Ahsante kwa jitihada zako japo, Hizi presentation zote zishafanyika nchini japo kwa mtimdo tafauti na huo . Hapa Tanzania kinachotugharimu ni kukosa uadilifu na Ufisadi umekua mkubwa.
Yeye anatyeleza ufisadi akili Gani hiyo, akili ya kifala anataka jamaa achangie hoja kuhusu ufisadi??? Ambao kila siku unazungumzwa? Wivu tu na uzwazwa@@edgarrich9895
Tatizo ni implementation ya hayo mambo mazuri. Viongozi wetu wanawaza uchaguzi na namna ya kuhakikisha Watanzania wanabaki maskini ili watawaliwe vizuri.That's all!
Hongera sana, viwanda watu wanadhubutu.mfano vya kombe Kali. Tunaviua wenyewe. Wakina Elon musk wako. Skyline and logistics. Ni kampuni ya tz. Ambayo potential yake taifa letu halijavuna.
Bro.. upo makini.sana hao waliokuzunguka hapo na wengi wa waTanganyika mawazo duni.tatizo kubwa ni chama cha Kijamaa kinachoongoza hawapo tayari kupokea mawazo ya vijana wazee wanangangania madaraka.vijana wapo vijiweni.
Ahsante kwa presentation nzuri sana! Mengi ya aliyoyaongea yalishafanyiwa utafiti na tafiti hizo zinaozea kwenye shelves. Tatizo la nchi hii ni hizi zinazoitwa awamu za utawala. Kila awamu inakuja na mipango yao na ku abandon yote ya awamu iliyotangulia. Mfano Mkapa alikuwa na mkakati wa kupunguza umasikini MKUKUTA,, Kikwete akaja na mkakati wa uchimbaji na matumizi ya gesi katika mkakati wa kukuza uchumi na sera ya kilimo. Aliyefuatia kaja na uchumi wa viwanda.. Kwa sasa ni vigumu kujua ni kipi kati ya sera kipa umbele ni kipi? Shida yetu si potential thinkers na planners bali potential implementers! 16:23
Huyu ndungu ana mambo mengi mazuri ambayo nahisi hata hapo haikua sehemu sahihi ya madini yake nikama anahitaji sehemu nzuri zaidi ambapo kuna wasomi na wenye mamlaka na maamuzi ya nchi ili hizo nondo zisipotee bure. Atafutwe na chombo kama SnS amwage madini wakubwa wayapate juu kwa juu #SnS au Clouds Tv #Good morning
Positive ideas to a system which does not need them. These ideas have been presented a many times in the past but the system which was to utilise for economic growth so that the country could have made developments fell in the deaf ears, thus the best brains this country has end up unutilised.
Maoni mazuri,maoni yangu mambo 2, nimetafautiana na wewe, swala la viwanda, vigezo na mashariti ya kukuza viwanda mfano umeme, rasilimali watu, sheria gandamizi kuhusu viwanda, hazikupi kufanya kazi kwa huru
Rudia kumsikiliza utagundua hujamelewa, katoa elimu yenye madini tupu, na hoja yako inatiba ndani ya maoni yake, Sema anapaswa kupewa Platform ya kusikika zaidi na zaidi.
Nimevutwa sana na hoja yake kuhusu kuwekeza kwenye viwanda badala ya kuwa wachuuzi wa bidhaa za wachina lakini hofu yangu ni kwamba hatuna mkakati madhubuti wa kuwaandaa vijana ili wasiwe kikwazo kwa wenye maono na mitaji. Kukosekana kwa uaminifu kunakochangiwa na tamaa ya utajiri wa haraka usiotokana na jasho lao kumekuwa ni kisababishi kikubwa cha viwanda na biashara nyingi kufa. Jambo lililo dhahiri ni kwamba ufisadi unaosikika miongoni mwa wenye dhamana ya kuhakikisha tunagawana keki ya taifa kwa usawa ni kichocheo kikubwa cha tabia hii mbaya miongoni mwa vijana wa kitanzania.
