KWAYA YA UMOJA - NINATAKA KUINGIA [TUMWABUDU MUNGU WETU (154)] (KKKT WAZO HILL)
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- KKKT - DMP WAZO HILL
KWAYA YA UMOJA - NINATAKA KUINGIA [TUMWABUDU MUNGU WETU (154)]
TUFUATILIE KUPITIA MITANDAO YETU:
INSTAGRAM - / kkkt_wazo_hill
FACEBOOK ACCOUNT - / 100069093037456
FACEBOOK PAGE - / kkkt-wazo-hill-dmp-103...
UA-cam - / @kkktwazohill
WEBSITE : www.wazohillpa...
KWA MAONI NA USHAURI:
Simu : +255 653 659 110
Barua Pepe : wazohillchurch21@gmail.com
#kkkt #dmp #kkktwazohill #kkktkijitonyama #kkktmbezibeach #kkktkimara #azaniafrontlutheranchurch #upendomedia #upendotv #love #mungu #god #yesu #jesus #religion #spiritual #faith #dayosisi #dayosisiyamashirikipwani #ibada #pasaka #live #mubashara #wazo #wazohill #kinondoni #tanzania #eastafrica #africa
Wimbo unanikumbusha mazishi ya Bibi yangu aliuimba kabla yakukata roho
Namkumbuka Mama yangu alitangulia kwa Mungu,huu wimbo aliupenda sana,Mungu endelea kumhifadhi Mama Yangu mahali pazuri hadi siku nitakayomuona tena,AMEN
Aisee huu wimbo mimi kama mKKKT naupenda sana kwakweli,aisee aliyeleta huu wimbo na hii notem MUNGU AMBARIKI SANA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mmeimba vizuri mnoo,bass voice ur Amazing❤❤❤
Bila hiyo sauti ya 4 wimbo usingenoga....you made my day! Waao!
Mungu wangu wambinguni awatunze hakika Wimbo umenifanya nabubujikwa namachonzi umenikumbusha mbali sana Mungu awatunze.
Neno lako ee yesu linanipa uzima nikifika nitaimba umeniponya🙏😭
❤❤wimboo wangu pendwaaa
Mungu awabariki sana ,mnatisha kwelikwel
Mungu wangu najisifia mno kuwa mluteri jamani nyimbo zetu ni za Utukufu na injili tuuu oh hleluia Bwana
Kila nikiliza wimbo huu napata aman na roho mtskatifu kuwepo na kutawala
Hongera saaana baba kwa sauti yako ya 4
Wimbo umeniliza jaman dah mbarikiwe sana watumishi wa mungu kwa wimbo mzuri yan mmeimba kwa utulivu japokuwa sauti ya nne imezidi kidogo,,, Nimejisikia kama nipo kanisan kwetu SABATO
BASS ANAMEZA WENZIE
Mungu wa mbinguni awabariki kwa wimbo mzuri na sauti nzuri
Ukiusikiliza wimbo huu kwa umakini unisikia hisia nzito moyoni!! Kuna wadada wawili wanaimba kwa hisia kali hadi machozi yanatiririka!! Hongera sana kwaya nzima!!
All voices are clear amazing.
Mungu akutunze saana baba sauti yako ya 4 ni nzuri mno mno kwa ujumla mnaimba vizuri sana
Neno lako eeeeh Yesu
❤❤❤❤ I 😢😢😢 huu wimbo nafurahi hd na Lia haswa kipindi hiki nilichompoteza mdogo wangu ghafla wakiwa wanapenda kumzika upareni alafu kwenye ajali akafa peke yake uwiii mungu awa bariki kwakutupa vitu adim
Pole sana mamaaa
Huyu bass kafanya vizuri mno. Changamoto ni mchanganya sauti kuziweka sauti sawia!
