Mheshimiwa Mbowe angekubali tu kung`atuka na kuachia wengine. 2015 CDM ilimpitisha ENL kuwa mgombea urais, je angepita kuwa Rais asingekua mwenyekiti wa chama? 2020 CDM ilimpitisha TAL kuwa mgombea urais, je angepita kuwa Rais asingekua mwenyekiti wa chama? CDM inawezaje kumpitisha mtu kuwa mgombea wa urais wa nchi wakat taasisi ndogo kama chama hakipo tayari kuongozwa na mteule? HAPO NDIO UTAGUNDUA HAKUNA CHAMA KUBWA KAMA CCM NDANI YA TANZANIA HII LABDA MIAKA 100 IJAYO
Mbowe ameipenda dunia kuliko kumuogopa Ahlla sioni sababu ya mbowe kugombea tena u wenye kiti angekua ni muungwana angemuachia mh Tundullsu miaka 5 kusudi chama kiwe na sura mpya miaka zaidi ya 20 sura ni ileile mbowe mbowe ona Aibu KIDOGO
Mungu anakuona usije ukashindwa ukakihama chama. Wanasiasa mmekuwa wsongoongo na mnaona Mungu kama wa mchezo mchezo tu hadi kutekana, kutesa, kuuwana, kupotezana na hata kudhulumiana. Mkitoa ahdi hamtekelezi. Mkishindwa chaguzi za ndani muwe mnabaki chamani.
Watanzania tuwe makini hii sio vita ya Mbowe na Lisu,bali ni vita ya CCM wakiwa upande wa mbowe na CHADEMA wakiwa upande wa Lissu(wananchi). Tahadhari hiyo nawapA
Mimi naipenda sana chadema ila napata mashaka na mbowe kwanini anasema chama namwachia nani tangu amekuwa kiongozi hayupo hata mmoja ambaye anauwezo wa kuongoza kweli?
😀😀😀 umesikia alivyo taka kuharibu nimuachie nani chama changu? 😀😀 Mbowe ni ccm b! Anavuta sana na aliteseka sana kipindi Cha jpm now anarudisha fadhira
Lissu na mbowe wa same here akina halima mdee wote 19,hata Mungu hutu samehe Dhambi wakitoka ni mwiba kwa chadema pia bado covid 19 wana hitaj chadema.
A number of people are ignorant of the UN Charter Universal Declaration of Human Rights and Democracy. They need capacity building each and every year.
The major hiccup in illiterate people is that they like gossips, and they are hateful, jealous, having outbursts of anger and strife. They do not have the Holy Spirit in them but the 😈 devil is controlling them. (Galatians 5:19-21). They lack of the fruits of the Spirit in them of which come as a result of the Holy Spirit (Galatians 5:22-23).
Mbowe pambana shikilia chama kwa nguvu zako:This man Lisu has no capacity to be a chairman of political part like Chadema.he is just an activist,akipata Hiyo nafasi ya chairman Chadema ndio basi.
Viko vyama vingi vya Siasa ila vinavyosikika ni viwili CCM na CHADEMA hivi vingine kama vimeshindwa kufanya Siasa vifutwe kwani ni mtaji wa chama tawala
Hii ni vita ya Tundulissu na ccm siyo Mbowe na Tundulissu! Mbowe staafu kwa heshima uenyekiti umwachie Tundulissu, Mbowe acha kung'ang'ania madaraka,picha mawazo mapya kwa Chama.
Busara ni lazima itumike,sio kosa lissu kugombea hicho cheo,upuuzi uachwe,haiwezekani mtu mmoja awe amejimilikisha chama,ujinga mtupu,hata ccm hawafanyi ujinga huu,huyu mbowe kakiweka chadema mali yake
Hata wale wajumbe kuminatisa Kwa kweli ni ninyi muliwatoa mbona ni kama humueleweki vile!Waliokiasisi hiki chama kwakweli hawakuwaanda viongozi wajao wenye ubongo mkubwa
Mbowe huna mipango wowote utakiua chama kwa tamaa zake jifunze kusema inatosha usiwe kama ccm imeitwala tz na watz kwa miaka 63 sasa watz ni masikini lakini ccm haijali kuwaachia wa tz wapate ahueni
Nakupenda Sana Mhe Mbowe ila hukuwa na sababu ya kugombea wakati Mhe Lissu anatosha!!!!
@@RwechungulaBegumisa kajidhalilisha tu na vp akishindwa ? Atauambia nn umma? Au ndo ashalamba asali na ccm kuwa mshndi?
Mheshimiwa Mbowe angekubali tu kung`atuka na kuachia wengine.
