EXCLUSIVE: SALIM KIKEKE NA SABABU ZA KUICHAGUA CROWN MEDIA
Вставка
- Опубліковано 1 тра 2024
- Salim Kikeke Live na Temidayo
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / channel - Розваги
Wengi humu mnamsifia kikeke kwa sauti kwa jinsi alivyo tulia anavyo jibu maswali huku akiwa live ila embu muangalieni temidayo alivyo tulia confidence aliyokuwa nayo sijawai msikia before sehemu yoyote but jamaa katulia anauliza maswali short and clear
Yeah Yuko vizuri sanaaa
Yuko vyedi sanaaaa😂
Alikuwa anatangaza zamani
Yani 2 professionals
Temidayo mkali
Hakikisheni mnalike pale juuu
Sauti yenyewe inajieleza 🔥🔥🔥twende na like apa
Wana crown Media tujuwane apa
Asante sana Alikiba now tunatamba mjini
AMA KWELI SALM KIKEKE ANA SAUTI YA MAMLAKA AISEE✊
Sikiliza Vocal Hy 😅 Ngonga Like Kama Unakubal Sauti
Nikiwa gikombaa Nairobi . Big upp❤❤ oll fan's king music and crown media
Chunga simu ma pick pocker ni wengi alafu usisahau kuniletea viatu
Mi timu kiba atariii nawakubaliiiiiii sanaaaaa
I see crown media to be the greatest media within tz and outside tz keep note
Crown fans give me like 👍 from south africa 🇿🇦
ndio ndio 🙌🙌🙌 hii imekaa fressshhhh kinoma.... can't wait for it aisee
Niko live crown toka TZ🇹🇿 KILIMANJARO 🔥🔥🔥🔥🔥🤣
😂😂😂😂
HAPA TUMEPATA BBC YA AFRICA TZ . Hapa sasa nimepata CHANNEL kutoka TZ🇨🇩🇺🇸❤️
Uyo jamaaa mwenye kipara kama mimi😮 udevu kama mimi namkubaliii, nafurahishwa sana na kikeke
Hapa ni nyumbani 🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hakika #HapaNiNyumbani kabisa karibu sana homeboy #Salim_Kikeke
Sauti ya kazi kabisa
These are really profesional personalities in terms of media in Tanzania heko crown media
Kwenye kazi kuna kazi.Hongera crown mnaupiga mwingi✍️
Nawafata vizuri nikiwa hapa Germany 🇩🇪
tupeane mailing bana
Duh mkali sana kiutangazaji duh . Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukutunza.
Nakuelewa sana kikeke
Ukimsikiliza salim kikeke utajua ni moja wa partner wa crown media
Utajua wewe
Wewe kama mimi tuliosoma quba
Ni kweli
Everthng is perfect salim kikeke awe partner au awe ndo boss wa crown hyo haijalishi but hii media is another lever.
Haswaaa,,,,anahisa zakee
Safi sana hapa na nyumbani tuko pamoja na kazi iendelee
Kikeke mtu wa maana kabisa
Noma sana crown media mmetisha sana
Mimi na deal na camera daaah 🙌🙌 na setup ya location nzuri SANAAAAAA♥️♥️♥️♥️🙌🙌🙌
Wapo poa
Niko live na Crown 👑
AKA BACHUCHU MOMBASA 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakuona Bro😂
Kiukweli tangu utike BBC Mpaka leo hii nimehamia King 👑👑 kikeke na king 👑👑 KIBA yeooooooooo💪🏽🥂🙏🏼
Wale tunaotaka crown izinduliwe Mwanza gonga like hapa mpaka king atuambie lini wanazindua mwanza😢
Tupooo
Salm kikeke Yuko vizur sana
Kipindi chako Cha kwanza kitakua lini br tusikie hiyo sautinya radi ✊
Wow 👏🏿👏🏿love it. Hicho kionjo jaman❤❤
Shikamoo Salim kikeke#Habari za leo crown 👑 Media
Hiyo Sauti ya Salim kikeke bwana daaah❤❤❤
Acha tu🔥🔥🔥🔥
Ki keke alikiba mungu awapemaisha malef
Tunakukubali sana.kikeke
King Kiba King Kikeke
Hapa ni nyumbani 👑👑👑👑
Moja kwa moja kutoka crown
Sauti ya Kikeke imekaa kimkakati sanaa😮, 🔥🔥🔥
Mungu Mwema kuja salimu kikeke crawn fm nawaombeeni dua iwe amina
King keke
Kikeke ni gwiji kweli kweli juu ya utangazaji🔥🔥🔥🔥
CROWN 👑👑👑👑👑👑🔥🔥🔥🔥
Safi Kbs Crown média
Namkubali sana huyu gwiji yeye na Charles Hillary,Mkamiti Kibayasi,Fadhili Mpunje,Pili Mwinyi.