Nimebarikiwa sana ❤❤
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri ila besi halikupendeza
Wimbo huu kiukweli ukiwa nahuzuni faraja inarudi.pia miaka ya 1963 Dunia ilikuwa na Amani kubwa Mno Mbarikiwe sana Wazo Amen
What a Bass...aisee jamaa anajua sana
Ukitaka kuguswa moyo sikiliza wimbo huu,pokea maua yako wewe uliyetunga wimbo huu, hakika Roho mtakatifu alikutumia kwa viwango vya juu sana, nausikiliza siku nzima jamani hauchoshi najiona niko uweponi kabisa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Huu wimbo aisee... Ukiuimba kwa kuutafakari lazima utoe machozi, anyways mbarikiwe Sana wazo hill, nawapendaga Sana ila huyo aliyeimba sauti ya nne ameharibu ladha halisi iliyotakiwa kwa Susi wasikilizaji not nyngi haziimbi kwa usahihi na Mic kaiweka karibu Sana imeharibu harmony ya muziki..mwalimu pokea maoni Haya uyafanyie kazi, NAWATAKIA HUDUMA NJEMA
Asante tumepokea mawazo yako mpendwa
@@kkktwazohill napendekeza uimbwe upya ndio muuapload bila huyo wa base
Balikiweni sana waimbaji wetu wakkt hakika hii niviwango vingine tuawaombea maana uwepo mungu unashula tu lohoni mwangu juu yahiinyombo
This is not just like a song is a powerful prayer. Am not kkkt but I like all team Jesus. Am proud being team Jesus from Catholic
Ooooh haleluya hizi ndizo nyimbo zinazompa MUNGU wetu UTUKUFU na uwepo wake unalijaza kanisa
Yesu unisaidie nisikuache.
Huu wimbo unanikumbusha mbali mungu awabalik sana muda wenu sibule mungu ata walipa
Hongera sana Elihudi Emmanuel kwa kazi nzuri mngeuimba tena u control sauti ya 4 kwenye Mike. Zaidi mbarikiwe kwa ubunifu wa Kiwango cha juu cha uimbaji wimbo huu. Sichokagi mana niwimbo wangu wa Kipaimara tuliingia nao na Trapet miaka hiyo. Nakuelewa kwa kazi hizi
Nakupenda wimbo huu ninataka kuingia mjini Kwa Mungu
Sauti 1-3 zinatoa ujumbe sauti ya 4 inauhakikishia moyo kuwa maneno haya ni kweli na amini...Kama Mwanzo 41:32, barikiweni sana!
Hiyo ndo KKKT OG. Hadi raha. Hongereni sana
Ameen
Home sweet home !! Mmenikumbusha nyumbani ❤❤❤
Huyo wa sauti ya 4 ndiye aliyenogesha huu wimbo kiasi hiku ,kiongozi naye da yuko vizuri mno mno wimbo wa nguvu sana
Kabisa mtumishi, Sauti ya 4 nzuri na yakuvutia imenibariki sana.. Mwisho wa siku wote wameniambia vizuri sana.. Katika maisha yangu hapa duniani hii ni kati ya nyimbo zilizonibariki
Hongera sana Baba yangu kwa kumuimbia Mungu na Kwaya nzima
Mwimbaji na Mike ana base Safi lakini ameiweka karibu sana
Nimebarikiwa sana sana! nimekumbuka nyumbani
Mungu awabariki wanakwaya hawa
I like the base leading,am blessed
Kabisa
Ni wimbo unaonipa faraja kubwa Sana! Mungu awabariki
Kwaya nzuri na sauti nzuri sana ,hongera sana watumishi wa Mungu ,
Mimi sitaki kingine ila uzima🙏🏽
Naupenda wimbo huu
Mmeimba vizurii mbarikiwe sana 🙏🙏
Huu Mwimbo unanikumbusha Baba yangu alivyokuwa anaimba yaan Tena huyo Baba anayeimba hapo kwa sauti ananipa Faraja ya kwamba Niko na Baba yangu mzazi kabisa Mungu endelea kumpunzisha kwa Amani Mzee Martin ameacha alama nzuri Duniani😢😢
Mkono wako unishike nisianguke najiona kuwa mnyonge Nuru mwake. ×2
Neno lako eee Yesu linanipa uzima Nikifika nitaimba umeniponya×2
Kumuenzi ni kuishika na kuitetea Imani.....
