KUPINGA MADAI YA KUITWA MRONGO NA MUSHRIK SAYYID JAFFAR AL BARZANJI NA BACHU NA POTE LAKE | USTAD…

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • KUPINGA MADAI YA KUITWA MRONGO NA MUSHRIK SAYYID JAFFAR AL BARZANJI NA BACHU NA POTE LAKE | USTADH SAID SHIRAZY NA BACHU

КОМЕНТАРІ • 419

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 11 місяців тому +7

    Wallah'hi tumenufaika sana kupitia sheikh saidi Allah akuhifadhi.
    Amiina Yaa rabby.

  • @kibavumrisho3495
    @kibavumrisho3495 11 місяців тому +3

    Mashallah sheikh said pia bachu na viongoz hapa sasa tumejuwa elimu na maneno tu hongera sana sheikh said ntakuja kwako inshallah ikiwa ALLAH ameniafikisha nina jambo kubwa kwa ajili ya ALLAH sasa tutampenda mtume kuliko

    • @HAMIDUKijuu
      @HAMIDUKijuu 6 місяців тому

      Yaani Kwa akili ya kawaida ukisema twajadili urongo ndani ya bazanji si ndiyo aloandika ni mwongo?

  • @barkesalim4419
    @barkesalim4419 11 місяців тому +7

    Mashallah sbeikh wetu bachuu nomba Allah akuhufadhi za hysda za buna damu na akube umrii mrefuu tubate darsa yako na pia nakuomba kizazi tako awe kama wewe aruelimisha watoto wetu yarwbb

    • @Yory334
      @Yory334 11 місяців тому +1

      Kama kiswahili kuandika ni shida je kiarabu utawezana kweli nenda shule kwanza😭😭😭 Buna damu ndio nini sasa... Akube😭

    • @MkwizuMkufya
      @MkwizuMkufya Місяць тому

      Kwa kukimbia swali

  • @mahmuduae2344
    @mahmuduae2344 11 місяців тому +22

    Wallahi leo nimejifunzaa. Tusichezeee kabisaa na maulamaa. Maulamaa ndio waridh w mitume. Maulamaa na mashekh zetu tuwaheshimu sana

    • @farijalakhalid5558
      @farijalakhalid5558 11 місяців тому +4

      Yani leo masalafi wameonesha udhaifu mkubwa sana

    • @shaibunundu8021
      @shaibunundu8021 11 місяців тому

      Llq

    • @saidhassan-vd8tp
      @saidhassan-vd8tp 11 місяців тому +1

      Ee bwana ee mashaallah munaqsha inaendelea vizuri.sheekh siciid Allah akueke. Matwari yapashwe moto sana, Al sakiir waa kabiir waaingiye kwa safu...........pokeya salamu babu from somalia with one love and one heart ❤

    • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
      @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 11 місяців тому

      Kwahy shekh lile swali alilouliza Bachu kuhusu wanyama kuwa walizungumza hiyo imekaaje je myama Gani aliwahi kusema?

    • @mozzaliuleiza9288
      @mozzaliuleiza9288 3 місяці тому

      Hawa vilaza ndo maulamaa sio au unakusudia maulamaa wapi

  • @mkude
    @mkude 11 місяців тому +18

    Mashaallah Sheikh BACHU umeleeweka vizuri sanaa

  • @mebbs786
    @mebbs786 11 місяців тому +12

    Asalaam Alaikum, Shukran For Organizing this Debate, Be Blessed Always

    • @hemedinabinga3604
      @hemedinabinga3604 11 місяців тому +1

      Waalaykum salaam warahmatullah wabarakaatuh

  • @basmabasma6287
    @basmabasma6287 11 місяців тому +8

    Sheikh bachuu ma shaa Allah,Allah yahfadhak.ameen

    • @FASSALEHALIB
      @FASSALEHALIB 11 місяців тому

      MAA SHAA ALLAH

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris 11 місяців тому

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

    • @saadasaleh3177
      @saadasaleh3177 3 місяці тому

      ​@@jambojambosafarisna kwann atumie hadithi dhaifu wakat hadithi sahihi zimejaa

  • @feizalmas
    @feizalmas 11 місяців тому +2

    Wallahi nimejifunza vingi kutoka Kwa sheikh said namuombea mwenyeezi mungu ajaaliee siku 1. Niwe miongoni mwa wakao mtembelea huko aliko nipo tz inshaallah nikijaaliwa kwenda

