🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 281

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 місяці тому +4

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

    • @Sam_me01
      @Sam_me01 2 місяці тому +2

      Hello guys. Naombeni mkaangalie interview ya wasafi weekend refresh jamaa kajikanyaga baadhi ya maneno aliowajibu maswali yenu na hapo ndipo mtajua kuwa ni mbabaishaji. 💯%

    • @Sam_me01
      @Sam_me01 2 місяці тому +1

      Kuna kauli kasema hazini wala hana mchepuko naombeni muishi na hizo kauli maana soon kuna boom linakuja. Na huyo binti sio mixture chunguzeni vizuri.

    • @Sam_me01
      @Sam_me01 2 місяці тому +1

      Binti huyo ana miaka 17 ndio katimiza hivo juzi birthday yake isitoshe nyie mmepewa miaka tofauti na waliopewa wasafi media sasa mujiulize mume hajui umri wa mkewe? Ndo mpate kufahamu katika maneno anayoongea 99.09 uongo

  • @AmanaHussein
    @AmanaHussein 2 місяці тому +11

    Tujifunze kuombeana memaa Mimi naiombea hii ndoa khery inshallah.hasbunallah wanikmal wakeel 🤲🤲

    • @FaridaKaduguda
      @FaridaKaduguda 2 місяці тому

      Ht mimi nalikubali sana.

    • @Semnyawenda
      @Semnyawenda 2 місяці тому

      Huyu kaka muongo had kero kama kungekua na mashindano ya uongo, au ungobya angekua Champion, mwanaume wa hivi balaa tupu, wanawake tujifunze hapa tusiingie mkenge, hivi hachoki kuoa!??? Doh!

  • @zoab2699
    @zoab2699 2 місяці тому +21

    Dada mtangazaji maisha yako hujawahi kuona wanaume wazuri dar nn huyo anauzuri gani wa kusema mzuri. Tusimkufuru allah

    • @sharonmasawe5381
      @sharonmasawe5381 2 місяці тому +1

      Hivi mwanaume mweupe mwenye masifa nae anaitwa handsome

    • @miss__ericah
      @miss__ericah 2 місяці тому +1

      Shangaa na wewe shoga angu 😂😂😂 mzuri wa nyoko

    • @MwajSibonja-t5o
      @MwajSibonja-t5o Місяць тому

      ndio ni mzuri acha wivu

    • @zoab2699
      @zoab2699 Місяць тому

      Uko wapi huo uzuri 🤔🤔🤔​@@MwajSibonja-t5o

  • @sashaadam7912
    @sashaadam7912 2 місяці тому +5

    Umepata jina kwa ajiri ya diva akuna ambaye alikuwa anakujua muombe mungu diva akusamehe la sivyo mungu atakulipa

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 місяці тому +35

    Inaonekana hajamov on bado anampenda diva...na inaonyesha anamrusha roho diva ndomana anafanya ivyo.. inaonyesha anamtumia uyo dada kwakumuumizia diva

    • @MaryamAbbas-o1c
      @MaryamAbbas-o1c 2 місяці тому

      @@jamilaathumani5481 yaani hilo nihakika sio unamjua misifa

    • @saidymbagalla6622
      @saidymbagalla6622 2 місяці тому +1

      Yani niwe na mtto mrito kama uyo bado nikikumbuke kizee cha akazi gan

    • @ashuramanya9282
      @ashuramanya9282 2 місяці тому

      Diva na yeye aolewe ....mwanzo kama sisahawu na yeye alikuwa nasema ataolewa wenye kumfata ni wengi nihatari basi mwenzake kamtanguliya nishida aya mapenzi ya izi siku nimtihani.

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k Місяць тому

      Kabsa😂😂😂😂

  • @maimunaahmed3477
    @maimunaahmed3477 2 місяці тому +8

    Mapema sana kusema ndugu zako wanampenda na alokupa umaarufu mshukuru sana diva.