Jamaa alifaa kuwa mshauri wa Rais katika masuala ya Biashara na uwekezaji coz anavitu ambavyo kikifanyiwa implementation kinaweza kusogeza taifa kutoka point moja kwenda nyingine. Ila kutokana na mifumo yetu ilivyo hakuna mtu atamconsider wala kuona logic yyt kwa kile alichokizungumza, ila kama angekuwa anazungumza mambo ya uchawa mapema sana angekuwa amepewa platform mpk kwa decision makers.
Huyu jamaa ana maono na ushauri mzuri sana kuhusu nchi. Apewe nafasi kubwa katika nchi anaweza akaleta mabadiliko makubwa kwa mawazo iliyonayo kama ana commitment nzuri. Ni mtu muhimu.
Kama na yeye hajawa mwizi kama wezi wengine kwani hayo anayoshauri unafikiri hawayajui wanajua saana ila wameshikwa na mapepo ya wizi na hofu ya Mungu imewatoka hata apewe sasa hivi hamna atalofanya ujikaa na wezi na wewe utakuwa mwizi vile vile Mama anatia Imani masikini kasema wizi mpaka kachoka hakuna hata aliyekamatwa Mama yeye kasema watendaji walitenda kimya mpaka leo
Hawa ndio watu wa kupewa nafasi kwenye kamati kuu ya maendeo Taifa mawazo kama haya ni dhahabu watanzania tumefanywa machinga wa kuuza bidhaa za wazungu faida wanapata wao halafu bado tunakwenda kukopa kwao
Tatizo la Watanzania kama awa ukishawapa tu nafasi nyeti aweze kuifanyia kazi kulingana na uwezo wake mkubwa, baada ya muda tu wanabadilika na kuanza kulamba asali...
Huyu jamaa yupo sahihi kila mtu alipe kodi ni sheria na hata kwa Mungu Yesu aliagiza kaisari apewe na Mungu apewe cha kushauri serikali iweke kodi rafiki isizidi 10/% na kila anaepata kipato alipe na sheria iwe kali ikiwa ni pamoja na kuwafunga watu jela wasiolipa kodi
Siku hizi hatujali juu ya blocks za kuegemea ili kuandaa wataalamu wetu! Huwezi kufanikiwa kiuchumi kama utakumbatia Uswahiba badala ya facts! Watanzani hatutumii tafiti na hasa siku hizi ambazo tunashabikia sanaaa ideological perspective kuliko facts. Ideological perspective ni kama ndoto za Kinjikitile ambaye aliongoza watu wakemee risasi za wajerumani zigeuke maji. Tudhamilie kuikomboa Nchi kiuchumi sio kuhaza fikira watoto wetu kuwa mahouse girls au vibarua Uarabuni.
Dira ya maendeleo bila KATIBA MPYA ILIYO BORA ni viini macho kwa wananchi! Msisahaulishe wananchi ajenda ya katiba mpya kwa makongamano ya kuchukuwa maoni ya dira ya maendeleo huku mnakataa kuleta katiba mpya! Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kwanza ndipo mje na hiyo mipango ya maendeleo! Bila katiba mpya iliyo Bora hakuna maendeleo kwa Taifa, maendeleo yatabaki kwa kikundi cha watu wachache waliyoshika madaraka ya Nchi! Tupatie katiba mpya kwanza msitudanganye na dira ya maendeleo bil katiba nzuri!
Yaani ninavyolifahamu taifa langu, Sidhani km wanaweza kufanyia kazi ushauri wako!!Majukwaa mengi yamefanyika,mawazo mengi mazuri yanatolewa Kwa mifumo mbali mbali Ila yanatekelezwa Kwa uchache sana!!!
Baba coletha umetisha sana kumbe chato inawatu makini sana kurisaidia taifa.
Ahsante kwa jitihada zako japo, Hizi presentation zote zishafanyika nchini japo kwa mtimdo tafauti na huo . Hapa Tanzania kinachotugharimu ni kukosa uadilifu na Ufisadi umekua mkubwa.