2015 CDM ilimpitisha ENL kuwa mgombea urais, je angepita kuwa Rais asingekua mwenyekiti wa chama?
2020 CDM ilimpitisha TAL kuwa mgombea urais, je angepita kuwa Rais asingekua mwenyekiti wa chama?
CDM inawezaje kumpitisha mtu kuwa mgombea wa urais wa nchi wakat taasisi ndogo kama chama hakipo tayari kuongozwa na mteule?
HAPO NDIO UTAGUNDUA HAKUNA CHAMA KUBWA KAMA CCM NDANI YA TANZANIA HII LABDA MIAKA 100 IJAYO
Na akishindwa hatokuwa mstaafu maana hatokuwa mjumbe wa kamati kuu....maana kustaafu na kushindwa uchaguzi ni vitu viwili tofauti
Kakuambia hata akishindwa ni Mbowe ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu
Mbowe, the diehard and blessed leader, mungu awabariki na kamati yote ya CHADEMA
Mbowe pumzika usisubiri kuchokwa zaidi pls we need Tundu lisu
2024 hii tunataka watu wa mageuzi imara sio watu wa kushinfikiza ccm miaka yote 😂
Tulia mbowe kafanye biashara uleye pesa huku tu.
Lissu ama Mbowe, yeyote kishinda nisahihi,,, Najivunia kuiona Chadema ikiwa na viongizi makini sana!
Sahihi kabisa
Hakuna umakini apo wewe bado sana wauwaji Hawa watekaji hawa
Your excellent Mr Mbowe for your answers
Waandishi hatuna kabisa badala ya maswali mnatoa maelezo
LAKINI Mr Mbowe ungeachia tu kwani umejenga heshima usiiporomoshe
Mbowe upo vzr hakika wanachama bora wakuongeze muda
Mbowe ameipenda dunia kuliko kumuogopa Ahlla sioni sababu ya mbowe kugombea tena u wenye kiti angekua ni muungwana angemuachia mh Tundullsu miaka 5 kusudi chama kiwe na sura mpya miaka zaidi ya 20 sura ni ileile mbowe mbowe ona Aibu KIDOGO
Mungu anakuona usije ukashindwa ukakihama chama. Wanasiasa mmekuwa wsongoongo na mnaona Mungu kama wa mchezo mchezo tu hadi kutekana, kutesa, kuuwana, kupotezana na hata kudhulumiana. Mkitoa ahdi hamtekelezi. Mkishindwa chaguzi za ndani muwe mnabaki chamani.
Tutafakari"Mbowe anaposema haiwezekani mafahari wawili kukaa kwenye zizi moja je, ana maanisha kwamba hakuhitaji mtu mwingine agombee nafasi yake!!?
Mbowe ni kiongozi
Hakuna anae m beza mbowe,,wala hakuna anae m beza lissu,,shida kwamba ccm wamezoea siasa za mbowe,,kwaio jipya halitaonekana
Hakika
wewe ndio umeongea sawa
Chadema haifi kwa mbowe kuondoka.itatetereka, Wazee wa chadema wenye busara Mungu atawainua kunusuru
Mbowe the die hard,❤❤❤
Umeitoa mbali chadema Mbowe.Mungu atakusaidia
Naomba tupate viongozi wapya sio mboe tena
Mboe jaribu kufafanua vizuri (KUTENGENEZA FEDHA) Vinginevyo wengine watadhani, una mashine unafyatua fedha. 24:38
Watanzania tuwe makini hii sio vita ya Mbowe na Lisu,bali ni vita ya CCM wakiwa upande wa mbowe na CHADEMA wakiwa upande wa Lissu(wananchi).
Tahadhari hiyo nawapA
Kwendraaaaa
Ukweli mtupu
Huo ndiyo ukweli ndugu
Truth
Kwa kauli yako inamaanisha Mbowe ni Yuda
Mbowe kuwa na kiasi kaka
@5:12 Mh Mbowe, hiyo zana pekee ndo ungetumia ili uachie nafasi wengine… umekosea sana kugombea…
Thank you for this player. Amen
Ninafurahia kuona mchuano mkali unaoendelea mkiendesha uchaguzi Kwa haki na atakaeshindwa kukubali, mtakuwa mmekiheshimisha chama, kongole kwenu.
Ngoja uaibike lisu akuadabishe 😂😂
@@JfourHumbi ndio maana ya democrasia
Mbowe ni hero
Kajibu kwa wepesi sana,ilitakiwa ajibu kwa kujenga hoja sio kwa wepesi kiasi hicho hakuna jipya hapo
Sasa ulitaka ajibu Kwa uzito gani maswali mepesi kama hayo?
