MAPYA YAIBUKA KUHUSU MATHA MWAIPAJA, PASTOR CASSIAN AFICHUA MAZITO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 124

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Місяць тому +12

    Bora,unawafahamu vizuri.Shetani amemfuatilia sanaa Marha.Ww mtumishi una nafasi kubwa ya kumrejesha Marha kwa uwezo was Mungu.

  • @AmosiHodi
    @AmosiHodi 24 дні тому

    Mama angu piga kazi wanadamu wanamaneno ila mungu analo neno usiwajibu kwa neno lolote mungu mwenyewe atakujibiya ❤❤❤❤❤❤

  • @NelsonMwaipaja
    @NelsonMwaipaja 17 днів тому

    Cassian huwa halei ubovu na huyu ni mmoja kati ya watumishi wa mungu waliotumwa kuokoa vizazi vilivyopotea shukrani 👏

  • @ALISTIDIALICAS
    @ALISTIDIALICAS 19 днів тому

    Dada angu matha usiogope inua macho mtazame mungu sio wanadamu,tafuta kupata neno kwa mungu na usiichukie familia Yako jiombee na kuiombea familia Yako mm maombi yangu mungu akukumbuke huo ni mwba wako usiwajibu mwache mungu ajibu mwenyewe

  • @StephenSelelya
    @StephenSelelya Місяць тому

    Hongera sana Ps. Cassian umeongea kweli kuhusu kuingilia kwa pupa ndoa za watu!

  • @lissambukilo9696
    @lissambukilo9696 Місяць тому +11

    Mungu arejeshe yote yaliyo potea kwenye familia

  • @janenelsonmwashitete5488
    @janenelsonmwashitete5488 Місяць тому +7

    Amen Paschal nimejifunza kitu 🤝🤝

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому +4

    Martha anaharibiwa na watu wengine siyo Martha. Watuwengine wanaharibu sana maisha ya Martha.

  • @KINGABUMEKAR
    @KINGABUMEKAR Місяць тому +22

    WA KWANZA KUANGALIAA KUTOKAA DAR ES SALAAM NAOMBA LIKES ZANGU

  • @PriscaJohn-s5n
    @PriscaJohn-s5n Місяць тому +4

    This man of God is so brighter

  • @annettemalechela7543
    @annettemalechela7543 Місяць тому +21

    Jamani msaidieni martha kiroho anahitaji msaada kiukweli namfunika na damu ya Yesu

    • @geoffreykamwavah6987
      @geoffreykamwavah6987 27 днів тому

      Mungu awasaidie, kama anasaidika.
      Mtego alioingia unahitaji yeye mwenyewe ajinasue

  • @marysola5302
    @marysola5302 Місяць тому

    Through trauma you can turn to blessings and there are few people can do that. May God bless her more ❤

  • @GodsonMwangatwa
    @GodsonMwangatwa 25 днів тому

    Ubarikiwe mchungaji

  • @ValentinLuísMualabo
    @ValentinLuísMualabo Місяць тому +9

    Joan sio Mtu wa kawaida ni Pepo katumwa ili kufarakanisha Family

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 Місяць тому +3

    Ni kweli KABISA 💯 Mtumishi wa Mungu 🙏

  • @isayalemberua9195
    @isayalemberua9195 Місяць тому +4

    Bwana yesu asifiwe sana mtumishi wa Bwana pamoja na mwandishi wahabari mwambiyeni tu abadilike maana yeye ni mwakilishi wa yesu

    • @Chery_cherryy
      @Chery_cherryy Місяць тому +1

      Ni Yesu sio yesu

    • @JoeZeno-q1b
      @JoeZeno-q1b Місяць тому +1

      @@Chery_cherryy👍🏿👏🏿✊🏿

    • @shadrackkassale2968
      @shadrackkassale2968 Місяць тому +1

      Andika Yesu sio yesu Kwan watu hamjafundishwa hata nomino huko mashuleni??

