SIRI ILIYOJIFICHA KWENYE NDEGE, MAINJINIA WAFUNGUKA "KUNA PUA, SIDE MIRROR, REVERSE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Ayo Tv na Millardayo.com inakuletea mfululizo wa taarifa kuhusu Ndege ambayo inatumiwa kusafirisha abiria ama mizigo kutoka eneo moja hadi nyingine, huku kukiwa na mambo mengi usiyoyajua.
    Vijana wawili wa Kitanzania ambao ni Mainjinia wabobezi wa mambo ya Ndege, wanatuelezea hatua ya awali ya kuijua ndege na jinsi inavyofanyakazi.

КОМЕНТАРІ • 148

  • @baltazarmsungu2581
    @baltazarmsungu2581 3 роки тому +8

    Hongereni sana ayo tv mm na
    ziamini Sana taarifa zenu.

  • @abunurain1248
    @abunurain1248 3 роки тому +5

    Pongezi kwa engineer kipara ametisha sana kwenye hili darasa. Mungu awazidishie hekima na ujasiri katika taaluma yao hii kuhakikisha ndege zinaruka salama.💯

  • @bundukitv1322
    @bundukitv1322 3 роки тому

    IFUATILIE KWA MAKINI SIMULIZI YA MWANAUME ALIYEPATA BAHATI YA KUOKOTA PESA NYINGI NA VITUKO VILIVYO MPATA BAADAYE👇👇..
    ua-cam.com/video/wWYL7MfewXA/v-deo.html

  • @vybzfaruqh2712
    @vybzfaruqh2712 3 роки тому +3

    Nafurahi kuwaona marubani weusi 🇰🇪🇰🇪

  • @rozina2161
    @rozina2161 Рік тому

    Hongereni ma pilot engineers and all cruel of airport nimejifunza kitu mm hupanda ndege lkn cjui hayo yote sasa nimejua na nime elimika much love from saud arabia🇸🇦

  • @sarafinasise
    @sarafinasise 3 роки тому +5

    I see u my bro @SISE we love u Engineer wetu❤️

  • @salumamour932
    @salumamour932 3 роки тому +3

    Nakubali ndge ndio usafiri salama zaid duniani. Ndege AC moja tu iwe haiwak bas pilot haondoi ndge had itengenezwa. Taa tu moja ikiwa haiwak pia ndge haiwez kuondoka. Ni chombo ambacho kiko katika uangalizi wa hali ya juu zaid

    • @salumamour932
      @salumamour932 3 роки тому +1

      @Mtanzania Halisi kuanguka ni kesi nyngn na ni kitu ambacho huskii mara kwa mara labda ndge leo imeanguka wap na nyngn wap na nyngn sehem flan. Ni jambo ambalo halitokei mara kwa mara kama gar au usafr wa nchi kavu. Na ndio mana ikiwa na kesi ndgo tu hata km kwko unasema aaagh si kitu flan tu bora twende. Bas ndege hua haiondok coz pilot anajua athar huko mbele itakua kubwa na kabeba roho za watu pngn 400

    • @matitutvonline4184
      @matitutvonline4184 3 роки тому

      Mhhh ni hatari japo salama uonavyo hiyo kwanza kuwaka yenyewe wakati ishatua chini ni jambo la kawaida sana

    • @edwardmichael3173
      @edwardmichael3173 Рік тому

      Kiongozi ni salaama kweli lkn ni kwasababu usimamizi na Sheria zinazotumika ni za mbele na wanaongopa wakizingua au wakipuyanga watanyang'anywa vibari na kufungiwa, waje waruhusu tutunge Sheria zetu na kukusimamia wenyewe uone kitakachotokea, unachezea wabongo ww.

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 3 роки тому +4

    Hizi ni interview sasa

  • @-zj2zd
    @-zj2zd Рік тому

    Daah yani brother unajuwa sana kuuliza maswali

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 3 роки тому +2

    Mashallah

  • @Kionambali7
    @Kionambali7 3 роки тому +3

    Hizi ndiyo content zenye afya kwa vijana na Taifa kwa ujumla, zina uwezo wa kuhamasisha watoto na vijana kufanya mambo makubwa sana!!!