Hakika Hakika Hakika Hakika
Punguza wivu Kaka mpongeze tu kafafanua vyema
Yeye anatyeleza ufisadi akili Gani hiyo, akili ya kifala anataka jamaa achangie hoja kuhusu ufisadi??? Ambao kila siku unazungumzwa? Wivu tu na uzwazwa@@edgarrich9895
Huenda hajafanya research, Nani hajui kuwa China inauza kwetu sana kuliko sisi? Labda kununua technolojia ndio itatutoa
Sifa y mgombea ajuwe kusoma na kuandika 😂😂 wasomi wapo mtaan Tanganyika na wa Tanganyika wamelala
Upo vzr Kiongozi but, wenzio wanawaza upigaji tuu😢😢😢😢
Real thinkertank. Yafanyiwe kazi.
Very good point zako baba
Hongera sana, mawazo mazuri. Sema asidharau sana vyuo vyetu vya ndani.
vizuri sana brow asante kwa kufikikilia vizuri
Jamaa anajua, apewe mauwa yake🎉
ishuuuuuuuuuuuuu....uwezo wa wanaopokea hayo maoniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii................
Genius Brother from Shinyanga land❤
Asante kwa uwezo wako katika kuhuisha fikra zilizo kufa na kuleta mtazamo Chanya kwa maendeleo ya taifa letu
Nchi haitaki watu wenye uwezo wa akili inataka watu poa poa na machawa😂
Jamaa anajua sana, vitu alivyosem vyote ndo walivyotumia mataifa yalio endelea, mf japana, China, russia na uwingereza, mpinduz ya viwanda hayaji iviivi lazima tutengeneze mazingira
Huyu jamaaa utafikiri amesoma uchumi, very worth ideas
Hongera Cosmas....nimekuelewa, good idea Kwa maendeleo ya Taifa
Tatizo ni implementation ya hayo mambo mazuri.
Viongozi wetu wanawaza uchaguzi na namna ya kuhakikisha Watanzania wanabaki maskini ili watawaliwe vizuri.That's all!
Yeah ndio hali halisi 😂
Uyu jamaa kwa jinsi nilivomsikiliza ukimpa ata wizara atafanya vzr saana
Ni Rahisi sana kuongea, ila usimsahau Mhongo
@@officialyohanamalisa1873 no matter how it is but the guy anajua kujenga hoja. Wakina muhongo au bashe walikuaga watu ila mfumo umewabadilisha
Asimsahau na polepole au katibu mkuu yule 😂@@officialyohanamalisa1873
Hongera sana, viwanda watu wanadhubutu.mfano vya kombe Kali. Tunaviua wenyewe. Wakina Elon musk wako. Skyline and logistics. Ni kampuni ya tz. Ambayo potential yake taifa letu halijavuna.
Bro.. upo makini.sana hao waliokuzunguka hapo na wengi wa waTanganyika mawazo duni.tatizo kubwa ni chama cha Kijamaa kinachoongoza hawapo tayari kupokea mawazo ya vijana wazee wanangangania madaraka.vijana wapo vijiweni.
Hii ni akili kubwa, hongera sana Kosmas, nimekuelewa.
Nimependa mchango wako Makune,upo vizuri
Ahsante kwa presentation nzuri sana! Mengi ya aliyoyaongea yalishafanyiwa utafiti na tafiti hizo zinaozea kwenye shelves. Tatizo la nchi hii ni hizi zinazoitwa awamu za utawala. Kila awamu inakuja na mipango yao na ku abandon yote ya awamu iliyotangulia. Mfano Mkapa alikuwa na mkakati wa kupunguza umasikini MKUKUTA,, Kikwete akaja na mkakati wa uchimbaji na matumizi ya gesi katika mkakati wa kukuza uchumi na sera ya kilimo. Aliyefuatia kaja na uchumi wa viwanda.. Kwa sasa ni vigumu kujua ni kipi kati ya sera kipa umbele ni kipi? Shida yetu si potential thinkers na planners bali potential implementers! 16:23
Jamaa liko vzr sana.
