Dizasta Vina - Nobody is safe 4 (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 729

  • @johnizoboy
    @johnizoboy 3 роки тому +6

    Ati mlisema kuna watu wanaimba ngumu???? huyu jamaa ni concious sanaa ni suala la muda tu

  • @geraldosepeter3302
    @geraldosepeter3302 3 роки тому +6

    Nobody is safe kwa kweli.

  • @kigotymeentertainmentkigoy4858
    @kigotymeentertainmentkigoy4858 3 роки тому +29

    Naamini wenye akili ndio wanaelewa hip-hop ya dizasta usiwaze kuona wengi hawaelewi maana wapumbavu huwa hawaelewi vitu vya maana.

  • @luckylakey0613
    @luckylakey0613 2 роки тому +35

    Mwamba hatari nimejikuta Spotify nikadownload kila kitu chake acha speaker ipasuke. Love from🇰🇪

  • @imranabdul3929
    @imranabdul3929 3 роки тому +7

    Hii si ya kupigwa disco😄😄😄😄

  • @godmbwanga8658
    @godmbwanga8658 3 роки тому +8

    Dizasta toleo la mwisho

  • @TheRealAtomeec55.
    @TheRealAtomeec55. 3 роки тому +7

    Hahahaa!! Nlichokuwa nakisema All Day kipo hapa👉 2:53
    Jipgie makofi kama Umeelewa😃😀

  • @colemanMartn
    @colemanMartn 3 роки тому +2

    Naishi kwenye dimension ambayo n miungu tu ina settle

  • @kinjeketilewaii654
    @kinjeketilewaii654 3 роки тому +2

    Ahsante saaana

  • @ZakaZakazi-c5d
    @ZakaZakazi-c5d 12 днів тому

    Toka nilipo anza kusikriza ngoma za huyu mwamba najiona hata uwezo wa akili yangu umeongezeka katika kuchanganua mambo nakubari sana hiki kichwa 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @williamnazzareno8889
    @williamnazzareno8889 3 роки тому +1

    We ndo Toleo la mwisho la viumbe wa aina yako 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @joshuamakota6714
    @joshuamakota6714 2 роки тому +6

    Natengeneza pesa kwa ujuzi nloupata bure

  • @simbamabande2967
    @simbamabande2967 3 роки тому +5

    Simba wa teranga na nina nguvu zaid ya drogba

  • @jumaibrahim4297
    @jumaibrahim4297 3 роки тому +4

    Nadani tumeshakubaliana kuwa Dizasta ndo Emcee mkali aliyebaki bongo

  • @SimoniAlex
    @SimoniAlex Рік тому +8

    Ww jamaaa unajuwa xan

  • @allanmussula5643
    @allanmussula5643 3 роки тому +46

    style yako ime inspire the culture(tamaduni),ime inspire Manengo,Shoulin, Nacha, Boshoo, young killer, maarifa uyu big thinker na rapcha..this is good art😀😀😂

    • @zachariamanga1061
      @zachariamanga1061 3 роки тому

      Sanaaaa nmemuelewa hapoo sanaaa na ni kweli

    • @NellyMbugi
      @NellyMbugi 9 місяців тому

      Shida wenye Wana kata awaja be inspired

  • @Alegria_doPovo
    @Alegria_doPovo 3 роки тому +3

    Media zimekaa kimya tuu wakati kuna kichwa huku

  • @viceboirapper1121
    @viceboirapper1121 3 роки тому +4

    Kitaa naishii kiuswazi kama sijaendaa shule

  • @nickminja704
    @nickminja704 3 роки тому +1

    kijenge tumeshusha bendera nusu mlingoti kwa maan leo litakufa jitu

  • @morichtv1318
    @morichtv1318 15 днів тому

    DIZASTA VINA ni toleo la mwisho kwa hii generation

  • @darprprime3492
    @darprprime3492 3 роки тому +3

    Ime shine medulla vingi navijua na siringi jamaa aah 😷😷😷💪💪💪💪
    Mi Ni toleo la mwisho kwenye taifa la Aina yangu 💪💪💪💪

  • @estonsmart
    @estonsmart Рік тому +1

    🔥Bro wee ni Genius hii ngoma ilipaswa itoke 2060 uko mbele Muda bro.... Long live The real MC that we have🔥