    • @rayaali7551
      @rayaali7551 2 місяці тому

      Umaarufu. Alikuwa nao before. Ya kujulikana na diva umaarufu wakee. Shekh ABDULL. Ndio ulomfanya diva kumjuwa. So. MAMA ANGALIE VYAKUTOSHA SHEKH ABDULL

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 місяці тому +19

    Kusema kweli sijawahi kuona limbukeni kama huyu mm.

    • @bas2823
      @bas2823 2 місяці тому

      ITS TRUE😅😂😂🤣😅 TOO MUCH LIMBUKENI HUYU"

    • @bas2823
      @bas2823 2 місяці тому

      KAMA ANAJUWA KILA KITU" KWANINI UKAMRUDISHA"?!

    • @bas2823
      @bas2823 2 місяці тому

      KUNGWI 12 ARE A PRESIDENT OF TANAZANIYA!"? KUNAWISHA MIKONO MUME NI CULTURES THE WAZEE WETU HIZO! ZAMANI MLIKUWA HAMNA TAPE WATER IN DINNING ONLY THEY USE POT TO PUT WATER N LET MEN WASH THE HANDS.

  • @ZubedaYasini
    @ZubedaYasini 2 місяці тому +6

    Simpendi huyu baba jmn na nashangaa sn wanawake wanaona matukio yake kila siku Ila bado wakitokewa tu nahuyu baba hawakatai cjui kwann lkn naumia sn

    • @Sam_me01
      @Sam_me01 2 місяці тому +1

      Ni mganga huyo anawaroga aiseee

  • @bas2823
    @bas2823 2 місяці тому +7

    TOO MUCH LAGHAY THIS ABDULL RAZAQ! TOO MUCH ROGY N SNEACKY MAN N MAJESIFU MAN N PROUD MAN"! HE HAS TOO MUCH EGO"! IN HIS HEART"! HE IS TOO PROUD N KUJIDAI!"

  • @bas2823
    @bas2823 2 місяці тому

    LOVE IS BLIDE NEVER GOES BEHIND!

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 місяці тому +1

    Sasa sie age go hatuna mbwembwe kwendraaaaaaa
    Utakuja hapahapa utasema sasa bado
    Diva wangu❤❤❤❤❤nakupenda

  • @MwajSibonja-t5o
    @MwajSibonja-t5o Місяць тому

    Yan nasoma comment nacheka sana😆😆😆😆watu wanavoponda et jamaa ana uzuri gan jmn achen makasirikobona Jamaa Bonge la HB mm mwenyewe namtaman balaa😘😘😘😘

  • @sakinakwela3342
    @sakinakwela3342 2 місяці тому +7

    😂😂😂 binasi simpendi huyo Kaka wallah mung anisamehehe t nihizi Tabia zake t

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 2 місяці тому +3

    Jamani huyu kaka nimshenzi Jaman hana adabu hata kidogo Jamani 😢😢😢udhalilishaji huu😢😢 mambo yandani mtandaon

  • @SalhaMwampagatwa
    @SalhaMwampagatwa 2 місяці тому +13

    Mimi ata umuowe nani aijalishi ila nampenda sana diva napiya diva ndiye aliyekuwangaza kwenye dunia usinge julikana sana ivyo bila diva mueshimu sana tena sana diva mbona kabla yakuwa nadiva mbona ulikuwa aujulikani sana ivyo wanaume wengine bwana awana ata shukurani jamani

    • @bas2823
      @bas2823 2 місяці тому

      @@SalhaMwampagatwa WANAUME WENGINE HATA UWAFANYIE WEMA WA AINA GANI! ATAZUNGUKA AKUFANYIE MABAYA NA MAOVU TUU"! UTAMSHUGHULIKIA UM DEVELOPES NA BAADAE AKISHAKUWA NA KIPATO NDIO ANAKUGEUKA ANAKUWA ADUWI YAKE WEWE ULOMFANYA ALAWA ANA UWEZO NA AKAWA MAARUFU!😫😩😢!