Jamaaa ana akili kubwa sana sana. Sijui Nchi hii tunafeli wapi?
Mawazo mazuri. Serikali sikivu kazi kwake!
Watu kama hawa niwakuwapa nafasi yakulisaidia taifa letu sema ndovyo mara nape Kawa wazir wa snaa..😂😂😂
Jamaa yangu hongera kwa matamanio yako lakn utakufanayo2 nazaid utafkuzwa kaz
Huyu Afisa Biashara wa Wanging'ombe ni Think Tank....anapaswa kulindwa
Hongera sana brother,hayo pia Mama Samia anayafanya kwa bidii kubwa ndio maana anajitahidi kubadili safu ya kumsaidia kwa ufanisi.
Wewe ndo bwege raisi anaihabu nchi we unapongeza!
Huyu mheshimiwa napendekeza sana ateuliwe kuwa mbunge alafu ateuliwe kuwa waziri wa Elimu😊
SAFI SANA , HAYA NDIYO MAMBO YA MSINGI KWA MANUFAHA YA TAIFA
Jamani kumekuwa hali ya kuwachukia watu wanaoonekana extraordinary na kuwatendea vibaya.Tukikosa watu kama Hawa lazima tutakuja kutawaliwa.
"Anaweza akaja Farao asimjue Yusuf",,,nimecheka sanaaa😂😂😂😂😂
Huyu jamaa yupo vzr sana
Cosmas is a brain we need this person
Mawazo chanja sana haya.Je, tuna masikio na nia ya kuyatekeleza?
Yes of course yes
Huyu jamaa mmmhh😢 ni moto kwelikweli,,Mr makune namkubali
Hongera sana ndugu
Huyu jamaa anazungumza vitu vikubwa na watu wenemapokeo madogo akiwemo na huyo mwenekiti
Umenichekesha Sana eti huyo mwenyekiti 😂😂😂
Huyu ndungu ana mambo mengi mazuri ambayo nahisi hata hapo haikua sehemu sahihi ya madini yake nikama anahitaji sehemu nzuri zaidi ambapo kuna wasomi na wenye mamlaka na maamuzi ya nchi ili hizo nondo zisipotee bure.
Atafutwe na chombo kama SnS amwage madini wakubwa wayapate juu kwa juu #SnS au Clouds Tv #Good morning
Hi sio sehem sahihi aisee
Hii nchi ina Kila kitu sijui tunakwama wapi jamani
Du, professor ha comment kwenye presentation ya mwanafunzi wa "Yale University" kwa sababu ana pelea mno!!!😂😂
Mpango mzuri Sana 2025_2050, watanzania tuelimike tuache polojo. Twende Kwa vitendo Mama Samia Hoyee,
😂😂😂
Good good!
Hii ikifuatiliwa na kuboreshwa tutafika mbali sanaa
Viongoziii tayaliii wanàweza wasimwelewe huyuuu mwamba
Kuna watu wanaweza kuisaidia hii nchi lakini hawaonekani. Huyu jamaa atazamwe ana kitu kwa maslahi ya nchi
Powerful
Kichwa chake kiko smart.
Genius👁️
Ttzo wahusika wanayafumbia macho mambo ya msingi hawaoni wala hawasikii,
Msukuma akielimishwa umelielimisha taifa
Full pack!!!
Genius 😂
Huyu ndio genius sasa
Aisee wanging'ombe wamepata afisa biashara kwa kweli daaaaaaaah....
Hiviii kaka Costco huko Njombe unafanya nini? Unatakiwa uwe wizarani una tunga sera au vyuoni una toa shule. NONDO NZITO SANA HIZI
Maoni mazuri sana aisee
Positive ideas to a system which does not need them. These ideas have been presented a many times in the past but the system which was to utilise for economic growth so that the country could have made developments fell in the deaf ears, thus the best brains this country has end up unutilised.