  • @batrabandatv1826
    @batrabandatv1826 3 роки тому +2

    Sijui kwann hupeleki mziki wako media bro believe unafans wengi sana wanao kujua na wasio kuja wakisikia mziki wako wataamini

  • @OVMiNG
    @OVMiNG 3 роки тому +81

    Ukiacha lyrics kali ambazo zitapingwa na mfinyu wa akili pekee, kuna hii IDEA ya kudrive GARI BOVU na kulitengeneza... Kuna ujumbe mzito kwenye idea ya video kisha compare na idea ya ngoma🔥🔥🔥

    • @luganomwambulutukutu5000
      @luganomwambulutukutu5000 2 роки тому +7

      Kaka genius @davista vina pekee ndo anaweza kufanya alicho fanya inaimba hip hop iliyoalibiwa na kua mbovu lakini ameamua kuitengeneza iwe imara hakika huyu katoka nje ya hii galaxy

    • @alliymohamedalliy6524
      @alliymohamedalliy6524 Рік тому +6

      🤦‍♂️ Wachache tunao elewa ulicho kiongealea. Appreciate 🥂

    • @user-age
      @user-age Рік тому +2

      Kama umeelewa maana ya hiyo gari... Kuja posta tujadili 😅😅😅 huyu ni mtu ni master🎉🎉🎉

    • @abdallahamisi3051
      @abdallahamisi3051 2 місяці тому +2

      Hio yamaanisha ywaendesha hiphop ispokua imekufa

  • @crysonmwinuka3108
    @crysonmwinuka3108 3 роки тому +3

    Toleo la mwisho laviumbe waaina yangu 😂🙌✊🔥

  • @ronaldissack4403
    @ronaldissack4403 2 роки тому +3

    Leo ndio nimeambiwa nimskize huyu mtu,na kweli nimeamini huyu ni shida asee....rap tam mpaka mamadam wanaapriciate

  • @kevinnyasaka872
    @kevinnyasaka872 3 роки тому +5

    Mimi ndo toleo la mwisho wa hiki kizazi

  • @hassanlamata2312
    @hassanlamata2312 2 роки тому +2

    😂😂😂😂wazee nimerudi tena baada ya kusikiliza kwa makini sana hi ngoma nimekubali ni hatari sana🔥🔥🔥 mwanzo niliona kama safe 2 ndo kali zaid, 🤔🤔huyu mwamba anaandika asee inabidi utulize boga lako kumuelewa

  • @barakayusuph4617
    @barakayusuph4617 Рік тому +2

    out of this world 🤒

  • @hamisfufuru6294
    @hamisfufuru6294 3 роки тому +2

    Sio Montra Tu
    Wengi hatujaelewa Daaah hawa jamaa kama umetega shule huwezi kuambulia chochote

  • @YuzzoMwamba
    @YuzzoMwamba 3 роки тому +1

    Yuzzo mwamba nilikuwa hapa for no body is safe four ......🙌

  • @AfroDemoz
    @AfroDemoz 3 роки тому +2

    tisha sana mkuu nakubali jangili aliye kabiziwa beto

  • @davidjoseph9776
    @davidjoseph9776 2 роки тому +3

    Dah.. wew jamaa huwa sichoki kuskiliza ngoma zako Coz zna package hatar

  • @petersimon2115
    @petersimon2115 3 роки тому +2

    Mpaka tugonge namba 1

  • @erickmanucho1009
    @erickmanucho1009 2 місяці тому +1

    Kendrik wa bongo mzee we ninoma 🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @extraordinarythug
    @extraordinarythug 3 роки тому +2

    me nitoleo la mwisho wa viumbe wa aina yangu

  • @shaddyqualityfurniture3595
    @shaddyqualityfurniture3595 3 роки тому +7

    Mi ni toleo la mwisho la viumbe vya aina yangu 🔥

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE 15 днів тому +1

    Daah, huyu jamaa ni HATARI

  • @donprince9752
    @donprince9752 3 роки тому +2

    Noma bro

  • @dankirunda1796
    @dankirunda1796 3 роки тому +5

    Simba wa Teranga af nna nGuvu zaidi Ya DROGBA
    Professor TUNGO 👐🔥

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 2 роки тому +1

    Kweli kutangulia si kufika, aliyekuja Leo ndo kafika. Jamaa umetisha zaidi ya maMC wengi wazuri na wakongwe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @3kumahiri867
    @3kumahiri867 3 роки тому +36