  • @nuhuomar2541
    @nuhuomar2541 11 місяців тому +1

    Shekh Said hongera sana mungu akuzidishie elimu
    Pia sijuw upo maeneo gani ningeomba kuonana nawewe

  • @barkesalim4419
    @barkesalim4419 11 місяців тому +10

    Sheikh wetu Mohamed bachuu usiboteze timm yako kwa watu hawasikii nenda kwq famili yako wanakutamani ajili allah akuhifadhi sheikh bachuu yarabb

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 11 місяців тому

      Shekhe wako anatia aibu. Sasa mpaka anajikojolea!! Wewe mpende lakini Siku ya Kiama utafufuka na kuulizwa peke yako na yeye peke yake. Hakuna "shekhe wangu huko". Mtu analeta uongo bado unamtetea tuu!!!! Sub-haanal-llah.

    • @husseinabdullahi7495
      @husseinabdullahi7495 11 місяців тому

      Bachu failed to answer the questions

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 11 місяців тому

      @@husseinabdullahi7495 Yes brother. It is true. He even dodged and disappeared. Shame on him and his friends.

  • @faridsalummaulid4681
    @faridsalummaulid4681 11 місяців тому +3

    Shekh Said unajua sana❤❤❤ MashaAllah

  • @islamswaleh5185
    @islamswaleh5185 11 місяців тому +10

    اللهم أرنا الحق حقا وارزقنا اتباعه وارنا الباطل باطلا وارزقنا الاجتنابه

  • @user-zf3fz5lf4m
    @user-zf3fz5lf4m 11 місяців тому +10

    Mungu atuongoze kwenye haki ya sawasawa

  • @ashrafkhamis-du7rr
    @ashrafkhamis-du7rr 11 місяців тому +2

    Mashallah Ustadh Said.

  • @MohamedHuseein-s5i
    @MohamedHuseein-s5i 11 місяців тому +1

    Mashaallah Sheikh Bachu shukran

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 11 місяців тому +1

    Allah awahifadh nyote .....mnahangaika ili kumfikia Allah mtukufu...Allah ndiye mjuzi zaid ya sisi....namuomba Allah awalipe malipo mema na awasamehe mkiwa mtakosea

  • @user-ou2og1ze9d
    @user-ou2og1ze9d 3 місяці тому

    Maashaallah shekhe bachu umechambua vizur sana ila imekua kama waislam nå wakristo,wakristo hawautaki ukweli japo uko wazi.hongera bachu na jopo lako

  • @ibrahimmusa331
    @ibrahimmusa331 11 місяців тому +1

    فاطر السموات والأرض عالم الغيب والشهادة.. أنت تحكم بين عبادك فيما كانوا فيه يختلفون💛📖

  • @AbdiMahmud-cc6ng
    @AbdiMahmud-cc6ng 11 місяців тому +2

    Manshaalah ihsan tv

  • @user-nh2wt4yd7w
    @user-nh2wt4yd7w 11 місяців тому +5

    Mashallah sheikh Muhammad Bachu Allah akuhifadhi umeshinda mashallah

    • @aliyidrisa1536
      @aliyidrisa1536 11 місяців тому

      Kashinda kitu gani.? Hana elimu

  • @AmiriUshanga
    @AmiriUshanga 11 місяців тому +5

    Mawahabi mumetengenezwa kuja kuuvuruga uislamu na waislamu na hii nidhimma mwaibeba

  • @remmyskitchen6874
    @remmyskitchen6874 11 місяців тому +11

    Rabby zidna ilman warzukna fahman

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 11 місяців тому +2

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚

  • @mwajumamohammad6612
    @mwajumamohammad6612 11 місяців тому +6

    Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh hapa hakuna cha kufurahia bali ni aibu tupu kwetu sisi waisilamu. Waislamu kwa waislamu kubishana kama makufar subhanallah

