THE BEAST 'MNYAMA', GARI YA AJABU ANAYOTUMIA RAIS MAREKANI, NI ZAIDI YA KIFARU CHA VITA,NI BALAAH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Ifahamu gari anayoitumia Rais wa Taifa kubwa Duniani la Marekani linaloitwa The beast ,Cadillac One.

КОМЕНТАРІ • 161

  • @khamicabhumbho2393
    @khamicabhumbho2393 2 роки тому +4

    Mwisho wa yote ulitakiwa umalizie .... ROHO ni ya Allah🙏

  • @zuweinaally2413
    @zuweinaally2413 3 роки тому +15

    Welldoon.... Hizo ndizo taarifa wengine Tunataka kuzijua

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 3 роки тому +23

    Hizo zote ni mambo ya kusadikika lkn hakuna anayejua exactly kuhusu hilo gari, mainly kwasababu ya kiusalama zaidi

    • @mwashilindicommandos6390
      @mwashilindicommandos6390 3 роки тому +1

      Exactly nakuunga mkono

    • @idontknowwhoami3066
      @idontknowwhoami3066 3 роки тому +1

      Usiseme za kusadikika Zina uhakika izo zote ila sio kwamba ni kila kitu kimewekwa wazi kuhusu ilo Gari

    • @nicholasgervas167
      @nicholasgervas167 3 роки тому +2

      Wee unazan kama Tanzania kila kitu kinafichwa

    • @mkuluwaukae2221
      @mkuluwaukae2221 3 роки тому +3

      @@nicholasgervas167 wewe hujui chochote kuhusu mambo ya usalama, kwahiyo siwezi kubishana nawewe fala

    • @dickensdickala6601
      @dickensdickala6601 9 місяців тому

      ​@@mkuluwaukae2221@mkuluwaukae2221 kuna mambo yanawekwa wazi na mambo yanafichwa kuna hata details za airforce 1 lkn zile za muhimu zaidi ndo zinakua siri, ukiangalia video ya admiral mcraven anayohutubia graduation utajua kuwa marekani hawafichifichi mambo madogo

  • @simonitaagesti3657
    @simonitaagesti3657 3 роки тому +11

    Huo ufahari tu waduniani na uwezo huo wote lknn mungu akitaka akuna kitu hapo

  • @daudipiusi4307
    @daudipiusi4307 3 роки тому

    naipenda ayo tv huwa mnaenda kwenye point hamludii maneno hongeleni sana

  • @amepotea
    @amepotea 3 роки тому +4

    Wanadamu Ni mungu hutulinda , ufahari wote hubakia duniani.

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 3 роки тому +1

      Jamani saa nyingine tujivunie Mungu kutupa science ambayo inatusaidia kufanya mambo makubwa kama haya maana kiukweli yeye mwenyewe ndio hutoa hayo maarifa

