Dakika 10 Za Maangamizi - Maarifa TheBig Thinker | Planet Bongo
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Maarifa 'The Big Thinker' Rapa kutoka Kibaha akizitumia Dakika zake 10 za maanganizi ndani ya Planet Bongo.
Planet Bongo kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa saa 7:00 maacha hapa East Africa Rario kupitia 88.1 fm.
huku kwetu mwizi hapigwi. anasemwa mpaka anakufa.
gonga like kama unamkubali maarifa
Kutokana na kufatilia dakika 10 za maangamizi wasanii wenye majina hawawezi flow freestyle wanachana nyimbo zao tena kwa kuzisoma
Lakini Hawa underground Wanatoa moja kwa moja kichwani na wanazimaliza dakika vyema kwa kitu kinaeleweka....
Big up Sana maarifa
yesuuu
Kwani aliekwambia dk 10 za maangamiz ni kwaajil ya freestyle ni nani?😂
@@Ochoabuilderslimitedwatu wanachanganya saana😂
asante MUNGU sijafika niendako ila sipo nilipoanzia @maarifabigthinker
Maarifa BigThinker @hahaha chafya ya mpishi haizimi moto
tumeyapata maarifa vizuri kabisa
Maarifa BigThinker hv ndo v2 ambavyo huwa tunahitaj mashabiki big up man daaaaa mauwezo
Maarifa BigThinker respect 🙌🙌🙌
wewe ni hatari hongera we unatisha kama mtu asiejulikana
Umeangamiza kweli mzee baba, salute sana maarifa, utafika mbali in shaa allah
Maarifa anaenjoy mwenyewe, yuko vizuri hadi sio vizuri kazi imepata mchapaji.
Nasemajeeee!!! Hawa watu ndo wale wasiojulikana.....bado tunawatafuta....maarifa niii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Leonard chegarito maarfa on top ndio paku invest tajir wang
du
Hukuwahi kuniangusha tunaposema best Emcees nadhan ww n among of them umekichafuaaaaaa yan mzee we si m2 mzur kabisaaaaaaa
Anaweza. SALUTE Maarifa unachana kwa mapana zaidi ya Taarifa. #Irep254
Hata ukitembea juu ya maji watasema hauna nauli🔥🔥✔
maarifaaaaa we ni big thinker
........keep it up mwambaaaaaaaa
Kuhusu hii mitihan ya maisha wa kusahihisha ni mungu 🔥🔥🔥🔥🔥
maaarifaa kauuwaa qmmke baa Mdgo kaaujuaa kutufurahishaaaa aisee salute Sana maarifa
Waliotumwa wanitulize wamekutwa nimewatliza😂😂😂😂😂😂 kwenye hip hop inaitwa playwords salute bro maarifa the big thinker
Maarifa umetishaaaa kweli nimeuamini uwezo wako
Yeah u the best mr maarif
kuhusu wanafiki msijali kiboko yao kifo!! mnyama umetishaa
Chafya ya mpishi haizimi moto😂😂😂😂 #mwanangu sinaga neno ww ndo m2 wa kwanza ambaye umefanya utofaut kidogo👏👏👏
Noma kwel maarifa umetixhaaaaaa
for the first time na comments hapa dis men his freaking danger 🔥🔥
Mnaweza msiupate ukoko na mmepikia jungu kuu
Maarifa the big thinker the real Mc...umetisha mzee baba
ebwanaaae! vipaji vya kweli vipomtaani... salut maarifa wape maarifa wenye maarifa yao.
Babakeeeeeeeeeeeeeeeeee hizi vibes sio za nchi hii
Hallow! I'm Raiden from Canada, I don't understand Swahili but,,,
Mamamamaeee Maarifa we ni mtu mbaya sana aiseee!!!
You deserve to be THE BIG THINKER kaka Big Up!
umekomaa mzee ni tofauti na kitambo naona hatua nzuri, big up home boy.
jamaaaa uko vizuri unaweza usile ukoko hata kama umepikia jungu kuu
Hatari San one of the finest mapezi ugonjwa n usipo kaza utafas
Jamaaa umetisha Sanaa ", killer atasubiri Sanaa, ww ni shida brother,
ayeeeeeeee maarifa kweliiiii amekichafuaaa!!!!!!!
Big up umetisha sana mzazi.....kama vipi arud tena mjengoni
anakwambia ye ndo mwizi anaemwiba mwizi na mlinzi!! NoMa sAnA!! yupo frexh mwana!! kauwa kwa nafasi yakee! nampa bigup
T.o.y Tz Bahati Bukuku
mtoto wa baba anaujua
Naamin huu ni muda sahihi wa kupata kile tulichokimiss mda mref kwenye hiphop bongo ,Ni mtu sahihi na umekuja kwa wakati sahihi .Ipo siku utaishi ndoto zako .HATAREEEEE........Maarifa ya Maarifa haikuwa rahisi na kwawanafki TUPILIAKULEEEEEE
My brother 🙌🏻 ... You killing it...
unalitendea haki jina lako mzee kweli wew maarifa
Am ur no 1 fan!!!!
safi sana yupo poa.....big up
Goody san maarifa
yupo fresh. safi kaza sana
This is the best ever
Umeangamiza Dunia nzima.@maarifabigThinker..
