NYIMBO YA PILI YA WAPIGA MNANDA KIDOTI WALIYO MÛIMBIA SH.SAID BIN NYANGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2024

КОМЕНТАРІ • 43

  • @user-fj4ll4gc2p
    @user-fj4ll4gc2p 11 днів тому

    Jazaaka Llahu khayra shk. Said Nyange

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 13 днів тому +1

    Inalilah wainalilah rajuuni Allah akupe kitabu chako Kwa mkono wakulia na akupe pepo ya filidas inshallah

  • @husnasuleiman7494
    @husnasuleiman7494 11 днів тому

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun.km tabia yake imewachosha Allah ameshampuzisha peponi.nyinyi hamjajijua rudini kwa Allah vijana😭😭😭

  • @user-ze8rk9ye6r
    @user-ze8rk9ye6r 5 місяців тому +6

    Subhanallah si ni huu ni mziki hawa watu watu wa maulidi wanapinga nini,ebu waache haya mambo wanapotezeana muda hizi ni ngoma bwana wasisumbue watu ,hawa watu sijui wanataka nini ndio waelewe,tena mziki nyimbi zenyewe za taarabu anaye bixha abishe lakini hizi ni bidaa na upotevu wawazi kabisa tena upotevu mbaya sana,vijana au baro baro wengi hao wanapotezewa muda wao maskini ,na akili zao zimetekwa na ibilizi Allah atuongoze sote pamoja na waislamu wote kwa jumla hivi watu wamaulidi mnabixha nini angalie huu mzii vizuri na hiyo nyimbi inanfasi gani katika dini

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 4 місяці тому +1

    Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Sheikh Said Masha Allah. Allah akupe moyo wa kuthubutu uinyooshe jamii. Jamii zimeoza mno. Lkin pia Sheikh Said haya yote ymekuja kwa7 ya kuufungua mlango wa Bidaa yaani kusherehekea Mazazi ya Mtume Muhammad Swallahu alayhi wasallam. Mlango huu ndio waliopitia

  • @machanohaji9841
    @machanohaji9841 5 місяців тому +2

    Allah atujaalie mwisho mwema

  • @aishamkadara8705
    @aishamkadara8705 16 днів тому +2

    Allah amsameh akosa yake mwalim wangu

  • @user-kn5bv3qj8p
    @user-kn5bv3qj8p 6 місяців тому +1

    Allah atazifunga kauli hizi na sauti, maana hawa watoto wamechupa mipaka, kwakutusi maustadhi wetu.

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 15 днів тому +2

    Mashekh wa mabidaa wagombeni watoto wenu wanaiharibu ibada yenu mukiambiwa hamuelewi