    • @DM.2200
      @DM.2200 2 місяці тому +1

      Sio mbaya coz watu wengine wanaletwa kwenye maisha ya wengine kama daraja la kuvuka kuelekea ng'ambo ya mto 😂😂😂

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 місяці тому +3

    Wambie mashalah mashalah mashalah usipigwe kijicho bule.. mwambie mashalah

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 місяці тому +9

    Wewe hata ungekuja na matrilioni nisingekuozesha mwanangu, mwanamme mnyanyasaji unaongea ya mkeo na familia yake mtandaoni hufai hata kidogo

    • @LucyNgowi-m5z
      @LucyNgowi-m5z 2 місяці тому +1

      Kweli hata mimi ninavyomuona huyu kaka sio wale wanaume wanajua kupambana kama tapeli fulani hivi

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 2 місяці тому

      Kweli kabisa ila wanaomuozesha hwaoni 😂

  • @sashaadam7912
    @sashaadam7912 2 місяці тому

    God will show you

  • @raniahilal
    @raniahilal 2 місяці тому

    Hana dada uyoo blessing

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 2 місяці тому +4

    Huyu ni malaya km malaya wengine

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 2 місяці тому +5

    Shida sio Kuoa kukanao SASA ndo kipengele

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c 2 місяці тому +16

    Mzee wa misifa tuko apa tunasubiria sio wakwanza huyo😂 ila ukitaka awe bora ujue kumuheshimu lasiivyo kutakuramba wambea tuko apa😂😂

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂

    • @Sam_me01
      @Sam_me01 2 місяці тому

      😂😂😂 tunasubiria litakavo mramba😂😂😂

    • @FaridaKaduguda
      @FaridaKaduguda 2 місяці тому

      😂😂😂😂

  • @sashaadam7912
    @sashaadam7912 2 місяці тому +4

    Wewe ni shoo off ni mjinga sijawai kusikia

  • @ZamzamRamadhan-o8w
    @ZamzamRamadhan-o8w 2 місяці тому +2

    Inal ahdi kana masuula,tunakuombea heri ila kumbuka unaloliahidi kumbuka hawo ni mabinti wa watu na we unawako watachezewa,watatumiwa pia

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 2 місяці тому +12

    🫣🫣🫣Poleeeee Divaaaaa yatapitaaaa nasi Twasubiri Diva Alete mzungu wake tumuoneeeee📢📢📢📢🗣️🗣️

  • @JeniferNgata
    @JeniferNgata 10 днів тому

    Ni kweli anasauti ya kiume

  • @Peace-x6s
    @Peace-x6s 2 місяці тому +5

    Sema kila Kitu mtandaoni , mengine muwe mnaweka akiba mioyoni

  • @najathtemo3908
    @najathtemo3908 2 місяці тому +12

    Baba muongeaji huyu hapana👐😂

  • @AishaIssa-l4q
    @AishaIssa-l4q 2 місяці тому +1

    Hongera sana kaka angu kupata make sahii

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 2 місяці тому +6

    Safiiiii hongeraaa sanaaaa 👏👏👏👏👏🤝💯💯💯💯💯🥳🥳🥳

  • @JacklineKalanga
    @JacklineKalanga 2 місяці тому +1

    Ukimwacha huyu bint Mungu atakuchukua.

  • @bas2823
    @bas2823 2 місяці тому

    REMEMBER U R A MUSLIM MAN! N GOD IS WATCHING U FOR ALL THOSE U DID N DO IT!

  • @ramamwanga7551
    @ramamwanga7551 2 місяці тому +2

    We jamaaa mvumilivu sana honger

  • @TeddyMbole
    @TeddyMbole 2 місяці тому

    Safi sana

  • @bas2823
    @bas2823 2 місяці тому +2

    HE HAS EGO N HE IS PROUD! BUT HE HAS KIND HEART❤ N CHARMING PERSON"! N NICE"

    • @DM.2200
      @DM.2200 2 місяці тому

      That ego now 😂😂😂

    • @deeduks15
      @deeduks15 2 місяці тому

      Mmmhh😂😂😂

  • @Sam_me01
    @Sam_me01 2 місяці тому +4

    Wake zake wote mafashonisti 😂😂😂😂 haya hongera mzee baba 😂😂😂😂 diva lete mzunguuu

  • @bas2823
    @bas2823 2 місяці тому

    HE IS CHAKRAM BUT HE HAS NICE N GOOD HEART❤"