  • @fadhilikawambwa1586
    @fadhilikawambwa1586 3 роки тому +6

    waweke na mtambo wa kumzuia mtoa roho.nadhani hilo ndio wamesahau tu

  • @JoshuaMartin-qk3ev
    @JoshuaMartin-qk3ev 3 роки тому +6

    Daaah we jamaa ulisoma hesabu za uganda labda, wanaopima uzito kwa nch

  • @evratvkenya9263
    @evratvkenya9263 3 роки тому +1

    usa noma sana

  • @totobady6368
    @totobady6368 3 роки тому +3

    Hatary cana

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 роки тому +6

    Nataka hio gari nyumbani kwangu nikomeshe baba mwenye nyumba😀

    • @sonicaghendewa9886
      @sonicaghendewa9886 3 роки тому

      😂😂😂😂😂🤣😂😂😂🤣😂🤣Wenye nyumba wanakera jamaniiii

    • @ladymuna4945
      @ladymuna4945 3 роки тому

      😂😂😂😂😂hiyo kali 😂

    • @zanmedia5225
      @zanmedia5225 3 роки тому +7

      Mm baba mwenye nyumba wangu nilimkomesha kwa kumjengea nyumba yangu tena kubwa kuliko ya kwake pale pale tu jirani na nyumba yake, nilianza kujenga taratibu kimya kimya bila ya mtu yoyote wa mle ndani kuweza kujua, na wakati naijenga hiyo nyumba baba mwenye nyumba wangu alikua ni miongoni mwa vibarua wangu kwa upande wa paa alikua ni kibarua kwenye kuezeka, nikaja nikamkomesha siku ya kuhamia ilikua bado km wiki moja tu kuja kudai hela yake ya kodi, ndipo nilipoamua kumuita na kumpa taarifa za kuhama kwake na kuhamia kwangu, kwa dharau akanambia kama nahama nisijekupitiliza hata siku moja, kitu asichokijua kua kumbe mm nilikua tayari nishahamia kule ila nilikua sijatoa tu vitu vya ndani ya nyumba yake, nyumba yangu ilikua ni nzuri sana ilipendeza sana kwa zake za ndani na nje, siku wakati nahamisha vitu vyangu kutoka ndani mwake na kuvipeleka kwangu yule mzee alikuwepo maana ilikua ndio siku ya mwisho mm kwangu kubaki ndani ya nyumba yake na nilifanya hivo kusudi mana nilijua tu atakuja nami ndo nilitaka anione nikiwa nahamia, basi alipoona nahamisha vitu naingiza mle ndani yule mzee alikuja kuniuliza mbona unaingiza vitu humu ndani?? Nikamjibu ndo nyumba yangu hii, basi yule mzee akaanza kuiangalia ile nyumba kwa hasira na uchungu mkubwa sana hata hivo hakuamini aliwatafuta wale mafundi wake aloezekanao paa ili kuwauliza km ni kweli au sio kweli, wale mafundi nao wakamwambia ni kweli, basi mzee aligombana na wale mafundi kwa hasira eti kisa kafanya kazi kwenye nyumba yangu, asichokijua yule mzee ni kwamba mm nilipanga tu kwenye nyumba yake yakawaida kwa sababu nilikua nahitaji kusave hela ili niweze kumiliki kwangu so sikutaka kutafuta nyumba ya gharama saana kwa sababu hiyo, mm nafanya kazi Airport kwenye kampuni kubwa tu, so alijua ni mnyonge sana kama wengine kumbe maisha siri, alichokifanya yule mzee ile nyumba kauza hadi hivi sasa simjui hata wapi alipo, wale waliokua wapangaji wenzangu walinipa heko kwa kumkomesha yule mzee na nimemtia aibu sana, na wapangaji hadi leo bado wamo mle na maisha yanaendavizuri tu baba wa sasa hanaga usumbufu....hivyo napenda kuwashauri na nyinyi vijana wenzangu wenye nyumba ni wasumbufu sana baadhi yao tena wana roho mabaya sana, basi wakomesheni kwa style km hiyo na sio kwa milo mizuri au mavazi mazuri au usafiri mzuri nk na sio lazima umjengee nyumba jirani na ilipo ya kwake hapana ila ukihama tu na kuhamia kwako tayari ushamkomesha mwenye nyumba......Huo ni ushauri tu.

    • @irakozejclaude7869
      @irakozejclaude7869 3 роки тому +1

      @@zanmedia5225 ushauli mzuri bro Asante kwakutushauli Kwani namimi ni kijana.story yako tamu na nzuri nilipokuwa nasoma nilitamani kufukuza customers ili niifatilie kwa kina
      NIMEFURAHI
      NIMEJIFUNZA

    • @abdillahialiy9511
      @abdillahialiy9511 3 роки тому

      @@irakozejclaude7869 big up ndo maana wahenga wanasema usimzaru usiye mjuwa huyuwi yupoje