Nafuaya Crown 👑 toka 🇨🇩✌️ bila hata chenga moja kabisa😊😅
Mtu wa maana kabisa ❤❤❤
🎉🎉🎉apewe Maya yake
Karibu sana
Hapa ni nyumbani kweli😢😢❤❤
Baba utukuzwe naaiona Crown ikija vyema na ikiwa na nidham . Baba ibariki Crown FM na CROWN Media
Crown tv 📺 camera 📷 🔥
Gwiji kama Gwiji mwenye Crown yake👑🎉
Safi sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉Nyie
Ila sauti mmetisha sanaa
Crown fm
Kikeke upo makini sana ,,, napenda the way unavyojibu upo active dahhhhh yaan mm niwe live nijibu hivyo😅😅 dahhh najijua tutakanyagana hapo utasikia kata hiyo😂😂
Well done
👑👑👑 2 kings
Brother kikeke 🎉
Hii ya kuchukua vijana nimeipenda sana ni vizuri kuchukua watu wapya ili tupate Radha mpya
Kabisaaa
Hapa ni Nyumbani kweli Mimi pia soon nafungua kijiwe cha kahawa hapo hapo karibu na Nyumbani
Wabongo muna dharau Sana Sababu Alikiba ameanzisha hii media munatamani kila kitu kiwepo .. tulieni muone huyo kikeke atafanya makubwa sana
Hahahhaha nimecheka sanaa
Hahahahaha
we will rally behind you, u got our back
Hahaha au uuze madafu hapo karibu
Kikeke ni mtangazaji mwenye brand kubwa kuliko mtangazaji weyote yule Tanzania na afrika kwa ujumla
Salim Kikeke ni Muhusika Sio Mwajiriwa Hapo Crown
Usikivu wa hii radio na kamera zake ni international
Mwamba huyu apa kazi ipo Radha nzr sauti nzuri inakonga nyayo big up broo
❤❤❤❤ ase niko nawe Kikeke pamoja Crown raisi King Kiba ❤❤❤❤
Bonge la Usajili yaani Kama Ni Mchezaji Basi Ni Lionel Messi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera King Kiba
Sio usajili, crown yake
@@georgemhalla8853 Yao Sio Yake Wote Wamewekeza Kijana
Unaumia ukiwa wapp😂
Woooooow kazi imeanza 👑
Saf familia,93.2Crown fm jiji la mawe
Kazi ianze na moto kama usajir ulivo ndo lamsingi
Ok kumbe crown media kikeke nae anahusika, nae ni Mkurugenzi, hapa sasa nimeelewa.
Hongereni sana kwa wazo zuri
Noma sana
Kwa kweli hapa ni nyumbani
Halafu msisahu kulike
Kutoka USA 🇺🇸 Nawapata
Mbona kama hii interview nimewahi iona inakueje live😮
𝑾𝒆 𝒖𝒎𝒆 𝒐𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒑
de ja vu
Hii crown 👑 ni ya kikeke mtakuja kuniambia
Asante sana salimu kikeke kwenda crown mshauri ally kiba kuwa na kipindi malumu cha kukumbusha watanzania mahdiri na uzalendo kipindi cha siyasa
Hii crown niyaalikiba au wote wawili
Wote hao wawili
Voice tu itakubali kusikiliza hiyi interview 😂😂😂🎉🎉🎉
Toka pale adi hapa, teyari nimepunzika kwenye interview ya kwanza ya salim kikeke. Hapo uripo ni nyumbani
Huyu jamaa ametulia sana kwenye kutangaza aisee nimekuwa nikimsikiliza sana tokea nasoma primary & secondary hasa ifikapo ile mida ya saa kumi na mbili alfajili,,, chukua maua yako aisee 🎉🎉🎉🎉🎉
Kutoka Zanzibar 👊
Hapa ni nyumbani
The fastest upcoming media in Tz and outside boundaries of Tz.
Great founders in Media Industry. Hoping to see more and very fascineting news globally.
Mfalme wa habari
❤ kikeke unaatari!! Nitakupa dada 😂😂❤
😂😂😂😂😂
Nice voice by kikeke salim
King Kiba 4life ❤❤❤
Yaaani… Salim kikeke mmoja pale crown 👑… ni
Sawa Na tangazaji wote wa pale wasafi Fm…
nakubali kikeke nguvu moja
Hawa wote Ni Msimbazi Crown Kumenoga❤❤❤❤❤
Vamos crown insha'allah vamos chegar 🇲🇿🇲🇿💖
Founder of crown Media🔥kikekee