  • @maryammzee3246
    @maryammzee3246 2 місяці тому +1

    Hongera sana mabinti wa sasa wengi ndio tatizo lkn baadhi wako vizuri wanamuogopa allha

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 2 місяці тому +2

    Anavyo jichekesha ovyo chefuuuu😏😏😏😏😏

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 2 місяці тому +2

    Watu wanashindwa kutofautisha shekhe namganga huyu mganga

  • @AnjelaNgowi
    @AnjelaNgowi 2 місяці тому +4

    Huja move on 😅

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 2 місяці тому +2

    HONGERA KAKA MUNGU AKUJALIYE 🙏🙏🙏

  • @hadijamohd6028
    @hadijamohd6028 2 місяці тому +5

    Bado mapema usimalize maneno 😅😅😅

  • @theresiamilanzi5907
    @theresiamilanzi5907 2 місяці тому +1

    Hongera zake

  • @pauloegbert515
    @pauloegbert515 2 місяці тому +9

    Upumbavu tu hamna vitu vya maana

  • @glaisfupa9760
    @glaisfupa9760 2 місяці тому +3

    Ni mapema sana kusifia kihivo mbona hata Yule ulimpa masifa? Muombe Mungu hawachelewi kubadilika Hawa wanawake

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 місяці тому +2

      Huyu ni Mr misifa aliyempa chati ni Diva ila kamsahau huyu mkosa hisani

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 місяці тому +4

      Kifupi huyu ni mnyanyasaji wa wanawake mshenzi huyu

  • @fatmasaid3536
    @fatmasaid3536 2 місяці тому +1

    @52:38 mins kweli ww tapeli tu unasema mambo yako ya pesa hupendi kuyaweka mtandaoni so hapo umefanyaje ? Huna lolote tapeli tu

  • @FaridaKaduguda
    @FaridaKaduguda 2 місяці тому

    Nampenda jamaa. Anajiamini namkubali sana.

  • @hawa6052
    @hawa6052 2 місяці тому +2

    Hongera kwa kupata wife Allah awabariki

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 місяці тому +2

    Ila haya mambo ya mitandao yatakukosti baadae alafu mtowe sababu

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 2 місяці тому +1

    hongera sana kaka

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 2 місяці тому +3

    Hamna mume hapo😏

  • @naylamohammed266
    @naylamohammed266 2 місяці тому +1

    Ana uzuri gani acha kumpa kichwaa

  • @ZamzamRamadhan-o8w
    @ZamzamRamadhan-o8w 2 місяці тому +1

    Iwe wa mwisho Sasa bint mdogohuyo jaribu kuthamini wanawake na kuwastii pia

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 2 місяці тому +2

    Mwanaume wa hiv kah kah😂😂😂diva hanaumia sema Bs tu

  • @ruwaidashaaban7267
    @ruwaidashaaban7267 2 місяці тому

    Ww unaitwa mume hebu bs be a gentlemen 39:01

  • @vero57
    @vero57 Місяць тому

    Huyo Abdul ana miaka 45

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 місяці тому +4

    Kaxiipo tutasikia mengi tu

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 2 місяці тому

    Mbona ile interview ya wasafi ulisema ana miaka 21 asa hapa unasema 20 tueleweje

  • @KissaMwaibila-xp7io
    @KissaMwaibila-xp7io 2 місяці тому +1

    Mmmmm

  • @mwanaidikhamis5430
    @mwanaidikhamis5430 2 місяці тому +1

    Mhhhh mbona km sikuamini vzr ktk hayo mazungumzo yako

  • @fatmaabdillahi54
    @fatmaabdillahi54 2 місяці тому +1

    Huyu anavituko wallah

  • @MahmoodAhmed-yt9me
    @MahmoodAhmed-yt9me 2 місяці тому +1

    Anashika sisawa kusema ANASHIKAGA saidia kuenzi kiswahili sanifu

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 2 місяці тому +1

    Radhi za sabrina zinamtesa. Anawasimbulia wakwe, eti nawakodia sehemu nzuri. Dharau hizo. Ilikua usitamke hapo

  • @bas2823
    @bas2823 2 місяці тому +1

    BUT FROM THE FIRST WIFE TO SECOND WIFE N THIS IS THE THIRD WIFE! JUST U GOT MARRIED WITH HER"! U NEED TO STAY WITH HER! N THEN IT WILL SHOW WHO U ARE" AFTER ALL"!