  • @citybirdproduction7828
    @citybirdproduction7828 3 роки тому +3

    Ayo Tv...gari langu linauwezo wa kusimama lenyewe iwapo linakaribia kugonga ktu..lina camera inayo mlika sehemu ya nyuma wakati wa reverse..lina uwezo wa kutoa inje tairi na kwenda chini linapoenda zaidi ya 100speed..naomba muliangazie gari langu

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 3 роки тому +5

    Ntainunua kwa kweli maana siku hazigandi 😂

  • @martinswai8031
    @martinswai8031 3 роки тому +4

    Kwani gari yenyewe bei gani tumnunulie mama

  • @danielmayo6130
    @danielmayo6130 2 роки тому

    Mungu akisema anahitaji roho yako huwez kubisha

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy 10 місяців тому

      Yan vitu vinavyoelezwa hapo na mnavyoongea ni tofauti kbs ushasema Mungu mpk akitaka,kwaio km asipotaka bas kuna vitu vinamlinda

  • @kelvinmazanda
    @kelvinmazanda 3 роки тому +2

    Sio uzito wa mwili na uzito wa milango,ni "upana", dakika ya 1:02 na 1:10. Kazi nzuri! 👏

  • @josephatjordan5560
    @josephatjordan5560 3 роки тому +8

    Sie tuna V8!!Unaijua V8 ww ???unaijua ?ndio tunatembelea sisi viongozi wa CCM 😂😂😂!!!namnukuu Humphrey Polepole 😂😂

    • @ibrahimsurvivor1058
      @ibrahimsurvivor1058 3 роки тому +4

      Mm nilidhani lina flay over! Bado wapo nyuma sana. Huku kwetu gari la diwani wetu lina condom na kiti cha nyuma lina kitanda kwa emergency sex! Marekani waje wajifunze kwetu!

    • @joellymballawah8188
      @joellymballawah8188 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @BestLife486
      @BestLife486 3 роки тому +1

      Ww unajua V8 WEWEEEEE???😂😂😂😂😂

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 3 роки тому

      😃😃😃😃😃

  • @mohammedmmari4791
    @mohammedmmari4791 3 роки тому +10

    𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗬𝗢𝗢𝗧𝗘 𝗟𝗔𝗞𝗜𝗡𝗜 𝗜𝗦𝗥𝗔𝗜𝗟𝗜 𝗔𝗞𝗜𝗝𝗔 𝗔𝗡𝗔𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗥𝗢𝗛𝗢 𝗞𝗜𝗥𝗔𝗛𝗜𝗜𝗜𝗦𝗜 𝗕𝗜𝗟𝗔 𝗧𝗔𝗕𝗨🙂

  • @anarduk6438
    @anarduk6438 3 роки тому +4

    Lkn mwisho wa hayo yote ni kwenye sanduku maskini.
    Ama kwa hakika ametakasika Allah SubhanaAllah muumba wa mbingu na nchi

  • @danieltoroka7281
    @danieltoroka7281 3 роки тому

    Sawa baina hongera ikulu ya waitaz Marekani

  • @trio9911
    @trio9911 3 роки тому +7

    Sasa diamond ndo awape watu wake magari kama haya sio yale makobe 😂😂

    • @ramahaji9342
      @ramahaji9342 3 роки тому +1

      Kwann diamond wkt hao kina dangote t hawana

    • @masudinangololo3672
      @masudinangololo3672 3 роки тому

      Diamond 😁

    • @vanjay8685
      @vanjay8685 3 роки тому

      Sasa si gari zake mbili ni cardilac tu kama hii ya raisi wa marekani...zote ni za kampuni moja ya GM

  • @queen-yx8uo
    @queen-yx8uo 3 роки тому +17

    Yan ata iweje hawez kupambana na malaika izrail ata akijifugia humo humo

  • @princelameck6654
    @princelameck6654 3 роки тому +2

    Naiomba serikali yetu imnunulie Rais wetu wa Tanzania Mama yetu Samia suluhu hassani.

  • @danwayne786
    @danwayne786 3 роки тому +1

    Dereva ni 007.

