramadhanngwilili6261
      @ramadhanngwilili6261 2 місяці тому

      Chuki cha Kiyahudi
      ​@@Hongkongman2

  • @abdulrasulissa5063
    @abdulrasulissa5063 2 місяці тому

    Hao ndio waliochangia kuudhofisha uislam Islam ni dini moja ndani yake yamo makabila yotee sasa wahindi nk imehusu nini ni ufisadi tuuu

  • @High-km1dm8et9x
    @High-km1dm8et9x 2 місяці тому +1

    Uyo mzee anasubiri mabikira 72 duu ni aibu

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 2 місяці тому +2

      Haya kuhusu nenda uko tuache na Proffesor wetu

    • @ElyrehemaMartin
      @ElyrehemaMartin 2 місяці тому +2

      Mbona unaleta matusi humu

    • @High-km1dm8et9x
      @High-km1dm8et9x 2 місяці тому +1

      @@ElyrehemaMartin sio matusi ni maandiko ya wasenge

    • @High-km1dm8et9x
      @High-km1dm8et9x 2 місяці тому

      @@sonnyr1899 sasa je nimeongea uongo nyinyi ni wanyonya damu na ni waongo wa mwisho

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 2 місяці тому +1

      ​@@ElyrehemaMartinbila shaka ndio malezi alopata toka kwa wazazi wake.

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 2 місяці тому

    Ach ujinga kwan uislam ulianzia uku au umetokan na utumwa

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 місяці тому

      Uislamu haukutokana na utumwa, labda ukristo ndio zao la utumwa. Waefeso 6:5

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 місяці тому

      Waefeso 6:5 Enyi watumwa, watiini wao walio bwana zenu kwa jinsi ya mwili, kwa hofu na kutetemeka, kwa unyofu wa moyo, kana kwamba ni kumtii Kristo.

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 2 місяці тому +1

    Nyinyi vilaza tu hata chuo cha Kiislam Morogoro mlipatiwa na Mkapa! Msikiti huo JPM kachangia sana!

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 2 місяці тому +3

      Usijali kwa hilo?, hata waislaam wa mwanzo wakati wa Mtume Muhammad salallahualyhiwasallam walipata hifadhi kwa mfalme wa Habash (Ethiopia) wakati huo na alikuwa mkiristo. Kwa hio JPM atakumbukwa vizuuri sana na waislam hapa Tanzania. na ulimwengu wa kiislam kwa ujumla. Apumzike mahali pema peponi .

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 2 місяці тому +4

    😂😅
    Kwa kweli!
    You guys are your own failures, yet you create stories to blame anybody for the sake of scapegoating. Grow up!

    • @Nedjadist
      @Nedjadist 2 місяці тому +1

      You are oblivious to history. Muslims in Tanzania were literate thousands of years before Christians could know how to wipe their arxxs hygienically.
      It was a deliberate decision to make them largely illiterate! All erudite people in history, fair minded people agree. Only little minds of tarantulas-like deny that fact.
      The Ikulu in Dar Es Salaam was built originally as a Muslim learning institute!

    • @alwaziirahmad2682
      @alwaziirahmad2682 2 місяці тому +2

      It's really you don't understand what you're talking about.

    • @ElyrehemaMartin
      @ElyrehemaMartin 2 місяці тому +4

      Haujui linaloongelea mimi nadhani ungeleta facts na siyo kubeza.

    • @AshrafLema-n5r
      @AshrafLema-n5r 2 місяці тому

      Ok,inawezekana vp muislam anahifadhi quran katika ubongo wake,halafu unasema waislam wadhaifu katika mas'ala ya kielimu!? "In my reflection,this idea takes me back when we were schooling ordinary level. We memorised what was; Biology, chemistry, History & so on etc!! We by then were mixied, Christian & Muslim. If minority did good,the number between 42 in our classes half of whom were muslim scoared or out numbered christian!! So the notion that Muslim are not educated, isn't the right statement you should give to the audience at all!

    • @zully756
      @zully756 2 місяці тому

      Most of you have repeated exam in coast, after failing in exam in interior extra power gave you opportunity to repeat in coast region and replace coast people, why don't you go back to your village?