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 11 місяців тому

      kweli upo sawa

    • @tanybobbyhomeactivities8013
      @tanybobbyhomeactivities8013 11 місяців тому +1

      Kweli wallahy afadhali wamgetumia hio nguvu na pesa kufanya mijadala yakusilimisha watu😢 watu wazima wapigiana kelele na kubishana kama watoto

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 11 місяців тому

      @@tanybobbyhomeactivities8013 Ndio uko sawa wametilisha aibu kusema kwelii walikuwa wasilimishe watu wangepata thawabu

    • @samxx411
      @samxx411 11 місяців тому

      ​@@tanybobbyhomeactivities8013sasa wewe huhusiki kusilimisha, kwani jukumu la daawa kapewa mtu maalum, mjadala huu ni muhimu sana ili tufahamu elimu

    • @ABDULLAOALI
      @ABDULLAOALI 3 місяці тому

      Km ndsn yke kuna riyaa, bc itakuwa ni wenyekuanhamia

  • @aishamussa21
    @aishamussa21 11 місяців тому +7

    Mawahabi hamna kituuuuu kasomeni tenaaaa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @YahyaAbdul-hafidhi
      @YahyaAbdul-hafidhi 11 місяців тому +1

      Mashaallah hakuna siku niliyo kua na furaha Kama yaleo na nimepata elimu kubwa Sana ukweli tutaendelea kupiga ubwabwa.

  • @AbdullahiIddi
    @AbdullahiIddi 6 місяців тому

    Hongera sana sheikh said umetuangazia njia iliyo kuwa na giza

  • @shuaibalula9003
    @shuaibalula9003 11 місяців тому +4

    Mashaallah bachu amejitahidi vizuri ktk kupekua vtbu Allah akuhifadhi.maghurafi haqi mtaijua

  • @dullahmihuri
    @dullahmihuri 11 місяців тому +8

    Shekh bachu Allah akuhifadhi... unapambania haqi vilivyo!

    • @Just.madeforyou
      @Just.madeforyou 11 місяців тому

      Mungu ambariki?(si afaulu mwanzo)😂😂😂😂😂

  • @suleimanmkongwa9950
    @suleimanmkongwa9950 2 місяці тому

    Inna lillah wainaa ilaihi raajioon

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 11 місяців тому +4

    Walimu mmetukosea sana mnashindwa kuwa na subra ata ya kusikilizana jamni

  • @user-rj5tr9oh8v
    @user-rj5tr9oh8v 11 місяців тому +1

    Aaaah kimekuramba baba Mbona Tanga hukukimbia,swali rahisi wathapathaaapa!

  • @makamemakame2603
    @makamemakame2603 11 місяців тому +3

    Mnatutia aibu waislamu wenzenu tunaowaangalia. Yaani waislamu tunafika hapa? Subhanallah

    • @m7.mmd_
      @m7.mmd_ 11 місяців тому +3

      Hii ni elmu sio ugomvi ... na kufunudishana ni mmoja wa kusogesha dini mbele

    • @samxx411
      @samxx411 11 місяців тому

      Si aibu ndo inavyotakiwa hasa wakae watoe hoja si kupingana kila siku na kutukanana

    • @hamisisalim8076
      @hamisisalim8076 11 місяців тому

      Ila dini hairuhusu muislamu kumuiaibisha muislamu mwenzie. Hawa wote ni viongozi wa dini, wakae wayajadili waje watuelezee. Sikuitana warongo wala mushrik.... NI AIBU KUBWA

    • @samxx411
      @samxx411 11 місяців тому

      @@hamisisalim8076 ni kweli kabisa tatizo wana kibri kila mmoja anajiona bora yeye au yeye ndie wa peponi na mwenziwe motoni

