Maneno Mabaya Yanavyoweza Kuharibu Maisha Yako

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 409

  • @deborahkileo9947
    @deborahkileo9947 Місяць тому +1

    naondoa Laana ,maneno yote mabaya yaliyotamkw juu yangu na familia yangu ktk jina la Yesu kristo Amen 🙏

  • @LeoKinango
    @LeoKinango 5 місяців тому +13

    Navunja maneno yote yaliyotamkwa juu ya uzazi wangu na maisha yangu kwa jina la Yesu kristo wa nazareth

  • @vickyedwin4390
    @vickyedwin4390 3 місяці тому +6

    Maneno yote niliyotamkiwa mabaya juu yangu na familia yangu kwa kusikia na kutosikia nayafuta kwa jina la Yesu...Amen

  • @atuganilejacob3119
    @atuganilejacob3119 5 місяців тому +37

    Natamka kufunguliwa kwa watoto wangu,sijazaa mataahira Wala watoto wasioeleweka,watoto wangu wataitwa heri katika jina la Yesu kristo wa Nazareth,Amen🙏🏿

    • @annahmutinda1001
      @annahmutinda1001 4 місяці тому +1

      Natamka kufunguliwa kwangu na kwa watoto wangu kwa jina la Yesu. Ninapokea nyakati mpya za maisha yangu. Natamka nyakati mpya kwa watoto wa uzao wa tumbo langu. Kwa jina la Yesu

    • @Maria-r1x
      @Maria-r1x 3 місяці тому

      E😊😊😊😊😊qqqqPPppQq​@@annahmutinda1001

    • @DoriceMkufya
      @DoriceMkufya 3 місяці тому +2

      Napokea kuzaa watoto maprofesa wenye akili katika jina la Yesu maneno yote maovu natafuta kwa jina la Yesu

    • @NEEMANdembwe
      @NEEMANdembwe 3 місяці тому +1

      Watoto wangu wanalindwa na bwana

    • @FransiscaShio
      @FransiscaShio 3 місяці тому +1

      Natamka watoto wangu wawe vichwa na sio mkia katka jina la yesu

  • @atuganilejacob3119
    @atuganilejacob3119 5 місяців тому +11

    Kila neno lilotamkwa juu yangu kwa ajili ya uharibifu,kuanzia leo Hilo neno halitakua Wala halitasimama katika jina la Yesu🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙌🙌🙌

    • @ElifridaSarakikya
      @ElifridaSarakikya 4 місяці тому

      Nafuta maneno yaliyotamkwa kwa mwanangu kwa jina la yes aliye hai

    • @veronicacyprian8771
      @veronicacyprian8771 15 днів тому

      watoto wangu wamefunguliwa kwa jina la Yesu,kila maneno waliyotamkiwa ya kiganga hayana mamlaka kwa.jina la Yesu.Amina

  • @joycelaura4611
    @joycelaura4611 4 місяці тому +6

    Asante Yesu kwa mtumwa wako kunipa chakula cha uzima, nami nakataa maneno yote mabaya niliyowahi kutamkiwa mahali popote na pia nakataa kila hila zozote za kichawi na kiganga zilizowahi kufanyika kwangu katika jina na Yesu amen

  • @bestcakes7098
    @bestcakes7098 10 днів тому

    Ninafuta maneno yote mabaya niliyotamkiwa mimi, mume wangu na watoto wetu ninayafuta kwa damu ya Yesu hayatasimama na wala hayatakuwa katika Jina la Yesu, Amen

  • @andreakomba1773
    @andreakomba1773 3 місяці тому +6

    Kwa ibada hii natamka rasmi katika viapo vyote vilivyoapwa juu yangu vishindwe kwa jina la yesu na mungu akawasambaratishe katika maisha yangu.