  • @lawistruth
    @lawistruth 3 роки тому

    Asante sana tena ni kwa lugha ninaelewa

  • @shedracksoccerconnections1430
    @shedracksoccerconnections1430 3 роки тому

    Akiamungu mungu yan Mungu anawaona, my brother yuko na degree arafu Mnasema mpaka awe na licence Na experience sasa takuwaje Na Iyo experience wakati akija kuaply Kwenye mashilika ya ndege no body care! Apati majibu mwaka wa nne Sasa.
    Pesa ya licence kubwa mno inazidi ata ya mshahara mara mbili ama tatu wakati kamwaga mamilioni kusomea ila amana kazi. Watu wanapeana kazi Kama akuna mtu wa kukubeba apo amna kazi nimeamini.

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 3 роки тому

    Mpo vizuriii sanaaa

  • @neemaprecious2308
    @neemaprecious2308 3 роки тому +2

    I'm so encouraged ✈️

  • @omaryadam8178
    @omaryadam8178 21 день тому +1

    I wish tobe

  • @solemba595
    @solemba595 3 роки тому +3

    Napenda usafiri wa ndege kwaajili ya kufika haraka, lkn hua sipati picha wakati inaPaa, najiuliza Kwann tuache Ardhi?

  • @MajaxiFx
    @MajaxiFx 3 роки тому +6

    NILICHO ONA HIZI NDEGE WAKATI WANTENGENEZA PIA WALIANGLIA SHEPU YA SAMAKI DOLPHINI

    • @youngtaiz8359
      @youngtaiz8359 3 роки тому

      Kabisa

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 3 роки тому +1

      Ndege wamemkopi ndege mnyama pia wamemkopi na samaki coz mimi binafsi AIRCRAFT MECHANICS niliesomea chuo cha ndege

  • @bundukitv1322
    @bundukitv1322 3 роки тому +3

    Enzi za utoto niliendesha Sana ndege KWA kutumia manati...😜

  • @aq_ahmed
    @aq_ahmed 3 роки тому +4

    Binadamu wa kwanza aliebuni na kujaribu ku-fly alikuwa Muislam anaitwa Abbas Ibn Firnas wa Andalusia mnamo 835 AD, Lakini wazungu wanaficha ukweli huo na badala yake wanataja Leonardo Da Vinci mwaka 1505

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 3 роки тому +2

      @Abdulqadir A Ahmed acha udini ungeweza kuelezea wagunduzi bila kutaja dini zao na ukaeleweka tu.

    • @vailetheanyambilile9749
      @vailetheanyambilile9749 3 роки тому

      MWONGO WEWE 🙄🙄😏😏😏😏 tuna jua vizuru mtu aliye tengeneza ndegw

    • @fajanasser8142
      @fajanasser8142 3 роки тому

      Kwa hyo tukusaidieje bro

    • @florestc3961
      @florestc3961 3 роки тому +1

      si hatumtambui huyo mwislamu mwenzako

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      Cha uwongo wewe sasa mbona waislam wengine hawakuendeleza kuzitengeneza hizo ndege aisee ni history za kutaka mtu ajikweze sawa na kusema vitu vingi wakwanza kuvitengeneza ni waafrika na wakati huo huo hakuwapo na muendelezo wa aina yoyote zaidi ya kuponda watu wa aina fulani, hao uwasemao wamebaatika kupata mafuta tu na kubuni kuvaa kanzu tu na mambo ya umbea na unafiki na kuchinja watu na mapanga

  • @bonny-tz2323
    @bonny-tz2323 3 роки тому +2

    Mtangazaj unazingua mwanzon unaoji maswali vizur mwishon unavuruga na kuuliza swal simple sana

  • @blackmamba7553
    @blackmamba7553 3 роки тому +15

    Nilipanga niwe naendesha ndege
    Ila saiv naendeshwa na maisha yangu
    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @hassanmsipi4094
      @hassanmsipi4094 3 роки тому +2