  • @ramsorama9765
    @ramsorama9765 11 місяців тому +3

    Bachu twakuamini weww n first 11 mbona swali lakuumiza kichwa wazunguka tu

  • @JamalHassan-g4e
    @JamalHassan-g4e 11 місяців тому +4

    Assalam aleikum haina faida kujadaliana kuna mengi yakufanya lakini mizoz faida yake mimi binafsi nawatia makosa kila mwenye kupanga na kushangilia mizozo ambayo hayalete faida kwa mujtama TUACHENI MIZOZO

  • @bintaidarous2762
    @bintaidarous2762 11 місяців тому +1

    Wallahy abuu ahmad hana subra yeye akata watu maneno lakini haachi wengine waongea

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 11 місяців тому +4

    Safi sana Muhammad Bachu

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 11 місяців тому +5

    MUNAKASHA HUU NI WA MOMBASA SIYO TANGA BACHU MSANII WA ELIMU HANA ELIMU NDIYOMANA ANATISHA ANA LAZIMISHA NA JAZBA BADO MCHANGA BACHU

    • @abdulhalimally7479
      @abdulhalimally7479 11 місяців тому

      Sio udogo wa bachu ndio elim aliokua nayo muhim ufuate hakki sio kubwabwaja maneno 2 je alichokisema ni hakki au sio hakki

  • @JUMAJUMA-ym1kt
    @JUMAJUMA-ym1kt 11 місяців тому +4

    NAAM MADA NI UONGO ULIOPO NDANI YA BARZANJI
    LAKINI JAMANIII MBONA TWAMINYANA SANA KWANI HATUMBUKI KUA NI QURANI TU NDIO KITABU AMBACHO KIMEKAMILIKA JAMANIIII

    • @swadaamiri8109
      @swadaamiri8109 11 місяців тому

      Sasa mbona watu wakifwate

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 11 місяців тому

      Na umeongea point ndugu yangu tunabishania vitu ambavyo Allah anaweza msamehe mtu muda wowote tunaacha vitu vikubwa na vya maana

  • @salmaali7080
    @salmaali7080 11 місяців тому +2

    Swalluuu allllaaaa nnnabbyyyyy

  • @MuhammadShariff-ji9ye
    @MuhammadShariff-ji9ye 3 місяці тому

    Maskini bachu mungu amrahamu hadithi ishathibitishwa nimunkar Sasa anaitumia huitwA muongo kwaajili bachu amemuita barnji nimuongo ameitowa wApi hukmu hii

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 11 місяців тому +5

    BACHUU JIBU SWALI PLEASE CAN YOU?

    • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
      @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 11 місяців тому

      Bachu hawzi jibu swal la hasiyekuwa fast eleven na ukwer hapo hakuna swali na Bachu alitangulia kuuliza kwanza kuwa wanyama walizungumza wakt mimba ya MTUME MUHAMMAD ilipoingia Hilo swali shekh Said amechemka hajibu kwanza

  • @abunufilaabunufila2152
    @abunufilaabunufila2152 11 місяців тому +4

    Naona kwa anavotaka bachu asisifiwe Sayyidna Muhammad SAW bora watu waache kabisa wafanye mengine

  • @إلىاللهمرجعناجميعا
    @إلىاللهمرجعناجميعا 11 місяців тому +2

    Shkh bacho Ilihitajika ujibu Swali Kwa sababu unakataaje si Swali la kielim?

  • @salmaali7080
    @salmaali7080 11 місяців тому +4

    Wallah mungefanya makadara huu muhadharrra

  • @princeganji2779
    @princeganji2779 11 місяців тому +3

    Ahsante bachu unanipa raha

  • @salimumbonyumukiza7032
    @salimumbonyumukiza7032 11 місяців тому

    Mashekhe wallahi nyinyi mutakuja kukufurisha wamamuma wallahi sijuwe barizaji sijuwe mukhari tafazari muwachane nahicho kitambu chamawurindi tupiriya bari barizaji rekebisha kitambo wewe murongo rakini barizaji sisi wasomwi wana fuzi zenu twasema nini muna karirikisha mahari omali mahali Alli bini orama Ako wacha kucafuwa mutume wallahi sorry kwamengi mimi kijana kutoka burundi keny Tusije tuka kufuru wallahi mamuma suna turi jama ماريك