  • @user-hc5kw2zk6w
    @user-hc5kw2zk6w 6 місяців тому

    Allah akupe nguvu shekhe hali mbaya

  • @baaqiryusufu5396
    @baaqiryusufu5396 15 днів тому

    Innaa Lillah wainnaa ilayhi rajiuuna

  • @zaidumohd3125
    @zaidumohd3125 16 днів тому +4

    Kasida nimwenzake na tarabu

  • @SheikhMondbinamir26-px4ej
    @SheikhMondbinamir26-px4ej 12 днів тому

    Sheikh amemaliza jukumu lake
    11:25

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 15 днів тому +1

    Ibada gani hii sasa mashekh wanatukanwa hizi si in a dark

  • @user-bu8jm2gr4y
    @user-bu8jm2gr4y 6 місяців тому

    Shehe mungu atakulipa endeleza daawa

  • @machanohaji9841
    @machanohaji9841 5 місяців тому +3

    Kwani awo watoto hawana wazazi

  • @machanohaji9841
    @machanohaji9841 5 місяців тому

    Innalilah wainailah rajiun

  • @user-mu9xf6qp9y
    @user-mu9xf6qp9y 16 днів тому

    Innalilah wainna ilayhi rajiun😭😭😭

  • @SAIDKHAMIS-fy8fz
    @SAIDKHAMIS-fy8fz 5 місяців тому

    Shekh fikisha muongowaji ni Allah

  • @bayahaji
    @bayahaji 10 днів тому

    Shekh kapita na yake na nyinyi endeleeni na yenu. Mtajutia bila msamaha

  • @SheikhMondbinamir26-px4ej
    @SheikhMondbinamir26-px4ej 12 днів тому

    Na sisi Mola atupe kauli thabit

  • @jumbemachano9207
    @jumbemachano9207 6 місяців тому

    Ingelikuwa wameyasema mawahabi ingelikuwa mawahabi wabaya.

  • @ayubuzomboko9502
    @ayubuzomboko9502 14 днів тому

    Kinachotakiwa mwisho mwema mwenzetu kaupata sijui Mimi nawewe unaeandika matusi tutaishia wapi?

  • @user-fz9ir4nj1y
    @user-fz9ir4nj1y 3 дні тому

    Nyie mnakosea kwani shkh said tayar ameshakataza mnanda haufai

  • @RamaOmary-qq5zt
    @RamaOmary-qq5zt 15 днів тому

    Hicho nikigodoro

  • @media1166
    @media1166 6 місяців тому

    Lakin hiv si mtakua mnawatangaza kwann musikae tu kimya. Haki itakaa juu tu hataiweje

  • @abubakarshamuhuni3894
    @abubakarshamuhuni3894 15 днів тому

    Kama mmemchoka ashafika mbele ya haki sasa nyinyi na majimbo yenu

  • @seifmohd5357
    @seifmohd5357 4 місяці тому

    Assalam alaykum nauliza huyu shekh anapatikana wapi nataka nihudhurie darsa zake nimezipenda san kwani zama hizi hali ni mbaya san,Allah akupe nguvu uzidi kuuzindua ummah amin

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 15 днів тому

      SHEKH AMESHA TANGULIA MBELE YA HAKI
      AMEFARIKI MAKKA ALIPO KWENDA KUHIJI NA KUWAONGOZA MAHUJAJI
      ALLAH AMSAMEHE MADHAMBI YAKE YOTE NA AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN AMIN AMIN
      AMKUTANISHE NA MTUME WETU MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM AMIN AMIN AMIN

    • @Aisha-lj8bu
      @Aisha-lj8bu 14 днів тому

      Amina

  • @BakariOmari-tr8cy
    @BakariOmari-tr8cy 16 днів тому

    Hiv nyie makhuraf lini mtajielewa nyie au nyie niwadini gani

  • @nassornassir-ho3iw
    @nassornassir-ho3iw 6 місяців тому

    Ila hii kaswid nzuri jamani. Halafu mbona hakuna pahala nlipotukanwa

    • @Naw89
      @Naw89 6 місяців тому +1

      Qaswida gani jamani kama kwaya kanisani tu
      Mafunzo haya umeyapata wapi wakati Mtume Muhammad s.a.w hakufundisha?

    • @nassornassir-ho3iw
      @nassornassir-ho3iw 6 місяців тому

      @@Naw89 uyo shehe mwenyw anazikubal unaona anavisiposti

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 14 днів тому

    maskini kumbe sheikh saidi nyange alikuwa mtu wa musiki!!!?

    • @dawud6065
      @dawud6065 14 днів тому

      Marhum Sheikh said nyange hakuwa mtu wa mziki.
      Skiza kwa kuelewa alichokizungumza

  • @khatibmako3500
    @khatibmako3500 15 днів тому

    Amefariki juzi makka

  • @SheikhMondbinamir26-px4ej
    @SheikhMondbinamir26-px4ej 12 днів тому

    Na sisi Mola atupe kauli thabit

  • @umfarid247
    @umfarid247 16 днів тому

    Mungu amlaze janaa fardo uyu shekh kafariki makka