Nidhamu ya Fei japo ni Mzawa na mnampenda ukweli hana nidhamu Kaziba mdomo Kakataa kuvaa mesali Alikula ugali na sukari akiwa Yanga Kutaka Engineer Hens aondoke ndio yeye abaki. Mumshauri na ajue Dunia inaona Hana nidhamu
Ifike mahala feitoto ajitambue kuwa yeye ni mchezaji mkubwa aache mambo ya kishabiki lile tendo ilitakiwa wafanye mashabiki isingekua gumzo lakini kwa mchezaji wewe ni tofauti kubwa kwa mashabiki
Nidhamu ya Fei japo ni Mzawa na mnampenda ukweli hana nidhamu
Kaziba mdomo
Kakataa kuvaa mesali
Alikula ugali na sukari akiwa Yanga
Kutaka Engineer Hens aondoke ndio yeye abaki.
Mumshauri na ajue Dunia inaona
Hana nidhamu
Kwa nini Fei kakataa kuvaa medali angekataa mchezaji wa kigeni halafu awe Yanga lazima Mmakonde angeitwa Studio angetuita Washamba
Hii radio mbona Huwa hamsikilizani?yaan akipewa kuongea hamaliziii anaingilia mtu katikati,ebu muwe kama radio nyingine
"...Vaeni muende Jeff na mwezio 😅😅😅😅
Kipa wa Azam the best
Jeff mtata always
Ndo uchambuzi kuingilia mara ka mara utendaji wa referee ieleweke referees wote duniani wanayo inherent discretionary powers.
Nyau ninyi mkachezeshe ninyi. Mbona hamsemi pale kina pacome walipochezewa rau mbaya,?? Red kabisa ile.
Ifike mahala feitoto ajitambue kuwa yeye ni mchezaji mkubwa aache mambo ya kishabiki lile tendo ilitakiwa wafanye mashabiki isingekua gumzo lakini kwa mchezaji wewe ni tofauti kubwa kwa mashabiki
Yaan huyu Jof unapenda ukingilia maongezi ya wenzako
WANGA HAO WAMEUMBUKA NA FEI WAO!!
Wameumbuka! Wanatafuta Kasoro kwa muamuzi sasa!
Aiseee kweliiiii huuuu mwaka umekuwa wa taabu sanaaaaaa, kwa Mjomba(Simba a.k.a. Makolooooo)na Mpwae Azam a.k.a. Mwuzaa lambaalambaa😂