    Jamaa unazidi kuandika sana, Dizasta unaandika sanaaa. Hii ngoma umeandika sanaaaaa ase dah🙌🙌
    Power respect 🔥🙌 Hili ni jiwe

  • @franciscojonja1164
    @franciscojonja1164 3 роки тому +2

    Kuna mudah unajiuliza hio HIP HOP wanayo i promote wao ni ipi kwa sababu Hip hop tunayo ijua na kuilewa sisi ndio hii hapa ✊🏿

  • @barakaedwin176
    @barakaedwin176 3 роки тому +3

    💣 💣......Mfano wa mundu au beto/...MC mtundu kwenye mental/...facts zina-shout beyond yur reasnable doubt, naish kwenye dimension ambayo miungu tu ina-settle/......🎤🎤

    • @Francismagellanga
      @Francismagellanga Місяць тому

      Na bado hawampi mchizi heshima anayostahili😢. IQ 🔥🔥 NO one can match this skillz

  • @nickminja704
    @nickminja704 3 роки тому +1

    asee d n noma asee si utan atatukisema fid q aenge ves amna kitu anaweza fanya apa ila izi media ban mamae

  • @danielngotto9195
    @danielngotto9195 3 роки тому +4

    Motooo sana zaidi ya moto wenyewe

  • @silakatundu1516
    @silakatundu1516 3 місяці тому +1

    Uyo dogo n moto wa kuotea mbali mm kka fan mkubwa wa hiphop na freestyle nampa salute

  • @MathematicsInTZ
    @MathematicsInTZ 2 роки тому +2

    Wewe ni msanii mwenye uwezo mkubwa sana Tanzania na nafikiri Afrika Mashariki nzima. Nyimbo zako zina ujumbe wenye kujenga jamii. Kinachoumiza ni kwamba bongo fleva imenunuliwa na watu wenye pesa hivyo inakuwa ngumu kuwaona nyinyi wenye vipaji msio na pesa kwenye platforms kubwa bongo.
    Msikate tamaa ipo siku Mungu atafungua njia, msanii kama wewe unapaswa kupewa mikataba ya baishara za taasisi za serikali kupeleka ujumbe kwenye jamii.

  • @aloycelucas3969
    @aloycelucas3969 3 місяці тому +1

    Jamaaan unajua mpaka unajua sanaaa sijuii bongo wanashabikiia hip hop ya virazaa

  • @yoshuaemily3021
    @yoshuaemily3021 3 роки тому +4

    Mimi ni zigi nae ficha stimu mtaan......
    Panorama Country.......💥💥💥💥

  • @timothykaiza327
    @timothykaiza327 Рік тому +1

    Hadi tumamaliza mwaka 2023 sijawahi sikia kali zaidi hii, hii sio yakuisha leo hii, hii itaishi miaka mingi hii, imefunika ngoma zote za hiphop za 2023 hii. Ngoja tusubir mwaka 2024 kama kuna itayofunika zaidi. Mimi Nasimama na Dizasta Vina wewe je!!?

  • @Jamal11-t7r
    @Jamal11-t7r 10 місяців тому

    my best rapper 🔥🎤

  • @drwicho9906
    @drwicho9906 3 роки тому +2

    hahhahaha, oya hii mbona imekuja ghafla. we ndio mwalimu wao!!!!!!umeuaa mmadogolasi woteee

  • @stiffmenake4700
    @stiffmenake4700 3 роки тому +7

    Nitaendelea kusema kwamba dizasta ananifanya niishi kwenye future alf niishi kwenye past at the same time wakati huo nipo present... This nigga is too far

