Mfanya biashara tena sio biashara za riba na udanganyifu na zautapeli kama kwetu tz. Hapa kwetu kila mtu anataka onekane anazo tu hajali zaharamu wala halali alafu anapanda ndege eti anaenda kuhiji. Hapo mtu akaenda kuhiji au kaenda kula sikukuu Makkah?
Sawa Allah awajalie Kila la kheri wote walienda kufanya Ibada ya Hajj. Lakini kuhusu kaburi la bibi Khadija na kaburi la Fatima ni uwongo tena uwongo sana siwezi kuwalaumu ndugu zangu kwa sababu sio makosa yenu nyinyi ni wageni tu lakini ni uwongo tena uwongo Wala hakuna mtu yoyote ajuae kaburi la mtume ( s a w ) liko wapi Allah atawasanehe lakini ni uwongo
Unatakiwa ufkrie na uitume akili yako kabla hujakoment mana hii kwasababu historia ya Zamani ndio maana huamini lkn nakwambia tena itume akili vizuuri naamini uko vizuri kwa ilo
Amiin 🤲🤲🤲ewe mama yetu kipenzi chetu chema mama khadija utupe mwisho mwema na sisi tuje kuiona pepo ya fridhause
Mola aturuzuku baraka Zeke mama yetu khadija na atukalie kesho atuunganishe wote peponi inshaallah.
AMIIN 🤲 THUUMA AMIIN
Ameen Yarabb 🙏
Ameen yarraby
Ameen 🙏
Ameen yarabb
NAWAOMBEA JAMII YA WAISLAM ALLAH AWAJALIE WAENDE HAJJ KAMA ALIVYOTUJALIA SISI...
ALLAHUMA AMIN YARAB
Alhamdullillah. Ammin yaa Rabbilghalamiyn.
Ameen yarabb
Ami
Mashaallaah watabarakaallah
Ma Shaa llah tabbaraka llah
Ya alha utukutanishe ishaalhaa pamoja na sayidat khadija.ishaalha.
Innalillah wainna ilayh rajiuun
Mashallah nami Allah anijalie nifike huko
Mashallah, uyu shekhe anaelezea vizur sana.
Masha allah
Naminamuomba allah anijaalie uwezo nam nifikehuko
Assalamu alykumu wa rahmatullahi wa barakatuhu nasisi tunawapa salamu zetu allah awezeshe ziwafikie
Eemola Turunzuku kufika sehemuhii tukufu
Mashallah na mmi natamani kufika huko inshallah
Allah akuruzuku mali na afya. In Shaa Allah one day utaenda
Tumshukuru Mungu sana waumini wa kiisilamu
Mashaallah
Nyie mnauhakika nahayo mnayosema? Huyo b hadija alikufa mwakagani? Mpakaleo watu wakumbuke? Fukuweni alafu pimeni mbaki yakendio mtajuwa vizuri.
Radhiaallahu aanhum
Wawah uslamu raha sana
raha lugha moja kama Mbuzi,Utumwa Huo Mungu si mtumwa hivyo
allahu Akbar
Mashallah
Mashall
hee Kumbe na Waislamu wanaonbea Wafu na wanasalimia Wafu
Mfanya biashara tena sio biashara za riba na udanganyifu na zautapeli kama kwetu tz. Hapa kwetu kila mtu anataka onekane anazo tu hajali zaharamu wala halali alafu anapanda ndege eti anaenda kuhiji.
Hapo mtu akaenda kuhiji au kaenda kula sikukuu Makkah?
❤❤❤
Kwan wameonyesha kabul la au la Bb Khadija sasa uwongo wao uko wap mbona hatukuelew ww ambae mkwel tuambiw
Sawa Allah awajalie Kila la kheri wote walienda kufanya Ibada ya Hajj. Lakini kuhusu kaburi la bibi Khadija na kaburi la Fatima ni uwongo tena uwongo sana siwezi kuwalaumu ndugu zangu kwa sababu sio makosa yenu nyinyi ni wageni tu lakini ni uwongo tena uwongo Wala hakuna mtu yoyote ajuae kaburi la mtume ( s a w ) liko wapi Allah atawasanehe lakini ni uwongo
Hebu nifahamishe uongo kivipi ?
Unatakiwa ufkrie na uitume akili yako kabla hujakoment mana hii kwasababu historia ya Zamani ndio maana huamini lkn nakwambia tena itume akili vizuuri naamini uko vizuri kwa ilo
Mashaallah
Maa nshaa allah namimi nawapa salamu Assalamu alykumu wa rahmatullahi wa barakatuhu