Linda mali Mzee;achana na watu wanaojizima data wanaojifanya.hawamjui mwenye mali😊😅
Mbona CCM Zanzibar walioongoza baada ya mapinguzi Hadi Leo koo zao zinaendelea kuiongoza Zanzibar.
Mbowe mzee wangu una busara sana nimependa ulivyo mung'unya maneno japo mimi nimekuelewa ulitaka kusema nini😂😂😂 lisu nimshauri afanye siasa nzuri zita mnyanyua kuliko kuleta kashfa kwako atakosa heshima
Hana lolote hataki kustaafu....maana anang'an'gania uongozi....tofauti ya kustaafu na kushindwa katika uchaguzi.....ni vitu viwili tofaauti
Mimi naipenda sana chadema ila napata mashaka na mbowe kwanini anasema chama namwachia nani tangu amekuwa kiongozi hayupo hata mmoja ambaye anauwezo wa kuongoza kweli?
Mbowe una uwezo mzuri sana wa kuongea ila ni vyema ukapumzika
Mbowe ushindwe/ umeshindwa kwa jina la Yesu!, Ameni.
@@gaagwasaugustino2584 mbowe must go,hatutaki ubabe na usultan Tanzania
Majibu yako vizuri
Ngoja Inyeshe Tuone panapo vuja
Nimwachie Nani chama changu mbowe anajisahau sana 😂🎉😂
😀😀😀 umesikia alivyo taka kuharibu nimuachie nani chama changu? 😀😀 Mbowe ni ccm b! Anavuta sana na aliteseka sana kipindi Cha jpm now anarudisha fadhira
@@JfourHumbi Mimi mwenyw chadema NI chama changu
@@JfourHumbi washamba nyie
Majura well done umeuliza maswali mazuri saana
Mwamba piga kazi
Mbowe hapana mpe nafasi Lissu
Watu wanauliza maswali magumu sana, at least kwenye hili uhuru upo
Lissu na mbowe wa same here akina halima mdee wote 19,hata Mungu hutu samehe Dhambi wakitoka ni mwiba kwa chadema pia bado covid 19 wana hitaj chadema.
A number of people are ignorant of the UN Charter Universal Declaration of Human Rights and Democracy. They need capacity building each and every year.
Mbowe toka bana usinga’nga’nie madaraka iyo siyo siasa utajenga heshima kubwa sana hapa tanzania
waliondoka na miaka hiyo kwani waliongoza miaka mingapi mingapi
Chanzo Sauti ipo vzuri sana ila mutafute camera man bado hajakaa sawa
Huyu ni mwamba kwelikweli, hebu apige mitano tena
Dt.Slaa nimwanachama wa CHADEMA au wa CCM?
Ulisema utampeleka msigwa mahakamani. Vipi mbona kimyaaaaaa?? Au ulipewa pesaaaa?
Acheni kumtaja taja Magufuli. Wewe wapishe na wenzako miaka yote umeng'ang'ania tu wewe duh hii ni aibu kubwa sana .
Huko kutaka kutoka ukiwa na umri ule km wa mtei ni kikatiba?
Wanahabari Munatisha
Mbona mbaedit hadi video crip?mmekata jibu la swali kuhusu lissu na kamati ya maadili
Lisu bado sanaaaaaa
7:11 7:18 Chama hicho ni cha Ukoo kilikoanzia 6:19 Atamuogopaje Lisu mtu wa kuja kudandia ⁉️
The Good dancer knows the right time to leave the stage hii iligharimu Hayati Kenneth Kaunda
Exactly
And the good drinker know the right time to leave the bar.😂😂😂😂
Hakuna kiongozi makini hapo kuna mmoja anajiona chama cha familia yake lkn kuna mwengine anaitaji usawa tu katika chama
Freeman Mbowe is a genuine leader who is democratic in leadership. He is a great leader.
Washauri wake wameshindwa mkushauri vizuri kiongozi
Tundulisu na mbowe niwanasiasa ccm mtasubiria sana
😂😂😂😂
Hatukutaki
Kwani huyu kengeza asipo mtaja MAGUFULI jicho lake halioni😏😏
Yaani Balile ndo alikuwa mratibu😢😢😢,huyu mla rushwa mkubwa
Umesema vizuri=Part Institution Memory=
The major hiccup in illiterate people is that they like gossips, and they are hateful, jealous, having outbursts of anger and strife. They do not have the Holy Spirit in them but the 😈 devil is controlling them. (Galatians 5:19-21). They lack of the fruits of the Spirit in them of which come as a result of the Holy Spirit (Galatians 5:22-23).