  • @sonicaghendewa9886
    @sonicaghendewa9886 3 роки тому +1

    Iyo nimeipenda Wallah 🤗

  • @idrisayussuf9122
    @idrisayussuf9122 3 роки тому +1

    Mtangazaji jifunze kutofautisha gari na gali munaharibu luha ya kiswahili

  • @yunyun799
    @yunyun799 3 роки тому +2

    Eeeeh kumbe 😩😩 xx mbona una toa xiri za kambi na ume zipata vp hzo habari maana xiyo poa 😩😩 hilo gari

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 3 роки тому +1

    Duuuuu kweli wezetu waneebdelea

  • @ngundejkassim3252
    @ngundejkassim3252 3 роки тому +3

    mmmh cdhan kama inteligency ya marekani ingeweza ku-leak_kisha hizi taarifa nyeti

    • @mokajoli4928
      @mokajoli4928 3 роки тому

      Kabisa iyo habari ya kuzuxha sasa apo kunasiliganitena

  • @bonifasisichone7348
    @bonifasisichone7348 3 роки тому

    Nimezipenda

  • @benderarulenge2477
    @benderarulenge2477 3 роки тому

    Daaaah,wezetu ninomaaa

  • @johnmonorua5133
    @johnmonorua5133 3 роки тому +1

    Kwani linauzwa shilingi ngapi

  • @gulamsenhussein737
    @gulamsenhussein737 3 роки тому

    Harmonize-Mang'dakiwe

  • @aminaomary9273
    @aminaomary9273 2 роки тому

    Hiyo ni atari sana

  • @abdulsiyo2431
    @abdulsiyo2431 3 роки тому +3

    BWANA asipoulinda mji walindao wakesha bure

  • @alexcollins4599
    @alexcollins4599 3 роки тому

    Noma

  • @buye5436
    @buye5436 3 роки тому +2

    Madereva ni wawili, Vin diesel na Buye

  • @juliusfredy4011
    @juliusfredy4011 3 роки тому

    Atari kweli

  • @famitoissa5706
    @famitoissa5706 3 роки тому +3

    Kiboko yao mtoa roho tu anaingia na anachukua chake na anasepa bila noma

  • @shakirajumanne2235
    @shakirajumanne2235 3 роки тому +1

    Hatar sana

  • @evancetilya5140
    @evancetilya5140 3 роки тому +1

    Da

  • @dalalibangokigamboni3958
    @dalalibangokigamboni3958 3 роки тому +1

    Shida yote ya nini Sisi rais wetu anaishi fresh tu

  • @FrancisRM-ex8vf
    @FrancisRM-ex8vf 13 днів тому

    Kufa ni kufa tu, japo anakwepa mabomu na risasi ila Mungu akiamua kumzimisha hata umo umo ndani ya cadillac one anabaki skeleton💀 😂😂😂

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 роки тому

    Kizazi sana 🇶🇦

  • @faridmohamed203
    @faridmohamed203 3 роки тому +1

    malaika wa kuchukua roho akija anapita na kumchukua kiurahisi kabisa

  • @josephmwangi9556
    @josephmwangi9556 3 роки тому

    Nataka moja

  • @MeryMbaga-y4n
    @MeryMbaga-y4n 15 днів тому

    Mungu akiamua kung'oa roho yako hilo gar ni kama puto tu kama taitanic ilivunjika vunjika. Hako kagar ni kitu gani

  • @ssalimsalim3864
    @ssalimsalim3864 3 роки тому

    Tuendelee kulipa kodi ya tozo kwa bidii ili nasisi tumnunulie raisi wetu .

  • @japhethmusymi3796
    @japhethmusymi3796 3 роки тому

    Mlinzi mkuu ni Mungu my friends

  • @jumamglecs7684
    @jumamglecs7684 3 роки тому +1

    Taifa kubwa duniani ni Russia Ina Squire miles 6.6million while US ina 3.8million. Kama Uchumi China Ina Uchumi wa kuhudumia watu 1.4 Billion ambao ndio population ya china wakati huo US population ni 3.3 million. Kama huendeshwi na propaganda za Kimagharibi ukitafuta utajua taifa kubwa duniani ni lipi.