  • @ElenaPetro-n4i
    @ElenaPetro-n4i 13 днів тому

    Aombe rehema kwa mungu

  • @NuruManyota-y8g
    @NuruManyota-y8g 19 днів тому

    Point

  • @FlorenceOnyango-e2l
    @FlorenceOnyango-e2l 23 дні тому

    Vita ni via bwana martha ni ngumu but muone tu yesu msalabani kwa sasa madui wako wamekuja kwa njia moja but muda si muda watagawanyika kwa njia saba

  • @pascalumira7271
    @pascalumira7271 Місяць тому +1

    Ohh nika sema nime elewa BWANA baadaye neno lika ni ijia tena maandiko sasa ya Martha mwapaja ni dina yao ka watoto wa yakobo walimpikania dina walipo muharibuu nimekuta kuna mambo juu ya dada mart lazima awa sikie watumishi wa MUNGU. mimi ni wa congo watumishi wa MUNGU Tanzania muendelee hivo awabari BWANA YESU KRISTO

  • @malkiadmulda2620
    @malkiadmulda2620 2 дні тому

    Pastor cassian nimeona hekima yako

  • @AggyCharo
    @AggyCharo Місяць тому

    Kanisa la mungu limkumbke dada yetu na maombi ju n ngumu kumeza ata ka niwewe dadako alale na bwanako hua inauma sana na nikitu kusahau n ngumu,alaf tuongelelee upande wote watumishi wa mungu c kumoja tuu.

  • @melidamwamlenga3751
    @melidamwamlenga3751 Місяць тому +1

    Yaaani kaka paschal ninatamani wewe ungekuwa karibu ningekufuata unielekeze ninamna gani naweza kuwa muimbaji mzuri na nikakubalika mimi ni mwimbaji mzuri sana ila situmii kipaji changu ipasavyooo japokuwa kwaya ninaimba na sehemu mbalimbali napenda kuimba sana

  • @VeronikaCharles-d9h
    @VeronikaCharles-d9h 17 днів тому

    Mch naomba namba yako tuwasiliane kitumishi tafadhar baba

  • @SuzanaKatemi
    @SuzanaKatemi Місяць тому

    Asante mung

  • @virexmochama1112
    @virexmochama1112 Місяць тому +1

    asante muchungaji

  • @ebennbenn8638
    @ebennbenn8638 Місяць тому

    nimekuelewa sana mtumishi

  • @LukasJohn-k2b
    @LukasJohn-k2b Місяць тому +1

    Na kweriiii watu wengi wanaaribiwa na nguvu za kiro kikubwa ni kuwa kweriiii kwa mungu wako basii

  • @marthamelle7928
    @marthamelle7928 Місяць тому +1

    Ila jaman kwahyo kila mtu saiv anamuongelea Martha ila waandishi wa habari 😂

  • @wisdomgood4226
    @wisdomgood4226 Місяць тому

    Martha anapanda chewu Kama anamtumikia Mungu wa kweli

  • @marryjames-wl7be
    @marryjames-wl7be Місяць тому +4

    Sema mm nilichokuwa najiuliza kwa huyu Dada mbona nyimbo zote kama za manung'uniko sana, MUNGU amvushe tu

  • @gloriaamase9764
    @gloriaamase9764 Місяць тому

    Asante kwa mafunzo umeongea ukweli

  • @pascalumira7271
    @pascalumira7271 Місяць тому +1

    Nina eleza kidogo niliyo sikia ni mengi sababu nili bishana na watumishi wa MUNGU pascal na fostino ila BWANA YESU ameni zuiya sana sana na kuni elewesha nawa shukuru kwa upende wenu kwa dada wenu mubarikiwe naitwa umira pascal DRCONGO

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Місяць тому +8

    Very true
    Mtu anaimba anayoyapitia ,uchungu mwingi halafu unasema eti ni gospel
    Kumbe ile roho inasambaa

    • @pendochimammy5013
      @pendochimammy5013 Місяць тому +2

      Kumbe pia ww unaufunuo na nyimbo zake ni stori ya maisha

    • @Graceyusuphh
      @Graceyusuphh Місяць тому

      Ndo maana tuwe makin na nymbo za din.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 Місяць тому

      Mpk mipasho km nn yan mpk nkawa nachukia

    • @RenymoneyOg
      @RenymoneyOg Місяць тому

      Beatrice mbona kaimba aliyo yapitia au unaleta ujinga tuu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому +3

    Martha anachafuriwa sana ni mdogo wake na mama. Pole sana Martha kwa majeruhi mengi.