  • @boazkoyoakai6728
    @boazkoyoakai6728 5 місяців тому +16

    Na ziwe nyakati mpya kwenye maisha yangu. AMEN

  • @bestcakes7098
    @bestcakes7098 10 днів тому

    Amen. Napokea nyakati mpya katika jina la Yesu, roho yangu endelea mbele katika jina la Yesu. Amen

  • @mankawerema3307
    @mankawerema3307 3 місяці тому +2

    Amen pastor,nakataa maneno yote yaliyotamkwa kwaajili ya maisha yangu,watoto wangu watakuwa vichwa na c mkia.

  • @estriderkiwayo865
    @estriderkiwayo865 Місяць тому

    Aamen mtumishi wa Mungu. Kuanzia leo nayafuta maneno yote mabaya waliyonenewa na watu yashindwe kwa jina la Yesu. Watoto wangu wataitwa Heri,Eee Roho yangu songa mbele kwa nguvu
    niliyo

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 12 днів тому

    Naikataa Kila mikataba iliyofungwa kwenye maisha yangu na Kila maneno yanayotakwa ninayosikia na nisiyoyasikia naikataa Kwa jina la Yesu amen🙏🙏

  • @DeboraNgura
    @DeboraNgura 5 місяців тому +5

    Amen..na ziwe nyakati mpya .. nzuri kwenye maisha yangu..roho yangu endelea mbele kwa nguvu

  • @FelixKiprotich-fl2bd
    @FelixKiprotich-fl2bd 11 днів тому

    Asante mungu kwa haya mafunzo nimefunguliwa kwa mipango yangu.❤❤❤❤❤

  • @SpiaTito
    @SpiaTito 4 місяці тому +1

    Amina Amina mchungaji hayo yapo na ninaomba katika maisha yangu damu ya yesu ifutilie mbali maneno mabaya niliyotamkiea na ninayo tamkiwa washindwe na walegee Kwa jina la yesu Amina

  • @marthashakinyau6908
    @marthashakinyau6908 3 місяці тому

    Nafuta Kwa Jina la Yesu Kristo maneno yoote mabaya yaliyonenwa au kutamkiwa juu yangu, juu ya watoto wangu, na familia yote Kwa Jina la Yesu Kristo........ Amen Amen.

  • @gasperurassa6440
    @gasperurassa6440 4 місяці тому +1

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen I receive it in Jesus might Name Amen Amen 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🇹🇿

  • @Esy80
    @Esy80 4 місяці тому +1

    Ameeeeeeen, Nimezaa Star ,mtoto wangu utaitwa Heri na mbarikiwa hatakuwa mkia atakuwa kichwa hata feli bali atafaulu kwa Jina laYesu Kristo. Naziwe nyakati mpya kwenye masomo naimaisha yake

  • @PatieRehema
    @PatieRehema Місяць тому

    Ameeeen 🙏🙏🙏🙏naziwe nyakati mpya kwa watoto wangu wafaulu katika masomo na maisha yao nao wataitwa heri...nyakati mpya kwa mme wangu na kwangu

  • @agathamburu8910
    @agathamburu8910 Місяць тому

    YES I believe my shattered dreams and destiny is restored miraculously.. Asante Yesu na sifa Kwa Yesu.. Gideon's financial breakthrough is my portion and abundance is truly my answer and divine solution.Amen

  • @PatieRehema
    @PatieRehema Місяць тому

    Natamka baraka na kufunguliwa kw watoto wangu ..mme wangu na maisha yangu maneno yote yaliyonenwa kwetu ..niliyoyasikia na ambayo sikuzikia kwa damu ya yesu kristo napokea uzima wa Familia yangu uzao wangu utaitwa heri kwa takatifu la kristo aketiye enzini patakatifu🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @PhinaLazaro
    @PhinaLazaro 4 місяці тому

    Navunja maneno yote yaliyotamkwa juu ya wazaz wangu na maisha yangu katika jina la Yesu mtakatifu

  • @Nyalwe
    @Nyalwe 3 місяці тому

    Namini eee Mola wangu Kwa Yale yote mabaya niliyotamkiwa na binadamu yote iweze kushindwa katika jina la Yesu Christo amina

