“WAZAZI WALIAMBIWA NIMEFIA TUMBONI, NILIITIWA MWIZI NIKAPIGWA SANA” MR MWANYA NA PICHA ZAKE TANO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лис 2023

КОМЕНТАРІ • 84

  • @emmanuelibrahim4556

    Usione mtu kafanikiwa ukasema amenza juzi ,kumbe wewe ndo umemwona juzi ... Watu wampitia mengi sana tujaribu kheshim washindi...🎉

  • @othumanomary4032

    Nmependa kipindi good idea Millard na crew yakooo❤

  • @oman1oman179

    Pole sana mr mwanya

  • @user-qr6rr3vl7d

    Dakra akakosea kupasua njia akatengeza mwanya 😅ila pole darlie ❤

  • @zebedemirambi3067

    Mr mwanya testimony Yako ninzuri , ila ningekuomba uokoke Kaka Uwe mukristo, YOHANA 3 :16,17,18. usome apo utanielewa zaidi!❤🇨🇩

  • @yuvenalyservi1876

    Asee mwanya unakimbiza sana ndugu angu one love asee shabiki lako la nguvu apaaa nakubali kinyama kutokea R chugastan

  • @Midoj950

    Bado hujasema

  • @nishgold4160

    Mi kwenye picha sikuona mwanya kbx

  • @NextoEmanuel-hw7jq

    Umetisha mwaya matako yko😂😂😂

  • @BrownPaulo

    Nakubali classmate wangu advance unanipata kweli

  • @michaeldjunior1023

    Aaah school mate finally ndani ya Ayo Tv

  • @ibrahimwilliam6410

    Moja ya watu ambao nimesoma nao advanced 2015 and hadi 2017 nilikuwa pgm... Bro kumbuka dom leader wako in dom 4 and Mr kabelege😅😅 Hongera

  • @BAHATIKIBA-ul6wx

    Kila La Kheri Mr Shubamitti Mungu Akulinde Na Akuzishiy Mafanikiyo Mema 🎉🎉🎉🎉🎉😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-ps6ur2zx8x

    😂😂😂eti utumbo kwenye goti 😂😂

  • @gastonalmasi9513

    Yaani licha ya kuwa unaongea serious najikuta nacheka 😂😂😂

  • @kabhikachambala3392

    Nzuri mno...pole hata mimi niliwahi kusingiziwa

  • @NASMEDIATV

    Pole sana broo

  • @AnstitchVEVO

    Nakukubal xan Mr mwany ww ni best comedian

  • @msafwatv432

    Safi bro ..nimepita njoss

  • @rogerslwitiko3915

    Ww jamaa una vituko sana