MASOUD KIPANYA; HUWEZI KUPEWA MILIONI 20 UKAHAMA MEDIA/KIGEUGEU SANA/MATAJIRI WATAMCHOKA/KANIKERA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Tumepiga Story na Masoud Kipanya
    ````````````````````````````````````````````````````
    Facebook Page @chazymedia
    instagram @chazymedia
    Tiktok @chazymedia
    ``````````````````````````````````````````````````````````````

КОМЕНТАРІ • 66

  • @carlosleonard6050
    @carlosleonard6050 3 місяці тому +6

    Sasa hiki ndo kimemfanya mwija areact😂😂😂....Mwija kweli hakujisoma

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 3 місяці тому +1

    👏🏾👏🏾👏🏾🫶🏾Hongera sana Allah Akufungulie zaidi na Zaidi

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 3 місяці тому +1

    Hapo aliposema kuhamahama ndio palipomgusa mwijaku akajihis akajua anasemwa yeye 😂😂kimemramba atauza jumba lake auze alipe deni mdomo umemponza ana mdomo sana mwijaku kujihisi tu amekutana na chuma cha chuma😂😂😂tufundishie baba

  • @JovinAndrew
    @JovinAndrew 3 місяці тому +3

    Hicho kitu mtuu anaenda kuitangaza biashara au brand ya mtu baada ya kuzungumzia au kumuuliza maswali yanahucu event hilo mnakocea ww unadhani huyo mchina anawonaje bado tupo nyuma kweliiiiii anatuonaa kama watu wa ajabu event inaucu mabati nyie mnaulza habari za mtu binafsi

    • @IddMussa
      @IddMussa 3 місяці тому +1

      Mabati yashaongelewa hapo Hicho Ni kipind cha maswali na majibu

  • @amonpilimo
    @amonpilimo 3 місяці тому +5

    Nahisi najini mahaba kwer kifua cha dada kimenikoshaaa au unzinzi unanisumbua

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 3 місяці тому +10

    Yes, wewe ni mtu makini, hata majibu yako makini sana. Majibu TATA. BIG UP.

  • @SiSi_The_Mc_From_LD
    @SiSi_The_Mc_From_LD 3 місяці тому +2

    Mbona hajataja mtu... Amejibu alichoulizwa.... 😂😂😂 Mwijaku hajitambui

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 3 місяці тому

      Yaan mwijaku akili halina kabisa halijatajwa jina,nimeamini ukiwa mwizi hata ukiona police lazima utoke nduki.Masood usimsamehe huyo mwijaku mpeleke mahakamani yaani ukimsamehe utakuwa umetuchanganya Sana unajua hiyo biashara aliyosema haramu tutaishi nayo na Kila mafanikio yako utakayokuwa unapiga tutasema ni zile biashara haramu alizosema mwijaku.Yaan usimsamehe kirahisi kihivyo

  • @alexsimon5576
    @alexsimon5576 3 місяці тому +5

    Umeongea vizuri sana,na umetoa ushauri, sasa jitu limekueupuka bro dili nae

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 3 місяці тому +2

    Umeongea kwa hekima sana. Sema sababu Sisi kama jamiii tumelea Majinga mtu anajibu kwa kukurupuka, Mtie adab iwe funzo kwa Wengine

  • @MikiGermany210
    @MikiGermany210 3 місяці тому +1

    Kwa wasio mjua masoud, kaka yake masoud na Boss Joe na ruge walianzisha pamoja kampuni ya promosheni na kuandaa matamasha kabla ya kuanzisha Fiesta, so Masoud alikuwepo nyuma ya kaka yake kitambo

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 3 місяці тому +4

    Sasa Mwijaku analipwa mipesa mingi kwa lipi sasa?

  • @abdulrahmanmwadini5925
    @abdulrahmanmwadini5925 3 місяці тому

    Mwijaku anastahili Adhabu,kwani anaehamahama ni yeye tu,mbona wenzie wapo kimya,Masoud hajamtaja mtu

  • @SKimmy112
    @SKimmy112 3 місяці тому +1

    Sikuona ubaya wa kauli ya Masudi mpaka yule bwege kupayuka

  • @annievibes8794
    @annievibes8794 3 місяці тому +1

    Mchina ansonekana hailewi kitu😂

  • @Whoisthismantalking
    @Whoisthismantalking 3 місяці тому +1

    Huyu mwandishi pia anatakiwa kushtakiwa kwa kuandika kichwa cha habari cha uchonganishi na cha uongo

  • @KALUMUNAGERVAS
    @KALUMUNAGERVAS 3 місяці тому +7

    Masudi ni mtu makini sn👏

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 3 місяці тому +2

    Masoud una akili sana.....unajibu vyema mno

  • @rewardyesse7314
    @rewardyesse7314 3 місяці тому +2

    Ukiwa na akili kubwa utelewa kuwa crown media ni ya kipanya,,," tunamkimbiza nwizi kimyakimya"

  • @kiatu
    @kiatu 3 місяці тому +3

    Kumbe majibu ya Kipanya ni safi sana

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 3 місяці тому +3

    Kaabisaa kuhama hama nako kuna shida zake maana hipo siku watu hawatokuamini tena na utapoteza mvuto

