Ziara ya Habib Ally Jufri in Kenya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 бер 2020

КОМЕНТАРІ • 78

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 3 місяці тому

    ماشآء الله على هذا الصوت الطيب والرائع والمميز. ماشاء الله تبارك الله على هذا الحضور الراقي من العلماء والمشايخ
    حفظكم الرحمن ورعاكم جميعا

  • @MwatumuMwevi
    @MwatumuMwevi 2 місяці тому

    MashaAllah

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 20 днів тому

    Maasha allaah

  • @SaidJangoli-hr7ww
    @SaidJangoli-hr7ww 7 місяців тому +1

    Acheni kumdhihaki Allah,hata Mtume s.a.w amekataza sauti za ala za miziki,inalillah wainailaih rajiun.Allah atuongoze

    • @ZAMYLFILM
      @ZAMYLFILM 7 місяців тому +1

      Mmhh!! Upo sahihi Kwa ulivyosoma lakini usijaribu kumkosoa sheikh letu Baki na ya kwako alafu fainali Kwa Allah tutajua yupi mwenye makosa usionge kama mtume ni mjomba wako eti mtume alikataza mangapi unayafanya mtume ameyakataza Wacha ujinga

  • @sibawaybakar6317
    @sibawaybakar6317 5 місяців тому +1

    Mashaallah

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 9 місяців тому +2

    Mashaallah mashaallah

  • @manturemdachi2118
    @manturemdachi2118 9 місяців тому +3

    Mashaallah mzazi wetu na mlezi wetu Allah akujalie umri mrefu na mwisho mwema

  • @smdrcll3145
    @smdrcll3145 9 місяців тому +1

    Masya Allah❤❤❤

  • @issaalfaransi5263
    @issaalfaransi5263 9 місяців тому

    Bunch of innovators. May Allah preserve the muslimins

  • @abdula4014
    @abdula4014 9 місяців тому +1

    Maasha Allah

  • @user-ch2zh8sd2u
    @user-ch2zh8sd2u 9 місяців тому +1

    Mashaa allah 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @sarmbadmkali6150
    @sarmbadmkali6150 6 місяців тому +1

    Masha allah

  • @Nevershot
    @Nevershot Рік тому +5

    Si vizuri kitukanana katika dini au wakati wowote ule.Vile vile kuongeza Ibadaa yenye haikuwepo wakati wa Mtume S.A.W ni kuwenda kinyume na Quran takatifu na ni sawa na kusema nyinyi mwaijua dini vizuri kumshinda mtume s.a.w

    • @hajigahimbare579
      @hajigahimbare579 9 місяців тому

      Kawauliza wanaofanyisha Misabbaqua Ya QUOR'AN, Kwanini Haikuwepo zama za Mtume wala Maswahaba" Jee Wao Wanaipenda sana QUOR'AN zaidi Ya Alivyoipenda Mtume na Maswahaba?
      Watakavyokujibu Swali Hilo Kisha Nawe Urudi Hapa Upewe Jibu La Swali Lako insha'allah.
      Kwa Njia Nzuri Al Akhy.

    • @hamidsalmin4810
      @hamidsalmin4810 9 місяців тому

      Mwinyi baba aimba taarab ya ki masri, mpaka aliza watu, utasema asoma Aya za quraan. Lahaula wala kuwwata illa billah. Mcheni Mola wenu.

    • @Nevershot
      @Nevershot 9 місяців тому

      @@hajigahimbare579Hili ni swali la kitoto sana.
      Qur'an tunapoisoma tunapata thawabu 10 katika kila herufi wewe wapata nini kupiga twari?

  • @abdouassoumani6912
    @abdouassoumani6912 10 місяців тому +1

    Masha allah alhamdulilah félicitations pour ❤

  • @user-gs4xb3vj7g
    @user-gs4xb3vj7g Рік тому +2

    mansha Allah

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 9 місяців тому +2

    Mashekhe wa kutegemewa wa kisufi wakiimba taarabu, innalillah wainnailaih rajioun

    • @musakhamisi1692
      @musakhamisi1692 8 місяців тому

      Hujui maana ndomana wasema taarabu

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 8 місяців тому

      @@musakhamisi1692 basi mnaweza mkasema ni ibada pia , kweli masharif bidaa wana balaa

    • @allyombele
      @allyombele 8 місяців тому

      لا عقل لك

    • @ZAMYLFILM
      @ZAMYLFILM 7 місяців тому

      Sawa. Wacha waimbe taarabu kama unavyoona kama inakuuma kamwambie babako akaimbe bongofleva, Nini kuwatukana masheikh wetu kwani mlilazimishwa kusoma maulidi acheeni ufala wahabi mnakera

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 2 місяці тому

      @@ZAMYLFILM mbona munakua wakali mukibainishiwa haki?

