Shikamoo Yanga
jana yanga yangu ndio nilijua kama na presha l love you yanga
💛💛💛💛🧡🧡
Nawaomba viongozi wangu tufatilie barua yetu ya robo na mamelodi,tuende nao kiofisi na kimpira..daima mbele nyuma kwetu mwiko.
Kama auna D2 uwez ielewa Yanga Africa 💚💚💚
Jaman Tujitahid Kujisaiji mana sio kwa. Hizi rahaa💚💚💚💚💚
Wananchiiii 👍👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💚💚💚💚💚🏆🏆🏆🏆🏆
Mambo safi 🤲🏿🤲🏿🤲🏿
Mpenja ana makelele sana
azam naitakia ushind mwema🎉
Me apa wa pili nipeni basi hizo like zenu😊
Yangaaaaaa🎉🎉🎉🎉
We need extended video please
Hongera yang'a FC!!!; lakini mfanye mazoezi kupiga penalties
Tukiendelea hivi kila game I,ani ya pamoja,game spirit na combination,baadaye ....sub.
Hii Yanga ata ukiacha kikombe chenu nje inabeba
Yanga alicheza vizuri saana hii mechi. Inaonekana kwenye gori kulifungwa yanga asiipitishe gori.
Yanga Bingwa
Yanga ndio bagati ndio si yao. Kwa kweli magoli ziliwakataa
Hawa Azam wana bahati
😮😢
Humu tu🎉🎉🎉🎉
Karia yuko hoi.
Sema mlitaka kuniuwa 😢
We ur champion 💪🏆💪💪 🔰🔰🔰🔰🟢🟢🟡🟡
Aki hiz like za kaz gan 😂😂😂
We are no luck one hundred and twenty minutes we miss a lot of chances to score but all and all we are champions thanks 🙏 God I love Young Africans 🇦🇪🇦🇪🎉🎉💚💚💚🇹🇿