''KAMA UCHAGUZI HUU NI VITA UCHAGUZI MKUU ITAKUAJE''MADELEKA AWAKAANGA WANAOWACHONGANISHA LISSU NA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 179

  • @AnaniaIsaya-z9g
    @AnaniaIsaya-z9g День тому +1

    Waooooh
    Asanteee
    Mwanasheria nguli
    Kaka Peter Madereka hakika umeongea vyema sana. Kuna watu wamekuwa wakipotosha sana kuhusu tundu LISSU.
    Binafsi kipindi hiki simuoni kiongozi anayefaa kuwa mwenyekiti zaidi ya tundu lissu

  • @AfrediMalila
    @AfrediMalila 2 дні тому +17

    Naam! fungua faham za watu kaka nakubari sana

  • @MariamAsajile
    @MariamAsajile 2 дні тому +7

    Madereka salute kwako imenikosha mwanaharakati mwenzangu

  • @muhusinisarawani8457
    @muhusinisarawani8457 2 дні тому +18

    Madeleka kadhihilisha kuwa yeye nimsomi. Hongera kk

    • @natupe123
      @natupe123 17 годин тому

      Ww nawe umesoma?

  • @EliahLoserian
    @EliahLoserian 2 дні тому +6

    Uko vizuri sana wakili msomi

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik 2 дні тому +8

    Nakukubali Mzee wa A Coy

  • @IsaacRutaha
    @IsaacRutaha День тому +1

    Hongera kaka Mungu siku ya mwisho ukishinda atakulipa

  • @w4058
    @w4058 2 дні тому +9

    Tunaomba dua ashinde Mheshimiwa Tundu lissu big up Lissu

  • @GodfreyMakala
    @GodfreyMakala 2 дні тому +3

    Kaka tupe elimu kama hizo Asante sana tumeelew wafaa kuwa mwalim wa chuo juu ya elimu ya siasa

  • @emmahazard5292
    @emmahazard5292 2 дні тому +7

    Safi sana madeleka

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 2 дні тому +2

    Wakili Madereka uko sawa na unatoa Elimu sahihi kwa hao machawa wasiojielewa. Hongera wakili msomi Madereka.

  • @KEFRINEENOS
    @KEFRINEENOS 2 дні тому +8

    Sahihi mkuu nashangaa mbowe kung'ang'ania cheo

    • @RwegoshoraPatt-os2ik
      @RwegoshoraPatt-os2ik 2 дні тому +1

      @@KEFRINEENOS ana maslahi binafsi huyoo, na nina wasiwasi kwamba Lisu anaweza ashinda uchaguzi ujao ....

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 2 дні тому +10

    Elimisha huyo mwaandishi hata mama samia alikua mwanaharakati kabla hajawa mbunge

    • @MiriamKhalid-z6o
      @MiriamKhalid-z6o 2 дні тому +1

      Kweli kila raisi yoyote kwenye nchi yake alikuwa mwanaharakati

  • @DanielMasubo-bv7zf
    @DanielMasubo-bv7zf 2 дні тому +1

    Safi Wakili Msomi Peter Madeleka

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 2 дні тому +9

    Leo umeongea vema💪🙏 Mungu akubaliki Lisu anaweza Tunampenda na tunamkubali sana jamani.💪

    • @vicentnyanda828
      @vicentnyanda828 2 дні тому

      Unampenda wee na ukoo wako tuuuu😂

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 2 дні тому

      ​@@vicentnyanda828Tundulissu tunampenda! Anatosha kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa kwa sasa tunaenda na Tundulissu.
      Kama wewe chawa humpendi endelea kuumia hivyohivyo! Acha chuki binafsi zako!
      Mashetani waliyompiga Risasi Tundulissu Mungu amewaumbua amemuweka hai mpaka sasa! Mungu anampenda nasi pia tunampenda.

