IPM MIMI KAMA MCHUNGAJI SIWEZI KUKAA KIMYA SAKATA LA BEATRICE NA MATHA MWAIPAJA LAZIMA NISEME UKWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 185

  • @agnesngailo3921
    @agnesngailo3921 18 днів тому

    👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼 Mungu akubariki sana baba umejibu vyema sana tuko pamoja sana umesema point zote baba Mungu akutunze 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila hapo kwenye komweee yeah ni kweli tuheshimiane jamaniii maisha upangwa na Mungu ndugu zangu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Nakupenda sana baba mchungaji Mungu akubariki zaidi na kukuzidishia ulinzi 🙏🏼

  • @gracekasereka3177
    @gracekasereka3177 Місяць тому +2

    Amen ubarikiwe sana Pastor Mungu akubariki sana mutumishi sana unasema kama ilivyo haja ya moyo wangu

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r Місяць тому +2

    Amina,ths guy shld b broadcasted i all tv channels n radio stations all ovr the world,l can listen to ths piece 24/7 hongera reporter kulete watu wa hekima kama huyu IPM 🎉🎉maua yko,b blessd 🇰🇪

  • @IsaacBenesia
    @IsaacBenesia Місяць тому +5

    Be blessed man of God,may God give you more wisdom,umenibariki pia n mim

  • @selinageogre2881
    @selinageogre2881 Місяць тому +8

    Ubarikiwe Mtumishi umeongea point kubwa sana ni kuwaombea tu mengine anajua Mungu

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Місяць тому +17

    IPM kichwa sana halafu harembi anachana live. Like you much

  • @ChristaHaule-wq7hd
    @ChristaHaule-wq7hd Місяць тому +8

    Nimekupenda bure.Mwenyezi Mungu akubariki na uzao wako

  • @NelsonBrydon
    @NelsonBrydon Місяць тому +2

    Big up you say the truth pastor God bless u

  • @EliasifiweMsuya-lv2jt
    @EliasifiweMsuya-lv2jt Місяць тому +2

    Aminaa Mtumishi Ubarikiwe sana kwa hekima❤❤

  • @NaphatiProjestus
    @NaphatiProjestus Місяць тому +8

    Asante kaka kwa maneno yako wakuelewa aelewe

  • @innorhilamethyst7800
    @innorhilamethyst7800 Місяць тому +8

    Huyu ni mtu wa kwanza amejibu kwa akili sana.

    • @ChristineKesi-k9r
      @ChristineKesi-k9r Місяць тому

      Mara ya kuskia mtumishi ksongea kuwaendeleza kanisa,b blessd, great man of wisdom, nisaidie na contacts za huyu kiongozi

    • @ChristineKesi-k9r
      @ChristineKesi-k9r Місяць тому

      Usimkatie tamaa kiumbe anaye pumua🙏

  • @EstherMbwana-o8c
    @EstherMbwana-o8c Місяць тому +4

    IPM yupo vizur mnooo❤

  • @ElizabethMakong-en3nq
    @ElizabethMakong-en3nq Місяць тому +5

    This so very powerful mm nimefika tu mahali kiburi ikashuka naona kila hatua ni Maombi tu umenifundisha kuishi na watu kwa hekima hapo kwa ukibarikiwa pea watu vitu apo umenipa kufunguka macho ata maadui wasamehe na kuwatenda mema yani usibebe mtu moyoni mwako ishi maisha free Amen 🙏