Kwani uyo ni nani?simfaamu ata jina
Maoni mazuri,maoni yangu mambo 2, nimetafautiana na wewe, swala la viwanda, vigezo na mashariti ya kukuza viwanda mfano umeme, rasilimali watu, sheria gandamizi kuhusu viwanda, hazikupi kufanya kazi kwa huru
Rudia kumsikiliza utagundua hujamelewa, katoa elimu yenye madini tupu, na hoja yako inatiba ndani ya maoni yake, Sema anapaswa kupewa Platform ya kusikika zaidi na zaidi.
Pinga hoja Toa maoni Yako SEMA nini kifanyike..acha ungese mamaae zako
Huyu makune je ni mtoto wa marehemu makune mbunge wa zamani wa shinyanga mjini? 9:31 naomba jibu wapendwa
Nimevutwa sana na hoja yake kuhusu kuwekeza kwenye viwanda badala ya kuwa wachuuzi wa bidhaa za wachina lakini hofu yangu ni kwamba hatuna mkakati madhubuti wa kuwaandaa vijana ili wasiwe kikwazo kwa wenye maono na mitaji.
Kukosekana kwa uaminifu kunakochangiwa na tamaa ya utajiri wa haraka usiotokana na jasho lao kumekuwa ni kisababishi kikubwa cha viwanda na biashara nyingi kufa.
Jambo lililo dhahiri ni kwamba ufisadi unaosikika miongoni mwa wenye dhamana ya kuhakikisha tunagawana keki ya taifa kwa usawa ni kichocheo
kikubwa cha tabia hii mbaya miongoni mwa vijana wa kitanzania.
Mzee ameongea ila amesahau kuanzisha kiwanda tanzania nishuhuli.serekali imeweka utitiri wa kodi na mlolongo wa vibali
Mbona kama mchangiaji kamzidi sana uwezo mwenyekiti wa kikao
Mama samia hear this man
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa alifaa kuwa mshauri wa Rais katika masuala ya Biashara na uwekezaji coz anavitu ambavyo kikifanyiwa implementation kinaweza kusogeza taifa kutoka point moja kwenda nyingine. Ila kutokana na mifumo yetu ilivyo hakuna mtu atamconsider wala kuona logic yyt kwa kile alichokizungumza, ila kama angekuwa anazungumza mambo ya uchawa mapema sana angekuwa amepewa platform mpk kwa decision makers.
Huyu jamaa ana maono na ushauri mzuri sana kuhusu nchi. Apewe nafasi kubwa katika nchi anaweza akaleta mabadiliko makubwa kwa mawazo iliyonayo kama ana commitment nzuri. Ni mtu muhimu.
Kama na yeye hajawa mwizi kama wezi wengine kwani hayo anayoshauri unafikiri hawayajui wanajua saana ila wameshikwa na mapepo ya wizi na hofu ya Mungu imewatoka hata apewe sasa hivi hamna atalofanya ujikaa na wezi na wewe utakuwa mwizi vile vile Mama anatia Imani masikini kasema wizi mpaka kachoka hakuna hata aliyekamatwa Mama yeye kasema watendaji walitenda kimya mpaka leo
Asilimia kubwa ya masukuma yaliyo soma ni magenius
Smart
Nakuunga mkono iwe hivi kwa copper pia. Badala ya kuwapa nguvu wawekezaji wa nje na kutudharau wa ndani.
Huyu jamaa achukuliwe alisaidie Taifa kwenye huu mpango
Ndiyo kalisaidia kwa kuwekwa afisa biashara wa wilaya
Ni hoja ya msingi sana
Tungekuwa na Raisi mwenye akili ya jinzi hi tungefika mbali,lakini hatunabahati mbaya tunatawaliwa viongozi ambaboa wanawaza kuwanyonya wananchi!!!!!