    • @EmmanueNzilano
      @EmmanueNzilano День тому

      Kwetu huku Lisu kwanza Chama baadae. Huku watu Sio wanafiki.💪✌️

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 День тому +1

    Uko vizuri madereka mitano tena

  • @rogersiddy
    @rogersiddy День тому +2

    Sawa ndugu muandishi kama unamaanisha Mbowe mtu wa mazungumzo sawa Mbowe alikubali kuzungumza na Mama juu ya maridhiano matokeo yake nini? hakuna matokeo yoyote yale yaliowapa matumaini wananchi amedanganywa Mbowe akakubali

  • @georgendibalema9062
    @georgendibalema9062 2 дні тому +1

    Mpongo love

  • @christophermalango1433
    @christophermalango1433 2 дні тому +10

    Mwandishi huna hoja kabisa, Madereka ni mwamba

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 2 дні тому +1

    Wakili msomi unajua sana na umejibu vizuri sana ni mbumbumbupekeake ambaye hawezi jua

  • @BensonMpete
    @BensonMpete 13 годин тому +1

    😂😂😂hili limadeleka kiumbe lina miakili kiasi hiki

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 2 дні тому +5

    Mnaosem huyu mwandishi hafai mna ufahamu mdogo sana wa taaluma ya habari. Mwandishi ameuliza maswali na hoja zote ya watu wanaompinga lissu ili zijibiwe. Na hoja zote za wanaompinga lissu Madereka amezijibu vizuri sana kwa niaba ya Lissu.

  • @ghalibelghanim1151
    @ghalibelghanim1151 2 дні тому +2

    Nakukubali Brother.

  • @SamweliMshana
    @SamweliMshana 22 години тому +1

    Mie ni mwana ccm kindakindaki lakin siwaelewi wanaomshambulia TAL kwan walimpa nafssi ya kugombea urais lkn nafasi ya uenyekit mnasema hafai.mnakikosea chama & TAL mwenyewe

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 2 дні тому +1

    Waandishi wa bongo Mungu atusaidie

  • @alliancemugane1589
    @alliancemugane1589 2 дні тому +2

    Huyo mwandishi hajui kiswahili neno harakati hajui

  • @brodiebanks145
    @brodiebanks145 День тому +1

    Baada ya kuona lissu anashinda uenyekiti basi ndiyo nitaamini mbowe ni mtu wa demokrasia.

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 4 години тому

    Madeleka nimekuelewa,,ume nidadafulia siasa,,umenifukunyulia siasa,,nimekupenda,,

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 2 дні тому +7

    Mwandishi ni chawa, mjinga, hana elimu sahihi ya taaluma aliyojivika. Ni kiti limefunika fikra finyu sana. Na wengi watanzania tunaingia kwenye hili kundi. Elimu finyu, tunauelewa usio sahihi na uhalisia wa mambo. Level ya elimu nchini ni duni na ya chini sana. We are dormant sort of speak. Na hii inaturudisha nyuma sana kitaifa. Tunavyeo bila elimu sahihi.

    • @OscarKasalile
      @OscarKasalile 2 дні тому

      Mwandishi sio chawa anataka kujua ukweli anauliza maswali ya mtego ili kuujua ukweli wala hapaswi kuchukiwa.

    • @efrahimphilipo4337
      @efrahimphilipo4337 День тому

      Sahihi kabisa elimu Tanzania ni duni mnoo almost kuliko zote ukanda huu wa East Africa na viongozi wetu wanafrahia hii hali mana watoto wao wanasoma nje😢

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j День тому +2

    Jpo sahihi mh msomi madereka lissu atumuachi popote atakako kwenda ira sio ccm akieenda ccm atumfati hata kidogo akishindwa uchaguzi aanzishe chama chake anaweza

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 2 дні тому +2

    wakili msomi🎉🎉

  • @GodfreyMalima-f7i
    @GodfreyMalima-f7i 2 дні тому +5

    Mboe atupishe atumtaki

  • @EdwadKalesi
    @EdwadKalesi 2 дні тому

    Edward kalesi . Madeleka kutuelekeza wengine hatuelewi tunapelekeshwa 2 mambu Mungu 2

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 13 годин тому

    Laaa!!! aisee huyu ndugu huwa namuelewa sana mahojiano yake, huyu ni msomi.