  • @uncutit1995
    @uncutit1995 Місяць тому

    What if those other people were very helpful to her while growing more than what her family did. Let God be the ultimate judge not us human beings

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 Місяць тому +7

    Mpaka ambuke hivi ni kwambwa mungu kamuumbua unafanya ujinga baadaae shetani anakuweka wazi shetani hanaga urafiki alafu mjue shetani slikua mwana wa mungu tuwe naye makini kueni makini na huyu jamaa mimi nilisha mgunndua sina urafi naya kabisaaaa

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 Місяць тому +1

    Kila mtu sasa anaongea, why? Bcoz the devil is at large using that door open through Beatrice. 😢😢😢😢😢

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Місяць тому +4

    Freemason.Tanzania.imeshauawa watanzania wanavotaka wawe mafreemasoniki Tanzania waanze kuomba.uraia nchi nyingine Tanzania na ufreemasoniki hapatakalika walinzi Tanzania wamechachamamaa freemasoni Tanzania mtagongwa.hatari.bora muondoke Tanzania au muokoke mafreemasoniki mnaoishi.Tanzania.msipookoka mtapatashida sana

    • @nangasumhando
      @nangasumhando Місяць тому

      We ni zeroooo

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 Місяць тому

      @@nangasumhando mm zerooooo kama wewe umejiunga freemasoni subiri.ujionee.shosho Tanzania

  • @meshackjordan3925
    @meshackjordan3925 Місяць тому

    Amini unasema kweli hata mie huku nahudhunika ,kwasabu napenda song zake, na huduma zake wanatulizaa sana

  • @Mushidebb
    @Mushidebb 26 днів тому

    Jamani waafrica tubadilike kusaidiwa sio lazima

  • @romeodickson5687
    @romeodickson5687 Місяць тому

    Very wise man

  • @irenemkuchu
    @irenemkuchu Місяць тому

    Pastor naomba kujua kanisa lako lilipo

  • @FlorenceOnyango-e2l
    @FlorenceOnyango-e2l 23 дні тому

    Hata wewe pastor jua hauko perfectly Acha mungu ndio Judge ukim Judge wewe nani ataku Judge mbona unapigana na nuru wa mungu

  • @AgnesMmila-t4p
    @AgnesMmila-t4p 23 дні тому

    MUNGU atusamehe wanawake maana hakuna mkamilifu ila MUNGU tu

  • @jonathanmanyang5521
    @jonathanmanyang5521 Місяць тому

    Sawa Pastor

  • @GIDIONMWANGUNGA
    @GIDIONMWANGUNGA Місяць тому

    Daa kweli huyu matha anahitaj maomb

  • @ValentinLuísMualabo
    @ValentinLuísMualabo Місяць тому +2

    Joan vs Martha waomvewe sio kawaida,Serekali ingilie Kati kuntoa Joan nyumbani Kwa Martha.

  • @zakazitanzania1565
    @zakazitanzania1565 Місяць тому

    Kama msaada anautaka aanze upya na Yesu, kuanza upya sio kosa, kosa ni kukataa Kurudi kwa Yesu, ili amtengeneze. Zaburi 107:17-20

  • @PhilemonProsper
    @PhilemonProsper Місяць тому

    Amen

  • @allyissa7563
    @allyissa7563 Місяць тому

    Nimekuelewa mchungaji

  • @AldoMwalongo
    @AldoMwalongo Місяць тому

    Kwa nini haya yatokee naona maisha ya kaini na abeli kwenye hiyo familia hatuna uhalisia wahaya lakini wambea husema ukweli tatizo lao ni kufikisha ujumbe bila kuagizwa .au kufikisha kwa mtu ambaye hakustahili kupewa taarifa ila mama ni mama 😂😂

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc Місяць тому +1

    WOLPER UKO WAPI NA VILE ULIKUA KIHEREHERE NA KUJA MITANDAONI KUSEMA WAMJUA MARTHA HAYA.....MAMBO HAYO!!!!