      Ahahahhhhhahhh!!! Kuna mawili usipo shika pesa utashika Adabu

    • @issazakaria863
      @issazakaria863 3 роки тому

      @BLACKMAMBA 😂😂😂😂😂

    • @ivaniavianarodrigo7201
      @ivaniavianarodrigo7201 3 роки тому

      😆😆😆😆 kweli wewe ni black mamba

    • @isabujoisabujo1214
      @isabujoisabujo1214 3 роки тому

      Hatari sana😂😂😂😂😂

    • @thomasraiton7760
      @thomasraiton7760 3 роки тому

      Hassan msipi, kweli bana ndio maana wengi wanalazimisha watu wenye uwezo wao kushika adabu kama wao, ETI HESHIMA IMERUDI

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 роки тому +1

    Hapo ndio patam ayo

  • @aminatundondege9384
    @aminatundondege9384 3 роки тому +1

    Asante wataalam wetu kwa elimu hii...

  • @dajia4787
    @dajia4787 3 роки тому

    interview saf sana

  • @gregoryntibani6640
    @gregoryntibani6640 3 роки тому +4

    Tarehe 17 Desemba 1903, nchini Marekani ndugu wawili Wilbur na Orville Wright walifanikiwa kurusha ndege kwa mara ya kwanza hapa duniani.Siku hiyo Orville ndiye alishika usukani. Hawa ndugu walikuwa mafundi baiskeli.

  • @japhrydocumets3894
    @japhrydocumets3894 3 роки тому +1

    ah kumbe raisi hivi mimi nilisoma HKL ngoja ntafute pesa nizame chuo nile pindi miaka mi 2 tukutane ATCL

  • @goodluckwillium6095
    @goodluckwillium6095 3 роки тому +11

    Wangapi timekuja kwa ajili ya PUA

    • @flowinkilangira1545
      @flowinkilangira1545 3 роки тому

      😂mimi mmoja wapo shekhee

    • @japhetlust5050
      @japhetlust5050 3 роки тому +1

      Nuhhhhh awajamaa wanajua kushawish

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 роки тому +1

      Me nkajua kuna pua ya mtu imekutwa🤣🤣🤣🤣

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 роки тому

      @@ummuhkhalfan5542 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 роки тому

      @@salimsaid7200 yaani nkawa naivutia picha cjui kwa ruban kule cjui kwenye siti za abiria af nafungua naambiwa pua ya ndege aaah🤣🤣🤣

  • @abrahamkimiro9208
    @abrahamkimiro9208 3 роки тому +1

    Side mirrors not site......

  • @adamzachariakinyekile6948
    @adamzachariakinyekile6948 3 роки тому +2

    Gari ikigoma kupiga starting inasukumwa mpaka iwake 😁😁

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 3 роки тому +1

    Kupata mawazo mengi ndio kuwa na maarifa mingi. Lakini ukiamini mtu mmoja tu kua ndio yeye tu na bila yeye ndio hakuna mwengine ujue umepotea na mfinyu WA maarifa.

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 Рік тому

    Kuna historia ya uvumbuzi wa ndege iliyowahusu ndugu mapacha wakijulikana kama Twin Otters yasemekana ndiyo waliyorusha ndege ya kwanza.

  • @josephnchunga1247
    @josephnchunga1247 3 роки тому

    Mi binafsi Nina kupa hongera sana ,tz tunahitaji maruban wengi sana ili kulisukuma hili gurudum la maendeleo

  • @omaritvtz5235
    @omaritvtz5235 3 роки тому +2

    Nimeeelewa

  • @albassambakili3757
    @albassambakili3757 3 роки тому +3

    nitaendesha ndege peponi si lazma hapa

  • @husseinsalimmaula4254
    @husseinsalimmaula4254 3 роки тому

    ✈️✈️✈️✈️✈️✈️✈️✈️✈️

  • @alexurassa3483
    @alexurassa3483 3 роки тому +3

    Ukweli engineer hapo ni mmoja huyo mwenye kipara

  • @radiusrutta7804
    @radiusrutta7804 3 роки тому +1

    Nmesikiliza ila maelezo hayakujitosheleza kwaali hiyo tunaitaji kupata waelimishaji walio elimika zaidi.