  • @MadalalaPtr
    @MadalalaPtr 2 дні тому +3

    hakuna Peter mzembe 😂😂 mamaeh vunja kuni bro

  • @ElinaMbura-h7w
    @ElinaMbura-h7w 2 дні тому

    Safi sana wakili msomi na maarufu,siku zote wana ccm wana akili Kama mbwa kichaa

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 2 дні тому

    Hata bila kujua siasa.......mboe kaishiwa na kapoteza mvuto...uchaguzi wa SERIKALI za mitaaa umeonyesha kashindwa..Hana jipya .na hakuna kitu kibaya kama kiongozi kuona we ni Bora kuliko wengine.

  • @Alex_Anania
    @Alex_Anania 2 дні тому +1

    Very well said

  • @BensonMpete
    @BensonMpete 13 годин тому

    😂😂😂😂mwandishi akiinuka anaanguka tena

  • @paulinebogohe-pi8gn
    @paulinebogohe-pi8gn 2 дні тому +2

    Huyu jamaa ni kiboko, anatisha kwa hoja

  • @MUSAMWAMBENE
    @MUSAMWAMBENE 2 дні тому +1

    Madereka safiiiiii

  • @DenisonTheonest-yj3mk
    @DenisonTheonest-yj3mk 2 дні тому +1

    Huyo mwandishi ni chawa tu

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 2 дні тому +1

    Mbowe bumzika kwa amani achia lissu.

  • @WillyJohny
    @WillyJohny 2 дні тому +1

    Wakili msomi Mimi nakuelewa sanaaaa

  • @SaidiNzoa-m2q
    @SaidiNzoa-m2q 2 дні тому +1

    Kwasasa madeleka angalia wana habari kama huyo apaswi kuku alika akuna mwandishi apo maswari yakitoto sana

  • @LivingMosha-v6b
    @LivingMosha-v6b 2 дні тому

    Xafi xana kamanda wng,uko vzr kaka

  • @georgesolos344
    @georgesolos344 2 дні тому

    Waandishi wa habari wengi Tanzania ni vilaza sana,

  • @SaidiNzoa-m2q
    @SaidiNzoa-m2q 2 дні тому +8

    Huyu mwandishi anaonekana mjinga

  • @saidmabanga388
    @saidmabanga388 2 дні тому +1

    Uyu muqndishii nikicheki bichws lake lilivo naona kuna shida upande fulani wa ubongo

  • @DavidCurtis-e4c
    @DavidCurtis-e4c День тому

    Mnaosifia maongezi haya msijisahaulishe ni chama hiki hiki ambacho kinasifia Kenya wana haki na uhuru, matokeo yake kila kukicha wanaandamana na kuharibi miundombinu ya uma na raia. South Africa na afrika wanamuheshimu mandela zaidi na kumsahau nyerere sababu alipopata uhuru aliwafukuza wazungu wakati mandela hakuwafukuza hiyo ni moja ya sababu kuonekana wa maana wakati mpaka leo hii south yapo maeneo haruhusiwi kukanya mtu mweusi, what a shame

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 2 дні тому

    Tunamwomba mbowe amkunali Lisu kuponya chama kisipasuke make wananchi tulip wengi tuna Imani na chama hiki

  • @MariamAsajile
    @MariamAsajile 2 дні тому

    Mwandishi IQUE yake ndogo sana hakupaswa kumhoji MADEREKA alafu mimi NAMTAKA LISSU ndiye atakaye tuvusha. MBOWE a abaki mshauri wa chama

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 2 дні тому +2

    Mwqndishi ni kilaza hakuna kitu

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 2 дні тому +1

      Mmh sio kweli kakosea nini....huyu mwandishi ni nguli sana yaani kwa sasa huyu na Odemba ndio nguli wa siasa kwa sasa.

