КОМЕНТАРІ •

  • @MajidMajid-ll8mf
    @MajidMajid-ll8mf 4 дні тому +5

    Bro nakuunga mkono asilimia 150 chama ameenda kulipa fadhila ya maovu yake

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 3 дні тому +2

    Uko vizur, umeongea point chama alikuwa duka tena la jumla

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 дні тому

    Kweli Mhindi:chama miaka 3 ametuvuruga kweli❤❤❤🎉🎉🎉👍👍👍👍👍👍👍❤❤

  • @tanzaniakwanzamaadili5083
    @tanzaniakwanzamaadili5083 4 дні тому +2

    Kuhusu cha ni kweli kabisa hata mkude pia hao ni friends of manara na TARIMBA

  • @LenatussylivesterPetro
    @LenatussylivesterPetro 4 дні тому +4

    Umeongea point san

  • @AbbasyMdabwa
    @AbbasyMdabwa 4 дні тому +4

    Wanasimba wote msijali kirusi kimeondoka

  • @alenjoel3777
    @alenjoel3777 3 дні тому +1

    Hata mimi nilifrahia chama kujiona kama Mungu

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 4 дні тому +1

    Chama kumbe alituumiza sana,
    Huyu Chama na Manara ni maadui wa Simba 😂😂

  • @levocatuspjohn8638
    @levocatuspjohn8638 4 дні тому +2

    Kumbe chama alikua kasenge me hapa ndo nagundua

  • @ivanminja7954
    @ivanminja7954 4 дні тому +1

    Wanajua hao wachezaji ni wazuri, wanakuwa wanajua walivyowaroga, kwahiyo wanatoa huo uchawi wao na wanacheza vizuri kwao

  • @HarunaMbwana-s6y
    @HarunaMbwana-s6y 3 дні тому

    Safi sana mwarabu

  • @MlekwaMlekwa-d1k
    @MlekwaMlekwa-d1k 10 годин тому

    Upo sawa

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 4 дні тому +8

    Maduka yote bye bye byee🖐️🖐️

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 4 дні тому +1

      Mi naona kama bado Kuna mmoja hivi hajatolewa bado.

  • @user-ve7kb4jm2r
    @user-ve7kb4jm2r 4 дні тому +1

    Mwarabu upo sw chama akipata mpira uwanjani anapozesha au akiwa hachez Simba inafanya vizuri mwarabu hoyeeeeee

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 3 дні тому

    Kabisa kaka manala nikirusi

  • @IssaAbdallah-rt2sh
    @IssaAbdallah-rt2sh 4 дні тому +1

    Yanga wanachukua tusiowataka

  • @DM_15
    @DM_15 4 дні тому +1

    Chama ndio alimpiga msumari kramo. Now cramo atacheza

  • @shabaninangomwa4136
    @shabaninangomwa4136 3 дні тому +1

    Huyu nani tena mbona bonge bwana anaongea mambo ya maana sana

  • @user-ib7kx9dc5m
    @user-ib7kx9dc5m 4 дні тому +1

    Viongizi wachezaji mualinde na na misunari kwani upande wapili hawapendi maendeleo ya blandi yetu Wana taka waishushe

  • @johnmwita9370
    @johnmwita9370 4 дні тому +2

    Ninaomba viongozi was Simba sc na wanachama mrinde wachezsji wetu

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 4 дні тому +1

    SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SalimRamsei-ok9el
    @SalimRamsei-ok9el 17 годин тому

    Pmj sanaa

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 4 дні тому +2

    Ushauli wangu muhakikishe mna walinda kwa nini msijiulize mbaona yanga Wana wachukua wachezaji mnao waa cha wao wana jua kinacho sababishia wakiwa simba wana kuwa wabovu lakini mkiiwaacha wana wakimbilia hapo lazima muwe makini husuda zipo vita ina mbinu nyingi mna waleta wazuri wakisha fika simba wabovu msipo kuwa makini kila mwaka mta fukuza sana wachezaji sasa bareke ana tua yanga nae

  • @user-ld6fy2fi5s
    @user-ld6fy2fi5s 4 дні тому

    Matola ni kirusi simba yeye ndo alikuwa anawajua wachezaji vizuri mda mrefu ila upangaji wa kikosi ni wa ovyo sana

  • @shimoamos9109
    @shimoamos9109 2 дні тому

    mimi napenda sauti ya haka ka dada jamani khaaa ,,,,,,, na anajua kuongea kweli yaan

  • @user-ld6fy2fi5s
    @user-ld6fy2fi5s 4 дні тому

    Wachezaji wajengewe sprit ya kupambana na sio kusaini simba ilimradi

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 4 дні тому +2

    TUWAOMBEE KWA M'MUNGU KUPITIA MADUWA NA ALBADIRI WACHAWI WATOWA RUSHWA WAPOKEA RUSHWA NA MAFITINA WAFE HAPO HAPO

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 дні тому +1

      SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SalumMkugwa-i9i
    @SalumMkugwa-i9i 4 дні тому +1

    Points

  • @user-xv2zm5ec9y
    @user-xv2zm5ec9y 3 дні тому

    Uko poa mkuu simba nguvu moja

  • @IssaDede
    @IssaDede 4 дні тому

    kweli kabisaa tusome albadirii

  • @HairuIssa-f9y
    @HairuIssa-f9y 3 дні тому

    Upo xahih mtu wa maan xan

  • @josepahatmargwe6504
    @josepahatmargwe6504 4 дні тому +1

    Toa maduka yote ,Used wote , wasaliti wote, wazee wote , peleka Utopoloni ,

  • @user-pn3wz2eb5z
    @user-pn3wz2eb5z 4 дні тому +1

    Hawa ndio wachezaji wafanya biashara wote bye bye

  • @BADAWY575
    @BADAWY575 4 дні тому

    Yani simba mazumbu kuku huyu muhindi eti kina jobeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @neemaben9989
    @neemaben9989 4 дні тому +1

    😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏🧠🧠🧠🧠🧠🔐

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 4 дні тому +1

    Sawa sawa chama hakua wetu

  • @ushiwamarandu7433
    @ushiwamarandu7433 4 дні тому

    mbona makofi machacheeeeee....?

  • @IssaAbdallah-rt2sh
    @IssaAbdallah-rt2sh 4 дні тому

    Ndio maana mangungu hatumtaki yeye wachezaji wanarogwa yeye amekaa tu kama mshipa mjingasana huyo

  • @BADAWY575
    @BADAWY575 4 дні тому

    Kasomeni al badiri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mumechanganyikiwa hahahahahahahaha

  • @BADAWY575
    @BADAWY575 4 дні тому

    Hahahahahahahahahaha yani Simba ni birudani sana ndani ya nchi yetu adi raha simba ni litimu limoja ambalo limejaa machizi hahahahahahahahahaha mpira umebadilika fedhaaa baba pesa mahesabu mijitu imekaa inaropokwa mgogoro mwingi yule anasema hivi yule vile .😂😂😂😂😂😂😂😂😂.umeona wapi yanga tumekaa tunapiga kelele watu wako mahofisini yani Yanga majuu pesa kuna nukia njuruku pesa pesa

  • @BADAWY575
    @BADAWY575 4 дні тому

    Simba muna wewe seka .yanga mchezaji akicheza chini ya kiwango dirisha dogo kwaheri na bench anakalia Yanga mziki mpana.sisi ndio yanga tuko kamili any time tasisi inafanya kazi tunaenda kwa tarehe timu nnnzimaaaa

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 4 дні тому

    Huyu mwarabu wa kayenze hajui kitu kwenye mpira mwambie akale pilipili