HOTUBA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KWENYE UZINDUZI WA UKUTA WA MIRERANI.06 APRILI 2018

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • HOTUBA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KWENYE UZINDUZI WA UKUTA WA MIRERANI.06 APRILI 2018

КОМЕНТАРІ • 33

  • @jikomboetv5542
    @jikomboetv5542 6 років тому +2

    Asante Rais Wangu always I pray for you Mungu akuepusha na kila hila za maadui.

  • @t1910j
    @t1910j 6 років тому +2

    Hotuba nzuri. Mwenye sikio asikie. Laiti kama watu wangeona dhamira njema ya rais Magufuli.

  • @nyanda427
    @nyanda427 6 років тому +2

    Mungu akubariki sana Mr. President John Pombe Magufuli

  • @philipojosephlukumay3965
    @philipojosephlukumay3965 6 років тому +2

    Zamani nilikua sitaki hata kuisikia serikali wala siasa kwa sababu ya uozo uliokuwepo serikalini na kazi nilikataa serikalini kwa sababu hizo hizo lkn kwa kazi hizi za mheshimiwa rais Magufuli kila siku nafuatilia kinachoendelea katika nchi yangu na nasikia raha sana kuona mambo yanakwenda.
    Mungu ibariki Tanzania.

  • @amanichanga3448
    @amanichanga3448 6 років тому +2

    Yes, keep going Tanzania

  • @philipojosephlukumay3965
    @philipojosephlukumay3965 6 років тому +2

    I admire Tanzanite auction, it will create a competitive environment.

  • @philipojosephlukumay3965
    @philipojosephlukumay3965 6 років тому +2

    Nampongeza sana Rais wangu, anatufanya tuipende nchi yetu. Ni kweli kabisa vibeberu huku ughaibuni havipendi kabisa kusikia yanayoendelea Tanzania na baadhi ya majirani zetu pia waliokua wananufaika. Vita vya kiuchumi ni vigumu sana hasa vikipiganwa na viongozi wenyewe bila kuwajulisha na wananchi maana silaha watakayotumia vibeberu ni kama kawaida yao wataingia kwa mlango wa demokrasia hasa vyama pinzani na kwasababu wananchi hawajui watafwata mkumbo na kusaidia wezi kuivuruga nchi.
    Nipo ughaibuni lakini natembea kifua mbele kweli kweli.

  • @evraburetta7759
    @evraburetta7759 6 років тому +2

    Good jpm long live Mr President

  • @prochesilyakurwa815
    @prochesilyakurwa815 6 років тому +2

    Najiskia mwenye furaha kuwa Tanzania.........ulisema watu watalima na meno..... Nakubali wazembe wanaanza kulima na meno yaan

  • @wcbwanatishakiranikirudiab2349
    @wcbwanatishakiranikirudiab2349 6 років тому +2

    Huyu ndie mteure wetu wa mwenyez MUNGU kwetu sisi watanzania ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoza kumsimami kumrinda na enderea kuimarisha afya yake raisi wetu na majeshi yetu mwenyez MUNGU yupo pamoja na raisi wetu mwenyez MUMGU mkuu

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 років тому +1

    JUMANNE MUUJIZA HUO BABA MAGUFURI ULIFICHAMA WAPI JAMANI TZN TUNGEKUWA MBALI SANA

  • @wasafifanstv6317
    @wasafifanstv6317 6 років тому +2

    This is very touching

  • @DRISMAIL_DENTAL_SURGEON
    @DRISMAIL_DENTAL_SURGEON 6 років тому

    ee mungu mulinde Rais wetu huyu ndiye chaguo letu Raisi Wa Wa nyonge
    Rais magufuli kaza hapo hapo wewe umeletwa na mungu kuikomboa Tanzania
    watanzania wengi tumekuelewa usikatishwe tamaa na majungu ya wezi Hawa
    You are the best president I have ever seen nakuomba Rais usirudi nyuma ili na sisi tujivunie na Tanzania yetu

  • @DRISMAIL_DENTAL_SURGEON
    @DRISMAIL_DENTAL_SURGEON 6 років тому

    president magufuli keep it up never give up use challenges as an oppotunity we trust in you with all our faith
    hatunamashaka na wewe we
    know that no sweets without sweat.

  • @eliasilaizar9787
    @eliasilaizar9787 Рік тому

    Kweli kabisa mzee ulipiga kazi

  • @tumainimalulu7708
    @tumainimalulu7708 Рік тому

    Lengo limetimia mzee sasa hivi umeme kutoka Egypt unapita hapa kwenda South Africa

  • @DRISMAIL_DENTAL_SURGEON
    @DRISMAIL_DENTAL_SURGEON 6 років тому

    umenifanya niendelee kubaki Tanzania
    wito wangu kwa watanzania naomba tusidanywe na maneno ya upotoshaji Rais magufuli ni mzalendo na tusipo mupa ushirikiano tutamkumbuka sana
    kila MTU akeshe akiomba tuweze kukombolewa
    maana tumeibiwa na kunyanyaswa vya kutosha!.

  • @fbr5113
    @fbr5113 6 років тому

    MUNGU MBARIKI RAISI WETU NA IBARIKI TANZANIA. WACHAWI WA NCHI WOOOOTE MUNGU ATAWAPA DAWA YAO.

  • @DRISMAIL_DENTAL_SURGEON
    @DRISMAIL_DENTAL_SURGEON 6 років тому

    mwaka 1929-1930 kiongozi Wa USSR /Soviet unioni(muungano Wa URUSI) Comrade Joseph Stalin alitangaza vita uchumi na akatangaza kuwa Anataka kubadili USSR from peasant economy to industriezed economy na akasema ndani ya miaka kumi nataka URUSI iwe inaweza kutengeneza nuclear na kuwa super power Wa dunia .Watu wengi wakiwemo viongozi Wa serikari pamoja viongozi mbali mbali Wa dini walimpinga vikali na hata wakawa wanafanya mipango ya kumpindua, lakini Stalin hakubadili msimamo wake
    Na kweli ndoto yake ikatimia baada ya miaka kumi kama alivyokuwa amepanga mwaka 1940 USSR (muungano Wa URUSI) ikwa industriezed country and world superpower.
    SASA naomba tumuamini anachokisema Raisi wetu magufuli kinawezekana kabisa tena kwa 100%
    sisi kuwa na uchumi Wa kati na viwanda inawezekana tusidanganywe na watu wenye hila na wabinafsi!

  • @seifhabibu9890
    @seifhabibu9890 6 років тому +1

    chapa kazi baba

  • @paschalmichael3340
    @paschalmichael3340 4 роки тому

    Laizer Tena

  • @wilhadarobogastshirima9149
    @wilhadarobogastshirima9149 6 років тому +1

    Jpm

  • @fbr5113
    @fbr5113 6 років тому

    HADI TUNATOKA MACHOZI UNAVYYOTUPA RAHA WATANZANIA. MUNGU AKUPE UHAI MIAKA KIBAO NA UENDELEE KUTULETEA MAENDELEO. KWELI KABISA MAJESHI YETU NDIO YALINDE RASILIMALI ZETU KILA MAHALI

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 років тому

    MJEDA
    MJEDA
    MJEDA
    MJEDA
    MJEDA WANGU MIYE

  • @DRISMAIL_DENTAL_SURGEON
    @DRISMAIL_DENTAL_SURGEON 6 років тому

    president magufuli keep it up never give up use challenges as an oppotunity we trust in you with all our faith
    hatunamashaka na wewe we
    know that no sweets without sweat.