Huyu mzee apumzike , asipopumzika uchaguzi ujao utakuwa mbaya sana
Mbowe ndio mwenyekiti lisu domo tenda hawezi kuwa mwenyekiti ni mropokaji hawezi funga zipu
Watu kwa muonekano wangu wanaona uchaguzi CCM wanatufanya watakavyo afu akuna atua inayo chukuliwa wakijua lisu atachukua
Mhe. Mbowe we bado ni mwamba na unastahiki mitano tena
Mmh pamekucha
24:39
Mzee mboye twaomba umpe lisu nafasia sio kwa ubaya na huna baya na mtu lkn kwa busara angalia hata coment zinavyoomba na kushauri
Mbowe pambana shikilia chama kwa nguvu zako:This man Lisu has no capacity to be a chairman of political part like Chadema.he is just an activist,akipata Hiyo nafasi ya chairman Chadema ndio basi.
Mbona swali Abdul hujalijibu?
Viko vyama vingi vya Siasa ila vinavyosikika ni viwili CCM na CHADEMA hivi vingine kama vimeshindwa kufanya Siasa vifutwe kwani ni mtaji wa chama tawala
Siasa za mbowe ccm wamezizoea,,kwaio ccm hawaumizi kichwa,,kwaio kupata kipya kwa mboe hatupati
@@Peterchipemba ndo hvo kwa ss mbowe Hana jipya
Hii ni vita ya Tundulissu na ccm siyo Mbowe na Tundulissu! Mbowe staafu kwa heshima uenyekiti umwachie Tundulissu, Mbowe acha kung'ang'ania madaraka,picha mawazo mapya kwa Chama.
Mbona hakujibu maswali yakwamba endapo vyama vingine vitashiliki uchaguzi chadema itafanya nini?
Mchaga vs mnyaturu😂😂😂😂
Huyo ni Mugabe ni kweli atoshi
Usultani
Bado tunakupenda mweshimiwa
mtakomeshana wenyewe kwa wenyewe laana zinawstembelea kuwatukanq Marais wa Ccm kila Rais mbaya
Busara ni lazima itumike,sio kosa lissu kugombea hicho cheo,upuuzi uachwe,haiwezekani mtu mmoja awe amejimilikisha chama,ujinga mtupu,hata ccm hawafanyi ujinga huu,huyu mbowe kakiweka chadema mali yake
Mbowe na Lissu wote wanafaa, ila mabadiliko ni bora kuliko uhafidhina. Mvowe njaa kali sana...
Wewe utaki kuwachia madaraka tuseme basi ccm nao wako sahihi wewe mbowe hachia madaraka tubadilishiane mawazo .unasema ccm wamechoka wachie sasa nawewe umechoka hachia tupate nguvu mpiya
Sasa si wapige kura atoke au?
Madaraka haupewi unatafuta
Mzee achia madaraka ubaki kutushauri
Sasa mwenyekiti anakata tamaa sasa uyu ataweza kujisimamia kwer
Nimeona kama panya kapita speed hapo.....😂
bado kijana baba piga kazi
@24:13 Majibu yamekatwa?? Muariri ametupiga😂😂😂😂😂
Chama cha upinzani ni chadema
Hata wale wajumbe kuminatisa Kwa kweli ni ninyi muliwatoa mbona ni kama humueleweki vile!Waliokiasisi hiki chama kwakweli hawakuwaanda viongozi wajao wenye ubongo mkubwa
Maneno yakoyote mazuri lakini unaharibu kumtaja marehem mnauwana wenyewe mnasingizia magufuli pumbavuzenu
Uongozi ni kazi mtu hakubali kuachia kiti.na kuwapisha wengine wafanye kazi😂😂😂
Kutumia nguvu kupambana..kwa sasa mnadai uhuru. Ccm hawawezi kuachia .vyombo vyote vya usalama pia haviwezi kuachia madaraka.wananufaika zaidi.
Tunamtaka tundu lisu mbowe awe mshauri tu.
Jembe letu
❤❤❤❤
Mbowe huna mipango wowote utakiua chama kwa tamaa zake jifunze kusema inatosha usiwe kama ccm imeitwala tz na watz kwa miaka 63 sasa watz ni masikini lakini ccm haijali kuwaachia wa tz wapate ahueni
Mzee kuwa kama zito nikijana mdogo naameachia ngazi
Kuna kipengele kinajibiwa kimekatika...
Mbowe pumzika jaman...