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 3 місяці тому +1

    Alaa kumbe ktk huu mjadala Side ndo alokimbia swali yy ndo aloulizwa mwanzo aseme sanad ya ile hadithi munkar kisha aseme kwann ikaitwa munkar pengine kuna waongo waliohadithia au waliopokea io hadithi. Haaa kumbe hawa hawajielew kweli kisha wanasema sheikh Muhammad kakimbia swali

  • @AmiriUshanga
    @AmiriUshanga 11 місяців тому +4

    Ndio mkome mawahabi kutukana waislamu wenzenu wapuuzi wakubwa nyinyi

    • @alhabibismail3031
      @alhabibismail3031 11 місяців тому

      sasa ww wasema ktu usicho kifanya....watukana watu ksha wasema watu wakome

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 11 місяців тому +6

    Yaani Maka na madina wa sijuwi mauridi mje mjuwe nyinyi

    • @assadyabdull5146
      @assadyabdull5146 11 місяців тому +1

      Ww ndo umekuja na matope kabisaa kwahyo maadam makkah na madina hawajui Kuna ulazima gani sisi tusijue maadam hatutoki kule

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 11 місяців тому

      @@assadyabdull5146 jambo lolote ambalo mtume hakufanya ni makosa kuongeza kwenye dini kwasababu mtume Muhammad (s.a.w) kabla hajafa alisema ametukamilishia dini yetu. Sasa basi kuusu maulidi so mtume tu hata maswahaba wa mtume Muhammad (s.a.w) hawakufanya. Na hiyo maulidi ilianza miaka takribani 500 baada ya kufa Kwa mtume. Asa hapo Bachu anakosea wapi ikiwa hakuna kuongeza kwenye dini

  • @ALiBAba-zz2td
    @ALiBAba-zz2td 11 місяців тому +3

    Dah mawahabi weupe sanaaa

  • @issamohammednassor8688
    @issamohammednassor8688 11 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaah hiii niqash kila siku naingilia nikifika kwa huyu bacho wallah namuonea huruma alivodhalilika hajui chochoteeeeee

  • @shaneyramadhan2519
    @shaneyramadhan2519 11 місяців тому +3

    Makafir wanafurah sanaa iv mnazan Allah anapenda mnavy fanya

  • @BizabishakaTwalibu
    @BizabishakaTwalibu 6 місяців тому

    Watu mnangngana mbona jibu likowazi sheikh Mohamed bachu uposahihi huwezi kutoa fatwa kutegemea hadithi munkar jawabulake nini hapo kama si uongo

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 11 місяців тому +3

    Tunasubiri itifaki ya wanawachuoni kwamba ukipokea hadithi dhaifu kwenye kitabu waitwa mrongo

  • @user-uz2wh1kd8s
    @user-uz2wh1kd8s 11 місяців тому

    🎉kwani bachu anaenda wap mbona mjadala haukwisha kashaamka siaseme ukweli kua hajui mbona mwezie katulia kwenye kiti chake?

  • @al-hudaaislamicpreachersda8056
    @al-hudaaislamicpreachersda8056 11 місяців тому

    Masha Allah hapo kazi ipo

  • @OthmanOthman-ev8qu
    @OthmanOthman-ev8qu 5 місяців тому

    Uko sawa she said nakama huko sawa ekekukosowa irabu lakin hats irabu hakuna kosa

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 11 місяців тому +3

    Jaafari albarazanzi ni murongo? tubaki hapo watu wamebadili mada juu kwa juu

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 11 місяців тому +1

    hakuna watu wabishi km mawahabi Hao hata mkeshe ila mm naelimu yg dg mawahabi wangetangaza ndini wao wamekalia kupinga naulifi basi mtihani waallaah

    • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
      @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 11 місяців тому

      Hapo swali ni Moja wanyama walizungumza wakatoa sauti? Walizungumzaje? Huu ndio uhongo unaozungmziwa hapo

  • @hamidnassoro214
    @hamidnassoro214 11 місяців тому +1

    Ingekuwa Bora zaidi mngejibu maswali na sio kurumbana na hao wapambe ndio wavurugaji .

