MUNGU YU UPANDE WETU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024
  • KWAYA KUU USHARIKIA WA DULUTI, DAYOSISI YA MERU KKKT

КОМЕНТАРІ • 14

  • @johnjames7819
    @johnjames7819 8 днів тому

    Mungu amjalie sana Mchg Msangi kwani alikuwa na kipaji sana cha kutunga nyimbo zenye utulivu . Kizazi chake huku ugweno bado kinaendelea kufanya maajabu ya utungaji wa nyimbo. Barikiwa sana
    Mchg Habart Msangi

  • @BenjaminNjiku
    @BenjaminNjiku 2 місяці тому

    Wimbo huu unabariki sana, Mungu wetu ni mwaminifu kwa wnaomcha

  • @ClemenceAweda
    @ClemenceAweda 2 місяці тому

    Mungu awabariki wanakwaya, angalia wazee wanavyopiga mzk

  • @gracejaphet1219
    @gracejaphet1219 3 місяці тому

    Mwenyezi Mungu awabariki zaidi

  • @AmosSadeda
    @AmosSadeda 5 місяців тому

    Mbarikiwe sana waimbaji kwa kumtangaza kristo wetu mwokozi.

  • @hillarytowo3948
    @hillarytowo3948 3 місяці тому

    kazi nzurii

  • @ClemenceAweda
    @ClemenceAweda 2 місяці тому

    Napenda sana kwaya ya wazee

  • @faithmangesho2081
    @faithmangesho2081 5 місяців тому

    Hongereni sana kwa utumishi
    Hongera mcheza kinanda Joshua

  • @ThobiasMsechu
    @ThobiasMsechu 3 місяці тому

    Mbarikiwe sana waimbaji

  • @gracejaphet1219
    @gracejaphet1219 3 місяці тому

    Mungu awabariki 5:00

  • @HeriethBenedict-hu8ih
    @HeriethBenedict-hu8ih 6 місяців тому +2

    Hakika MUNGU yupo upande wetu na hatatuacha yatima

  • @busaraclemence4447
    @busaraclemence4447 4 місяці тому

    asanteeeeeee

  • @kephaluvinga3909
    @kephaluvinga3909 6 місяців тому +2

    👍👍👍👍💯

  • @AmosSadeda
    @AmosSadeda 5 місяців тому

    Mbarikiwe sana waimbaji kwa kumtangaza kristo wetu mwokozi.