  • @faithmaiseli609
    @faithmaiseli609 27 днів тому

    Namkubali sana IPM,huwa anaongea ukweli mtupu

  • @UpendoJoseph-b3z
    @UpendoJoseph-b3z 29 днів тому

    Mungu akubariki pastor

  • @tareqnahad-gd5mb
    @tareqnahad-gd5mb Місяць тому +1

    IPM daaaaah barikiwa sana

  • @bertillasixbert5362
    @bertillasixbert5362 27 днів тому

    Imeipenda sana hekima yako❤❤❤

  • @laurentnjau
    @laurentnjau Місяць тому

    Exlent IPM long life brother

  • @Devota-mr6ng
    @Devota-mr6ng Місяць тому +7

    Hongera mchungaji kwa maneno ya hekima naamini wataona watasameheana

  • @EsterLipamba
    @EsterLipamba Місяць тому +1

    Umeongea point sana Prophet IPM 🎉🎉🎉

  • @JacklineKimaro-o6y
    @JacklineKimaro-o6y Місяць тому +1

    Umenena vyema mtumishi wa Mungu

  • @FatumaMwandendi
    @FatumaMwandendi Місяць тому +1

    Amina baba MUNGU akuongeze ck za kuishi nimejifunza kitu kutoka kwako

  • @BenadetaUshacky
    @BenadetaUshacky Місяць тому +2

    Majibu ya hekma sana hayo. 💐

  • @tareqnahad-gd5mb
    @tareqnahad-gd5mb Місяць тому

    brother ur the best 💪

  • @RoroAlroro-i2v
    @RoroAlroro-i2v Місяць тому +2

    Wow congrats manyanya🎉🎉

  • @AnnastaziaJeremiah-ch3vx
    @AnnastaziaJeremiah-ch3vx Місяць тому +1

    Mungu akubariki kwa hekima prophet IPM

  • @EdwardGodfrey-i2j
    @EdwardGodfrey-i2j Місяць тому +3

    Tru mtumishi wa Mungu

  • @WilliamShigi-g7m
    @WilliamShigi-g7m Місяць тому +1

    Baba upo vizur nimekuelewa sana asee🙏

  • @BOSCONCHALIJA
    @BOSCONCHALIJA Місяць тому

    Kabsa it's true my lovely pastor

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 Місяць тому +5

    Hapo kwenye komwe mchungaji😅😅

  • @bitonmwansile5681
    @bitonmwansile5681 Місяць тому +3

    Hakika ujumbe muhimu sana.barikiwa

  • @NasraAjiMwanjera
    @NasraAjiMwanjera Місяць тому +1

    Amina mungu awasaidie hawa wanyakyusa wenzangu hili nijaribu tu la shetena wala si mtt joani bari shetani tu yupo kazini mungu atawapatanisha wataishi kwa fura😂

  • @RollianusLadislaus
    @RollianusLadislaus 8 днів тому

    Ubarikiwe baba

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu Місяць тому +3

    Big up 👏

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r Місяць тому +3

    Acha kuamini muujiza,muujiza wenyewe halisi ni ww,hivi watu kama hawa huwa wapo,eeh nimependa

  • @RuthmilangoMkiramweni
    @RuthmilangoMkiramweni Місяць тому

    Hapo tu ndio nakuelewa barikiwa sana

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Місяць тому

    Nakweli ase😂maana hawa mabnt wamejua mpk kufunika sakata la mbowe,,,,,,,,,sjui alijibunn mbowe maana skupata tena updated yyte zaid ya hawa mabnt😂

  • @shedrackmikachikwankala1741
    @shedrackmikachikwankala1741 Місяць тому

    ...wa UDOM Tz;
    Nimekamata hapo pa "Dunia ni vita....asiyefaa leo anaweza kufaa kesho"
    Umeongea vizuri mnoo,
    Wewe ni Pastor kweli!
    ...hujawa upande wowote kati ya hao wadada!
    Mfano wa Yusufu umeniongezea wigo wa kujua moja ya vyanzo vya vita vya ndugu katika maisha!

  • @obedymwilenga7490
    @obedymwilenga7490 Місяць тому +2

    Waooh ndo maana huwa nakufuatilia sana pasta IPM NAKUKUBALI SANA

  • @gideongerald2846
    @gideongerald2846 Місяць тому

    Umeongea vizuri APM watumishi wengi wakubwa wanapenda wasaidizi wao wawe kama chawa wao tu was iwe na chochote wewe una mawazo ya mbinguni. Asee

  • @NeemaOmary-y2g
    @NeemaOmary-y2g Місяць тому

    Umenifurahisha mno

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 Місяць тому

    IMP LEO UMETEMA MDINIIII❤❤❤❤❤??????

  • @AmosLeonard-e6l
    @AmosLeonard-e6l Місяць тому +1

    Mchungaji barikiwa sana

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 29 днів тому

    Ndiyowasamehehane❤😢

  • @msbmedia2346
    @msbmedia2346 Місяць тому

    IPM UBARIKIWE NA MUNGU

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l Місяць тому

    Hongera mchungaji 🎉🎉🎉🎉

  • @rebekaadorphine8296
    @rebekaadorphine8296 Місяць тому

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @Fulujensikosmas
    @Fulujensikosmas Місяць тому +1

    mchungaj umeongea maneno mazuli sana kwa hawa wanao ongelea kuhusu matha maipaja

  • @JanethMadios
    @JanethMadios Місяць тому

    Ili libaba nalipenda bure jamani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @matildamsekele6221
    @matildamsekele6221 Місяць тому +2