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 11 місяців тому +1

    Moja bila

  • @user-wz9qy2en9e
    @user-wz9qy2en9e 11 місяців тому

    Mtume wetu Muhammad s.a.w amesema,yatosha mtu kuwa muongo kusema kila anachosikia,Kama Hiyo Hadith ni ya Urongo,bas hata Barazanje anae Ni Muongo?

  • @jumamukoko6662
    @jumamukoko6662 Місяць тому

    Mawahabbi ndiyo wamekuja na hii tabiya, mawahabi ni kundi la mashahidi wa Jehova

  • @MkwizuMkufya
    @MkwizuMkufya Місяць тому

    Tumeelewa swali unaweza liona dogo ila bacho kutumia saa 1 na hakujibu unajua ujanja ujanja una mwisho kategwa angeingia uwahabi ndiyo ungeishia hapo

  • @user-gl8lh2hb4i
    @user-gl8lh2hb4i 11 місяців тому

    Sheikh Abu Ahmad, wasema uongo namna hiyo na kila kitu kiko kwa record wazi wazi, huoni haya mtu mzima ww? aliolizwa swali ni Ustaadh Bachu na hajajibu

  • @msarama5406
    @msarama5406 11 місяців тому

    Huu ndo mnakasha wa elimu sio kama wale masheikh wengine kazi yao wanamponda Bacho kama bacho badala ya hoja kama hizi za sheikh Said mara mtoto mdogo mara hana elimu mara hajui angalau sheikh said hapa tunanufaika na kupata vitu

  • @wardashabani
    @wardashabani 11 місяців тому +4

    Wallah namkubali sana bachu maneno yake lakn watu wanamtus bure

  • @ARNOLDKARISA-fs3ht
    @ARNOLDKARISA-fs3ht 4 місяці тому

    hawa wote wapelekwe kupigana na mazayuni plz wahusika wa hii idhaa wachukue hatua

  • @jambojambosafaris
    @jambojambosafaris 11 місяців тому

    Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

  • @aminamodi8927
    @aminamodi8927 11 місяців тому +2

    Bachu HUNA erim ila UBISHI tuu leo unaemwita second division atakugalagaza kama Sabas alivyokuvua JOHO
    Bachu KUBALI ufundishwe na huyo uliyomwita kijana mdogo

  • @idrisalimapema2539
    @idrisalimapema2539 11 місяців тому +2

    Hii ni Riyadha fanya adab Bachu

  • @user-yb3mz2jg9j
    @user-yb3mz2jg9j 11 місяців тому

    Mlixhokifanya mwisho hapo kushindwa kuzuia hisia zenu inaonesha pande zote mbili mmekosa busara na ingefika mngegombar tunafundisha nn kwa watu wanao taman kuwa waislam

  • @aishaabdulmujib7027
    @aishaabdulmujib7027 11 місяців тому

    Just Imagine what their students go through 😢

  • @princeganji2779
    @princeganji2779 11 місяців тому +2

    Haya ushajibiwa ahsante shekh Muhammad bachu wambie ao wahuni

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 2 місяці тому

    Sheikh wangu bacho huyu kijana saidi usije ukamsogelea tena atakuaibisha .unaweza mzania waovyoovyo lakini fani zote ziko kichwani mwake zinaogelea.sarfa nahau mantwiq balagha usuul mustwalh lhadith nk kaambali

  • @komboruga4271
    @komboruga4271 11 місяців тому

    Kuna minutes inetumika lakin imefeli. Mpuuz mmoja anatibua hali ya hewa mjadala unakufa watu wanaenda kujipanga upya

  • @mbarakadau7345
    @mbarakadau7345 11 місяців тому +1

    Mambo haya ni kama ikhtilafu za mwezi. Hawezi kupatikana mshindi.
    Rai yangu kila mtu abaki na msimamo.wake na kuwe ni adabu masuala ya kutupa vitabu chini na kuitana warongo hayajengi ndugu zangu. Tukubaliane kutokubaliana ili tussonge mbele. Tuna chanamoto nyingi kama umma hatuna referral hospital, tuna university moja na inachechemea tutumie nguvu nyingi kwenye haya badala ya ikhtilafu.