    • @melisamaro2549
      @melisamaro2549 2 місяці тому

      She is not the third or tenth wife ....this guy has a list of women he married and divorced

  • @ModesterTutuki
    @ModesterTutuki 2 місяці тому +2

    Kumbe Kuna wanaume wenye sifa hivi🙄 utazan mwanamke🤣🤣

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 місяці тому +1

    MR MISIFA
    MHM HAPA MUME DIVA HAKUNA BORA UMEMUACHA.MUNGU ATAKUPA MUME MWENYE KHERI NA WW

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 2 місяці тому

    Huyu nae Mr misifa tuu

  • @hassansalim227
    @hassansalim227 2 місяці тому

    Sura

  • @Jane-fi8on
    @Jane-fi8on 2 місяці тому

    Ninamhurumia sana huyu binti mdogo generation Z jameni. Atawezana kweli na huyu mganga na historia yake ya wanawake??

  • @ChikuRashid-yg3jp
    @ChikuRashid-yg3jp 2 місяці тому

    Kweli huyu ni wa kawaida hana uzuri wowote

  • @Husnasalim-f2g
    @Husnasalim-f2g 2 місяці тому

    Nyie tunaoish na waarab like hawan hat izo mbwembwe😂😂😂😂

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 2 місяці тому

    Si umesema anavaa ushungi? Sasa wanamshangaa nini?

  • @WalburgaMmassy
    @WalburgaMmassy 2 місяці тому +1

    Masifa tu ww mtoto wa matejoo arusha woooiiii

    • @Tanganyika-w5p
      @Tanganyika-w5p 2 місяці тому

      Kumbe huyu ni wa Arusha?
      Hahaha noma sana aiseee

  • @bas2823
    @bas2823 2 місяці тому

    TAMTUMILIYA KAMA HAJI MANARA ALIVOMTUMIYA YULE MKE WA MWISHO NA SIFA ZILIKUWA NYINGI ZANA AT THE END WAMEWACHANA.😢

  • @zenadaudzena2849
    @zenadaudzena2849 2 місяці тому +1

    Mimi mwanaume wa hivi apite kushoto sifa nyingi 😅

  • @rehmahamishamismkande4348
    @rehmahamishamismkande4348 2 місяці тому

    Hata kama ila hamuuingii mkeo

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 2 місяці тому

    KAKA MUKE AMBAYE UTAMUPANGIYE MAISHA KAKA HONGERA 💯

  • @fauziakarama8581
    @fauziakarama8581 Місяць тому

    Huyo jamaa akianza kumpenda mtu na mpaka akimpata kumuoa ni kumsifia tuuu na wakiachana ni mtihani.

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 2 місяці тому +2

    Mfyuu

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 2 місяці тому

    Nikweli mwanaume hawezi kusifiwa mzuri mwanaume riyajal

  • @rehemajuma4915
    @rehemajuma4915 2 місяці тому

    Huyo mama MTU mzima naev mtangazaji

  • @fatmasaid3536
    @fatmasaid3536 2 місяці тому

    Inaskitisha kuona mwanaume anakaa kujisifia ana hela ngapi na alivokua mnene ki pesa ndo maana akina elon musk, zuckerberg , cristiano ni ma tajiri coz wana focus on wanachokifanya ili watu wawasemee utajiri wao sio huyu mwanaume alobaki kuvaa skirt tuu, kama ww ni bingwa unavojisema kwnn unaishi nyumba ya kodi? Ushanichosha na your brags