Hawa ndio watu wa kupewa nafasi kwenye kamati kuu ya maendeo Taifa mawazo kama haya ni dhahabu watanzania tumefanywa machinga wa kuuza bidhaa za wazungu faida wanapata wao halafu bado tunakwenda kukopa kwao
Huyu jamaaa, kama watakuelewa
Tatizo la Watanzania kama awa ukishawapa tu nafasi nyeti aweze kuifanyia kazi kulingana na uwezo wake mkubwa, baada ya muda tu wanabadilika na kuanza kulamba asali...
Kumbe watu wenye upeo na mayo wa uzalendo bado wapo shida ni kuwa ona na kuwa tumia
Mamake 3mil Vs 200mil
Imekuwa ni kawaida walioko kwenye nyasifa huwa hawachangii lakini huyu bwana amesema ukweli. Kuna kitu nimejifunza kitu kikubwa.
Maneno maneno tuuuuuu
Huyu na kitilya ingefaa washike madaraka makubwa.
Huyu jamaa angepewa kitengo sasa shida ofisin wamewekwa machawa tu hawana akili hata Moja wanawaza kupiga tu.
Huyu mshua kaongea ukweli njombe iko nyuma Sana shida ya makabila4 na umimi
Amen
Huyu bro ni afisa biashara wanging'ombe yuko vzr
KATIBA MPYA KATIBA MPYA KATIBA MPYA KATIBA MPYA Habari za Dira zitatuondoa kwenye Agenda ya KATIBA MPYA NI SASA
Naomba namba ya uyu jamaa
Ili umfanyeje.....
Hahahaa eti tumia lugha nyepesi.
Kaka kweli una nondo ila hapo inaonekana hao raia hawakuelewi
Kweli kabisa Mkuu, tufanye zoezi la ku-like na ku-share hii Clip ili iende na kuwafikia watu wengi!!!
tumemuelewa sisi watazamaji kumbuka sisi ni wengi kuliko hao...
Aiseee jamaa nibkichwaa
Huyu ni msomi ila anaweza zaidi siasa kuliko kuanzisha kampuni.
Huyu jamaa yupo sahihi kila mtu alipe kodi ni sheria na hata kwa Mungu Yesu aliagiza kaisari apewe na Mungu apewe cha kushauri serikali iweke kodi rafiki isizidi 10/% na kila anaepata kipato alipe na sheria iwe kali ikiwa ni pamoja na kuwafunga watu jela wasiolipa kodi
Wakuu wa nchi huyu jamaa bado yupo njombe mpaka sahizi
Siku hizi hatujali juu ya blocks za kuegemea ili kuandaa wataalamu wetu! Huwezi kufanikiwa kiuchumi kama utakumbatia Uswahiba badala ya facts! Watanzani hatutumii tafiti na hasa siku hizi ambazo tunashabikia sanaaa ideological perspective kuliko facts. Ideological perspective ni kama ndoto za Kinjikitile ambaye aliongoza watu wakemee risasi za wajerumani zigeuke maji. Tudhamilie kuikomboa Nchi kiuchumi sio kuhaza fikira watoto wetu kuwa mahouse girls au vibarua Uarabuni.
Kumbe bado tunahazina ya wasomi na wenye uelewa mzuri kama huyu ndugu jamani tuwatumie wawezekulinogesha Taifa letu pendwa.
Dira ya maendeleo bila KATIBA MPYA ILIYO BORA ni viini macho kwa wananchi! Msisahaulishe wananchi ajenda ya katiba mpya kwa makongamano ya kuchukuwa maoni ya dira ya maendeleo huku mnakataa kuleta katiba mpya! Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kwanza ndipo mje na hiyo mipango ya maendeleo! Bila katiba mpya iliyo Bora hakuna maendeleo kwa Taifa, maendeleo yatabaki kwa kikundi cha watu wachache waliyoshika madaraka ya Nchi! Tupatie katiba mpya kwanza msitudanganye na dira ya maendeleo bil katiba nzuri!
😢serikali ya kijani itatuma maoni makali kama hiiii
Majitu ya bara yanakuaga na akili nyingi sana ila hawa wanaotokea pwani haaaaa