  • @tabithamselema166
    @tabithamselema166 5 місяців тому +1

    Roho yangu endelea mbele kwa nguvu katika jina la Yesu. Barikiwa Mtumishi wa Mungu 🙏🙏💓

  • @juliatabuya1458
    @juliatabuya1458 3 місяці тому

    Kwa jina la YESU KRISTO nafuta na kukataa kila maneno yaliyotamkwa juu yangu na uzao wangu...Zikawe nyakati mpya kwetu AMEN

  • @MambaziMgonda
    @MambaziMgonda 5 місяців тому

    Amen amen barikiwa Rev kwa neno Hilo la ukombozi wa fikra zetu za rohoni na ziwe NYAKATI mpya kwetu kwa jina la Yesu...

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania 4 місяці тому +3

    Naitwa Mchungaji Yusuph Saimon nakufatilia vizuri baba mungu akutunze amen nimebarikiwa

  • @paulakyoo-l5p
    @paulakyoo-l5p Місяць тому

    Nayafuta maneno yote.ya laana ya ukoo .yaliotamkw juu.yangu.kwadamu.yayesu.Amina

  • @HeriethSylivanus-e7o
    @HeriethSylivanus-e7o 4 місяці тому +1

    Namuombea Binti yangu uzao wangu wa kwanza akafunguliwe Kwa jina la yesu kristo Alie hai..ameni

  • @PendoSamwel-vc4eg
    @PendoSamwel-vc4eg 3 місяці тому +1

    Mungu nifungue na maneno mabaya niliyo tamkiwa na maapizo yote ya kiganga na kichawi kwajina la yesu kristo wanazareti aliyehai Ameen

  • @estherlemburismollel5901
    @estherlemburismollel5901 4 місяці тому

    Ziwe nyakati mpya kwenye maisha yangu kwa jina la Yesu. Vilivyofungwa na mwovu vikafunguliwe kwa jina na damu y Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu aliye hai, ubarikiwe kwa ujumbe huu wa kuvusha Mchg wetu mpendwa

  • @MosesJonas-x4q
    @MosesJonas-x4q 3 місяці тому

    Ktk Damu ya Yesu na kwa neno la Mungu kupitia mtumishi wake ninafuta kila neno la manuizi ya kufisha ktk uzao wangu,na ziwe nyakati mpya kwa Jina la Yesu,Amina

  • @EstarNelson
    @EstarNelson 5 місяців тому +20

    Na ziwe nyakati mpya kwenye maisha yangu

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 28 днів тому

    Uzao wa Tumbo langu watto wangu wataitwa wabarikiwa
    Watto wangu ni wajuuu
    Watto wangu ni mastaa,ni vichwa kwa jina la Yesu
    Watto wangu wataitwa Heri

  • @annkasina4194
    @annkasina4194 5 місяців тому +3

    I receive a new life in Jesus name..nainuka Tena..roho yangu endelea mbele kwa nguvu...

  • @gladyswaichungo3479
    @gladyswaichungo3479 3 місяці тому

    Amen Amen wewe roho yangu na Maisha yangu yamefunguliwa katika Jina la yesu

  • @marymueni7891
    @marymueni7891 4 місяці тому

    Navunja maneno yote niliyotamkiwa pamoja na watoto wangu kwa damu ya Yesu

  • @emmanuelmwamanga
    @emmanuelmwamanga 5 місяців тому +2

    Namuombea Mtoto wangu Assacki afunguliwe kwa jina la Yes.

  • @neemaswai8358
    @neemaswai8358 5 місяців тому

    Amen Mungu atusaidie wote tuliofungwa kwa maneno yasiambatane nasi wala kusimama kwa ajili yetu🙏🙏

  • @leonidamayala1010
    @leonidamayala1010 5 місяців тому +8

    Nafuta maneno yote mabaya niliyotamkiwa kwa jina la yesu

  • @ElizabethWaziri-l1x
    @ElizabethWaziri-l1x Місяць тому

    Natamka Leo ninafuta maneno mabaya na vifungo vyote vilivyofungwa kwenye uzao wa ngu na familia yangu kwa jina laYesu 🙏

