SHEIKH SAID BIN NYANGE MADA MAVAZI YA KANZU FUPI KWA WANAUME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 чер 2023

КОМЕНТАРІ • 36

  • @user-fz9ir4nj1y
    @user-fz9ir4nj1y 3 дні тому

    Aamin

  • @user-ry2kn4fp7l
    @user-ry2kn4fp7l 15 днів тому

    اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في جنة الفردوس
    اللهم اجعل قبره روضا من رياض الجنة برحمتك.
    آمين

  • @al-hidayahonlinetv3447
    @al-hidayahonlinetv3447 6 місяців тому +1

    masha allah sheikh mngeweka mawasiliano ktk acount yenu ingependeza kwajili ya maoni ushauri n.k jazakallahu khaira

  • @zaidumohd3125
    @zaidumohd3125 16 днів тому

    Allah akulaze mahali pema peponi amin

  • @jumasalim7229
    @jumasalim7229 17 днів тому

    Allah akuhifadh sheikh

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 16 днів тому +1

    Alkah Ampe kauli thabit Amesha fariki jana ndani ya nchi ya saudia mji wa makkah

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 15 днів тому +1

    هذا من أهل البدع

  • @sharifuburuhani1969
    @sharifuburuhani1969 11 місяців тому

    Sheikh maashaallah nimekuelewa

  • @GreysonMdee-wm8tn
    @GreysonMdee-wm8tn 15 днів тому

    Inalillah Waina ilayh rajuun

  • @mwanaherimatata8571
    @mwanaherimatata8571 9 днів тому

    Huyu shekh Ana imani na yawezekana ni wa jannatul firdauth
    Ana hekima anajishusha mstarabu n moja ya dalili ya uchamungu

  • @reallyman9836
    @reallyman9836 17 днів тому +1

    Innaalilaah wainnaa ilayhi raajiuun
    Sheikh Amefariki huko Saudia Arabia baada ya ibada ya Hijja na amezikwa huko huko Saudia Arabi.
    Allah amghufirie na amhifadhi

  • @user-vq6zx7oj9j
    @user-vq6zx7oj9j 17 днів тому

    Inna lillahi wa inna ilahi raniun

  • @MuhammedFoum-kr5kc
    @MuhammedFoum-kr5kc 19 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 11 місяців тому +1

    Nasaha ukiziona wazani kweli dini lkn kwa nafsi zimetawaliwa na kuichukia Sunnah

  • @mohamedamiri4597
    @mohamedamiri4597 11 місяців тому +5

    Huyu shekhe anajibu maswali kitaalamu sana mpaka uwe makini katika kupokea majibu yake Allah amuhifadhi huyu Sheikh

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 15 днів тому +2

      Allah amrehemu, sheikh tayari ameshafariki Makka ktk hijja ya mwaka huu 2024 na amezikwa huko huko. 😢😢

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 12 днів тому

      Allah amsamehe na amrehemu

  • @mornasaidtindwa3622
    @mornasaidtindwa3622 16 днів тому

    Innalilah wainnailah rajuun

  • @mohamedamiri4597
    @mohamedamiri4597 11 місяців тому

    Allah akuzidishie hikima

  • @raskingo1495
    @raskingo1495 13 днів тому

    Inna lillah wainna irahi rajiuna Allah Akupe Pepo ya juu Sheikh na sisi Tuliobaki Atupe mwisho mwema

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 11 місяців тому +1

    BWANA NYANGE DINI HAICHULIWI KWA WATU WA MAKKA WALA MADINA!
    DINI INACHUKULIWA KUTOKA KWA KITABU (QUR"AN)NA SUNNAH(MWENENDO WA MTUME)SASA HUKO KOTE UNAKOZUNGUKA HUPATI JIBU!!

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 11 місяців тому +2

    Sasa maalim kwani unaposema kanzu fupi unamaanisha haifai ama ni vp,maana muhim ni kua umestirika uchi wake na hajafanya isbari,kwani kuvaa pensi ni dhambi ama ni vp,ilimradi mtu amestiri uchi wake tu

    • @MuhamadHatib-bc1kb
      @MuhamadHatib-bc1kb 11 місяців тому +1

      Allah ambarik shkh wetu anaelimisha kihekima zaid

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 11 місяців тому

    Mashehe walolelewa

  • @SalimuMaganji-ts1fn
    @SalimuMaganji-ts1fn 14 днів тому

    Hayo mambo ya kuita watu wanawake sio kweli kua watu waitwa hivyo au kukatiwa suruali ndefu au kanzu na mkasi sii kweli bali huo ulikua uongo ulozushwa na ilunga kua aliswali msikiti mmoja kule arusha akaambiwa arud nyuma kwakua ni mwanamke eti kisa anaburuza suruali hapo alidanganya umma kwan hajafanyiwa hivyo

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 13 днів тому

      Ni mifano tu sio lazima iwe imefanyika

    • @SalimuMaganji-ts1fn
      @SalimuMaganji-ts1fn 13 днів тому

      @@khamisrubea5083 mimi niliandka hayo kwa sababu shekh Ilunga marehemu ashaawahi kudai aliitwa mwanamke akiwa msikiti mmoja kule arusha baada ya kuuliza kwa kiongozi wa ule msikiti akasema hata yeye alishangaa hayo maneno ya uongo ya ilunga na akasema wakati ilunga alipofika hapo alikaribishwa tu vizuri na aliruhusiwa kuzungumza mimbari lakini alivyotoka akawazushia huo uongo

  • @user-ql2om7qj3v
    @user-ql2om7qj3v 11 місяців тому +3

    Kama.umesafiri ukaona mingi.wambiye kuwa makkah na madina hakuna bidaa. Basi fanya ujuwe wewe mzushi jirekebishe basi.

  • @user-ql2om7qj3v
    @user-ql2om7qj3v 7 днів тому

    Sasa wewe mtu wa bidaaa angalia mbona husemi ulipofika kule kila mtu ameweka ndevu.wewe umenyowa kama mwanamke

  • @salafnungwi5723
    @salafnungwi5723 11 місяців тому +1

    Sijajuwa huy mwalim kasimamia kauli gani kwenye sunnah ya uvaaji nguo.
    Jee sunnah kupunguza ama kuachilia?
    Na aliyeachilia hadi kufika chini ana hukumu gani?
    Jee hukumu ya aliyeachilia had kufika chini itawiyana sawa na yule ambaye amekifanya kikaz chake mpk kikawa kifupi sn?

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko 15 днів тому

    Mbona amna kitu apo,naona kama stori tu,ila allah amrahamu

  • @user-xu9nn3pe4k
    @user-xu9nn3pe4k 9 днів тому

    huyu hapana shaka kua n mtu wa bidaa sjui wana mambo ya vp kuichukua sunna wanaona kama n jambo la watu fulan

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 13 днів тому

    Tumeondokewa huyu jamaa ndo kwanza nlikua naanza kumfatilia ana hekma ya hali ya juu ktk kufundisha na unatakiwa uwe makini sana ili umuelewe