  • @kassimngao2282
    @kassimngao2282 8 місяців тому

    Allah awaongoze kwenye hakki

  • @user-tl2ks4fl4h
    @user-tl2ks4fl4h 2 місяці тому +1

    Allah atunusuru

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 Рік тому +1

    Mashaaa allah

  • @abunufilaabunufila2152
    @abunufilaabunufila2152 Рік тому +1

    Maashallah

  • @user-jc6zt3mu4i
    @user-jc6zt3mu4i 10 місяців тому +7

    Hakuna mwanazuoni aliebakia africa mashariki na kati kama hiko kiumbe. sasa ikiwa mwayadiriki maneno ya mtumi (s.a.w) basi waekeni watu katika madaraja yao au laa mwafata mkumbo na ushabiki basi muacheni alhabiby ahmad badawiy aingie motoni na nyie wahabia ingieni peponi😢😢😢

    • @AbuuSiiriin
      @AbuuSiiriin 8 місяців тому

      Wewe mwendaazimu hawa washirikinaa wakina jufrii

    • @AbuuSiiriin
      @AbuuSiiriin 8 місяців тому

      Msufi waimba taarabu

  • @abdouassoumani6912
    @abdouassoumani6912 10 місяців тому +1

    12:09

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +3

    Sufiiiiiiiii

  • @user-tl2ks4fl4h
    @user-tl2ks4fl4h 2 місяці тому

    Acheni magoma

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 9 місяців тому

    Kumbe Taarabu pia inaruhusiwa ktk usufi? Duuh alhamdulillah kwa kutoka ktk uzushi.

  • @kassimngao2282
    @kassimngao2282 8 місяців тому +1

    Jisufi kubwa😂

  • @mkubwamasoud2776
    @mkubwamasoud2776 8 місяців тому

    Daaah Mtihani wallah Allah atuongoze kwenye haki

  • @JumaKhamis-cw8ec
    @JumaKhamis-cw8ec 9 місяців тому

    Yaweza kua wamesoma ila tarabu na mnanda huo haumo katika dini na mnanda huo kharamu

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 7 місяців тому

    😂😂😂 limekosekana veve tu hapo.

  • @isihakambalawa8088
    @isihakambalawa8088 8 місяців тому

    Mapiano yanapigwa

  • @user-kx4wd5vb4j
    @user-kx4wd5vb4j 9 місяців тому

    Hiyo ni ngoma ya aina gani???

    • @nassortrans12
      @nassortrans12 9 місяців тому

      Naona sawa na Taarabu ya kimombasa juma bhalo
      Au kwa bongo malindi taarabu ya zanzibar

  • @user-uc5py2ll5n
    @user-uc5py2ll5n Рік тому

    Matusi hayafai mnapata dhambi

  • @ZAMYLFILM
    @ZAMYLFILM 7 місяців тому

    Mashaallah Allah akuzidishie sheikh wetu sayiid ahamad ahamad badawy mwenyebaba, wajinga hawaelewi eti BIDAA

  • @JumaKhamis-cw8ec
    @JumaKhamis-cw8ec 9 місяців тому +1

    Nuimbo ni haramu haihitaji elimu apo

  • @binfarhan879
    @binfarhan879 9 місяців тому

    Jaman hebu tufikirien kwanza hii ni mwana chioni Gani alitamka inafaa katika dini au tunasubir Mashekhe watukataza tusema Mawahabi wamezid kuchafua dini na je Mtu siku ya Msiba wake kama hii ni Dini Yuko tayar kufanyiwa ili watu wapate Burdan mda was Mazishi au was Dua?
    Huyu ni Shekhe Mkubwa sana na anapenda Maulid hauna la kumuambia.
    Where we are going and to whom we will return?
    Itaq Llah.