  • @officialleetz608
    @officialleetz608 3 роки тому +2

    Tupo trending mungu ni mwema Dizasta Vina #1

  • @farajiabdallah2781
    @farajiabdallah2781 2 роки тому +3

    Mitaa inakuelewa sana dizasta unajua sana mwamba

  • @Ogtydan
    @Ogtydan 3 роки тому +2

    Final ......
    Ime toka 📌
    Bado hatia 5

  • @adamzullu5036
    @adamzullu5036 3 роки тому +2

    Kazi kali moto ule ule🎧

  • @esmnyumbani1212
    @esmnyumbani1212 3 роки тому +2

    Duuh dizasta umetisha ngoma kali kinoma

  • @dimoclassic_tz8334
    @dimoclassic_tz8334 3 роки тому +13

    Proffessor wa vina🙌🏾....nainjoy kumskliza huyu braza knoma✊🏼 HIPHOP 4Life

  • @ShaqueeBlackrapper
    @ShaqueeBlackrapper 3 роки тому +2

    KALI SANAA HESHIMA TELE MKUU ✊

  • @LugomboMaKaNTa
    @LugomboMaKaNTa 3 роки тому +36

    RINGLE NA DIZASTA= MAJANGA PLUS 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @Gtwice
    @Gtwice 2 роки тому +2

    Mamaaaeeee ukiendelea kwa ivi huna mpinzani

  • @barakachawe6241
    @barakachawe6241 3 роки тому +3

    Kichwa chenye madini ya kuikomboa dunia na sio Africa pekee... Nachojiuliza na hayo madini bado upo underground music ✊👊🔥 DIZASTA VINA ✊✊

  • @octavianmushi928
    @octavianmushi928 3 роки тому +4

    My favorite rapper of all time, I wonder why watu hawamzingatii kakaangu...... But unajua sana bro🔥🔥🔥🔥🔥maujuzi mengi ila yamezibwa..

  • @hassanlamata2312
    @hassanlamata2312 2 роки тому +1

    Niko hapa leo ilanyieeeee🤔🤔🤔🤔huyu jamaa ni hatar sana

  • @dickmlawa8843
    @dickmlawa8843 3 роки тому +2

    Dizasta niwamoto kuliko jua ✍️👊

  • @Official_adasco
    @Official_adasco 2 роки тому +4

    Last time kupenda hiphop ilikua ni nyimbo ya Hisia na hapo verse ya One the Incredible ndiyo iliyonishawishi. But this dude ni next in level.

  • @husseinrajab7560
    @husseinrajab7560 3 роки тому +1

    Bro we Kweli ni Msongo wa Mawazo
    Sema tu kwa kuwa mawazo hayaonekani
    Hatuwezi jua maumivu yao.
    Toleo la Mwishooooo 🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @ayubudanieli4484
    @ayubudanieli4484 3 роки тому

    Sijui mwisho ila najua naenda wap💥💥💥

  • @japhetshirima8697
    @japhetshirima8697 2 роки тому

    Yule mwana tusimjibu , tumpe reference kwenye hii blunt daaaamn!!!

  • @revolutionintanzania4842
    @revolutionintanzania4842 3 роки тому +3

    Dizasta mungu wake mungu wa rap unaandika bro king of underground mitutu inakofichwa bro tuzo mbona awakupi mziki wabongo SEMA ucwaze gheto unatuzo zakutosha uku mbeya cku unakuja kuchukua njoo na titaniki

  • @tomplexbrigedier2282
    @tomplexbrigedier2282 3 роки тому +2

    Broh unachna kizungu zaidi sawa kma nas

  • @privernnorens2317
    @privernnorens2317 2 роки тому

    Kuna Dizasta Vina 🙌🙌🙌 halafu kuna hiki kichwa Mex Cortez....Uwiiiiii!!!

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 3 роки тому +1

    Mnaimba Sana matusi maana bongo zenu ziko too idle! Kweli kabisa! Noma Sana! Wee jamaa ni shida!

  • @attainer-jr7494
    @attainer-jr7494 3 роки тому +1

    Chalii unajua kupangilia mistari sana. 😁Tupe chakula cha ubongo mzee (story writer)

  • @omary3238
    @omary3238 3 роки тому +1

    Bro 😎 gemu yako sasa mzee wangu 💥💥💥💥

  • @alphanlukombe3774
    @alphanlukombe3774 6 місяців тому +2

    Ukimuangalia kwenye video na nyimbo anazoimba ni tofauti sana maana ukimuangakia unamuona kama dogo janja lakini vitu anavyoimba nikama mtu mwenye miaka 70 etc..