    • @NeemaSawe-m3u
      @NeemaSawe-m3u 3 місяці тому

      Si kama kitenge kapoteza mvuto

    • @mfalmekaitaba2425
      @mfalmekaitaba2425 3 місяці тому

      @@NeemaSawe-m3u kaabisaa kawa kama wadada wa Bar

  • @jumaalmasjuma1700
    @jumaalmasjuma1700 3 місяці тому

    Mijitu mizinzi dada ata haongei ila jitu limeona nyonyo

  • @marrypius576
    @marrypius576 3 місяці тому

    Sasa mwijaku yeye kuhamahama hata miaka 10 huna kaa mahali tengeneza cv yako vizur ndo uhame

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 3 місяці тому

    Kinacho sunbua hapo ji crown media hahahaha shughuri ipoo

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 3 місяці тому +1

    Good point kipanya
    I appreciate you

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c 3 місяці тому

    Sasa mwijako mipov ya nn

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c 3 місяці тому

    Sasa mwijako mipov ya nn

  • @DrFit-di1rb
    @DrFit-di1rb 3 місяці тому +3

    Sema punguzeni Clickbait aisee ..... Zinawasaidia nn ..... Yan mnapata views AMBAO ni unique tu, ukinidanganya nikiClick nkakuta kitu tofauti na tittle Yako ntakua nnaAvoid video zako .. acheni kuClickbait, hazina faida ya long-term kwny channel

    • @poptzmedia
      @poptzmedia 3 місяці тому

      Media inaitwa Chazy unategemea nn😂😂😂

    • @miso-bg2xl
      @miso-bg2xl 3 місяці тому

      Mwanangu ukiona wanafanya ushenzi huu unawaripot tu kwa kwatoa sababu ya misleading content, minshamripot uyo

  • @alexandermakanta9468
    @alexandermakanta9468 3 місяці тому

    Car Development is the one among the critical system i advice you to consider Safety

  • @wazirally1791
    @wazirally1791 3 місяці тому +2

    Jaman mim sijamkiliza masudi hahhahah namwangalia mchina tu Hivi Betri haijavimba kwel huyo??

  • @Naju645
    @Naju645 3 місяці тому

    👏👏👏

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 місяці тому

    👍✌️👊.

  • @givembwilo141
    @givembwilo141 3 місяці тому +3

    yule dada amebarikiwa kifua😂

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 3 місяці тому

    Fact kaka

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 3 місяці тому

    Halafu jamaa huyi masud namjua jamaa anakunywa sna pombe

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 місяці тому

      Weeeeee jileviiiiii 😂😂😂😊

  • @Nigamtupori
    @Nigamtupori 3 місяці тому +10

    Wewe muongo satifiketi yako nikama mchezaji timu hii ikipanda dau mchezaji ana chomoka pia utangazaji pia wamiliki wa rodio wakipanda bei kwa mtangazaji anachomoka acha kuwapotosha watangazaji anapo hama hama ndo atazidi kulipwa ghali zaidi atakea mchukua lazima amlipe ngali zaidi ili asichukuliwe na mwingine wana habari wana nguvu kubwa katika jamii kwanini mnaji shusha 😮😮😮

    • @Marwawilliam
      @Marwawilliam 3 місяці тому +8

      Kajifunze kuandika kwanza

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 3 місяці тому +3

      Hujui lolote. Huyo jamaa anatengeneza Brand yake ili huko mbele apate thamani kubwa. Na ndivyo jamaa kwa sasa anatengeneza mkwanja mrefu sana.

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 3 місяці тому +4

      Wewe inaonekana hata miaka 20 huna,bado ni mtoto hujui kitu. Kwa sisi wazoefu kazini tunafahamu Kipanya anaongea nini.

    • @joshuasamson9618
      @joshuasamson9618 3 місяці тому

      Ni muongo sana umesomea Shule gani huo uongo sikia hakuna mwandishi Habari anayelipwa mamilioni hakuna kinachombeba mwanahabari kuhama hama media ni yeye kutafta matangazo mengi ya biashara kwenye makampuni makubwa hakuna mshahara mkubwa ni muongo sana

    • @meshack3266
      @meshack3266 3 місяці тому +2

      Ujui unachokiandika

  • @ramadhantiba4592
    @ramadhantiba4592 3 місяці тому +3

    Aah upuuzi tu, zingatia hela mwengine yatakuja yenyewe

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 3 місяці тому +1

      Umechemka sema sijui Elimu yako. Umri na Elimu yako ndivyo vinakuongoza. Huyu Masoud ni kichwa sana. Amekaa sehemu moja kutengeneza barand yake iwe na thamani kubwa ili baadae ale kuku kwa mrija na aweze kuajiri watu.Ukihama unaanza upya ndugu. Angalia hata mchezaji, mchezajii akihama anaanzia 0 kupata mashabiki.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 місяці тому

      Upuuzi wake nini mbona amejibu vzr tu! Uelewa wako mdogo.

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 3 місяці тому +1

    Fact🙏🙏🙏

  • @shamimageta6651
    @shamimageta6651 3 місяці тому +7

    uyo dada anaziwa zuri aisee😊