    • @ZAMYLFILM
      @ZAMYLFILM 7 місяців тому

      Kama hamna lakukoment si ukae kimya Sasa kosa hapo liko wapi?? Shida yakusoma alafu usielewe mtume kafanyiwa haya yanayofanywa na hakukataza Sasa wewe ni nani? Msijifanye mtume anawajua sana.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +2

    Mssufi ni manhaji ya kikafir

    • @baarutmazrui5186
      @baarutmazrui5186 Рік тому

      We wahabi unamanhaji ya kiibilis uisilamu ni tabiya sio matus

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db 10 місяців тому +1

      Akhy afwan waache tu waimbe ila usiwakufurishe na pia tuzidi kuwaombea waepukane na ugonjwa huu wa bid'ah

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 9 місяців тому

      Sasa hyo nyimbo aloanza nayo ajiitaye muft wa kenya haina tafauti na wimbo wa UMMU KULTHUM wa misri vile vile yani

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo 9 місяців тому

    دجال من الدجاجلة عافانا الله والمسلمين آمين

  • @kassimdaud4258
    @kassimdaud4258 Рік тому +4

    Ukiwa Sufi asubuh haifik adhuhur ushakuwa mwendawazimuu
    Ni kama haoo

    • @salumnuhu9066
      @salumnuhu9066 Рік тому

      Nini hii mbona upuuzi mtupu

    • @hamzabashiru4069
      @hamzabashiru4069 Рік тому

      Ukiwa wahabi asubuhi jioni umekua mpumvavu

    • @hamzabashiru4069
      @hamzabashiru4069 Рік тому +1

      Mwahabi someni acheni janja janja

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 11 місяців тому

      ​@@salumnuhu9066we mtoto wa zinaa

    • @nassortrans12
      @nassortrans12 9 місяців тому

      Huyo sheikh ndio anadai anamuona mubashara ktk bidaa ya mawlidi mtume
      Na anarembua macho yake huyo sheikh kuangalia juu eti anamuona mtume live live bila chenga
      Hamuwachiii jamani

  • @user-ye4xy7ss5b
    @user-ye4xy7ss5b Рік тому +3

    Nyote mnaotukana hamna hata nusu chembe ya ilmu kuwafikia hao waloketi apo mbele wala kinachosomwa apo amkijui hata chakuwashauli tafuteni mashekh msome msifuate fuate tu

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 7 місяців тому +2

      Hapo hakuna mmoja anaemfikia Ibilisi kwa ilmu, kwa hiyo tumfuate Ibilisi? Uislamu haumfuati mtu kwa sababu ya ilimu yake mtu ndio atakiwa aufuate Uislamu hata km ana ilimu.

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u 11 місяців тому +1

    Huyu muimbaji haswa na mapiano pia!!!! Duh kali mzee mwinyi papa 😂😂😂😂😂😂😂😂 kumbe mutrib mkubwa wewe!!! Halafu na allama qawwama!!! Na wafurahia kusifiwa kwa uongo mbele yako!!!! Uliamka usiku kufanya ibada wewe!!! 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂 mzee wetu wa kibajuni una tabu sanaaa....

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 9 місяців тому

      Hakiamungu wimbo utasema wa ummu kulthum vile vile na vinanda watumiavo

  • @MustafaOyoo-qz7rp
    @MustafaOyoo-qz7rp 9 місяців тому

    Dah mumekuwa mwapiga vinanda.mwaonaje mukapiga drams pia na magita.nyie wazushi dah

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 Рік тому

    Yana onekana manaafik makubwa ki surah tu laanatullahi alayhi

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 11 місяців тому

      We utakuwa ni mtoto wa zinaa.ndo maana huna adabu kamuulize mama yako vzr

    • @adnaankhanbhai7057
      @adnaankhanbhai7057 11 місяців тому

      Hakika kama we ulivo mtoto wa haramu mja laana we ka ulizie babaako kama wamfahamu wewe mwana haramu mkubwa weee

    • @alwysaggaf
      @alwysaggaf 10 місяців тому

      😂 hasira au matusi ya kazi gani?
      Kama haya tufanyayo sio yako si ujipe shughuli akhiy?
      Madrasa za Ahlul Sunnah (Twariqa/Suffii au upendavo kutuita) ziko wazi na zinafundisha kwa miaka mengi. Unakaribishwa inshaALLAH. Sisi hatutukani kama wengine.
      Thanks❤

    • @salhakhalfan6513
      @salhakhalfan6513 8 місяців тому +1

      Huo uhabi wenu ndo umewafunza kulaani watu na kuwatusi,, yaan ww uwekwe na habib ahmad badawi na elimu yako hiyo ya kulaani waislam wenzio una nn ww

    • @salhakhalfan6513
      @salhakhalfan6513 8 місяців тому +1

      We fanya uonalo sawa anaehukumu ni ALLAH mbona unaingilia kazi si yako

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 11 місяців тому +1

    Mashaallah

  • @jabirihanthu
    @jabirihanthu 9 місяців тому

    Mashaallah