  • @johnchaz5751
    @johnchaz5751 3 місяці тому

    Nakataa maneno yote mabaya niliyotamkiwa katika maisha yangu Kwa jina la yesu

  • @dativarichard1987
    @dativarichard1987 4 місяці тому

    Amina sana napokea kufunguliwa na kutoka kwenye matamko na maneno yote niliyotamkiwa kwa jina la Yesu kristo aliye hai

  • @BlandinaCharles-k8x
    @BlandinaCharles-k8x 3 місяці тому

    Navunja roho zote za kichawi zilizonenewa kwenye ndoa yangu na watoto wangu Kwa jina kuu la Yesu ....Amen

  • @ferdinandntembagara2949
    @ferdinandntembagara2949 5 місяців тому +2

    Naziwe nyakati Njema katika Maisha yangu kwa jina la Yesu

  • @juliusbernard8178
    @juliusbernard8178 4 місяці тому +1

    Na iwe nyakati mpya katika kona zote za maisha yangu katika jina la Yesu Kristo.

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 5 місяців тому

    Na ziwe nyakati Njema katika Maisha yangu.
    KTK JINA LA YESU ❤❤

  • @MagrethKyando-l4g
    @MagrethKyando-l4g 2 місяці тому

    Kila maneno mabaya yaliyo tamkwa juu yangu nilio yasikia na nisiyo yasikia nayafut kwa jina la yesu 🙏🙏

  • @ayoubmwalewela3062
    @ayoubmwalewela3062 5 місяців тому

    Ubarikiwe sana pastor. You are my spiritual father. Eeee roho yangu endelea mbele kwa nguvuuuu

  • @NipherNkya
    @NipherNkya 2 місяці тому

    Navunja maneno yote walionitamkia kwajina la Yesu.....

  • @MaryjoyceTarimo
    @MaryjoyceTarimo Місяць тому

    Naamini kwa msaada wa Roho Mtakatifu, nyumba😂yangu imefunguliwa kuanzia sasa kwa Jina la Yesu kristo Amen

  • @mukunirabecca7686
    @mukunirabecca7686 3 дні тому

    Mimekataa laana, maneno mabaya yaliyo tamukwa na mababu zetu in the name of Jesus Amen

  • @MaryjoyceTarimo
    @MaryjoyceTarimo Місяць тому

    Bwana Yesu naomba nisamehe pale nilipotamka neno baya lolote kwa watoto wangu, au neno lolote lilonenwa na mtu yeyote ambaye amenena au kunuiya maneno juu😂ya familiya😂yangu mume wangu na watoto wangu au😂hata mimi mwenyewe nafuta ardhi isikie na Mbingu isikie kwa Jina la Yesu kristo ame😢eeh Mungu naomba tusaidie Amen

  • @MariamNdayikengurukiye-wl7rh
    @MariamNdayikengurukiye-wl7rh 3 місяці тому

    Maneno yote yariyo taamkiwa juu yangu yote na familiya yangu,nayafuta katikajina la yesukristooooooooooooooopooooooooooooooooooo Amenaaaaaaaaaa,

  • @rumariletimba7585
    @rumariletimba7585 5 місяців тому +1

    Amen, nimepokea kufunguliwa pamoja na familia yangu kwa jina la Yesu

  • @hadijambwambo6833
    @hadijambwambo6833 5 місяців тому +3

    Ninafuta maneno yote mabaya niliyotamkiwa kwa jina la Yesu..

  • @rehemampanda6285
    @rehemampanda6285 3 місяці тому

    Natamka.kwa jina la Yesu kila yaliyonenwa juu yangu Mimi na watoto wangu yashindwe kwa jina la Yesu wa Nazareti.

