Allah Msamehe na mrehemu mja wako huyu na mtunukie Peponi yako ya Firdausi. Yaa Allah nasi tupe marejeo mema na tuwe wenye ufaulu wa peponi na ituingize Peponi ya Firdausi pia. Tunakupmba utuongoze katika njia ilionyooka ya wale uliowaneemesha na sio walioghadhibikiwa na waliopotea. Amin
Allahuakbar allah akujalie kauli dhabiti na akusamehe makosa yako pamoja na sisi tulioko nyuma yako 🤲🤲🤲
Que ALLAH te perdoa teus pecados e nós também ALLAHUMA-AMEM
Mwenyenzi mungu akupe kauli thabiti. Ameen
Allahumma ghufirlahu warhamhu waskanahu filjanna
Sheikhe Said Nyange Allah akujaalie malazi mema amin
dah eee mwenyezi mungu Nakuomba Nijaalie mwisho mwema Nisiwe miongoni mwa watu wabaya
Allah atujalie mwisho mwema hapa duniani nakesho akhera amin
Kiuukweli hii ndio hatima yetu jujitahidini kufanya mambo na amali njema ili allah atujaalie mwisho mwema na atuingize peponi
Asante sana maalim said nyange upqnde mwengine ni babaangu pia shukran kwa kutuelimishe
Subhanallah ya Allah atuhifadhi wajawake naAdhabu zako yaarabb
Allah Msamehe na mrehemu mja wako huyu na mtunukie Peponi yako ya Firdausi. Yaa Allah nasi tupe marejeo mema na tuwe wenye ufaulu wa peponi na ituingize Peponi ya Firdausi pia. Tunakupmba utuongoze katika njia ilionyooka ya wale uliowaneemesha na sio walioghadhibikiwa na waliopotea. Amin
Mashaah huyu sheikh alikua kimya NA mwnye hekm😭😭
Allah Skype kauli thabit mwalimu said nyange
Kiuukweli hii ndio hatima yetu jujitahidini kufanya mambo na amali njema ili allah atujaalie mwisho mwema na atuingize peponi😢
Mwenyezi mungu amreem🙏🙏🙏🙏
Innalillah wanna ilaihi rajioon
Alaha akupe kauli thabit katka safar yako
Innalillahi wsinnailyah raajiuun
Innaalillahi wainaailaihi raajiuun
Innalklah wainailailaih rajuun
Allah atupe khatmanjema
Mwezetu katangulia tulio nyumayake tuseme innalilah wainailah ilah rajiun.