LIVE: MAGUFULI AKIZINDUA SOKO KUU LA MANISPAA YA MOROGORO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 3 роки тому +4

    Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU nazidi kukuomba enderea kumuongoza kumsimamia kumrinda na kuzidi kuimalisha afya yake raisi wangu na wasaidizi wake wote ewe mwenyezi MUNGU mkuu

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 3 роки тому +1

    Hongera sana rais na mung hakubariki sna na mbunge abuud hongereni

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 3 роки тому +2

    Asante sana mwenyezi MUNGU mkuu

  • @katorojumanne956
    @katorojumanne956 3 роки тому +2

    hapa kazi tuu

  • @jumasaid8777
    @jumasaid8777 3 роки тому +2

    Hongera mheshimiwa rais

  • @barrackkibuyo9951
    @barrackkibuyo9951 3 роки тому +3

    Magu hoyee

  • @peniairdesainer2697
    @peniairdesainer2697 3 роки тому +1

    Vitu va msingi sana saluti kwenu

  • @jafaryally2037
    @jafaryally2037 2 роки тому

    Ni mwaka mmoja sasa tangu NDUGU YETU MPENDWA WETU MZALENDO WETU MCHAPA KAZI NA ALIYEMTANGULIZA MUNGU KWA KILA JAMBO kututoka tulikupenda sana ila mungu alikupenda zaidi. Tunakukumbuka kwa uzalendo wako.pumzika kwa AMANI JPM. FILDAUSI IWE MAKAZI YAKO. Aaaamin

  • @gobelejazunzu8399
    @gobelejazunzu8399 3 роки тому

    Hatutakusahau daima baba jpm

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 2 роки тому

    Inasikitisha sana kwa kweli, magufuli amefungua soko la morogoro akaenda dar nakufa? Mbona alikuwa mzima wa afya jamani hivi kitu gani kimemkumba?

  • @peterkaulule4676
    @peterkaulule4676 Рік тому

    Tutakukumbuka mh rais maguvur watanzania tuyaishi yarais

  • @josephurupia4653
    @josephurupia4653 3 роки тому +1

    Kamanda mroto nae amefata nn huko😏🤔

  • @salumrajabu8111
    @salumrajabu8111 3 роки тому

    Kwann watu wanstumia lakini kila baada ya neno moja

  • @emanuelsamson-hq2jv
    @emanuelsamson-hq2jv Рік тому

    Ulikua mamba kwer 😭😭😭😭😭

  • @safhe-mpungi6075
    @safhe-mpungi6075 3 роки тому

    JPM ana maono makubwa sana katika nchi yetu lakini viongozi wetu wanaomsaidia wanamuangusha. Wakuu wa mikoa, wilaya, madiwani nk.
    JPM hawezi akafanya kila kitu yeye ndio maana amewachagua mumsaidie. Kila anapokagua miradi lazima kuwe na shida mfano rushwa nk.

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 роки тому

      yaani acha tuu mpaka inamkera baba wa watu dah!

    • @mhojamsafiri2273
      @mhojamsafiri2273 3 роки тому

      Yan unamuona anaongea kwa hisia kabisa akiwa amekasilishwa mambo ya hovyo jamani mungu amuongoze

  • @maprosowdsondson1842
    @maprosowdsondson1842 3 роки тому

    Rest in paradise

  • @chankimsela8157
    @chankimsela8157 3 роки тому

    Kbx

  • @revocatusedward5739
    @revocatusedward5739 3 роки тому +1

    AIKA NA WENZIO UGALI UTAENDA KAMA UTANI 😆😆😆

    • @sophiaharuna3926
      @sophiaharuna3926 3 роки тому

      Mungu akusimamie Mh. Rais kwa yote ktk uwongozi wako.kutujuwa ssx. Wanyonge. Tulipata Shida sana kwa wale waliopata madaraka. Wanawanyanyasa sana. Endelea kuchunguza utaona mengi yamejificha.

    • @mhojamsafiri2273
      @mhojamsafiri2273 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