    IPM kweli wewe mtumishi wa Mungu msema ukweli, naomba watanzania wasichochee ugomvi wa Martha na Beatrice kwani hao ni Ndugu

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg Місяць тому

    Upo sahii mtumishi

  • @NasraAjiMwanjera
    @NasraAjiMwanjera Місяць тому

    Ubarikiwe sn

  • @Praise-pe7py
    @Praise-pe7py Місяць тому

    Aiseee umenena vizuriiii

  • @obbyguy255
    @obbyguy255 29 днів тому

    ETI komwe kubwa 😂😂😂

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki Місяць тому

    Uko sawa mchungaji nikuwaombea mungu kwani mwenyezi mungu nimwingi wa heri wakimshirikisha mweznyezi mungu in sha alah wataungana

  • @nakuamakoko9496
    @nakuamakoko9496 Місяць тому

    Usimkatie tamaa mtu anayepumuwa, kwasababu hatma ya kiumbe kinacho pumuwa ni mwenyezimungu SWT ndio mwenye hatma kila kiumbe kinachopumuwa na Sio binadamu mwenzio.

  • @Godishereforus
    @Godishereforus Місяць тому

    Glory be to God.
    Yesu Kristo ni Bwana na mwokozi wangu.
    Tujitahi kutofananisha mambo ya Mungu na mambo yakiduniani. Mambo ya Mungu ni kiroho Amen.

  • @osumsafi2095
    @osumsafi2095 Місяць тому

    Dah wew kweli akili kubwa 🙏🙏🙏🙏

  • @ElizaJack-c1j
    @ElizaJack-c1j Місяць тому

    Ubarîkiwe chungaji kwa hekima kubwaga iliyonayo mtumishi

  • @NasraAjiMwanjera
    @NasraAjiMwanjera Місяць тому

    Unarikiwe sna

  • @obeidkasuga9540
    @obeidkasuga9540 Місяць тому +1

    Manyanya uko vizuri

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo Місяць тому

    Asante asante.mitandaoni sio kwA kuamini kabisa watu wana pupa.hata mama yake hamjitambui kama anamuheshimu mwanae akae kitini wazungumze sio kuposti mitandaoni upuuzi mtupu

  • @MeshakiJuma
    @MeshakiJuma Місяць тому

    Mungu yupo mungu ajalibiwi

  • @JACQUILLINEMETHORD
    @JACQUILLINEMETHORD Місяць тому

    Point taken

  • @godfreymusungu
    @godfreymusungu Місяць тому +1

    Ipm waambie, wasikie, labda mmoja wao ako sehemu ya pili😂

  • @JoaomarcelinoRumba-sz3ql
    @JoaomarcelinoRumba-sz3ql Місяць тому

    Ipm nakupenda sana 🎉🎉🎉🎉

  • @faredamobilo3678
    @faredamobilo3678 Місяць тому

    😢, dada mw8kbanji nsomba hurudi nyumnani kwa wazaxi na pia kwa kanisq nk msamaha ni ibada,kustamiki ayo yote pia no ibada nk kwa mana ni mama hata hafe leo utskuwa mngeni wanani dunisni ? Hebu fikiria how alivyoteseka na ww na oia pesa siyo hai la niateso ni mda tu ,rudi bila hofu wacha na huyo joan suyo mungu su siyf sliyekywa dani ya mamako la.ni jitu au ni shetani huko kuximu ila ikiwa ww ni hodati wa nyimbo pia mani % kwa hivyo utamshida nguvu na huwezo akiyr hai kwa nins lz yesu! Yani jifundishe kunyajaxa sasa ww kuwa mfano sawa na pia yuko mwrnye kupingana na wao ni yye baba siyo wewe,sasa why dont rrcal back you're songs b4!

  • @MariamWiliam-z8k
    @MariamWiliam-z8k Місяць тому +1

    Kiukweli ugomv wandugu ni uongo ila kwakuwa wameliweka wazi tunatoa ushauri nakuwaombea tu,pia matha asimchukie mama kupitia mdogo wake

  • @RizikiAnna-h3t
    @RizikiAnna-h3t 26 днів тому

    Amena sana

  • @MeryKasoki
    @MeryKasoki Місяць тому

    Una sema kweli tubaache .ni damu moja..baka penda Bana uwana hatuba jali..Niko Congo..