Very inspirational song
umenibaliki sana🙏🙏
Hongereni sana..mpiga kinanda kafanya kweli pia
The bass is so powerful and beautiful. I love the melody
Hongereni sana aise satu tamu mno ,, I love it so much 💓🔥🔥🔥💕💕💕
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri
😢😢huu wimbo umenikumbusha siku namzika Baba yangu😢😢 pia unanifariji sana
@annaikungu6429 na mimi unanikumbusha tukio la mazishi ya baba yangu mwez wa 6 mwaka 2019
waooooo.........those voices are superb
Yesu ananiambia uningojee😢🙏🙏🙏🙏
Baba hongera sana Kwa sauti ya nne
Mmeimba vizuri sanaa Yani
Siku nyingine huyo aliyeimba ameshika maiki msimpe tena maiki kaharibu Radha yani
Muongozaji uko vizuri
Well sung song by it when sung in truth and spirit it can open the heaven showers of blessings Steven Lauwo
Touching song ever. Hongereni sana
Angelic voices praising mighty God in heaven. God the son in control of his flock!
Receive the praises.
well sing ,good dressing all are smart.....barikiweni sana
Jaman hyo ndo kkkt dah hakika
Ni kweli ameuharibu Bora asingeimba
wimbo huu unaniingia sana akilini unanitoa machozi
Mwimba bezi umenifuraisha sana mungu awabarik
kuna mahali anahama kuimba sauti ya tatu but very good
Hongereni sana waimbaji ....
Hongelen sana mmenikimbusha mbali
♥️♥️😢♥️👏🇮🇱🇹🇿 Huwa najisikia Raha sana ndani yangu wimbo huu ukipigwa Ibada I.
Share link na wengine wapate kubarikiwa Mpendwa.
Barikiwa Sana wahubiri kwa njia ya nyimbo
Hongera sana Kwaya ya umoja. Sauti yako njema Teacher Erick nimekusoma # Kwaya ya wanawake msasani
Wimbo mtamu sana.barikiweni sana
Amen Amen
Hongeren sanaa
This is my fav song of all
Mungu awabariki sana mmeimba vzuri sanaaa
Hakika wimbo unagusa mioyo ya watu,barikiweni sana!!!!🙌🙌🙌
Hizo ndizo nyimbo tunafaa kuimba barikiweni sana
Mwenye mic jamn karibu ladha ya wimbo sana ,
Naupataje huu Wimbo
Sauti ya nne ni haba sana duniani hawa wamebahatasha kuwa na mtu mmoja tu mwenye kipaji ktk sauti hiyo
Ni tatizo hilo, kundi ni kubwa hakutakiwa kusikika mtu mmoja akiwameza wenzie, amesogelea kinasa sauti peke yake,
@@MartinChedy lakini kazidisha. Sijapenda
Very touching song i like it
SAUTI YA 4 , SAUTI YA 4 , IMENIBARIKI SANA SANA, WAIMBAJI WOTE PIA WAMEIMBA VIZURI SANA SANA PIA.. HII NI KATI YA NYIMBO ZITAKAZO BAKI KWENYE MOYO WANGU HAPA DUNIANI..
Hongreen sana
Hongeren kwa huduma nzuri
aloshika maiki kaharibu wimbo, wengine wote waliimba sawa ila yeye aliimba anachojua yeye
Kaharibu sana aliyepo kwenye 🎤
mmeuaa sana🤗
Bass safi sana
Barikiweni mno tumebarikiwa sana na wimbo huu.
Amen
Ni wimbo mzuri unipa ujasir
Halelujah
Hamna kitu hiyo bes ameharibu khaaa
Barikiweni sana mpo vizuri sana
Congratulations 👍👍👍
Mbarikiwe sana
Mbarikiwee sanaaa ❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Stay blessed Wazo Hill
Hongereni waimbaji mmeimba vizuri
Hongereni sana kwa kuimba VIZURI