  • @mapendoumoja800
    @mapendoumoja800 3 місяці тому

    Amen ❤❤🎉🎉 napokeya sehemu yangu kwa neema ya YESU Kristo

  • @ginamchao8771
    @ginamchao8771 3 місяці тому

    Kwa maombi haya nina kirI kuwa maneno yote mabaya niliyotamkiwa mimi na watoto wangu na mambo yote mabaya na ya kishirikina niliyowahi fanyiwa mimi na familia yangu hayatakuwa wala hayatasima Isaya 7:7 Watoto wangu ni HERI na BARAKA AMEN AMEN AMEN.

  • @leahogutu9818
    @leahogutu9818 5 місяців тому +1

    🎉Amina watoto wangu wawe vichwa kwa jina la Yesu Amina

  • @neemamalisa644
    @neemamalisa644 3 місяці тому

    Ahsante mtumishi naamini kwa neno hili nimefunguliwa kwa jina la yesu

  • @deborahkileo9947
    @deborahkileo9947 Місяць тому

    Na ziwe nyakati mpya kwny maisha yangu na familia yangu ktk jina la Yesu kristo 🙏

  • @woindeeliakim7160
    @woindeeliakim7160 5 місяців тому +2

    Na ziwe heri katika maisha yangu mateso na manyanyaso kazini hayatasimama kwangu kwa jina la Yesu Kristo Amen

  • @EmmanuelMuro-d2g
    @EmmanuelMuro-d2g 26 днів тому

    ❤asante mungu kwa kuwajaza watumishi wako nguvu 1:36

  • @mirriammutonye4332
    @mirriammutonye4332 18 днів тому

    Roho yangu endelea mbele kwa nguvu,familia yangu imefunguliwa kwa Jina la Yesu Amina.

  • @BeatriceKatula
    @BeatriceKatula 4 місяці тому

    Nyakati mpiyaa zikainuke juu yang mwakaa huu 2024❤❤❤

  • @BernadetaMartin
    @BernadetaMartin 4 місяці тому

    Amina kwa jina la Yesu, nyakati mpya na za furaha nazikaribisha kwenye maisha yangu kwa Jina la YESU

  • @maryobedi6807
    @maryobedi6807 3 місяці тому

    Natamka kufunguliwa kwa Watoto Wangu sijazaa matahila wala Watoto wasio eleweka, Watoto wangu wawe vichwa na si mkia,,kwa jina la Yesu kristo Ameeen 🙏

  • @Jesica-k4l
    @Jesica-k4l 4 місяці тому

    Mungu anifungue mm pamoja na watoto wangu watoto wangu wakawe kichwa dalasani na sikia maneno ayatosimama wale waliowanenea vibaya kielimu watoto wangu ni vipngozi Amina

  • @NeliaAmbele
    @NeliaAmbele 4 місяці тому

    Ameeeen naziwe nyakati mpya kwenye maisha yanguu.loho yangu endelea mbelee Ameeeen👏👏🙏

  • @wenseslausagustino5178
    @wenseslausagustino5178 2 місяці тому

    Ninafuta maneno yoyote mabaya niliyotamkwa juu yangu kwa kusikia au kwakutokusikia nayafuta kwa jina la yesu

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 3 місяці тому

    Amina kubwa mtumishi Ubarikiwe Na Mungu 🙏

  • @FausterLawrence
    @FausterLawrence 3 місяці тому +1

    Na ziwe nyakati mpya katika uzao wangu MUNGU BABA NITETEE.DAMU YA YESU ITUFUNIKA

  • @VictoriaPeterMsoka
    @VictoriaPeterMsoka 4 місяці тому

    Amina pastor 🙏

  • @JumaWambura-h3h
    @JumaWambura-h3h 3 місяці тому

    ❤❤, maneno ya faraja

  • @RehemaElias-el3jg
    @RehemaElias-el3jg 4 місяці тому

    Ooooh,yesu naona umenifungua pia namuona Mme wangu mbele yangu

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 4 місяці тому

    Natangaza kufunguliwa kwa watoto wangu sijazaa bumbuazi nimezaa watoto walobarikiwa mungu kawainuwe wanangu katika masomo yao wafunike kwa damu ya yasu kwristo wanazaleti kwa Jina la yesu AMEEN