    • @freduallughano2301
      @freduallughano2301 3 роки тому

      Acha upotoshaji kwa hiyo tanzania ni taifa kubwa kuliko Japan?maana ya taifa inaeleweka kapotoshe mghahawani huko.

    • @Soon815
      @Soon815 7 місяців тому

      Wewe ni kilaza wakutupwa hujui chochote😂😂

  • @fidelisrevocatus
    @fidelisrevocatus 13 днів тому

    Hatu amini kwasasbab ni madhanio2

  • @MohamedKumbi-b7c
    @MohamedKumbi-b7c Місяць тому

    Mh hukoo marekkanii aampafai

  • @aminarashidi4757
    @aminarashidi4757 3 роки тому

    vilevile gari hilo lina mfumo wa kukabiliana na iziraili.

  • @petercosta1317
    @petercosta1317 3 роки тому

    Imekaa poa sana

  • @mr_akily_og
    @mr_akily_og 3 роки тому +1

    doooh nowm

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 3 роки тому +1

    Aletewe mama samia

  • @khadijambarouk2983
    @khadijambarouk2983 3 роки тому +3

    Sifa zote hizo lkn ziraili akitaka kufanya kazi yake ya kutoa roho hakuna kitakachofanya kitakachozuia 😂

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 роки тому +4

    USA si mchezo💪

  • @gulamsenhussein737
    @gulamsenhussein737 3 роки тому

    Nyimbo ya harmonize mang'd
    akiwe

  • @psj1564
    @psj1564 3 роки тому +2

    We mirid watu binahadamu akitaka kufanya yake anakubali kjitoa muanga ilimladi yake ayatimize

  • @henrygwalema1860
    @henrygwalema1860 3 роки тому

    Wewe ulijuale

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 3 роки тому

    Tangaza channel yako tu lkn si kwa uwongo huo

  • @kharounngavason8012
    @kharounngavason8012 3 роки тому

    Nnalo bana ahaaaa

  • @masangagondera4687
    @masangagondera4687 3 роки тому

    NEWS FROM BONGO FASTA, Jaribu kuwa Mtafiti sio copy and Paste

  • @mobellamobenimpenda7055
    @mobellamobenimpenda7055 3 роки тому

    Na sisi mama samia anatakiwa atape hiyo gar ilikumurinda mama etu

  • @roselyneachieng7638
    @roselyneachieng7638 3 роки тому

    Lakini kifo haijui hizo kifo hupenya hdi penye ukifikiria maana haionekani maulana tuu ndie aijuawe

  • @abelntobi382
    @abelntobi382 3 роки тому +1

    Muuu mbona gari ni dogo afu Mambo mengi hivyo..

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 3 роки тому

    🙌🙌🙌

  • @kharounngavason8012
    @kharounngavason8012 3 роки тому

    Dahhhhh

  • @joshuamlay7834
    @joshuamlay7834 3 роки тому

    Simbavsnyati

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 роки тому

    Mali ya Dunai ni bure Mwisho wake ni kufa tu

  • @adsonngugi1289
    @adsonngugi1289 3 роки тому

    Hiyo nitaendea kesho

  • @vascomwansile8140
    @vascomwansile8140 3 роки тому

    MUNGU ndo kila kitu

  • @benderarulenge2477
    @benderarulenge2477 3 роки тому

    Tusione wivu sema uwezo huo hatna tuu

  • @silivestatesha6945
    @silivestatesha6945 3 роки тому

    Hata angeendasha fisi tusitishwee

  • @mrizzy5424
    @mrizzy5424 3 роки тому +2

    uzito wa nchi nane duuh

  • @PatrickJoseph-vw2tn
    @PatrickJoseph-vw2tn 6 місяців тому

    Vari l aja buhii pigwi bomu
    Mwisho

  • @juxjemc5768
    @juxjemc5768 3 роки тому +1

    Duhh hili ni balaaa kwa nn marais w America kila anaeingia madarakan anatengeneza lake gar??