    • @saidsalim2386
      @saidsalim2386 11 місяців тому

      Hapa suala lilikuwa rahisi saana angejibu tu istilahul Hadith yasema hivi kulingana na aqsaam Hadith munkar na watu wengi wangeelimika, Lakin bachu kwa kupindana kwake kukwepa kwepa suala alilijua hili kuwa mustwalahul hadiith wanavyuoni Wanasemaje kutokana na point zake, nukta zote au hoja zake Zote zingefuata msingi huo huo, Alhamdu Lillah Ustadh Said nimekuelewa vyema

  • @yussufsumbu9412
    @yussufsumbu9412 11 місяців тому +4

    bachu mbn unaznguk san c ujib t😂😂😂

  • @salumjabir813
    @salumjabir813 11 місяців тому +1

    Huyu bachu atandikwe viboko kwann anaachwa ?

  • @mbwanarunza7534
    @mbwanarunza7534 10 місяців тому

    Nacho we n mtoto nenda ukasome nahau kwa Sid Omar ulimwenguu huu elimu ya kiarabu bila nahau na balgha swarfa mantwik huwez fanya kitu ona wapata aibu faaailu pia humjui watafuta kiarabu Cha barza nje babako mbona alikuwa hasemi kitu barahiyan mbona ukithubtutu kasomeni kiarabu chenuovyoo elimu hamna bachu ushajifupisha umrii

  • @abdulrahmanaboud5499
    @abdulrahmanaboud5499 11 місяців тому +4

    Sasa kama ni urongo si itakuwa mwenye kuandika ni mrongo

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 11 місяців тому +2

    Bachu kakimbia babake kenda mwenyewe Mombasa

  • @nurasalimu2403
    @nurasalimu2403 11 місяців тому

    Mtume muhammad s.a.w katuwachiya vitu viwili qur uani na sunna ss sijuwi mnalumbana nn hakuna ktk maimamu 4 ambae hajaazisha bidaa kila mtu ana bidaa zake kilichobakiya ni kumuabudu Allah ukweli wa kumuabudu japo dini inajengwa kwa misingi 4 ila haswa tushikamaneni na vitu 2

  • @ShariifDhadho
    @ShariifDhadho Місяць тому

    Wewe wenda kwa sanad,jawabu hujajibu,kwa sanad wenda kufanya nini?

  • @ZenaAwath-uy1ku
    @ZenaAwath-uy1ku 11 місяців тому +2

    Bachu jibu swali sisi tuko kwenye maulidi hapa twakuskiza ww saidi bakia hapo hapo n swali lako sheikh Aboud umenifurahisa na sheikh Muhammad wa swalihina bakia hapo hapo

  • @saidali5964
    @saidali5964 11 місяців тому

    Mwenye akili amewajuwa kuwa elimu yenu hamuna uwezo wa kujibu masuala ya Dk Muhammad Bachu . Allah amzidishiye Elimu bachu amin. Na nyinyi endeleyeni kupiga ngona nakufuata uzushi uzushi halafu mujipakaziye kuwa ni ahlusuna waljamaa kumbe ni ahlubidaa na ubishani tu ilasisi tunawafahamu sana kuwa ukweli hamuutaki ila munajuwa munazunguka bahari musoijuwa wapi imenda Allah awaongowe amin

  • @YussufMassoud-xe3rc
    @YussufMassoud-xe3rc 11 місяців тому

    Ww mpiga vinanda ni mbabaishaji tu utawadanganya Hao Hao tu sio sisi

  • @yazidurashidi8443
    @yazidurashidi8443 11 місяців тому

    Jaman hilli swali lishajibiwa labda museme hamjaridhika na majibu jawabu liko wazi kwa mwenye kuzingatia

  • @rashidinjoe8167
    @rashidinjoe8167 11 місяців тому

    Ahsante Sheikh wangu Muhammad Bachu kwa kutupatia elimu.

