KESHO - By Bernard Mukasa (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 26 сер 2023
- Shule ya Sekondari ya wasichana ya Collegine inamilikiwa na masista wa Familia Takatifu wa Collegine.Shule hii inapatikana Mkoani Njombe.Ni shule iliyojikita katika falsafa ya Elimu na malezi bora.Shule hii inapokea wanafunzi wote bila kujali itikadi zao za kidini.Malezi ya wanafunzi katika shule hii yanazingatia misingi na maadili ya Kikristo pasipo kuathiri dini nyingine.
Kwa elimu bora,malezi bora na stadi za maisha, Karibuni katika Shule ya Sekondari ya wasichana ya Collegine.
Kwa mawasiliano yoyote juu ya Shule yetu wasiliana na:
Mkurugenzi: 0762 761 576
Mkuu wa shule: 0762 896 146
M/Mkuu: 0762 238 057 - Наука та технологія
Mimi sasa rasmi ni teja wa wimbo huu, siku ikipita sjaskiliza cwez lala...mmeniweza watani zangu, ujaja wote kwisha, inawezekana Mungu anasema nami kupitia tungo hii, asanteni jamani.
Asante sana
Mukasa endeleza kile Mungu amekupa
Hatari sana,, hongereni Collegine kutuletea ujumbe huu,, ambao kwa mara ya kwanza niliusikia Kwaya ya Kizito Makubiri wakiumba kwenye tamasha flani.
Hongereni sana kazi ya moto 🔥🔥🔥🔥🔥
Nawapenda mabinti wa Yesu, mbarikiwe na Mungu abariki masomo yenu
Amina
Congratulations bwana mukasa
Kazi nzuri saana
❤❤❤ exquisite
Wimbo unaobeba ujumbe mziito kwa vijana. Andaeni historia yenu ya kesho wakati wa ujana wenu, msije kuhukumiwa uzeeni. Muungu awaangazie Nuru ya Uso wake mtumie vipaji na karama zenu vizuri katika ujana wenu!
Collegine never dissapoint
Mungu akutangulie mtunzi hakika ni nyimbo yenye baraka
Amina
Niliisubiri saaaaaaaanaaaaaa na hatimaye waoooo
Hongeren San collegine girls organist mashibe uko vizur kukichezea kinanda
Hakika hili nalo ni kesho.mbarikiwe wash zng
Asante sana
Kazi nzuri sana hongera sana kaka MUKASA na waimbaji mmemtendea haki mtunzi Kwa kuimba vzr na kucheza hongereni sana ❤❤❤❤❤❤.
Asante sana
Utukufu naukuu unayeye muumb mbingu naichi
Amina
Kristu,hongera sana kazi nzuri sana
Tumaini letu, asante sana
Baada ya miaka mingi nimeipata, asantee.... Ila mmeipooza
Kazi nzuri ya akili, nguvu, na mikono Yako iendelee kubarikiwa sana Mr B Mukasa
Unainua vipaji na miito pia bravoo
Asante
Safi sana
Mukasa's may God bless you for good work well done. May God's protection be upon you always. Spreading the Gospel all times.
Barikiwa sana mtumishi
Imenigusa barikiwa sana mtumidhi
Nzuri❤
Asante sana
Ameen Jamanii🎉🎉
Hongeren Sana kwa kazi nzuri .. Mungu awabariki
Asante sana
Mungu awabalik san kwa ujumbee❤
Amina Asante sana
Asante Sana.
Karibu
Mungu awabariki sana kwa uimbaji mzuri hongera kwa mwl bernard mukasa kwa wimbo mzuri hongera kwa mwl mashibe kwa uchezaji imara wa kinanda
Asante sana
Hogera 5:39
Great melodious voices ❤....among the best songs...I love it 🥳
Hongereni sana mungu awabariki zaidi na zaidi vp mnapokea kuanzia kidato cha kwanza.?
Asante sana, ndio tunapokea
Wimbo mzuri sanaaaa
Asante sana
Asante kwa utume huu. I have searched for this songs countlessly.
Hongera sana. Injili isonge mbele. Nice song. 🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri,Mungu awabariki na kuwalinda daima
Good work
Thank you
Hongereni ,mbarikiwe mno
Hii shule naipenda sana aisee
Asante sana
Good
Kazi kwamutuzi umetisha 3:56
Watoto wameimba
Wimbo mzuri
Asante sana
❤🎉wimbo mzuri jamaan
Kweliii axce
❤❤
thank you
Kazi nzuri sana hongereni mungu awabariki.
🇰🇪❤❤
Hongera sana
Asante sana
Safi sana