Bwana Vuta - KKKT Kwaya Kuu Ya Umoja Wa Muhimbili

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @cathbertcyprian419
    @cathbertcyprian419 Рік тому +2

    Great kwaya ya Muhimbili church.i really like this song.may God bless this choirs for the best vocals.

  • @AbelBrysonKingu
    @AbelBrysonKingu 5 місяців тому +1

    Nyimbo bora sana wakati wote, Asante waimbaji-DKA, SINGIDA

  • @konzosuward8204
    @konzosuward8204 8 років тому +3

    Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu na azidi kuwainua viwango vingine, nabarikiwa sana na uimbaji wenu..

  • @neemabrian2258
    @neemabrian2258 7 років тому

    kazi nzuri mungu awabariki kila mmoja kwa nafasi yake na sauti yake hakika utumishi wenu sio bure mbele ya mungu.

  • @saysmkoma4708
    @saysmkoma4708 7 років тому +2

    Nabarikiwa xn

  • @abbasmwamba9767
    @abbasmwamba9767 8 років тому +1

    safi sana keep it up muhimbili

  • @saramalila4441
    @saramalila4441 4 роки тому +1

    Uimbaji mzur

  • @janethjkavishe589
    @janethjkavishe589 3 місяці тому

    Nilikuwepo ibadani sikuhiyo wakirecord video. Mwanafunzi WA zanaki na Benjamin Mkapa

  • @MrKulanga
    @MrKulanga 7 років тому

    kazi Nzuri

  • @nsiaelieza9568
    @nsiaelieza9568 4 роки тому +3

    KKKT NI MAHALI SALAMA. TUTULIE HAPO

  • @eladymrina1247
    @eladymrina1247 6 років тому

    safiii

  • @jerrybuya3694
    @jerrybuya3694 9 місяців тому

    Amen

  • @janethjkavishe589
    @janethjkavishe589 6 років тому

    Nilikuwepo siku mnarecod hapo muhimbili da back to siku hizo

  • @billyrique
    @billyrique 8 років тому +1

    Uimbaji mtamu sana.

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 2 місяці тому

    Congratulations, bit voice not sweetest. &poorly mixing..awesome.