    • @josej9888
      @josej9888 3 роки тому +2

      Hapana gari linakuwa lile lile mabadiliko yanakuwa nimadogo tu ndani yagari, Sawa nawewe unapohamia kwenye nyumba Kuna vitu vingine utabadilisha position.

  • @erickevarist8738
    @erickevarist8738 3 роки тому +1

    Duh vp kuhusu kifo hafi au ndio atakizuia

    • @rogermomodesty3568
      @rogermomodesty3568 3 роки тому +3

      Akili za mtu maskini Kama ww ndo huwa ivyo,, yani uwezo wako wa kufikir kitu ndo umeishia hapo,, endelea kula vumbi wenzio ndo washapiga hatua ivo,, kama utaki maendeleo bac hata nguo usivae sababu ipo siku utakufa utaziacha izo nguo tembea uchi maana hukuzaliwa na nguo

    • @erickevarist8738
      @erickevarist8738 3 роки тому

      Sawa wewe @roger ngoja ufe Kama utazikwa na Mal zako

    • @rogermomodesty3568
      @rogermomodesty3568 3 роки тому

      @@erickevarist8738 hata dalala usipande tembea kwa miguu sababu ukifa hautazikwa nayo

    • @erickevarist8738
      @erickevarist8738 3 роки тому

      Daladala sipandagi mm

    • @rogermomodesty3568
      @rogermomodesty3568 3 роки тому +1

      @@erickevarist8738 vzr

  • @anthonykondobole3962
    @anthonykondobole3962 3 роки тому +1

    Yaan ni hvi huo hta sio usalama,maana aliyetengeneza ji si anavyowaelezea watu uimala wake,ndo hvyohvyo atawaelezea waharifu udhaifu wa hilo gari.

  • @cozzotz5095
    @cozzotz5095 3 роки тому +1

    😁😁

  • @kassimsaidi1838
    @kassimsaidi1838 3 роки тому

    Duuuh

  • @sammymorondi9601
    @sammymorondi9601 3 роки тому

    Jd pm
    C

  • @Sokesia
    @Sokesia 3 роки тому +2

    TUENDELEE KUSAPOTI KONDE GANG BONYEZA PICHA KISHA FOLLOW

  • @FMCOMEDIAN877
    @FMCOMEDIAN877 2 роки тому

    ua-cam.com/video/GhUpKc2l9nc/v-deo.html🤣🤣🤣 inauma inauma hiii wewe mtuu Jini👆👆🤣🤣

  • @beatricemrisho8431
    @beatricemrisho8431 3 роки тому +1

    Kama kufa utakufa tu

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 3 роки тому +2

      Bila kusahau wewe mwenyewe kama ipo siku utakufaaaa

    • @yunyun799
      @yunyun799 3 роки тому

      @@wamoroboy8963 😂😂😂

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 3 роки тому

      @@yunyun799 anazingua huyu naee😂

    • @margaretnjambi8340
      @margaretnjambi8340 3 роки тому

      Lakini huyo ni mfalme na wafalme wanahitaji kinda. Sio dhambi kulinda mfalme. Kwa anategemewa na wengi

  • @LuganoMwamsojo-yt3zq
    @LuganoMwamsojo-yt3zq Рік тому

    😂😂😂😂

  • @perezcelestine4516
    @perezcelestine4516 2 роки тому

    .

  • @stevenchalres3124
    @stevenchalres3124 2 роки тому

    O

  • @africa7479
    @africa7479 3 роки тому

    Haf bom la nuclear

  • @azizmohd6545
    @azizmohd6545 3 роки тому

    V

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 3 роки тому

    Yooooooote kifo hakikwepeki.