  • @faroukrashid5507
    @faroukrashid5507 3 роки тому

    Engineer, futa Hiro neno mipango ya Mungu.
    Kwenye utaalam halikubariki sema unaweza kutokea uzembe.

    • @stephcisse2304
      @stephcisse2304 3 роки тому

      Habari Farouk! Kuna kitu kinaitwa natural disaster, kama upepo mkali, hali ya hewa kuwa mbaya ghafla, lightning strikes and hail strike's, hayo ni mambo ambayo yanaweza sababisha jambo lolote endapo chombo kitashindwa kuhimili. Japokuwa kimeundwa kuweza kuhimili hayo yote.
      Asante

  • @yaqoobalhinai3805
    @yaqoobalhinai3805 3 роки тому +1

    Jamaa hajui kuuliza ebu muulize ndege nikitugani kinafanisha iruke

    • @stephcisse2304
      @stephcisse2304 3 роки тому

      Swali Zuri yaqoob.
      Endelea kufatilia vipindi vyetu kuhisu Ndege, tutakujibu kipindi kijacho.
      Stepheno Sise(AME)

  • @shukurkatembo2807
    @shukurkatembo2807 3 роки тому +1

    Hivi ukiwa pia ni AME je inapotokea unakutana na ndege mpya ambayo hukuwahi kuifanyia kazi unahitaji pia Type Rating kama pilots???

    • @stephcisse2304
      @stephcisse2304 3 роки тому

      Asante sana Shukuru,
      Msingi wa type rating ni kwa wote Marubani na AME's !
      Lazima utahitaji kuwa na tupe rating locense ili uweze kusaign ndege husika

    • @shukurkatembo2807
      @shukurkatembo2807 3 роки тому

      @@stephcisse2304 thanks brother.

  • @msetikebwasi1469
    @msetikebwasi1469 3 роки тому +1

    Mimi ni engineer wa kuhesabu noti ,yani mahela mengi .

  • @gidotesha6083
    @gidotesha6083 3 роки тому +3

    NAULIZA NDEGE INAWEZA KURUDI RIVAS BILA KUSUKUMWA NA KILE KIGARI????

    • @hisanmwakijungu10
      @hisanmwakijungu10 3 роки тому +4

      Ndio inawezekana , kunakitu tunakiita power force riber , ndo kazi yake

    • @richie2544
      @richie2544 3 роки тому +2

      Si ndege zote zinarud reverse ila kuna kitu kinaitwa reverse thrust

    • @suleimanbakari4377
      @suleimanbakari4377 3 роки тому +2

      @@richie2544 uko vizr xna mzee..🙏

  • @matitutvonline4184
    @matitutvonline4184 3 роки тому

    Kiukweli history imefichwa Jambo la ndege history yake inaanzia mjini baghdaad mpaka vita vya cruised, yaani hapo wagunduzi kina Abuu Jaafari kipindi hicho ndio wenye haki , ila wizi waa haki na vita vya hovyo hovyo yote hayo ni dhulma walizozifanya kipindi hicho

  • @najmahamisi3251
    @najmahamisi3251 3 роки тому +2

    Mapua🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Рік тому

    Put ndo nini?.

  • @damianjeremia3821
    @damianjeremia3821 3 роки тому

    Hivi nikirusha ya kwangu itakuwaje kwa mfano

  • @salmaabdull9872
    @salmaabdull9872 3 роки тому +1

    Huyo boy mwembamba aongea Kwa sifa Sana mshamba tu

    • @stephcisse2304
      @stephcisse2304 3 роки тому +2

      Asante sana Salma Abdul, asante kwa maoni yako

    • @arafakiloli749
      @arafakiloli749 3 роки тому +1

      Husda inakusumbua..ongea wew bas, mtu mwenye ndyo kwanza unajifunzia hapa.