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 2 місяці тому +3

    Mtoto mdogo 😂😂😂divaaa afaaaa hukooo alikooo😂😂 kweli mange aaminiwe alisema mke wa abdull mjamzito 😂😂nyie mnao msifia abdull mzur labda uzur ni wa hiyo rangi tu 😂kwa hiyo kwao na mke wakat ataka kuolewa hakupelekwa kwa kungwi 😳😳mpka atafutiwe makungwi na mumewe? 🙄🙄

  • @winfridangoloke1916
    @winfridangoloke1916 2 місяці тому +2

    Jaman lipstick tena au mi ndo sijaskia😂😂😂😂

    • @najmasalim2606
      @najmasalim2606 2 місяці тому +1

      nilikua naitafuta hii comment, lipstick joined gafla😂😂😂

  • @bas2823
    @bas2823 2 місяці тому

    HIS COAT COLLER" DIDNT STALLE VERY GOOD" ITS BEND IT BOTH SIDE" IF!? THE WIFE WHO PUT THE COAT ON HIS BODY WHY!? SHE DIDNT SATLE THE 2 COLERS THE WAY IT HAS TO BE WITH IN PROPER WAY"

  • @Ashoora2
    @Ashoora2 2 місяці тому

    Mm nakuombea tu ubadilike kweli ili uwafumbee midomo

  • @bas2823
    @bas2823 2 місяці тому

    KWANINI MNAIRUDISHA HII INTERVIEW!? U DIDNT SHOW THAT SUNDAY U WENT TO HIS HOUSE!?? OR WHAT!? I FORGOT THE DAY!

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 2 місяці тому

    Unamjaza tu

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 2 місяці тому +5

    Mmm! Huyu kusema tu hodarii! Na kusifia. Ila ana mrusha Roho Diva! Mpuuzi hapo ulipo ninkwa ajili ya Diva nani alikuwa anakujuwa wewe? Acha kashfa na na zaa

  • @joselynesango4430
    @joselynesango4430 2 місяці тому +3

    ni kwei usiku bai kuudi nyuma kitu kingine weye ni mwanaume hata ukiowa wanawake miya hakuna shidi shida 2 niheshima weye ni mwanaume na utabaki kuwa mwanaume sheiya ya dini inasema itafikiya siku wanawake miya wanahitaji wawe na mwanamume umoja ila waitwe ni wake wamtu pole sana kaka umezaiishwa sana

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 місяці тому

    Huyu mtoto naona hata kuoga nakuvaa hajui na abdul ndo anapenda hatoomba pesa wala nguo wala kiatu kupika na kusafisha nyumba huna kutoka

  • @FaridaKaduguda
    @FaridaKaduguda 2 місяці тому

    Kumbe pesa unayo!! Kwa dida kila siku unalelewa. Na mara hii wakwe umewapata. Wanajua kutumia fursa. Na hawapotezi muda. Na hawataki mchezo. Halafu hako ka mkewe mbona km kajeuri flani? Mume hayuko romantic. Eti mke!!! Sio mke wangu😅😅😅 ticha wa mahaba huyo? Na bibie hawezi kusema haloo mume wangu!! 😅

  • @jazzjeff8431
    @jazzjeff8431 2 місяці тому

    Maswali ya kimavi sana

  • @asharamadhani8668
    @asharamadhani8668 2 місяці тому

    Yaani kama familia ya huyo binti ndo imemshawishi ili aolewe na wewe basi hiyo familia nzima ni wehu hawana akili.

  • @NaimaAbdi-f6p
    @NaimaAbdi-f6p 2 місяці тому +2

    Huyu jamaa ni muongo na misifa mingi

  • @zenadaudzena2849
    @zenadaudzena2849 2 місяці тому

    Ashinde wapi Mr hndsom na hiyo minjino 😅😅

  • @deeduks15
    @deeduks15 2 місяці тому

    Unamsifia sana na ndio mwanzo 😂😂😂hata wengine umekua nao uliwasafu na saa hii nliacha..

  • @Mamshika
    @Mamshika 2 місяці тому

    Nyie ndo mnampa kichwa et handsome huyu uso mref kama bas

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 2 місяці тому +7

    Huyu kaka ni muongo jamani yaani yule bint asiejua hata kuoga kawa mwana mitindo lini