  • @hoseaMwangende
    @hoseaMwangende День тому

    Mbona kama host hayupo comfortable na madini ya mwanasheria mzarendo madereka

  • @barakamwasala228
    @barakamwasala228 2 дні тому

    Mtangazi na kichwa chakee😅😅😅

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 2 дні тому

    Hii nihatari sana

  • @kalisajohn3659
    @kalisajohn3659 18 годин тому

    Kusikiliza watu kama Madeleka siyo kupoteza kifurushi

  • @ChalesLukumai
    @ChalesLukumai 2 дні тому

    Madeleka, Madeleka, Madeleka, umeongea ukweli. Wachonganishi ndo wako kazini.

  • @JuliasMwita-c2l
    @JuliasMwita-c2l 2 дні тому

    Nanyie watu aina yakina madeleka muangalie wandishi wakufanya nao vipindi.

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 День тому

    Mwandishi rudi shule akili ndogo sana

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 2 дні тому +2

    Mr. Madeleka unakubalije kuhojiwa na muandishi wa hovyo kama huyo...!!!

  • @StephanoMashauri-b5i
    @StephanoMashauri-b5i 2 дні тому

    Huyo mwandishi wa habari ni chawa na ni taira

  • @ThomasMwadia
    @ThomasMwadia День тому

    Kaka una akili sanaaaaaa

  • @EdwadKalesi
    @EdwadKalesi 2 дні тому

    Ni Edward kalesi kama ni hivyo haina haja kupiga kura tumwachie kama yeye Mbowe anasema chama ni Cha kwake tumwachie

  • @mosesibrahimu-kg1ib
    @mosesibrahimu-kg1ib 15 годин тому

    Lisu amekuwa rais wa chama cha wanasheria tz, tls.

  • @JuliasMwita-c2l
    @JuliasMwita-c2l 2 дні тому

    Wakili nimekuelewa watu wanahitaji elimu ili waelewe.

  • @Peterkingu-m5o
    @Peterkingu-m5o 2 дні тому

    Madeleka una Akili kubwa Mwanangu

  • @StarGwanta
    @StarGwanta 2 дні тому +1

    Ila utimu mnao uweka utakuja kuwaweka sula chin wanao msema vibaya mbowe je akishinda sula zenu mtaziweka wap na wanao msema vibaya lisu je akishinda sula zenu mtaziweka wap msiwe mnaongea kwa mihemko shida vichwa vizur vya siasa hapa tz n vichache wengi n waripokaj tu mnatengeneza uchawa na chuki ambayo itadumu kwa watu tumien akili

  • @Yomiyomi6897
    @Yomiyomi6897 2 дні тому

    Yaani CHAWA hawafichiki

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 2 дні тому

    Wanachadema wqpi hawamkubali lissu.mtangazaji una mapungufu

  • @charlesmtangi9046
    @charlesmtangi9046 2 дні тому

    Wakili madeleka akili nyingi sana mwandishinana istoria yeyote anae ifaam kuus lisu ndio maana anaoja za msingi

  • @dannymtenzi
    @dannymtenzi 2 дні тому

    mwandishi huyo yupo vizuri kwani anachangia lissu kuchukuwa kula nyingi Sana Kwa maswali yake lissu ni ulimwengu mwingine

  • @EdwadKalesi
    @EdwadKalesi 2 дні тому

    Mbowe ampumnzike aachie wengine kijiti ni mm Edward kalesi

  • @EZEKIELNYINGU
    @EZEKIELNYINGU 2 дні тому +1

    Akili kubwa haizidi akili ndogo mwandishi jifunze jambo

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 2 дні тому

    Akipita mboe chadema naludisha kadi yao

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 День тому

    Madereka uko vzr kichwani

  • @JuliasMwita-c2l
    @JuliasMwita-c2l 2 дні тому

    Hivi kweli huyu nimwandishi kweli?