    • @salmaabdull9872
      @salmaabdull9872 3 роки тому

      @@arafakiloli749 wacha mbwembwe marehemu ww

    • @arafakiloli749
      @arafakiloli749 3 роки тому

      @@salmaabdull9872 ndiyo mimi marehemu mtarajiwa..hongera yako uliye ubwa ukaepuswa kifo..hiyo yote nikuto jielewa.🤣🤣

    • @salmaabdull9872
      @salmaabdull9872 3 роки тому

      @@arafakiloli749 nyamaza ngurue ulie laniwa na Mola wako

  • @robinsonmaleo37
    @robinsonmaleo37 3 роки тому

    Ni side mirror mjomba sio site mirror😂😂😂

  • @aderickfrank4611
    @aderickfrank4611 3 роки тому +2

    Halafu millard na crew nzima hivi nmeshindwa nn kuonyesha na picha Tena video kabisa kuelekea kwa undani hzo wing walkers,nose,landing gia, vertical sijui na kadhalika au hamrUhusiwi?mnazingua sana

  • @eenpaard3915
    @eenpaard3915 3 роки тому +1

    Niko tayari sasa kurusha ndege baada video hii

  • @salmaabdull9872
    @salmaabdull9872 3 роки тому

    Hakuna binadamu alikua ataka kuruka kama ndege wazo la ndege lilitokana wakati ndovu anataka kuvunja alkaba mwenyezi Mungu akateremsha ndege kumpura maweeee ndio mzungu akaona atengeze ndege ili zipate kushinda kwenye vita hao wasome vizuri

    • @salumamour932
      @salumamour932 3 роки тому +1

      Yeah ndge iliundwa kwa ajili ya vita

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 роки тому

    Waafrika kazi yetu ni kusoma tu vitu vingine pasua kichwa na lawama kibao

    • @stephcisse2304
      @stephcisse2304 3 роки тому

      Habari Mika, bila shaka wote tutaibadili taswira ya Afrika kama tukiamua kuthubutu.
      Stepheno Sise(AME)

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      Kama ni mtu mweusi ndiye mwenye idea hiyo basi tungali ona vitu vya mtindo huo vingi zaidi tangu mpaka hivi leo walau ata visingali fanana moja kwa moja na vilivyo kwishagaibiwa kwa maana ya kufanana kwa mtindo au shape kwani siku zote mwanga haujifichi . Bro sisi tunapenda sana kulalamika alafu hakuna kipya na cha ajabu katika sisi na hatuwezi kuviinua vilivyo vyetu tunategemea tuinuliwe na mara nyingi watu weusi upenda kujisifu tu nimesoma America mara ulaya mara uchina kwanini waafrika wenyewe tusiwe tunajisifu kusoma katika vyuo vyetu aisee lakin pamoja yakupata nafasi ya kuingia kwa hao walio tuibia lakin bado hatuna maajatu yoyote zaidi tu ya kulalamika tena kujifanya wajuaji kisha na kilimbukia ktk siasa aisee sasa mimi ninashanga sana , kwani hao watu weupe si binadamu kama watu weusi au hao ni malaika ? kama sio ni kwanini mtu mweusi hakomi kumlalamika mtu mweupe sasa umeibiwa vipi ? wakati nawe una akili na maharifa kama binadamu wengine kwanini tangu sasa mtu mweusi asijitengenezei vilivyo wake tena vya kushangaza ulimwengu km watu hao tunao walalamika .. Mtu mbunifu si lahisi kukupa siri ya ubunifu wake zaidi inatakiwa wewe nawe ufanye jitiada zako , basi kama uliibiwa unatakiwa uonyeshe nguvu yako ya kipawa chako nasi kulalamika na kuombaomba teknologia , teknologia wao waliipata kwa kutafuta basi na wewe vile vile utanakiwa uitafute kama walivyo itafuta wao ata kwa kuiba basi na wewe yataka ufanye hivyo kwa akili na maharifa yako yote usingoje utafuniwe kisha umeze kwa ulahisi , Waafrika tuache mambo ya story za kubuni na kulalamika ni ishara ya uwoga na ujinga.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      @@stephcisse2304 Ni kweli Kaka hilo ndilo Neno na inawezekana lakin si kuendekeza kulalamika aisee mimi inaniuma sana kwanini sisi waafrika tunaendekeza mambo ya uwongo na kulalamika kila kukicha

  • @mwanaidizumo6364
    @mwanaidizumo6364 3 роки тому

    M

  • @anoldjefsta177
    @anoldjefsta177 3 роки тому

    Sio saiti ni side

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 3 роки тому +1

    Hawa kama ni engineer wa ndege watengenezee watanzania ndege iruke.

