MWANAMKE HANA MSAADA BILA MAHABA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 9

  • @user-rq6gf4uc1v
    @user-rq6gf4uc1v 7 місяців тому +1

    Mashallah Allah akulipe kheri tokea nimeanza kukufatilia nimejifunza nashkuru mungu.

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 8 місяців тому +1

    mashallah mashallah mashallah ukhty allah akulipe kheri kwa darsa unazozitoa akuzidishie elim na barka katika katika maisha yako. tunaomba alfatah muendelee kumpa nafasi ili tuendelee kufaidi mengi kutoka kwake

  • @SamiathMohammed-mb4jk
    @SamiathMohammed-mb4jk 8 місяців тому +1

    MashaaAllah 😍 Allah awalipe wema

  • @hassanharuna1519
    @hassanharuna1519 8 місяців тому +1

    Masha Allah shukran kwavipind vizuri tuna faidika zaid❤

  • @zainabuali9915
    @zainabuali9915 8 місяців тому +2

    Maa shaa Allah

  • @user-ce9zj2nn3d
    @user-ce9zj2nn3d 7 місяців тому +1

    Mashaallah

  • @rahimahamad1016
    @rahimahamad1016 3 місяці тому

    Mashallah bi Fatma ameongea ukweli kabisa kupika ni tatizo kwetu vijana wa sasa na elimu inatupa vibur na wazazi saivi hawatuulizi na kubwa unafundisha kupika wali na muhogo wa kuchemsha so inakua ukikutana na vyakula vyengine ni tabu sana kula na kuvipika hahaha najitolea mfano mwenyewe nimekaa boarding na chuoni na now nimekuepo nje ya Africa pia nasoma ila kupika nasumbuka sana nimejaa alama za kuungua. Namshukuru Mungu waturuki na wahindi wananifundisha kupika kidogo niko vizur 😇

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 8 місяців тому

    😢mimi mume wangu akitoka kazini ananipitia na mimi tunarudi wote nyumbani imenigusa ila ndoo maisha ❤

  • @elizabethshiguta7438
    @elizabethshiguta7438 7 місяців тому

    🎉