Big Thinker
Jahazi Ni mziki ila pia kupata samaki pia ni mziki
duh hii kweli noma kama umechepuka na mke wa mganga
#maarifathebigthinker hataree mtoto wa fid
huyudogo anajua sana kweli big thinkeR
maarifa huyo jamaa anabalaaaaa, keep up bro, wana wachaa iwe
Noma sana, 100% nampa. Kama vp muandae tuzo za dk 10 za maangamizi sisi tutapiga kura.
Maarifa yupo vzuri sana
tunaomba ivyo vifaa vya studio mfanyie zabuni Maana vya kizamani mnooooo khaaaaa
Maarifa we noma big thinker
Nimekuelewa sana maarifa endelea tu kumwaga tenzi
ebana bro dulla! nexttym kama ikiwezekana tumckie na KADGO hapo'' by mr.T.O.Y
Noma🔥🇰🇪
Jahazi la upendo huzamishwa na wimbi la unafiki
hatari sana Presented Mwenzangu
maarifa mtu mbayaaa najivunia ww kwenye music rap....
Noma sana mzee baba, Maarifa anauwezo aiseee
maarifa
kibaha finest..... kunamitari tata humu unatakuwa uturiee sana kama kuna tuzo basi top 3 ...1 scoda
2 boshoo
3maarifa
wagombeee tuzo maana wameuwaa nazani ingekuwa pow mwisho wa mwaka kukawa na show ya dk10za maangamiz tutalipa kiingilio fanyeni ivo ili kuwapa motisha wasani kama maarifa.... #0714988885
Mbeya boi chuma anawakarisha wote hao
@@edwardenglibert9158 wee kuna BANDO MC , kuna Toxic ,
Jamaa anajua ile kinoma sio poa yani ila hajulikani tyu fanya juhudi sana mwanangu ufike in the highest stage MAARIFA BIG THINKER
Boshoo hatoboi hapa….
Good job mzee!
One of the BEST so far
Dogo huko vizuri sanaaaaaaaaaa kaza support kwako
Maarifa sio poa big hip pop in Tanzania
Mkali kinoma
Genius uyo dogo cyo uongo kapiga Non_stop,big up
walotumwa kunituliza wamekutwa wametulia✌
nakuona mdau, vip mumeo nchama mzima?? 😂 😂
Steven Karia 😂😂nampango Wa kumuibukia Dom😂😂
+miss makusudi 😂 😂 😂 usijemmaliza mistar
Steven Karia na nilivyo sasa tofaut na hiphop😂😂😂atanichana bila kunimaliza akiishiwa nahamia kwa nchma then selementally😄hlf ntatua kwa wenye movement yao(lunduno)
Chura me simpig teke bali namdondoshea tofari.., gonga laik apo kama umemwelewa kwa kina
Wosaaa Maarifa bonge ya talent babu nimekubali
maarifa umetisha sana
Maarifa🔥🔥
Sana mwenetu maarifa unajua
utamu upo palipozibwa ndo maana wahuni tunapenda bikra😀😀, nomah sana mwanangu big thinker
HAHA😂 @maarifa nimecheka sna unaweza mzawaa GOD bless you
Yani kilichotokea apo nikua *umefanya kitu ambacho watu awakuwaza itakua ivo* #Maarifa 😷
kweli *unaweza tembea juu ya maji wakasema umepoteza nauli* 😂😀😂😀💪
😁
Hatar mzee n zaidi y lunya
Ni kwere ongezeni dakika ziwe 20 ac mnamaliza utan😂😂😂
Real..maarifa..shigdaaa..!
Daaah Haya kweli Maarifa...
Unaweza maarifaa
Nimekuelewa mzee baba
Umetisha jamaa!!!!
w noma zaidi ya sana una zidi hadi marapa wengine
jamaa mbaya serious you know how to rap and creating hard punch lines...achia dude BA's support IPO
jooh cloudy madude yapo
Maarifa ft Bright - Maarifa Ya Maarifa
Maarifa ft DudySound - HaikuwaRahisi
Maarifa - TupiliaKule
Maarifa ft Kenny & BrownPunch - SioMjadala
ZisakaeHizo
Yapyap umetisha
Noma juu ya noma @maarifa mwaga tenzi
Daa, anajua ad anakela
Umeua sana mzee maarifa
Mjamaaa ako vizuri
Waliotumwa kunituliza Wamekutwa wametulia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimepata maarifa kutoka kwa Maarifa. Kali sana zaidi ya sana ... big up👊👊
Daaah uyu jamaaaa nomaaaaaaa
Maarifa kweli kweli aseee big up #NGUMUBLACK
Big Thinker Salute to you
utamu upo palipo zibwa ndo maana zinapendwa .....bikraaaa
Oyoo mchawi wa lugha the bigthinker himself
Huyu Kweli MAARIFA
Maarifa bigthinker
Toka kitambo nakukubali sana Maarifa
Nimeipenda iyo mitiani ya maisha wakusaisha ni MUNGU, anaitwa marifa mtoto wa baba..
Ni motooooo nakubali
wanataka wakunje ngumi wakati awana ata vidole @MAARIFA
Umesikika mzee baba, Tenzi kali mzee
watu 😱😱🙌🙌🙋🙆🙆oooooooooooooyooooo ntaaaaaaaaaaariiiii tenzi
Big up brother! Amani na Upendo Daimaaaaaaa