INJINIA HERSI AFAFANUA MKANGANYIKO WA TAARIFA ZINAZOSAMBAA AZIZ KI KUONDOKA YANGA,VAR ATIA NENO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • ‪@YoungAfricansSCTV‬ ‪@simbasctanzania255‬ ‪@Yanga127‬ ‪@simbascfanstv‬ ‪@simbascfanstv‬ ‪@ayomamedia7511‬ ‪@manaratv__‬ ‪@MpenjaTV‬ ‪@mavalatv‬ ‪@PMTV‬ ‪@NgwaleSportsHD‬ ‪@Salambatv‬

КОМЕНТАРІ • 9

  • @MohdAli-fl2ef
    @MohdAli-fl2ef 3 місяці тому

    Anawakimbia hugo Aiken wananchi

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 3 місяці тому

    Mmmh waandishi Wa habari wa kibongo bwana daaaah

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 3 місяці тому

    Tatizo waandishi na wachambuzi wa Soka wengi wao uelewa wao ni mdogo. Hivyo wanataka kutulisha Matango Pori.

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 3 місяці тому

    Waandishi wengi uelewa wao ni wa kiwango cha chini ....maana kusoma kati kati ya mistari napo ni shuda😂

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 3 місяці тому +2

    Msimu ujao Kuna mtu kama shekhani ibrahim okrah paccome Joseph Guede Mudathiri hao watasumbua sana ipo ivyo nipo paleee nimetulia

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham 3 місяці тому

    Shida watangazaji ni vilaza huu ndo ukweli ,hawana weledi wa kutafuta habari,ndo maana waogopa kuhoji Kwa kingereza,hawajui hata thank you inamaana gani

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 3 місяці тому

    Kila siku Azizi ki mnamungea yeye tu KUONDOKA yanga alafu ni Bora aende Kuna mtu kama shekhan ibrahim anafanana Kila kitu na Azizi ki isipokuwa dogo apewinnafasi pia kocha amuamini ila yule kshekhan ni nomaaa

  • @raymondswed7358
    @raymondswed7358 3 місяці тому

    Aziz ki kama anaenda aende tu...atufutwe mwamba mwingine wa kureplace. Yanga ni lidude likubwa.
    Ila tuwe serious Shekhan ni mzuri ila sio kumtegemea kutupeleka nusu fainali klabu bingwa Africa maana bado anakua.😂😂😂😂😂😂