  • @jackilinuniqueleonard5061
    @jackilinuniqueleonard5061 Місяць тому +1

    Kati ya waimbaji waliokuwaga wananikosha ni matha ...shusho...na bukuku ila nw matha pita hivii

  • @victoriamuinde4098
    @victoriamuinde4098 Місяць тому

    Ama huyu Joan amatumwa kutoka kuzimu kumwigiza kwa lesbiansm na kuvunja ndoa yake? Yatima akipita miaka 18 ni mtu mzima anaweza kujitegemea si wa kusaidiwa. Martha, amka!!!

  • @BishibeSabuni-d2w
    @BishibeSabuni-d2w Місяць тому +2

    Mtumishi mpigiye mdogo mtu umwabiye anyamaze na mama anyamaze

    • @footballonly793
      @footballonly793 Місяць тому

      Hata matha anatakiwa kuaMuacha Huyo binti

  • @IsakaChilembe
    @IsakaChilembe Місяць тому +1

    Kaka mngu azidi kuku funulia mana wimbo wa kiwaonya umeimba siyo mda mlefu mpaka yanatokea

  • @ElizabethKaroli-u6k
    @ElizabethKaroli-u6k Місяць тому

    Hakika nimejifunzq kitu kwa huyo mtumishiiii

  • @pascofp145
    @pascofp145 Місяць тому

    Beatrice sio mdogo sana coz mama yao kasema wamepishana miaka miwili tu

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 Місяць тому +1

    Mhhhhhh ubarikiwe m2mishi

  • @SuzanShayo
    @SuzanShayo 26 днів тому

    Kuokoka haaaaa kuukumu tu

  • @YusuphEtako-z9w
    @YusuphEtako-z9w Місяць тому

    Nakukubali kwa busara hiyo nik

  • @yusufyawa48
    @yusufyawa48 Місяць тому

    Kwanza nianze mimi kujifunza kunyamaza.. alafu wewe.. alafu Martha Mwaipaja baadae

  • @deborahjustinerwambogo8490
    @deborahjustinerwambogo8490 Місяць тому +3

    Pascal ni msemaji wa kila kitu....😅😅😅

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 Місяць тому

    Mimi nimeshajua ya kwamba martha yupo gizani hivi sasa ,nuru ya bwana imeangaza imemweka peupe

  • @DanielJamesNgulo
    @DanielJamesNgulo Місяць тому

    Mchungaji upo sahihi kumbe ulianza muda kumsaidia martha dah kumbe kweli sikio la kufa halisikii dawa lakini pamoja na hayo usikate tamaa kumsaidia martha maana ndilo mliloitiwa

  • @cynthiamabondo9462
    @cynthiamabondo9462 Місяць тому

    MATHA AMEISHA RUDI NYUMA SANA KIROHO MAVAZI YAKE NAMUONEKANO WAKE

  • @irenemkuchu
    @irenemkuchu Місяць тому

    Nifundishe kunyamaza

  • @claudia1500
    @claudia1500 Місяць тому

    Una akili sana Cassian

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 Місяць тому +1

    Sema baadhi ya watu hawapendi kuona maendeleo, wanapenda kuona ume haribikiwa ili wapate cha kusema..evil world!are you her spokes person?

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt Місяць тому +2

    Kutokuweka wazi migongano ya mtu ya ndoa ili watu waelewe jinsi anavyotaka mimi nadhani sio kwa watu maarufu tu. Bali ni kwa watu wote maana hiyo migogoro haiwapati watu maarufu tu hata wasio maarufu na hawajawahi kueleweka kwenye jamii hata siku moja

  • @pascalumira7271
    @pascalumira7271 Місяць тому

    Nina ushuhuda mimi nilikuwa na ongea moyoni mbona hawa juu ya mwingine?kwani watumishi wa MUNGU hawana cha kuongea?Ila badaye na si iwazie tena nika anza kusikia sauti ika anza maneno ya mtumishi wa MUNGU munishi ile ile neno la marta tena nika sikua huyo ni dada yao wana umiya wana mpenda ni dada yao moja tu ambao ali waakilisha yani inao wamsumbuwa wandugu juu ya dada yaoo

