Nenga utasema yote lakin jay melod ndio alikurudisha mjini kwq kishindo....ulikua waimba kwel lakin vinyimbo vyako haviendi popote...vaishia sinza more😅😅
Icho kipini cha pua..dah Mungu atusamehe tu wasanii mmezidi na mnakera sana hamufikirii kuna mwenyezi mungu wasanii wa kiume yaani mkipata hela masikio,mapua..inauzunisha
Wacha kumtaja Mungu kwnye huu upuuzi, laana. Haya mambo hayampendezi Allah. Mwanaume kuvaa vipuli kw mfano na mwngine mngi, bila kusahau maswala ya upotofu kw jamii.
Wakwanza leo nipenimauwa yangu
Neenga🚨👋
I love yo new look looking so good a really man kipini pambe ❤😂
Nenga utasema yote lakin jay melod ndio alikurudisha mjini kwq kishindo....ulikua waimba kwel lakin vinyimbo vyako haviendi popote...vaishia sinza more😅😅
Icho kipini cha pua..dah Mungu atusamehe tu wasanii mmezidi na mnakera sana hamufikirii kuna mwenyezi mungu wasanii wa kiume yaani mkipata hela masikio,mapua..inauzunisha
Yani mungu atusamehe wallah 😢😢😢
Kipini juu
Huyu Dialond mnamuona Mungu haloo😅
Kw kwl ashakua mchuzi, bure2 hvyooo😂
sasa hiro heleni la nini jamani mume wamtu heleni puani haipendezi kabisa
Hongera jina mwenyezi MUNGU awalinde na uzao wenu
Wacha kumtaja Mungu kwnye huu upuuzi, laana. Haya mambo hayampendezi Allah. Mwanaume kuvaa vipuli kw mfano na mwngine mngi, bila kusahau maswala ya upotofu kw jamii.
Nenga left group
❤❤❤❤