    • @richie2544
      @richie2544 3 роки тому +3

      Siyo rahis hivyo kk

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 3 роки тому

      @@richie2544 Basi hawa si engineer wa Ndege. Kwani engineer wa majengo wanatengeneza maghorofa, na tunayaona, vile vile engineer wa barabara tunaziona, sasa hawa engineer wa ndege kweli? Ni vyema wakajiita mafundi wa service ya ndege.

    • @furahamwangosi3896
      @furahamwangosi3896 3 роки тому

      @@edwinalexander1170 😂😂😂😂😂

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 роки тому +2

      @@edwinalexander1170 HAWA NDUGU YANGU NI KAMA MECANIC WA MAGARI ANAJUWA KUTENGENEZA GARI LAKINI HAWAWEZI KUUNDA GARI.

    • @stephcisse2304
      @stephcisse2304 3 роки тому +1

      Edwin alexander, habari yako asante kwa swali lako,
      Unapozungumzia ndege, kuna enginees wengi wanahusika mpka unaiona inaruka.
      Kuna--Design/construction engineers wanaotoka(Design organisation"part 21"subpart J) hwana huusika na design ya model ya ndege. Part 21 sbpart G hawa na manufacturers wa aircraft parts ambao ndio haswaa hutengeneza sehemu zinazounda ndege.
      Kuna---- Avionics/electrical engineers hawa ni wataalamu wa umeme wa ndege.
      Kuna---Mechanical engineers ambao hudeal na mechanical parts za ndege.
      Jibu la swali lako! Kuna special trainings zinazozalisha aeronautical design engineers ambayo sisi hatujaamua kwenda huko.
      Sisi tuliamua kusomea Aircraft Maintenance ambayo pia huwezi fanya kazi bila kuwa na leseni ambayo itabidi upitie mchakato wote mpka kuipata.
      Ninaimani nimekujibu vizuri ila endelea kutufatilia ili kujifunza mengi zaidi.
      Asante sana kwa maoni.
      Stepheno Sise.(AME)

  • @serijofesto9068
    @serijofesto9068 3 роки тому

    Kwa hiyo
    Kila fundi Ni injinia au

    • @stephcisse2304
      @stephcisse2304 3 роки тому +1

      Habari ndugu,
      Sio kweli kwamba kila fundi ni engineer.

  • @paulopetro1488
    @paulopetro1488 3 роки тому +1

    𝙒𝙚𝙣𝙯𝙖𝙣𝙜𝙪 𝙣𝙮𝙞𝙚 𝙢𝙣𝙖𝙤𝙣𝙖 𝙥𝙪𝙖🤔

  • @paulokivema370
    @paulokivema370 3 роки тому

    Injin ya ndege ina valve ngap na piston ngap?

    • @abdallaameir3153
      @abdallaameir3153 3 роки тому +1

      Kaka engine za sasa ndege hazina piston maana ni jet engine

    • @stephcisse2304
      @stephcisse2304 3 роки тому +2

      Habari paulo.
      Engines za ndege zipo za muundo tofauti.
      1.piston engines(Ndege ndogo sana zinazo hizi)
      2.Gas turban engines( zinazofuata operation cycle ya Bryton cycle)
      Kuhusu Valves ngapi na piston ngapi itakupasa kusoma kitabu special AMM ya engine husika kijua hayo.
      Tunafanya kazi kwa miongozo muhimu ili kudhibiti ubora na makosa ya kibinadamu. Asante
      Stepheno Sise(AME)