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 8 місяців тому

    Hii ya said na Bachu kila channel ya masufi unaikuta… kama sheykh muhammad bin abdulwahhab angekuwa anameleta jipya kwenye kitabu chake tungeshawasikia. Hii ndio natija ninayopata hapa

  • @alikenga4953
    @alikenga4953 11 місяців тому +1

    Mdahalo ule wa Tanga ulikuwa vizuri sana, sheikh aliyepambana na sheikh bachu alikuwa na busara zake. Hawa wetu wa Mombasa busara hawana

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 11 місяців тому

      Toka lini wakenya wakawa na busara

    • @user-oc2ut7tg2w
      @user-oc2ut7tg2w 11 місяців тому

      Ombasa ni hamaki

    • @binmiraji2168
      @binmiraji2168 11 місяців тому

      Kuuliza swali la kielimu ndio kutokuwa ustaarabu

  • @aliabuu4987
    @aliabuu4987 11 місяців тому +4

    Bachooo Kubalii ufundishwe hapo huwezi kabisaaaa

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 11 місяців тому

      Wa kwanza kuuliza ni Bachu uthibitisho wa ukweli wa maneno ya wanyama kusema. Hola haikujibiwa Said akaja kukubali kuwa Hadith ni munkar au dhaifu. Akaulizwa aseme kama hadithi munkar au dhaifu yafaa kutumika? Hakujibu, kaja kauliza na kung'ang'ana kuhusu swali linalomuhusu Muhadith wakati Jafar si Muhadith.

  • @IsmailSuleiman-l9e
    @IsmailSuleiman-l9e 11 місяців тому

    Kwel mamb haya ni ukafiri waislm kw waislam kulumban tu haifai kwa kil mt na afanye anavyojua mwenyew mungu ndie kila kitu

  • @iftinlyrics5919
    @iftinlyrics5919 11 місяців тому

    umekuja huko kwa mjadala kwa ajili ya lengo usiamke eti mnapoteza mda hapa watu wataka jibu si vurugo na eti kujikakamua kwa mda eti mwapotza
    mawahabi wlhi leo mmepatikana hadi mwakimbia kwa mjadala kaa hamwezi mungeseme kitambo

  • @oyay2821
    @oyay2821 11 місяців тому +1

    Maulidi hayana asli ya dini , maulidi ni haram na kuabudia makaburini pia ni haram. Sheikh Muhammad Bachu hakupata mtu wa kujadiliana nae. Huyo kijana hana elmu yoyote ilmu yake ni ya kushindana bila hoja

  • @allyfundi6405
    @allyfundi6405 11 місяців тому +1

    Mawahabi wamepoteana huko baada yakushindwa kujibu suali la ustadh yakaanza fujo😅😅😊

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 11 місяців тому

      Wa kwanza kuuliza ni Bachu uthibitisho wa ukweli wa maneno ya wanyama kusema. Hola haikujibiwa Said akaja kukubali kuwa Hadith ni munkar au dhaifu. Akaulizwa aseme kama hadithi munkar au dhaifu yafaa kutumika? Hakujibu, kaja kauliza na kung'ang'ana kuhusu swali linalomuhusu Muhadith wakati Jafar si Muhadith.

    • @wm9669
      @wm9669 11 місяців тому

      Wahabi ina maanisha nini?
      Sufi waingo

  • @mohamedswalehe4442
    @mohamedswalehe4442 11 місяців тому +2

    Sheikhe Muhammad Bachu hanalo leo

  • @allyfundi6405
    @allyfundi6405 11 місяців тому +2

    Baacha Leo kimeyakanyaga jibu Kwa hakika sio unaruka ruka Kam kunde jikon😅😅

    • @bitijy5694
      @bitijy5694 11 місяців тому +1

      Ajibu swali gani alilouliza said,wauliza swali lenye jibu tayari walijua alafu watarajia jibu kweli

  • @bilaligona5478
    @bilaligona5478 11 місяців тому +4

    Mashallah shekh bachu wafundishe mungu akuhifadhi

  • @swalehali3037
    @swalehali3037 11 місяців тому +3

    Hoja kumi na tisa zabaki hazijajibiwa.