  • @PovertyPeace
    @PovertyPeace Місяць тому +2

    Naona nawe unakosea hujui chanzo chao ulitakiwa kuwafuata sio nawe kuja midia ujue nawe unaleta stofaham hizo sio busara

  • @mariamlungwa
    @mariamlungwa 24 дні тому

    ndongo jamga

  • @kellenwamarynawachira6586
    @kellenwamarynawachira6586 Місяць тому +1

    Kwani ataenda gym na skirt??

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Місяць тому

    Ukute.nae Joni alioa.nyota kwA Matha ukute hakufungua.kanisa la Mungu mpaka mchungaji anaezaa.na mshirika ukute mume nae ni mshirikina anachukuwa nyota za washirika ole wake

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf Місяць тому

    Wewe tena

  • @monicahwafula2120
    @monicahwafula2120 Місяць тому

    Kwani mnataka avaeje? Mavazi ya Martha hayana shida wacheni kumhukumu kwani anatembea uchi? Usiwe mwepesi wa kuhukumu kama hujui stori ya upande mwingine, Beatrice ameongea Ila Martha hajaongea mwacheni!!!

    • @McT-m1m
      @McT-m1m Місяць тому

      Hata mama ake kaongea hujamuelewa

  • @TshambyDidier
    @TshambyDidier Місяць тому

    🎉😢😢

  • @DoricaKamia
    @DoricaKamia Місяць тому

    🌎🥺

  • @PriscaKyalo
    @PriscaKyalo Місяць тому

    Mahali pamefikia muombeeni msimsemeseme

  • @nkathagitonga5229
    @nkathagitonga5229 Місяць тому

    huyu hasemi chochote cha maana.

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 Місяць тому +1

    Mwone alivyo matha nguo zake za kisedengo kabisa kawa limbukeni kawa mpumbabu masikin akipata ndio hio mjinga mkubwa haya shetani kakuacha nyoko zako

  • @AminaYusuph-n9h
    @AminaYusuph-n9h Місяць тому

    Poa

  • @shashiromarceline
    @shashiromarceline Місяць тому +1

    4:36 4:38 4:39

  • @HermanDaud-k9b
    @HermanDaud-k9b Місяць тому

    🎉😊

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri Місяць тому

    Wakenya ni wapumbavu hawajueleweiiii

    • @JaniJann-xv2nq
      @JaniJann-xv2nq Місяць тому

      What are you trying to say naaa explain this because am not getting you please clarify

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 Місяць тому

      Wakenya ten huyo mfanya kaz ni wakenya am kenya imekujaje hap

    • @Mugurewakamau
      @Mugurewakamau Місяць тому

      Just seeking attention by mentioning Kenyans , yeah when it's come about Swahili but what about you?.

    • @sharonpande6995
      @sharonpande6995 Місяць тому +3

      What have Kenyans done to you.Where have we wronged you.When seeking for attention from Kenyans,then do type in English

    • @henricamikambi6147
      @henricamikambi6147 Місяць тому

      ​@@sharonpande6995mh! kwa hiyo nyiye wakenya ni wazungu

  • @crecknerz5661
    @crecknerz5661 Місяць тому

    Hivi vinasagana heavy yaani... Vyote

    • @dicksonmusiba9728
      @dicksonmusiba9728 Місяць тому

      Kweli kabisa wanawake wawili hawawezi kuwa karibu kwa kiwango hicho mpaka kufatana kila mahali. Halafu hako ka Joan kanakataza ndugu kwenda kwa ndugu yao kuna hilo jambo kameolewa hako. Ndio Martha kashapotea hivyo, bora angekaa aka pambana na ndoa yake, matatizo ya ndoa tupo nayo na tunaishi nayo maisha yanaendelea. Walio wepesi kuvunja ndoa wana issue zipo nyuma ya pazia na hasa hawa wanaojiita watumishi

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Місяць тому

    Ni umbeya mtu