  • @Kiggy22
    @Kiggy22 2 дні тому

    Lissu akihamia ccm na mimi naenda ccm

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 2 дні тому

    nimeamini mbowe wamemchoka hadi huyu

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 2 дні тому +1

    Mwanahabari umeji compromise. Umetumwa wewe. Hufai. Be balanced!

  • @dillonfoya
    @dillonfoya 2 дні тому

    Nauliza kwanini jambo hili la UCHAGUZI wa CHADEMA limekuwa limewagusa Kila mtu ndani na nje ya cdm naamini mti wenye matunda ndiyo unatupiwa mawe

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 2 дні тому +1

    Hakuna chama cha mtu tunamtaka tunfu lisu shida siyo mbowe kiongozi shida kwa nini anangangania mafaraka aachie kiti

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 День тому

    Mwandishi hana akili kasoma wapi

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 2 дні тому +1

    Akili kubwa sana

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 2 дні тому

    Hii ndo maana ya shule

  • @Cryptocurrency_Tanzania
    @Cryptocurrency_Tanzania 2 дні тому

    mwandishi ngoja kwanza.

  • @kabwangaselemani5228
    @kabwangaselemani5228 2 дні тому

    Kalewa amani na utulivu aende Goma akafanye hawakati kuwasaidia wakongomani

  • @Yuken-gh1kf
    @Yuken-gh1kf 2 дні тому

    Madeleka wapashe hao vilaza wa ndio mzee.

  • @admaumsengi4230
    @admaumsengi4230 2 дні тому

    Kaka Madeleka endeles kutoa elimu kwa ambao hawajitambui

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 дні тому

    Bondia hautoi mkanda kwa kung'atuka . Waacheni waende kushindana.

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 2 дні тому

    Kichwa kikubwa bila akili ni mzigo wa shingo
    mwandishi wa habari chizi huyo achana nae peter

  • @fraickobatista8021
    @fraickobatista8021 2 дні тому

    Haki za binadamu zipi hilo neno tuu haki za binadamu nikutoka kwa wazungu ukizungumzia haki za binadamu ni pamoja na ushoga hivyo hilo neno haki za binadamu silipendi

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 2 дні тому

      Ulishawai muona lissu anawapigania mashoga je tz hakuna mashoga
      Kama sio andazi wewe utakuwa muuaji unajificha kuaminisha watu ujinga

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 2 дні тому

    Mwana harakati=mtu anaetaka mambo Kwa haraka. History ya wana harakati hawakufikia malengo yao. Walikufa vifo vibaya. Tunahitaji wana utaratibu sio mwana harakati

  • @sultanaljabri5109
    @sultanaljabri5109 2 дні тому

    Wakili msomi upo Sawa Kwa %100

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 2 дні тому

    Madereka ....nakuomba fatilia neno MAKAMANDA......linavotumika chadema ni lakinyonyaji kama ccm inavotumia neno amani........viongozi wa chadema na wanachama wanakipambania chama Kwa neno kamanda(Kwa maana ukakamavu)..huku wengine wakifa lkn pesa haishuki chini.....huko juuu wanakula fedhà.....kunamalalamiko mengi

  • @williamnyakasi2323
    @williamnyakasi2323 День тому

    HONGERA Msomi

  • @VailethKaali-hx8yh
    @VailethKaali-hx8yh 2 дні тому

    Nakukubali sana Madeleka Kati ya mawakili wanojitambua ndo maana huwa nakufuatilia

  • @admaumsengi4230
    @admaumsengi4230 2 дні тому

    Huyo mwandishi ni kilaza Nina wasi wasi na kazi hiyo aliyonayo ya uandishi wa habar hiyo ni mwehu

  • @omuze1290
    @omuze1290 2 дні тому

    Inakuwaje unamwamini mtu agombee nafasi ya urais ili aliongoze taifa LAKINI usimwamini kuongoza chama? Wanaomuunga mkono mh. Mbowe waache siasa za woga! Waache kumwaogopa mh. Lissu.

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 2 дні тому

    Lisu oye