  • @WhiteMgeni
    @WhiteMgeni 29 днів тому

    Pasta upo vizuri ila watu hawakuelewa alikua anaomba msaada wa maombi kumwombee dada yake

  • @julietkandira
    @julietkandira Місяць тому

    Ukweli ni huu bwana mungu anasema hivi ,moyo wa mwanadamu ni muovu na unadiri nzito ila mungu anaujua moyo wa kila mtu .yusufu kapelekwa hadi gereza kwa tuhuma za ubakaji japo mungu alikuwa na uwezo ila aliruhusu ,martha yale tusio weza yaona biniadamu kwa siri anayaona mungu huu ni wakati wa imani yako kupita katika moto usimwache mungu

  • @DimpozJeremaya
    @DimpozJeremaya Місяць тому +1

    Vipi brot

  • @SuzanShayo
    @SuzanShayo 26 днів тому

    Ameni baba

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp Місяць тому

    Mtangazaji unajalibu Kumupeleka IPM unapo taka wewe ila Anakukwepa alafu kisomi

  • @OswardGaudence-gn4lo
    @OswardGaudence-gn4lo Місяць тому

    Point sana

  • @DusabeNtamunti-sn6om
    @DusabeNtamunti-sn6om Місяць тому

    Pongezi nzurisana

  • @KelvinWilson-s8e
    @KelvinWilson-s8e Місяць тому

    Unaongea point sana ila fanya hivyo nawewe kaka waumini si unao

  • @yeyijikabemba
    @yeyijikabemba Місяць тому

    Ubarikiwe saaaaaaaaaana

  • @Madamletty
    @Madamletty Місяць тому

    Nataman watumishi wote walioliongelea suala la Martha wangekuja kuazima hekima kwako

  • @KaviraEsther-kf2dz
    @KaviraEsther-kf2dz Місяць тому

    Amen papa

  • @neemalkiswaga6126
    @neemalkiswaga6126 Місяць тому

    Asanteh mchungaji❤

  • @topscoretanzania4889
    @topscoretanzania4889 Місяць тому

    Hii sakata ni dalili ya wazi kabisa ya afya ya akili. pande zote wanahitaji counselling

  • @Fulujensikosmas
    @Fulujensikosmas Місяць тому +1

    mm naitwa fulujensi cosmas matha kwenye mafanio hapakos fitina haya maneno yanayo endelea ww na mama yako yataisha tu

  • @HellenSulle-m7t
    @HellenSulle-m7t Місяць тому +2

    Mama yao ameshamaliza kila kitu amesema ukweli wote kilichobaki Mungu aingilie kati

    • @Nicetha-p2n
      @Nicetha-p2n Місяць тому

      Sio mama kumaliza, huwezi jua kuna shida gani, wanasema mama hakosei, lakini unaweza kuta uyo mama sio mtu, kuna kitu nyuma ya pazia

  • @Janeth-y5m
    @Janeth-y5m Місяць тому

    Maneno ya hekima kabisa ubarikiwe wewe tu ndie
    Maneno ya hekima kabisa ubarikiwe

  • @manenosarah7440
    @manenosarah7440 Місяць тому

    Iyo ni kweli kabisaaa

  • @FredPhillipo
    @FredPhillipo Місяць тому

    Big up

  • @JudithNongwa
    @JudithNongwa Місяць тому

    Ameeni❤

  • @EzekielKandonga
    @EzekielKandonga Місяць тому +1

    Hekima kubwa hapo IPM❤

  • @sophiakimashi-od2sq
    @sophiakimashi-od2sq Місяць тому

    Asante sana

  • @anociathafidel2239
    @anociathafidel2239 Місяць тому

    Ipm nakukubali sana kwa hekima zako

  • @NeemaOmary-y2g
    @NeemaOmary-y2g Місяць тому

    Mtandaoni siyo sehem ya kuZungumza familia yako😊

  • @NeemaOmary-y2g
    @NeemaOmary-y2g Місяць тому

    Mama matha hajielewi

  • @getrudewillson308
    @getrudewillson308 22 дні тому

    Kuomba kuomba kuombea kweli asa kumkonboa matha akombolewe.

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma Місяць тому

    😂😂😂😂Eti komwe mkubwa

  • @RizikiShabani-f8f
    @RizikiShabani-f8f Місяць тому

    Amina.amina

  • @RusyJackson
    @RusyJackson Місяць тому +1

    🙏🙏🙏👏

  • @EstarSilla
    @EstarSilla Місяць тому

    Asante

  • @PurityMusyoka-n6q
    @PurityMusyoka-n6q Місяць тому

    Mme wa yaaaani wa waume my manyanya