  • @Linnerram
    @Linnerram 28 днів тому

    Maneno yote yaliyotamkiwa watoto wangu waharibikiwe au kazi zangu kutokuzaa kuanzia leo nayavunja kwa jina la Yesu, watakuwa vichwa na si mikia

  • @Sophie-u6e
    @Sophie-u6e 5 місяців тому

    Na ziwe nyakati mpya kwangu na uzao.....tunainuka tena Katika Jina La Yesu Amen

  • @DeograsiasTemba
    @DeograsiasTemba 3 місяці тому

    Kwa neno hili lifungue familia yangu kwa jina la yesu Amina

  • @FaizaMfaume
    @FaizaMfaume 2 місяці тому

    Na ziwe nyakat njema na mpya katika maisha yangu hadi kizazi changu🙏🙏

  • @johnchami2140
    @johnchami2140 3 місяці тому

    Nakataa maneno yote mabaya yaliyo tamkiwa ju yangu mim katika jina la Yesu amen napokea katika jina la Yesu amen 🙏 🙌 👏

  • @floramochiwa572
    @floramochiwa572 3 місяці тому

    Hallelujah naamini na wewe baba mchungaji

  • @francisadrian
    @francisadrian Місяць тому

    Na vikafunguliwe vifunguliwe vifungu vyote juu yangu na familia yangu katika jina la yesu kristo wa Nazareth

  • @JacksonMwikwabe-g8z
    @JacksonMwikwabe-g8z 3 місяці тому

    Roho yangu endelea mbele kwa jina la Yesu. AMEN

  • @jenofevakimboke-br3xo
    @jenofevakimboke-br3xo 4 місяці тому

    Ameeeeen Ameeeeen Mchungaji wangu ubarikiwe na Bwana

  • @NEEMANdembwe
    @NEEMANdembwe 3 місяці тому

    Nafuta maneno mabaya yote yaliyotamkwa kwangu na kwa watoto wangu katika jina la yesu kristu

  • @MerryKateti
    @MerryKateti Місяць тому

    Ameeeni naivyo kwa familia yangu maneno mabaya yaliotamkwa kwa.ngu nayafuta watt wataitwa sitaa ameeeni

  • @judithtuni6015
    @judithtuni6015 3 місяці тому

    Nabatilisha maneno yote walioninenea kwa jina la Yesu

  • @DynessMkalao
    @DynessMkalao 2 місяці тому

    Naziwe nyakati mpya kwenye maisha yangu na familia yangu na uzao wa tumbo lang Amen 🙏🙏🙏

  • @LusiKomba-rh1vo
    @LusiKomba-rh1vo 5 місяців тому

    Amina kubwa na I we nguvu kubwa yeny maombi na maono 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @FridaLaizer-mu2kz
    @FridaLaizer-mu2kz 5 місяців тому +2

    Neema ya Mungu itusaidie BABA Mchungaji.

  • @LightnessMollel-h4i
    @LightnessMollel-h4i Місяць тому

    Nafuta kila neno baya katika familia yangu kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth aliye hai

  • @mankawerema3307
    @mankawerema3307 3 місяці тому

    Ee roho yangu endlea mbele kwa jina la yesu,roho ya kujiua,roho ya kukata tamaa,ishindwe Kwa jina la yesu

  • @NuruhMandela-ro6nu
    @NuruhMandela-ro6nu 2 місяці тому

    Maneno yote mabaya niliyonenewa nayafuta katika jina la Yesu

  • @MarryKway
    @MarryKway 2 місяці тому

    Amen barikiwa sana mchungaji.

  • @TheresiaMatata-g8e
    @TheresiaMatata-g8e 20 днів тому

    Kila maneno mabay yaliyo tamkwa juu yangu na familia yangu nayafuta kwa jina la yesu

  • @OskaFredrick
    @OskaFredrick 5 місяців тому +1

    ©Asante Rev.ubarikiwe na Bwana

  • @newhopeonline5818
    @newhopeonline5818 5 місяців тому

    Amen, napokea nyakati mpya kwa jina la yesu