Hao wenye kuimba wimbo huu kwaza wanapaswa kuomba msamaha kwa Allah, pili wastaghafiru Allah kwamakosa waliofanya, pia Waache upuuzi huo ili wapate Radhi za Allah
Shekhe inaonekana wewe sio wahabi kwani ungekuwa wahabi hao vijana ungesema kuwa ni Masufi maana Mawahabi kila anaepiga dufu humuita Sufi wanajifanya kama hawajui kuwa hao wengine huwa sio Masufi
Allah akurehemu sheikh said na akutilie nour kaburi lako hakika kidoti itakukumbuka na athari zako zitabaki milele.
Mungu akulipe kwa subra na tunamuomba Allah akutie peponi na cc atupe mwisho mwema... Inshaallah
Amiin
Subhana Allah 😮😮😮😢😢😢 Hawa vijana Wana laana sio Bure. Allah akuhifadh sheikh Saidi Nyange
Ameena inshaallah
allah akupe kauli thabiti babangu kipenzi akika tulikupenda lakini allah amekupenda zaidi
Umepambana sana sheikh Alla akulipe pepo
Amiina
Innalillah wainailah rajiun allahuma bilkaul thabit
Innaa lillahi wainnaa ilayhi raajiun 🥺 Hao wakataji viuno km Kweli ni waelewa watazidi kuelewa wamememuita shekhe wetu majani lkn majani wamezikwa Makkah Saudi Arabia sijui Wao vigogo khatma Yao itakua ipi... Jamani pumzi zisituhadae...
Allah atakulipia sheikh.....hakika watu wema ni wenye kufanikiwa siku zote.... Nafikiria kama baba angu angefanyiwa haya....... Wallah inauma
Hao wenye kuimba wimbo huu kwaza wanapaswa kuomba msamaha kwa Allah, pili wastaghafiru Allah kwamakosa waliofanya, pia Waache upuuzi huo ili wapate Radhi za Allah
Hao vijana ni kama watoto ww bilisi tu wenye kukataa kheir na kujihalalishia kufru zao
Allah atuongoe sisi na wao
Amiin
Allah amrehemu
Amiin
Subhanallah
Amiin
Yarhamuka L-lahu ya shaykh
Laanatullah watakukumbuka
Huyu sheikh ana hekma sana inna lillahi kazikwa ardhi ya mtume mashaallah
Inna lillahi maana yake nini
@@aliabdalla9297 "hakika sisi ni wa mungu "
Vijana acheni jeuri nyinji ni waislaam mujuwe kufa ipo na moto upo
Sasa ukiwauliza hio ndio dini
Hawana Adabu madufu haraaam wanamtukana sheikh
إنا لله و إنا إليه راجعون
Duu mbona mtihani huu hawa vijana wanatafut matatizo TU kumtukana sheikh
Hayo ni mazao ya vyuo vya uzushi na bidaa na kuamini kwako kua ngoma ni halali
Unaingea utumbo kwanye moto unatia petrol. Itakii llah
Heh!Ivo unawaunga mkono hao vijana.Allwah atuongoze kwa kweli tuseme ya kweli.
Shekhe inaonekana wewe sio wahabi kwani ungekuwa wahabi hao vijana ungesema kuwa ni Masufi maana Mawahabi kila anaepiga dufu humuita Sufi wanajifanya kama hawajui kuwa hao wengine huwa sio Masufi
KIDOTI WACHAWI WATUPU HADI HII LEO👁️👁️👀