  • @Sportycorner
    @Sportycorner 3 роки тому +4

    Hii sio ya Kuitwa nyimbo hii, hii sio ya kupigwa Disco hii 🔥 🔥 🔥

  • @DanielLugwe
    @DanielLugwe 5 місяців тому

    Itakua moto sana ikujee💯💯💯

  • @cloudekaryembe867
    @cloudekaryembe867 4 місяці тому

    Mr president umesema na sauti imetufikia wana kitaa wako ongeza sauti iweje muwashwa atutikise kama njiti kwenye matches enyi taifa la leo hili kwa pamoja tunaliweza so together is better

  • @winfredykahwili1513
    @winfredykahwili1513 3 роки тому +3

    Vina ningekuwa na uwezo wa kuandaa tuzo ya hip hop hakika ungebeba bila longo longo 💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 3 роки тому +3

    *Hip Hip IPO kwenye mikono salama kupitia huyu MTU VINA DIZASTA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥*
    Mimi ni toleo LA mwisho LA viumbe aina yangu 😂😂👏👏👏

  • @robifilosomaniofficialonli4272
    @robifilosomaniofficialonli4272 3 роки тому +1

    Aiii.Dizasta vina tisha sana.

  • @Paplick9
    @Paplick9 Рік тому

    Best of all the time, una skills una content una akili kubwa sana man unafanya mambo hadi nahisi we ni jamii ya 👽 tanzania ijivunie san huyu mtu

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 2 роки тому +1

    Hizi kwanin hazipigwi on air, daah!! Sio kawaida

  • @dennislugano6332
    @dennislugano6332 3 роки тому +3

    Always,, it's WW3 when Dizasta meet with ringle beatz

  • @antonrichard2249
    @antonrichard2249 3 роки тому +2

    imefanyika kazi sana kuleta tiba sahihi kwa ubongo ,tiba ya kufungia mwaka hii

  • @theslap45
    @theslap45 3 роки тому

    .✍️Mi nizigg nae ficha stimu mtaani wananijua kama mshindi// sauti ya mamlaka napo amua awapingi// kama navyo muuwa mdingi kwenye vikao vya dhalula nimesheni medula navyojua vingi na silingi jamaa.. nakubali aseeee

  • @twahahungu52
    @twahahungu52 3 роки тому +2

    hii sio ya kupigwa disco hii
    this one is legendary.............dizasta vina

  • @westonchibwete5776
    @westonchibwete5776 3 роки тому +1

    Yaani hata kama ingekuwa biti tupu BADO ni 🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @kajaradotto9042
    @kajaradotto9042 2 роки тому +1

    Mwenye anaweza niandikia hyo intro afanye hvyo, ntamshukuru 😢

    • @dizastavina
      @dizastavina  2 роки тому

      ua-cam.com/video/Rw6ELTFojrw/v-deo.html lyrics

  • @g-father9352
    @g-father9352 2 роки тому +2

    Kali

  • @dominickntajinya1550
    @dominickntajinya1550 3 роки тому

    Umekuja kuwapa msongo wa mawazo kweli! %usiache KUTABASAMU%

  • @leenation785
    @leenation785 3 роки тому

    Ningekuwa na pesa nymbo zako zote ningefanya video ur so cool budy

  • @kibilendas1776
    @kibilendas1776 3 роки тому +1

    Navijua lakn hata shilingi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥. nakubali sana.

  • @genovevaernest1643
    @genovevaernest1643 3 роки тому

    Umetisha mzee ur de one in de million rapper hapa bongo

  • @hassaniddi3868
    @hassaniddi3868 3 місяці тому

    Kwa hili chupa utafikiri ngoma imetoka miaka hii,big up sana kwa majani na mnyaluu pamoja na nature bless nyingi sana

  • @bashirumajaar8620
    @bashirumajaar8620 3 роки тому +1

    Mheshimiwa Dizasta Vina.. Rap Masiah...

  • @derickdeus56
    @derickdeus56 3 роки тому

    aaaaah we jamaa ni noma ngoma ni kaliiiiiii sanaaaa!!!!!!